Yesu diye njia na kweli,uwezi fika kwa Mungu bila yeye
@MaweySevenКүн бұрын
Manager kama manger
@khadijapius23399 күн бұрын
Eti misi ngurumo ee dini hiyo acheni kupotra nyinyi
@JARALUMAJIDY-yu4mu10 күн бұрын
Like it
@SophiaSeganga12 күн бұрын
Atalii sanaaa wanangu
@SophiaSeganga12 күн бұрын
❤❤❤❤
@SophiaSeganga12 күн бұрын
Mzee wa mikongoto
@SophiaSeganga12 күн бұрын
Demu kinganganiz
@LuluPatrick-u9e15 күн бұрын
Nakubali nakubali tenaaaaa
@ChimamyMfaume-f2l16 күн бұрын
Niceone
@KadoWezza16 күн бұрын
Tume uwa kaka
@CodeBrandCinema16 күн бұрын
Focus on Vision
@NoticeTv3016 күн бұрын
Big up sanaa ❤
@MichaelAbel-m5y24 күн бұрын
Hubiri ouran acha biblia yenye makosa ya mwandishi unamkosea shetani zaidil wala hujui dini,yk 2:27-28.Amen
@Shilala66629 күн бұрын
Bro ataka upo sahihi ilah kwa lubwa neno kibao
@joelmahenge3278Ай бұрын
Mathayo 13 (Biblia Takatifu) ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯ ¹⁰ Wakaja wanafunzi, wakamwambia, Kwa nini wasema nao kwa mifano? ¹¹ Akajibu, akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wao hawakujaliwa. … ¹³ Kwa sababu hii nasema nao kwa mifano; kwa kuwa wakitazama hawaoni, na wakisikia hawasikii, wala kuelewa. ¹⁴ Na neno la nabii Isaya linatimia kwao, likisema, Kusikia mtasikia, wala hamtaelewa; Kutazama mtatazama, wala hamtaona. ¹⁵ Maana mioyo ya watu hawa imekuwa mizito, Na kwa masikio yao hawasikii vema, Na macho yao wameyafumba; Wasije wakaona kwa macho yao, Wakasikia kwa masikio yao, Wakaelewa kwa mioyo yao, Wakaongoka, nikawaponya. ¹⁶ Lakini, heri macho yenu, kwa kuwa yanaona; na masikio yenu, kwa kuwa yanasikia. ¹⁷ Kwa maana, amin, nawaambia, Manabii wengi na wenye haki walitamani kuyaona mnayoyaona ninyi, wasiyaone; na kuyasikia mnayoyasikia ninyi, wasiyasikie.
@joelmahenge3278Ай бұрын
“Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni. ” - Mathayo 16:17.
@joelmahenge3278Ай бұрын
Yohana 6 (Biblia Takatifu) ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯ ⁴² Wakasema, Je! Huyu siye Yesu, mwana wa Yusufu, ambaye twamjua babaye na mamaye? Sasa asemaje huyu, Nimeshuka kutoka mbinguni? ⁴³ Basi Yesu akajibu, akawaambia, Msinung'unike ninyi kwa ninyi. ⁴⁴ Hakuna mtu awezaye kuja kwangu, asipovutwa na Baba aliyenipeleka; nami nitamfufua siku ya mwisho. ