Ebu tujiulize uyu paulo atakwenye wanafunzi wa yesu akuwemo wala yesu hajamtabiri kwamazuri lakiniyeye ndomwenye vitabu vingi zaidi ya yesu swali linakuja je? Vitabu alivyo vijaza paulo kwenye biblia nimaneno ya mungu? Nakama nimaneno yamungu aliyapata kupitia malaika gani aliekua akimletea wahyi ivi ayamambo ya ukristo yanaitaji kwenda shule?❤❤❤
@zuberkasim715014 сағат бұрын
Huwezikua muislam umesoma uislam sawasawa naumeuelewa vizuri ukatoka kwenda kwenye ukristo ukristo ambao umeanzishwa na sauli paulo❤
@zuberkasim715014 сағат бұрын
Uyojamaa amesomatu lakini si muisla
@halimamfaume192514 сағат бұрын
MashaAllah ❤shukraan sheikh
@stanslausmteme845521 сағат бұрын
Nyie nyote mnaelimu ndogo sana ya Theology biblia hmuijui kabisaaaa iv biblia ingekua unasima tu kama kitabu cha hadithi au riwaya vyuo vya biblia vina kazi gani? Mwaipopo hiyo Theology haijui hata chembe ni kama waislamu wenzie tu wwnye mihemko
@rashadjuma703912 сағат бұрын
Bibilia mpaka pornography imo, mtume katembea na mwanawe ndani ya bibilia ww vp
@moodyzanzibar433621 сағат бұрын
KUZINI NA WANAWAKE KUMI NI BORA SI KICHEKESHO HICHO HAKUNA KUZINI KWA WEPESI /KUZINI KUTE NI MUNKARI MSIWAMMBIE WATU WAKIZINI HIVI NI RAHA NA UKIZINI HIVI NI DHAMBI KUZINI NI DHAMBI HATA UKIZINI NA MTOTO WA NANI
@stanslausmteme845522 сағат бұрын
Asali ya Yemen inatengrnezwa na mdudu gani? Acha dhambi
@stanslausmteme845522 сағат бұрын
Hiyo mada mnaoenda kuijadili ni makubaliano na wenzio au utashi wenu tu? Hujo jamaa kasema Muhamadi si mtume sasa hiyo mada iwe makunaliano.
@MaimunaMhina23 сағат бұрын
Kwakweli haivumiliki tunamhitaji hiyo bwana a yang'aze!!!!
@HakizimanaFistonКүн бұрын
Mansha ALLAH
@MohamediSleyumКүн бұрын
Mtihan mkubwa sana watu wanamkosea mungu sababu yote ni kuhangaikia matumbo yetu mtihan mkubwa huu
@ShafyMtupilКүн бұрын
Sawa kabisa shekhe
@ShebbyTheparadiso-hf6fzКүн бұрын
Maa shaallah subhanallah dini ya kwli mbele ya mwenyezi mungu ni uislamu
@AtusaMaajabuКүн бұрын
Nimeomba unitumia dua
@AtusaMaajabuКүн бұрын
Asalam shee mimi ni mkenya naomba unianikie hiyo dual inanimate inisaidie
@RaziaGamba2 күн бұрын
Barakallahufika
@RaziaGamba2 күн бұрын
Jazakallahu khairan
@SalimVunga2 күн бұрын
❤❤❤❤ mashallah sheik moipopo
@Martineoleibon2 күн бұрын
Masha Allah sheikh kwa mafudisho ❤❤❤❤❤
@HusnaNduwimana-y2k2 күн бұрын
Shekh muda kufahamu sas kama adhan ya alfadjr inakaribia njo nambo na mimi nifahamu
@mohamedshee47312 күн бұрын
Shekhe fafanulia watu zinaa Gani Bora kuliko zinaa inginee?
@BIMIZEJUMA-il2ls2 күн бұрын
Mashaallah Allah akupe kher daima inshallah
@feisalseif-j4w3 күн бұрын
Hhhahahah😂, ninge wavunja wote 😂
@jamalwazir84983 күн бұрын
baraka ALLAHU fiyl dunia wal akheerah.
@fahdihasnuu90343 күн бұрын
Mashallah watu wa pwani hususani mombasa na lamu Allah sw amewapa ufasaha East Africa nzima kama sio Africa yote
@kautharjay58683 күн бұрын
Asalam aleikum nina swal hapa mimi nimeona sehemu imeandika kula pepperoni sio haramu na nikafatilia hiyo imechanganywa na nyama ya nguruwe na ng'ombe .sasa inakuwaje sio haramu??
@MariamsalumuramadanSalumuramad2 күн бұрын
Mungu atujaliye tuwe na wa toto bora wata saidiya ulimwengu.amin amin shukran barakaAllahu fiki
@ZainabuMkomwa3 күн бұрын
MashaAllah Tabarakallah
@abdulnuruhassan86113 күн бұрын
We love you shekh hudhuman
@ASHIRAFUATHUMANI-u3v3 күн бұрын
yaa, Allah! nakuomba utuongoe kwenye mtihani wazinaa
@FatumaHaji-s1h3 күн бұрын
Nnayoyafanya mnayajuwa mnaakili zenu timamu kwani hayo mnayofanya ndo Allah alisema mufanye km wake zenu hawapo kwenye mstar sahihi...mnafanya kwa kutaka sio sabab wake
@FatumaHaji-s1h3 күн бұрын
Wanaume wa zaman hizi muletewe Hurlaini wa peponi basi hamusilimu kwani wangapi Wana wake wannewanne na Bado wana fanya machafu na Bado wake zao wapole kuchagua wapole wanapatia lkn wanaume wa Sasa mungu mpk awape maradhi ndo mutulie roho zenu...mifano tunayo sheikh siongei kwa ubaya