Пікірлер
@ShukuruNzenzule
@ShukuruNzenzule Сағат бұрын
Nakupenda kiongozi wangu
@MussaMeck-j1r
@MussaMeck-j1r 14 сағат бұрын
Daiii
@Juli-ep9dn
@Juli-ep9dn Күн бұрын
Hawa wa online riba KUBWA sana zaidi ya 50% na udhalilishaji
@ObediMeyan
@ObediMeyan Күн бұрын
Hongera sana dada angu
@sangimaheri3532
@sangimaheri3532 2 күн бұрын
nakubaliii msamination
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 2 күн бұрын
Mi bado sielewi ushuru tunaolipa wa Tanzania bara tukinunua vitu Zanzibar hata mseme vp siwaelewi.
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 күн бұрын
Tatizo c mwingulu n serkali+Bunge, hawana jipya,
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 күн бұрын
Serkali ifungue RTC tena ili kondi ianzie serkalini, mbona RTC zilikufa c kutisha raia,
@seminduisdory
@seminduisdory 2 күн бұрын
Ukristo ni dini tukufu yenye misingi imara iliyowekwa na Mungu isinajisiwe kwa kulinganishwa na chama chochote cha siasa.
@mwesigyeglory215
@mwesigyeglory215 2 күн бұрын
Duuuuh pole sana jamani 😢😢😢
@justinemtiganzi3733
@justinemtiganzi3733 3 күн бұрын
Mikopo tunayokopa kama serikali basi iendane na matumizi halisi na matakwa ya nchi kulingana na tunapata nini,pia elimu ya ulipaji kodi ni ndogo sana kwa watu au uenda hatuna elimu kabisa ,mapendekezo elimu ya kodi kwa sababu ni pana ianze kutolewa tangu mashuleni ili iwe rahisi kwa huyu mwananfunzi kujua mapema kabla yakwenda kukutananavyo pasipokujua, Elimu ya kodi itarahisisha kupata mapato maana mtu atakuwa anajua kwanini. Makadirio ya kodi yaendane na mazingira pamoja na biashara husika
@bennymkubwa6196
@bennymkubwa6196 3 күн бұрын
Ahsante kwa taarifa
@InnocentCharles-hm3ff
@InnocentCharles-hm3ff 4 күн бұрын
Bidii ya ukusanyaji iendane na nidhamu ya matumizi serikalini..effort yote hii iwe ni Kwa ajili ya Afya,Elimu,kilimo, viwanda nk si kujiongezea mishahara na kawanunulia viongozi magari ya 500m...jmn muwe serious watz wanateseka...
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 4 күн бұрын
Vilinge vya TRA barabarani vimekua vingi mno utadhani congo
@justinemsela3593
@justinemsela3593 5 күн бұрын
Uchaguzi huo
@mbwanamungia9921
@mbwanamungia9921 6 күн бұрын
Kikubwa uwe ktk familia yenye pesa tu urubani hakuna ugumu tatizo ni gharama sana hakuna cha ajabu hapo. kuna PPL, PL,SPL,ATPL nk vipengele vyote hivyo uvuke utapata wapi Milioni mia na kitu mtoto wa mkulima. Shida kubwa ni pesa hapo. Unaanzia tanzania hivyo vingine Ethiopia, Kenya na South Africa lazima wazazi wawe njema hapo
@user-jj3os9bx6m
@user-jj3os9bx6m 6 күн бұрын
Kwanza waondoke pale mikumi maana wanapiga rushwa sana
@AiserAli-mq6sz
@AiserAli-mq6sz 8 күн бұрын
Una bisara miaka yote ww ndio chairman hicho cha baba mkwe wako wacha kupanga viongozi wacha wana chama wachague ww dikteta uchwara ww
@rizikimwambusi4041
@rizikimwambusi4041 8 күн бұрын
Mfa maji wewe
@josephmtikile-yf3pq
@josephmtikile-yf3pq 9 күн бұрын
Lema ni noma aisee arudi bungen tyu
@herbethlukogela7657
@herbethlukogela7657 9 күн бұрын
Commandor cried..... The rock fallen down
@nassororashidi33
@nassororashidi33 10 күн бұрын
Wana dodoma hatutaki sisi
@deusNjimba
@deusNjimba 10 күн бұрын
MAGETI MENGI BARABARANI. KAMA. MADUKA
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 10 күн бұрын
Mwigulu nchemba atolewe wizars ya fedha
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 10 күн бұрын
Tuchimbe gas zaid tuuze nje gas tuongeze pato
@bwiremgonya1394
@bwiremgonya1394 3 күн бұрын
Gas ip
@WakiMelodies
@WakiMelodies 10 күн бұрын
Ukweri nauhakika
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 10 күн бұрын
Tuangalie majukumu ya nchi barabara mashule mahospol madaraje njia za trni mishahara ya walimu asikari na jeshi usalama nk hayo yote yanahitaji fedha tusilaumu serekali kila wakati tuangalie mbele na njuma panapo makosa tutaikumbusha kuongoza nchi sio mchezo tuiombee nchi mungu aivushe salama
@raymondmushi9019
@raymondmushi9019 6 күн бұрын
Mungu mwenyeenzi tunakuomba umbariki Rais wetu wa J.M.T.mh S.S.Hassan.kwa kutujali,na kutupenda.amekuja na neno la faraja,maridhiano.na utekelezaji wake tunaona.Mama yetu ubarikiwe sana.nasi tunakupenda sana
@raymondmushi9019
@raymondmushi9019 6 күн бұрын
Tunataka utekelezaji wa oda hiyo ufanyikemara moja kama ilivyoagizwa.maana watendaji we ngi legelege wanamuangusha mh Rais.mambo mazuri hayo yanakuja.shida maamuzi yasiachwe mezani.bali yatekelezwe.
