Nisahihi kabisa pia Kuna utapeli mkubwa Sana na udhalilishaji
@HasanIdd11 күн бұрын
ila wangefanya wengne kongamano wanakuwa waharifu
@FedrickBoni11 күн бұрын
Kutunza nchi et tafta waziristan kwa tarumbeta
@nelsonmgaya149011 күн бұрын
Chawa kama chawa!!
@willsonmsuya926112 күн бұрын
Aya bhana
@binsherbal608912 күн бұрын
Sie wenye Akili tunajiuliza, kwa nini Kongamano hili lije wakati huu? Kwa nini kuwe na mapicha ya Samia? Kwa nini uwe wewe Nyalandu? Kwa nini iwe Mbeya? Msidanganye watu, Watz wa leo si Wajinga tena. Tunaoelewa hatuji na tutashawishi na wengine waelewe nao wasije pia. Hayo Matango Pori yenu mtakula wenyewe.
@binsherbal608912 күн бұрын
Siku ya Vijana Kimataifa ya Chadema huko huko Mbeya walikatazwa. Polisi wakajaa wao Uwanjani leo unakuja wewe Nyalandu Chawa wa Mama na hilo picha la Samia kwenye Basi linahusu nini? Sie Vijana wa Vyama vingine hatutohudhuria maana Kongamano linaonesha lina malengo ya Kisiasa.
@kyusa700216 күн бұрын
Simba nguvu1
@salummohammed481224 күн бұрын
Brother hongera
@hamisimalivata867526 күн бұрын
Safi sana
@bernardwekesa8581Ай бұрын
Hakuna kitu apa hauna content na idea Acha kuforce mambo
@SalumMohammed-r8nАй бұрын
Njoo pekeyako
@SmilingFlowerBouquet-hs2hvАй бұрын
TANZANIA kumeanza kuchangamuka
@neemanziku5403Ай бұрын
Nakuelewa mno chadema viongoz wao wako na akili na weredi was kuongea🎉🎉
@neemanziku5403Ай бұрын
Hawa mapolice labda wakitekewa watoto wako ndo wataelewa waache kucheza na machozi ya watu
@SaidiSelemani-l1nАй бұрын
Saf. Kk
@salwasarai4532Ай бұрын
Tuko pamoja
@muhammednassor3569Ай бұрын
Ingia uone mkono wa serikali
@AshrafuJonny-sz4gsАй бұрын
Tanzania sio ileyazamani tanzania yaleo imeamka😂
@AmashaMwampamba-t7iАй бұрын
Video
@HoseaPeter-yu3qhАй бұрын
Yesu anarudi
@deotvonline2776Ай бұрын
Mapenz yana Run Dunia😂😂
@abdallahkassim9973Ай бұрын
Madam Wit anasemaje kwan
@sabinasogole17572 ай бұрын
🙏🙏🙏
@giftmafue95672 ай бұрын
💪
@enockbruno71642 ай бұрын
Hoja nyepesi Watu wa radio mnaweza vp kuhoji mtu huku anakula
@chandeemanuel63032 ай бұрын
Nakubali wa kukaye 🎉🎉🎉🎉🎉❤
@Saidy-eu1hc2 ай бұрын
Mm naomba kujua makato kama nimeweka milion nikitoa wanakata ngap
@TuhabarishaneTv2 ай бұрын
Kama akikosea asikosee anahitaji kuheshimiwa mbona nyie mnamtukana rais
@MudrickMusabila2 ай бұрын
Au miaka 4
@photonatuschie94773 ай бұрын
Kwaiyo Wilaya nyingine haipiti? Liwale uko nachingwea vipi Jamani hii sio haki
@AllyNassor-de6ck3 ай бұрын
Huyo Mzee njaa inamsumbua tu Hana lolote bora akajiuze pate pesa hapo kagonga mwamba
@mathayomwashambwa12383 ай бұрын
KAJIKANYAGA MWENYEWE, MWINGINE ALIWAHI KUSEMA UWAZIRI NA URAIS NI M KAZI NDOGO, ALAFU AKAWA MBUNGE, TUNASHUKURU HIZI RECORDING ZINASAIDIA KUTUONYESHA RANGI HALISI YA MTU
@juliuszakayo67713 ай бұрын
Mfuate CCM akakudekeze bc hele za mama abduli
@benjamalila99423 ай бұрын
Ma tepeli sio watu
@ANGELUSLIJUJA3 ай бұрын
MTAKUMBUKA MAGARI YAKE VYAKULA VYAKE KUWWKA MAWAKALA VYAMA 4 KUUNGANA KWENDA POLISI KUTENGENEZA VIJANA JASILI MTAJUTA NYALUSU UNAKUJA SO MDA CCM IRINGA AMNA UPINZANI TENA BWANA TUSIDANGANYANE MSIGWA SASA NI MBUNGE BILA UBISHI
@absm80843 ай бұрын
Safi sana🥰🥰🥰🥰 umetoka kwenye saccos
@AlouiseNgenDanDumwe3 ай бұрын
Unapenda cheo shenzi sana tena zaidi ya sana hufai kabisa mbona huongelei bandari na misitu kukabiziwa waarabu wewe nikama malaya
@Yangaone-h8j3 ай бұрын
Msigwa huna pepo hiyo njaa yako ni yakarne, siamini kama niyule Msigwa nnayekujua huyu atakua ni Msigwa wakuchonga tu🤣🤣🤣🤣🤣
@neemanziku54033 ай бұрын
Yan msigwa hakika Ni msalit siamin kabisa ,amekubali kuwa mtumwa
@barnabasmsagamasi6113 ай бұрын
Hafai kuwa kiongozi iwe ccm au chadema. Ametoka chadema sababu amedondoshwa na sugu. Sugu hoyeee!!!
@jumamagoma17433 ай бұрын
Ukoo.wa.yuda.eskalioti
@vicentnyanda8283 ай бұрын
Mak.....
@ntegrity2773 ай бұрын
Huyo amejutia kuhama ameanza kuvua nguo za cvm anaona aibu kuvaa kijani
@EmiliKigoma3 ай бұрын
Sikupendi sasa
@kalumunakalumuna74033 ай бұрын
Labda usubir upewe ukuu wa mkoa,ubunge sahaau
@kalumunakalumuna74033 ай бұрын
Ila kiukwel hao waliokupokea hawakupend
@WilbertManjonda3 ай бұрын
Ninamwonea huru.ma moyo unamuuma ila madeni yanampelekesha