DOCUMENTARY NZURI LAKIN KWA HAPO KWENYE MSIKITI KUWA HUO NI MSIKITI WA KWANZA KUJENGWA HAPA AFRIKA MASHARIKI HIZO HABARI SIYO ZA KWELI NI SIMULIZI ZA KUSADIKIKA, MKISEMA HIVYO MAANA YAKE HAPO KABLA HAPAJAKUWA NA UISLAM WALA SEHEMU ZA KUABUDIA YANI MISIKITI. HISTORIA SAHIHI UISLAM ULISHAINGIA AFRIKA MASHARIKI KABLA YA HATA MTUME (S) HAKUONDOKA DUNIANI. NENDENI MKASOME HISTORIA YA KILWA.
@MariamMohamed-er2iy21 күн бұрын
❤❤❤
@SnR9322 күн бұрын
Very well documented
@lawskuli987622 күн бұрын
Hayo sio maandishi ya Kiarabuni ni ya Kiajemi (Kufic scripts) ambayo asili yake ni toka nchi za Ajemi. Ni maandishi adimu ambayo hivi sasa yametoweka katika matumizi.
@khamismasms609522 күн бұрын
Safi sana Mungu anawapenda wanaotoa sadaka
@MonicaCyprian22 күн бұрын
Watakutia zongo hao wazee wa kizanzibar hawana maana kbs
@Saidkhel22 күн бұрын
Tuliza komwe
@Samleco22 күн бұрын
❤ TANZANIAN #ZANZIBAR
@Kizimkazifestivalznz22 күн бұрын
😍
@bahatinassorali522223 күн бұрын
Kikungwi home🎉🎉🎉
@BushiriRashid23 күн бұрын
Hasiyi FAA kafaha
@abdulrahimomar855424 күн бұрын
Mungu akubariq dotto
@MELISHAONLINETV24 күн бұрын
❤❤ imetuliya hongera broo
@goromamussatvonline24 күн бұрын
da cmpendi sana
@user-qq1sm9xq9e24 күн бұрын
Sometimes awo wakizingua managweza shinda kwa choo
@rayisadesigns264620 күн бұрын
Mmm acha uongo... tena kwa Kiswahili hicho si ajabu hata hao chaza wenyewe haujui wamekaaje?! 😂😂😂
@HASHIMYAHYA-hy8sm24 күн бұрын
Dotto Huna mfano unatisha 😊😊😊😊😊😊😊
@mirajiramadhani812824 күн бұрын
Dotto magari Allah akufanyie wepesi ishallah
@mohdnassor127325 күн бұрын
Kizimkazi ipo kigamboni
@Allybinamour25 күн бұрын
aisee natamani ningekuemo kwenye hii safar asante bro
@SaidSaid-nr2xe25 күн бұрын
Doto mukubarik akubarik na tena we una hela kaka awo wengine maskini t kutwa mbia tutafute hela kutoa msaada hawa toi alafu wana hela kweli😂❤❤
@MsNajma-j7e25 күн бұрын
Ila zanzibari badriken izo gar za kizaman chai marage
@SabrinaWema24 күн бұрын
Vya kale ni dhahabu❤
@AliKhamis-j9z24 күн бұрын
Hatuwezi kuacha hizi gar
@ukhtyrayyan788424 күн бұрын
Vyakale nidhabu tunainjoi kupanda hizo gari kwani huyo doto alikua hana uwezo wakukodi gari nzuri akenda ila kupanda izo gari niraha kwakweli😊
@hamidabarraball316225 күн бұрын
Chawa mkubwa wewe Unajali tumbo lako , huoni wamasai wanavyoteswa ngorongoro ?
@salehkhamis-ob8ln24 күн бұрын
Wamasai wanaingiaje hapa acha siasa ww za kijinga ww sasa unataka awarejeshe ngoro
@rayisadesigns264620 күн бұрын
Nenda kawasaidie wavaa lubega wenzio... mfata mkumbo mmoja wee... jina lako na hicho unachokisema hata havifanani!! Au umetumwa!!
@KhamisAli-r1w25 күн бұрын
Umenikumbusha home dotto, ninà miaka 11 sijaikanyaga my mother land, Zanzibar, ila insha Allah mwakan nitatia tim.
@sinyooo658324 күн бұрын
Du miaka 11 my dear unaishi wp sas
@saidadam216525 күн бұрын
Kikungwii crosini aloo big up mzee dotto
@bahatimussa-l7n26 күн бұрын
Afadhal wee unaakili sio kama yule mwehu mwijaku, safi sana kakaaa
@Mbaroukismaili26 күн бұрын
Mungu akuongezee
@AliMsellem26 күн бұрын
masha allah hongera sana brother allah s w akupe afya njema na swiha mzuri akulinde na maaduwi allah s w akuzidishiye kipato cha Hali
@sonnyr189926 күн бұрын
Dotto anae kuchukia atesekeee tu uko we ni mtu wa watu mwanangu.
@MbongoBoy-yg9tq26 күн бұрын
Doto bwaaana
@IssaKhamis-v9y26 күн бұрын
Unguja
@JumaZanzibar-qe2my26 күн бұрын
Safii sana mjomba angu napenda sana bidii na nizamu ya hali ya juu
@JumaZanzibar-qe2my26 күн бұрын
🙏🇹🇿
@mathewungani972426 күн бұрын
Mwamba Dotto Magari...
@muzafarsharif946526 күн бұрын
kizimkazi ipo unguja au kisiwa cha pemba ??
@AdamMbwana-p6n26 күн бұрын
Unguja
@HassanHassan-lc7gw26 күн бұрын
Pemba 😂😂😂
@tibaasiligreatmoment885026 күн бұрын
hhhhhhhhhh@@HassanHassan-lc7gw
@KhamisAli-r1w25 күн бұрын
Kizimkazi IPO ktk kisiwa cha unguja, sio Pemba.
@AliKhamis-j9z24 күн бұрын
Unguja
@khalidhaji-ls2or26 күн бұрын
😂😂😂😂
@Hassanali-sq2dm27 күн бұрын
Mashallah kk doto magari mungu akupe mafanikio makubwa na akulinde na husda umenifrahish kuona umewajali abiria Kwa ulicho nacho