Пікірлер
@FARAJIFADHILI-v6x
@FARAJIFADHILI-v6x 5 күн бұрын
Mm nimefuliliza na pa.nda gar na kuota matunda unaimanisha nn
@Abdallah-v3v
@Abdallah-v3v 5 күн бұрын
Asante sheikh
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu 6 күн бұрын
Asalaam aleykum, Leo ijumaa saa 2 asubuhi nimeota naomba duwa pia nawaombea watu duwa maiki inagoma kutoa sauti ila nikawa naomba ivyo ivyo bila maiki kwa nguvu hadi sauti inataka kukauka kwa kuomba duwa kwa sauti ili wengine wapate kusikia duwa je inamaana gani shekhe, Duwa ilikuwa inahusu ya riski na pia atuondolee matatizo majina ya m/ mungu nimeyataja
@RamadhaniAbuu
@RamadhaniAbuu 6 күн бұрын
Uwe unaenda moja kwa moja kweny point sheikh
@HawoDagale-g6g
@HawoDagale-g6g 7 күн бұрын
Kuota mtu amezama kwa matope
@mwanyikaothuman
@mwanyikaothuman 7 күн бұрын
salam aleykum vp hali zenu sija pata kuona tafsir ya kuona asali usingizin
@ramadhanimasere832
@ramadhanimasere832 8 күн бұрын
Nimeota ninakim swala
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu 9 күн бұрын
Leo tena jumatatu nimeota mwanamke kavaa gauni jeupe aina ya shela la gharama limechanua🤲🤲 je inamaana gani shekhe
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu 9 күн бұрын
Nipo kikazi nje ila mtihani, huzuni, masimango, ila nikawa naomba duwa wiki mbili hizi zote ila 🙏🙏nikimlilia allahu sw aniepushie mabalaa leo alfajil ya jumatatu nimeota dada yangu anakata kata kitunguu na mimi nikawa nakata ila pembeni kuna boss wangu anasema msikatie hapo ila tukakaa na kuweka kwenye lailoni lengine tukaendelea kukatakata maana mtihani shekhe , je ndoto inamaana gani maana napitia magumu tangu nianze mkataba ya rabby nifanyie wepesi 🤲🤲🤲
@KhaledAhmed-h6p
@KhaledAhmed-h6p 9 күн бұрын
Mimi ni mwanamke nimeota Samaki wawiri wakucomewa manayake nini
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu 10 күн бұрын
Nimeota nimepewa pete na mwanaume ila simjui ila alivyonipa nikaweka karibu na mdomo kisha na kuivaa kidoleni ya gharama japo ukiona utaizalau ila ina thamani kubwa sana je inamaana gani shekhe, na mkonon kweli ninayo nimevaa pete nimepewa na mtoto wa boss wangu ya gharama na wiki ya pili sasa tangu anipe
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu 10 күн бұрын
Asalaam aleykum , ukiota ardhi ina samaki una wainda na unawapata kiurahisi wengi sana ila ile ardhi unatembea ila ile ardhi aina mchanga Bali kote maji ila auzami wala nini na samaki wengi wabichi wazuri sana aina ya samaki kibuka wengi sana je inamaana gani shekhe
@pilichambo1107
@pilichambo1107 10 күн бұрын
Nimeota mwanamke ananilazimisha niteme mate kwenye Jani nikatema hii maana yake Nini?nisaidie sheikh
@mussamatondo-w3h
@mussamatondo-w3h 11 күн бұрын
Tunatumia bando sasa unaongea vitu havieleweki maelezo mengi cha mana hakuna,ebu uwe unaenda moja kwa moja
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu 12 күн бұрын
Mimi nimeota nalikagua duka jipya kubwa sana nikamwambia mdogo wangu Hili duka nishalipata abuni biashara tuuze
@feisalbana8410
@feisalbana8410 13 күн бұрын
asalam alaikum naipataje
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu 14 күн бұрын
Nimeota nimevaa gauni nyeupe mimi na ndugu zangu wa kike mpya
@sansaashura4
@sansaashura4 14 күн бұрын
Sufi ndo ikoje shekhe
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu 17 күн бұрын
Je mapigo ya moyo kwenda kasi maana napitia majalibu na hiyo hali imeanza gafla tuuu na sie tuliokuwa nje ya nchi dawa tunapataje shekhe
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 17 күн бұрын
@@MuasitiAboBakri-ew5mu kwanza pole sana kwa shida hiyo. Kuhusi kuwepo nje ya nchi. Nipigie kwa namba zango zilizopo hapo kwenye video tutaeleweshana zaidi inshallaah
@moussaclim4159
@moussaclim4159 18 күн бұрын
Mtu akikuotea umezaa mtoto kafa maana yake nini
@NasraBobo
@NasraBobo 18 күн бұрын
Inshaa allah
@Jaydenny-jx1te
@Jaydenny-jx1te 22 күн бұрын
Mimi nipo wa kwanza nipeni like zangu
@JoelEmmanuel-c1q
@JoelEmmanuel-c1q 28 күн бұрын
Usiimbe bana😢
@VeroPoul
@VeroPoul 28 күн бұрын
Mimi nimeota nimepewa zawadi ya gari
@ShamuunSamson
@ShamuunSamson 29 күн бұрын
Naomba namba yako shekh
@JumaOman-g4g
@JumaOman-g4g Ай бұрын
🎉asante
@HarunaKarimangasi
@HarunaKarimangasi Ай бұрын
Nimeota nakibizwa na miguu yakuku inamanagani
@HarunaKarimangasi
@HarunaKarimangasi Ай бұрын
Ukiota unahigia pliodi usigizin wakati uoo.nijamzito inamaana gani?
