Kwa MIAKA mingi Sasa nimbo zenu zimekuwa zinanipa ujumbe mkubwa sana. Zimekuwa zinanifanya kuwa karibu na Mungu zaidi. Nawashukuruni kabisaa
@mrfranciscocharles81385 жыл бұрын
Nabarikiwa sana nanyi watumishi
@mrfranciscocharles81385 жыл бұрын
Naomba link ya group lenu la whatsap
@MsChocoFlava9 жыл бұрын
Nawapenda sana wapenzi ❤️ wifi na kaka 😍👌🏾😘 may the lord continue to bless you both. Maggie
@MsChocoFlava9 жыл бұрын
Kaka Yangu jamani Mungu akubariki sana jamani wow naona wewe na wifi mnajua kucheza jamani mmependeza sana jamani wapenzi. Love you from your sis Maggie
@kinyausalim53439 жыл бұрын
hakika Mungu ni mwema atimaye mumekuwa mr and mrs rafiki big up.
@MsChocoFlava9 жыл бұрын
May the lord bless you my brother and sister in law I love you both so much. Love you from you sis Maggie ❤️
@frankwinani44589 жыл бұрын
sherehe ilipendeza sana, pia mlinoga, Mungu awapiganie kwenye ndoa yenu mkafike mbali zaidi