Uhalisia ukoje kuhusu soko na gharama za uzalishaji kuwen wakwel
@ahz69072 жыл бұрын
soko lipo niwewe tu kujitangaza na kuzalisha samaki bora. labda hapo kwenye gharama ndo itakuwa ishu ila ukitumia wataalamu pengine gharama zitapungua na utazalisha kwa ubora mkubwa hivyo utauza kwa bei nzuri sokoni
@venkateshrampura64652 жыл бұрын
Super bro
@godfreymrosso20512 жыл бұрын
Mwandishi hayuko sawa ungemwacha aelezee mpka gharama
@geoffreysoloshija19093 жыл бұрын
Nice one
@mathiaskulwa76863 жыл бұрын
Iko vzr
@chikiranathanael30973 жыл бұрын
Hapo hakuna mkulima njoooni huku kwetu Kilimanjaro same tuwafundishe kwa vitendo washamba nyie
@baltazarierro15753 жыл бұрын
Bukoba is very beautiful
@ismaildjuma33433 жыл бұрын
Ongera sana naitaji namba ya sim ambaye nifundi wao nohuo mpya
@raymondloy683 жыл бұрын
HABARI NDG RAPHAEL,SAMAHANI SIJAKUSIKIA VIZURI KUHUSU VIRUTUBISHO VINGINE MBALI NA SAMADI KWENYE BWAWA LA AZZOLA
Nikihitaji elimu kwenu , nitaanzaje......na je ina malipo
@petermuganda73224 жыл бұрын
Hakuna group lawatsup lamambo yaufugaji?
@m.duraipandithenmozhi81624 жыл бұрын
Sir,Thanks. Language problems. Demonstrations are very helpful. English Notifications Subtitles are very essential. Thanks for your Demonstrations.
@beatrice36714 жыл бұрын
Naomba kufahamu namna ya kuiandaa mbegu ya tangawizi no yangu what's ap 0625928174
@filbertnashon71604 жыл бұрын
Aisee, Sasa shida ni namba zako,NI shida nikipiga sikupati!!! But uko vizuri mkuu , location tukutembeleee weka namba mtangazaji tumpate huyu jamaa
@mumberematsundo57803 жыл бұрын
Nafurahia kipindi n'a mafunzo ya kuku sasa ,tufanye ye ni ya Ku tengeneza chakula cha kuku? Twa hitaji mafunzo zaidi
@filbertnashon71604 жыл бұрын
Domy haule namba zako,za Voda tunaambiwa HAIPO tunakupataje?aisee
@jacksonmkuye77394 жыл бұрын
Iyo interview ingenoga sana kama apo mbele pangekua na beseni lililojaa tangawizi zilizoshiba
@work24onme4 жыл бұрын
Tunaomba number ya simu, tafadhali 🙏🏾
@castatomatovu33624 жыл бұрын
sasa hapo kuna faida gani hichi kipindi maana hamna elimu yoyoye kila kitu anaficha kuelezea, ni kama vile amekuja kutangaza biashara ya kampuni yake ovyo kabisa
@tumainikikaka23234 жыл бұрын
Unaweza kupata hiyo kitu kwa shilingi ngapi ?shambani kwangu mzee nisaidie jibu
@dominickhaule48475 ай бұрын
inategemea size. Kuanzia shs mil. 10
@stellanyaga81974 жыл бұрын
Muko wapi
@mbkim62154 жыл бұрын
How much this green house
@mohamedamar74684 жыл бұрын
Gharama za uedeshaji na kuanzisha mradi(initial cos) hamkuzunguza,
@hassanbilali16974 жыл бұрын
Mtaalaam ikiwa heka moja mbegu tani moja Swali heka moja mavuno huwa Kiasi gani?
@alphashila69574 жыл бұрын
Tani 10
@fadhilibulwa6484 жыл бұрын
Ukiihudumia vzr unaweza pata mpk tani 6
@mosesmanase36654 жыл бұрын
Nivizuri tuiombe serekali itujebgee viwanda vyatangawi ili wakulima wawe na uhakika wasoko
@godlivingmkony38614 жыл бұрын
Safi sana,
@clavinsmboya63424 жыл бұрын
Asanteni sana
@noelgalinoma68495 жыл бұрын
Habari zenu naomba namba ya Mr Dominic haule
@harubuselemani97565 жыл бұрын
ù
@uwimanajohn31313 жыл бұрын
Ashanti nayitaji namba yako
@halillaithi8395 жыл бұрын
Sungura anajuwa kula ?
@joseefaidabutu64675 жыл бұрын
Asante sana kwakutuhamasisha je ninaweza pata namba sa simu?
@exupershirima46435 жыл бұрын
0754393118
@chamam50315 жыл бұрын
Huyu mzee anavunja moyo
@fadhumoyusuf70924 жыл бұрын
Kweli kabisa
@thomaskandela66104 жыл бұрын
Kwer kabisa mwanangu anavunja moyo sana mm naona aya mambo kama unataka kufanya usifate miushauli miingi kamo iyo
@muhammedwakif62165 жыл бұрын
Ina coast bei gani kujenga shamba kitalu (green house)
@dominickhaule48475 ай бұрын
HABARI. BADO UNA INTEREST NA SHAMBA KITALU AU UNATAKA VIZIMBA
@muhammedwakif62165 жыл бұрын
Ana F1
@alunemwaipopo6815 жыл бұрын
asanteni sana
@faidabutujosee81115 жыл бұрын
Kipindi kizuri ningependa nipate namba zake natamani kujifunza pia
@rosentirurasanye29345 жыл бұрын
Naomba namba za simu za huyo afisa uvuvi tafadhali, Asante sana
@Nundu20005 жыл бұрын
Tasisi za kuandaa zao la tangawizi zipooooo
@carolynemkiramweni42705 жыл бұрын
Mbona hamtuelezi ni virutubisho gani mnaweka na kwa kiasi gani? Maana nasikia hydroponic ni majimaji yenye virutubisho ambayo hutumika badala ya udongo kupandia mazao km hayo majni, na mbogamboga. Tuelezeni hilo maana hapo naona maji , matray, mbegu hizo zikioshwa na kulowekwa tu.
@MAAHAD-RAUDHA-ISLAAMIY.6 жыл бұрын
Hivi azola.ni nn
@issaal-busaidi44796 жыл бұрын
naomba namba ya simu
@dkalhajijbmatatala93926 жыл бұрын
MAA SHA ALLAH, IMETULIA SANA HII,, PENYE NIA PANA NJIA ::