MALI COMPANY ni Kampuni ya Kitanzania ilio anzishwa kwa lengo la kukuza na kuendeleza vipaji vya Vijana/Watu mbalimbali wenye uwezo na vipaji mbalimbali. Kampuni imejikita katika masuala ya Movie, Music na Habari.
Kampuni yetu ya MALI inapatikana mjini Kigoma, Tuna wakaribisha watu wote wenye vipaji ambao wanahitaji sehemu ya kuonyesha kile walicho ja'aliwa (kipaji).
Pia Kampuni ina Studio zake za AUDIO/VIDEO PRODUCTIONS, kwa wale wenye mahitaji ya kurekodi Music na Kufanya Video mnakaribishwa.
kwa mawasiliano, wasiliana na OFICE yetu kwa:
Contact: +255763489924
E-mail:
[email protected]