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 10 күн бұрын
Hakuna sio danganya toto serekali inafuatilia na mambo yatakua sawa muhimu sisi raiya tukiliona jambo tuitaarifu serekali kutokana serekali inaongozwa na binaadamu wengine sio waadilifu wengine waadilifu tushirikiane na serekali mungu atatusaidi nchi itapata maendeleo tulipofika siibaya sana mungu isaidie tanzania pamoja na afrca tudumishe utulivu amani na mshikamano vurugu hazileti maana yoyote mafamiano ndio msingi wa uwongozi na raiyA sote kitu 1 mkono kwa mokono
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 10 күн бұрын
Tre mwendege pale inapokea rushuwa katika marodi yasorusuhusiwa kupakia mizigo magari hayo yamakampuni ambaya engizapsheni yapakie mizigo ya kampuni tuu lakini leo yanapakia mizigo mpaka yawafanya biashara wadogo ccc magari tunolipia ushuru mizigo hatuipati wanabeba madereva kwa beindogo wakati wao inatakiwa wabebe mizigo ya kampuni tuu nendeni pale mwendege wanakesha
@fredytarimo9107
@fredytarimo9107 10 күн бұрын
Hii daganya toto Baada ya uchaguzi tu mambo yatarudi pale pale. 😂
@dahero160
@dahero160 12 күн бұрын
Tatizo hawatoi elimu y kutoshaaa
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 12 күн бұрын
Nyerere halituweka pamoja hacha tuendelee kuwa waoga Kenya Ukabila ndiyo unawagawa waswahili walisema kunguru muoga ukimbiza ubawa wake hacha Watanzania tuishi na Amani yetu
@GibsonHuluye
@GibsonHuluye 12 күн бұрын
Inauzwa shingap
@polinatusmwemezi-pc2pl
@polinatusmwemezi-pc2pl 12 күн бұрын
Maana ya kupiga stop risiti za EFD ni kusitisha ushuru au? Je tutalipaje madeni?
@user-yl2br2ts3i
@user-yl2br2ts3i 12 күн бұрын
hiki ni kichwa
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 13 күн бұрын
JICHANGANYE 😂😂😂 UMSEME MKUU WA MKOA WA ARUSHA UONE VILE TUNAKUSHUKIA GHAFLA KAMA KIFO
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 14 күн бұрын
Hujui kuwa ardhi inaporwa,
@jumaabdalla3374
@jumaabdalla3374 14 күн бұрын
Watatoa wp wakati hawana maono
@jumaabdalla3374
@jumaabdalla3374 14 күн бұрын
Tunakukumbuka JPM ulisema tutaletewa kod za kila aina
@TeddyUleddy
@TeddyUleddy 14 күн бұрын
❤❤❤😅😅
@SEIFMWAGESA
@SEIFMWAGESA 15 күн бұрын
Mwamba kama mwamba
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 15 күн бұрын
Kaa Mbele Sisi nyuma acha ungese.
@ColinMhema-ne3lz
@ColinMhema-ne3lz 15 күн бұрын
Haya ndiyo matatzo ya wabunge wa ndiyooooo walijipitishiatu kwa sababu hawaelewi wala hawajali
@sumaidgasto4721
@sumaidgasto4721 15 күн бұрын
Afadhali....! Wekeni kodi elekezi ili isipotee maana TRA wanacvukua kodi ya serikali na kuwasilisha chache
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 15 күн бұрын
Wazee wa kiki
@binseif2216
@binseif2216 15 күн бұрын
Chadema niliichukia kwq ubaguzi wa Dini ya Ukabila siipendi kabisa
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 15 күн бұрын
Mungu mbariki Mh. Kassim Majaliwa
@hassanalshaqsi6707
@hassanalshaqsi6707 15 күн бұрын
This is wrong advice to people
@guydonacklandgereta3805
@guydonacklandgereta3805 15 күн бұрын
Jambo jema sana kuwasikiliza wananchi na kusuruhisha mambo kwa pamoja
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila 15 күн бұрын
Chalamila anakosea hii tzn ni yawote cheo ni dhamana aache mambo ya kishetani namjua anamuami mungu asije akabadirika kwasababu ya cheo asiwatishe watu watu ni mali ya mungu