Peleka upuuuzi wako huko mpanzu alikuwa vita kwa mkopo shenz
@JohanesKulasiАй бұрын
Acha ushamba mbroo si sio wajinga kiasi icho eti
@RealFootballdataАй бұрын
Duh
@BenedictKayomboАй бұрын
Unajisikiaje kuongea uongo?
@RealFootballdataАй бұрын
@@BenedictKayombo ukweli
@charleslinhege690Ай бұрын
Sasa kibu unaposema hujapewa mkataba mpya. Unachokwenda kuvunja ni mkataba upi
@RwechungulaBegumisaАй бұрын
We mpumbavu
@RealFootballdataАй бұрын
Olige iwe msigazi
@joelmichael9752Ай бұрын
Hivi waandishi wengine kumbe ni mambumbu!unaposema Kibu ameongea kwa mara ya kwanza kwanini hapa hatumsikii badala yake wewe ndio unaeongea?Wewe ndio Kibu?
@RealFootballdataАй бұрын
Mh
@AbuuBiganziАй бұрын
Muache uongo by biganz finest
@user-ut3uc1xs4qАй бұрын
manaangaika munatumarizia bondo
@geraldbagole4494Ай бұрын
Zimbwe ndio kapteni kwa sasa,naona Kapombe anaweza kuwa Kapteni msaidizi wazo langu wachezaji hawa wamecheza Simba kwa moyo wote wapewe value kama foreigners.Ila wasaidizi wao lazima wawepo.
@JockZakaria-qg8obАй бұрын
Acha uongo
@JockZakaria-qg8obАй бұрын
Kweli au mnamaliza tu mb
@anithawidambe7543Ай бұрын
UONGOZI WA SIMBA MSILETE UTANI WABORESHIENI HAO WACHEZAJI
@anithawidambe7543Ай бұрын
WACHEZAJI WA SIMBA MSIDANGANYIKE NA HAO WATU WANAWASEMA NYIE NI WAZEE KISHA WANAWACHUKUA MSIDANGANYIKE.
@DaudiNyamhangaАй бұрын
Haitushitui sisi kama wana jangwan nyie chukueni huyo kibonde
@AfrediMalilaАй бұрын
Hizo habari muwe mnatoa za ukweli
@bikasaramadhanАй бұрын
nyinyi mnauhakika kama fei toto kashasain au mnatumalizia mb zetu 😢
@DaudiNoah-hi6wqАй бұрын
1:46
@bikasaramadhanАй бұрын
nyinyi mnauhakika kama fei toto kashasain au mnatumalizia mb zetu 😢
@bikasaramadhanАй бұрын
nyinyi mnauhakika kama fei toto kashasain au mnatumalizia mb zetu
@bikasaramadhanАй бұрын
nyinyi mnauhakika kama fei toto kashasain au mnatumalizia mb zetu
@bonifacemgaya3448Ай бұрын
Nime furahi sanaa kama nikweli, fei toto kuja Simba, bado mayele !!
@abdisalim7900Ай бұрын
Ni kweli Mo unasajili vzr kwa pesa nyingi lkn unaongela nn kuh Uongozi mzigo uliopo?Binafsi naamini kuwa kwa uongozi huu,hata wakija akina Mecy na Ronaldo hatuwezi kufanya lolote,labda uongozi huo ujirekebishe na u focus ktk kuijenga Simba ki kwelikweli.Itakuwa ni jmbo la kusikitisha sn kuwa na uongozi ndumila kuwiliyaani kiwiliwili kiko Simba,moyo uko kwa jirani,Tumeumizwa miaka mitatu ss tunasema wazi maana tumechoka
@ZkKambiАй бұрын
Kwa usajiri huu 2naitaka man city
@AzizaYusuphHassan-r7cАй бұрын
Sio kwel
@halimalachpat1927Ай бұрын
Hongera Mo kwa Feisal tumefurahi sana hasa mimi nikiwa mshabiki kindaki ndaki
@EliasKisunteАй бұрын
Tunawataka wachezaji bora sio bora mchezaj
@anithawidambe7543Ай бұрын
MO UNASHINDWAJE KWA FEI TOTO NA MAYEL
@FumaoFumao-d8wАй бұрын
Kama uongo si tusubiri !!!
@jayfarsaga4935Ай бұрын
😂
@nyerere1259Ай бұрын
K ww
@sugukakillerАй бұрын
uwongo
@sugukakillerАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@BlackAngolileАй бұрын
Sema ukweli
@halimalachpat1927Ай бұрын
Uwongo huo
@jeanpierremallickrwantabag8436Ай бұрын
😂😅
@CikeTanzaniaАй бұрын
Waongo hawa.
@bernadomathias199Ай бұрын
Wewe muogo
@festobayona8732Ай бұрын
Wewe sema kweli kweli
@festobayona8732Ай бұрын
Sem kweli wewe
@HABIBHASSAN-wf5mrАй бұрын
Ww ndio Feisal ?
@user-ez2ws1le3nАй бұрын
Mpe pesa hiyo ahora yake
@HamidaOmar-ub4kbАй бұрын
Wandishi munazinguwa amuwaminiki sizani kama kweli
@alfoncekasanyi6584Ай бұрын
Ukanjanja wenu Ni janga la taifa
@cesaryaudax6647Ай бұрын
Chama hakuwa mchezaji wa kuachwa, msimu huu atutavumilia, tunataka ushindi na makombe