Wewe mtangazaji tangaza lazima sana sisi wacongomani tunateseka kuichini uganda tunajua ugandani mbaya kwa congo kwanamna mingi
@amenajeudi169111 сағат бұрын
Uganda haina kabisa upumbavu huo wakuisaidia kongo hata sekunde moja maana supporter mkubwa wa rwanda ni uganda upinge ukubali
@uwezawamungumkuu.amaniafrika12 сағат бұрын
Nawashauri kaeni kwa amani na tafuteni kuwa na amani na watu wote. Shida nini na mnapeleka wa taifa lenu?. Mimi siwelewi. Mungu mkuu awasaidiye kwa yote. Amen.
@PiyasonNyenzoКүн бұрын
Watanzania shitukeni nchi zingine hazina amani hivyo isije ikawa nimtego kutuchonganisha na nchi yarwanda ili kuvunja amani yetu tuwasaidie ila tusiwe kipaumbere tupo kama hatupo 😢😢 tutaipoteza amani yetu watanzania tushituke 😮😮😮
@PiyasonNyenzoКүн бұрын
Watanzania shitukeni nchi zingine hazina amani hivyo isije ikawa nimtego kutuchonganisha na nchi yarwanda ili kuvunja amani yetu tuwasaidie ila tusiwe kipaumbere tupo kama hatupo 😢😢 tutaipoteza amani yetu watanzania tushituke 😮😮😮
@enockmgemela6764Күн бұрын
Amina
@MaryKomba-p2lКүн бұрын
Kweli baba naamini tunakoelekea mapinduzi lazima yake kutokea vijana wameelimika hawataki kidanganywa
@ShijaMartinКүн бұрын
Amon
@PauloMhagama-ld8xqКүн бұрын
Hongereni sana JWTZ🌺🌺
@MotelaEdwadyКүн бұрын
Asante
@patrickchapwe8778Күн бұрын
Lakini raisi wetu Félix anafikiria? Tuna marafiki zetu jirani like, Tz, South Africa, Malawi,na wengine
@cadeaubazige-pk2eiКүн бұрын
Nakupata 5/5
@NicksonBedausКүн бұрын
Mm sijaamini maana wanaweza kusema kuwa wamesitisha vita kumbe wanawavuta wanajeshi wasogee badae waanze nao congo isiamini sana waweke ulinzi wakutosha ili kujihakikishia kama wameondoka kweli
@Simions-q2iКүн бұрын
Kuwepo kwa kabila la wahutu na watusi kongo kuzaliwa hapo haihalalishi wao kubaki kongo kwani wanauwa watu. Ni vema sasa watusi na wahutu waondolewe kwa nguvu kongo waondolewe.
@patrickchapwe8778Күн бұрын
Hatutaki uganda 🇺🇬 kwenye nchi yetu please bcz kuna game hapo so we have to be careful with KGM and M7 no no
@patrickchapwe8778Күн бұрын
M7 na kGM ni kaka acheni urofa wenu bcz were not stupid people’s
@patrickchapwe8778Күн бұрын
💪👊👍 Nyerere was Hutu Burundian
@MulandaKasongoКүн бұрын
Tuna juwa kwamba Ouganda ilikuwa najifucha , waje tu watakuwa mbolea ya kurutubisha Arhi ya congo.
@NestoryNelson-r8yКүн бұрын
Hakuna rais mbaya Africa kama mseveni mnafki mkubwa na huyo ndie aliemuweka kagame madarakani angejua waganda wanavyomchukia angetulia kwanza ili azeeke vzuri na kizazi chake maana huyo pamaja na kujiita mganda sio huyo no mnyarwanda waulize waganda ndo wanajua
@amenajeudi169111 сағат бұрын
Ndivyo ilivyo.