@KijiwechaMichambo
@KijiwechaMichambo Ай бұрын
Nimeota nimenunua godoro jipya kabiss lakin siku ya pili nikaota godoro nimenunua kukuu affu baya kweli
@BesterSigalla
@BesterSigalla Ай бұрын
Ukiota mtoto ametorewa bikira na mjomba akee inamanisha nn.pia utupu wake ukawa shimo refu msaada nimemuotea mwanangu
@NaimaAli-r4r
@NaimaAli-r4r Ай бұрын
subhanaallah yarabby atuhifadhi kwa uwezo wake
@HawaShija
@HawaShija Ай бұрын
Maalim Mimi nimeotw magari mengi makubwa lakini yakizamani namoja wapo tumepanda gari tupo watu wawili watatu tumo tumepanda nyuma yaani magari kama ya mizingo yalivyo
@UmmulkheirMashjary
@UmmulkheirMashjary Ай бұрын
Jee ukiota munatia udhu chooni ww na mtalaka wko ili mukaswali!! Nini maana yke?
@HamisiShomari-k2k
@HamisiShomari-k2k Ай бұрын
Mimi ujakosea ata
@aishaadam-xp7yl
@aishaadam-xp7yl Ай бұрын
Napenda san masom yako ,ira mm nimeota nimepewa kiteng na nirijufung nn mahan yake
@mtumwamohammed6917
@mtumwamohammed6917 Ай бұрын
Jeukiota mbingu mawingu yamejiteneza mtu anaomba Dua jee inamaanagan
@Yamaguccilifestyle
@Yamaguccilifestyle Ай бұрын
Shekh nimeota nimenda baharin naona watu wanacheza kwenye maji na nikaona samaki wanaogelea pembeni na mawimbi ya bahari
@AllyManyanda
@AllyManyanda Ай бұрын
Shekhe ivi ipi maana ya kuota ndoto ukiwa unapewa chumvi ya mawe
@ZainabuMwambashi
@ZainabuMwambashi Ай бұрын
Mm nimeota nipo makaburin naomba duwa
@RuksanSaid
@RuksanSaid Ай бұрын
Assalam aleukum nilitoa nakimbizwa n mwanaume amevalia nguo nyeupe nikasimama nakuita watu tukampiga mawe hapo akabadilika akanionekania mtu nae mjua inamanisha nn
@HabibaAmiry-x7q
@HabibaAmiry-x7q Ай бұрын
Naipataje
@HabibaAmiry-x7q
@HabibaAmiry-x7q Ай бұрын
Naipataje
@HabibaAmiry-x7q
@HabibaAmiry-x7q Ай бұрын
Dawa ndaipataje
@esthergeorge369
@esthergeorge369 Ай бұрын
Huyu jamaa vipi kwaiyo ukiota umeolewa kwer unaolewa acha uongo inatengemea unaweza ukaota umeolewa lkn usiolewe bali unapata neema au mikasa
@stevenobunde9345
@stevenobunde9345 Ай бұрын
Na aliyeota amenunua godoro jipya!!
@DOREENISMAIL-g9d
@DOREENISMAIL-g9d Ай бұрын
Ukiyashika mtiti ya mwanamke
@wamiujizacholo7413
@wamiujizacholo7413 Ай бұрын
Ustadh Asalam alaykum , mm nimelala alafu nikaota naadhini msikitini alafu kumaliza ikasomwa hutba, hii inakua vipi
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu Ай бұрын
Je kumuota mganga amevaa kanzu nyeupe nami nimebeba nazi kwenye pochi akaniuliza nikamjibu nimebeba kama akiba inaweza ikatakiwa nazi je inamaana gani na yule mganga alikuwa anamtibia mama yangu mdogo shekhe yani mimi na mama yangu mdogo tumekutana hapo kwa huyo mtaalam
@ArjounYounouc-s6q
@ArjounYounouc-s6q Ай бұрын
Mbona mambo mengi shekhee
@ArjounYounouc-s6q
@ArjounYounouc-s6q Ай бұрын
Shekhee nenda kwenye mada mbna maneno mengi sana