@JacobernestMlulaКүн бұрын
Hao wanafiki tu hao mshushu
@NicksonBedausКүн бұрын
Uganda na rawanda ni kitu kimoja kwahyo wa congo wawe makini na wanajeshi wa uganda
@JasminjuliasКүн бұрын
Ushauri wangu hao wanajeshi wa uganda wangezuiliwa kwanza maana uganda hawaeleweki wanaweza wakawa wanamjulisha rafikiyao rwanda
@Justineattention-l1vКүн бұрын
muhungane nyote st afrika yote muchange nguvu yenu yote mahana munapambana na simba kubwa la dunia drc wazalendo frdc ,mta ahibika nyote ,
@hudumablack9339Күн бұрын
Jeshi la Uganda UPDF + RDF + M23 = 1
@stellanyamuhogota1832Күн бұрын
😂😂😂hakika
@patrickchapwe8778Күн бұрын
@@hudumablack9339 really napmendaga raisi wetu Félix Tchisekedi ila sasa simuelewi hata yeye anajuwa kama M7 na KGM ndo wa promoter wa wahima Tutsi, Uganda, Rwanda, Burundi, Somalia, Djibouti, and then kuna wa Ts, Kenya na Tz muwe makini
@amenajeudi169111 сағат бұрын
Kwani hilo nalo ni siri? ni la mda mrefu sana uganda haijawai kutoka Kongo tangi ya mwaka wa elfu moja Mia tisa tisini na tisa
@WILLYSONMARIKOКүн бұрын
Mungu ulete amani kongo
@NicksonRwechungulaКүн бұрын
Mseveni ni mnafiki fukuza kabisa wagada wamekuja kufelisha misheni hao na kagameni kitu kimoj s fukuza kabisa rwanda na mseveni
@AthumaniAbeidКүн бұрын
Kwa ni Uganda wanashida gani na Congo
@hamza-sq5esКүн бұрын
Tutapiga uganda na rwanda wote
@AbdallahFaki-g2cКүн бұрын
Huwo ni uwongo
@FatimeMohamed-o9tКүн бұрын
Amin
@mocua29102 күн бұрын
Watekaji wakua katika harakati ya kumteka lakini raia wa kenya ndio waliungana na kuzidi nguvu watekaji
@hamisimsafiri92982 күн бұрын
Mimi binafsi katika akili yangu naona wazungu sio watu wazuri kwasisi Waafrika kama hawa marais wawili wana akili nikiwa na maana rais Kagame na rais Tseked wangeacha kuwekeana visasi wakakaa pamoja na kumaliza tofauti zao,ila sasa mzungu hawezi kukubali,wakimaliza tofauti zao mzungu atauza wapi silaha?wakimaliza tofauti zao mzungu atapata wapi madini au mali zilizopo congo? kwahiyo ili mambo yaende sawa wote wawili wakatae kuperekeshwa na wazungu tofauti na hapo vita ya congo haitakaa iishe,napia nyinyi viongozi wawili tambueni kwamba hizo mali mnazojilimbikizia mtakufa vifo vibaya mno,na watakao waua ni haohao wazungu.
@AndreaPartson-k7o2 күн бұрын
❤
@ZulfaMsangi-q3t2 күн бұрын
Ww mzee n hatar
@EliezaMasilimu3 күн бұрын
hakika wewe ni mama wa taifa
@LetisiaSimon-f2n3 күн бұрын
kiongozi mzuri hufuta na kuanza upya magu bobu seya akawa hulu na mwanaye hiyo ndo siasa
@levisdiamond47973 күн бұрын
Jamani si wajiweke pamoja wakaibomoe rwanda maaana inaonekana shida yooote inatoka kwa kagame. Anaharibu amani ya east africa why
@joackimgeorge63063 күн бұрын
Pumbavu kabisaa
@CharlesRyoba-iv1sc3 күн бұрын
PUMZIKA KWA AMANI BABA YETU J.K NYERERE
@GraceJohn-v7t3 күн бұрын
Ee Mungu tunusuru na vita Tanzania, Mama tunaomba maombi kwa nchi nzima tufunge kuiombea nch yetu
@ValerianiPaskali3 күн бұрын
Nampendaga lisu kwa kauli yake nzur
@marcomayunga3883 күн бұрын
Aliyeongelewa hapa ni magufuli siyo lissu mnajisahau na tayar ishatokea
@olivastephano29003 күн бұрын
Rais wetu ni mwanajeshi angeenda akawaomyeshe shoo😁😁
@EsterShirima-vr7cv3 күн бұрын
Naamini watarudi salama kwajina la yesu
@SwaleheMchora3 күн бұрын
Poleni na Kazi wazee
@generozavicent8904 күн бұрын
Eee mungu tuepushe na Vita yyte uwalinde na maaskari wetu pamoja na raise wetu mpendwa mama Samia suluhu hasan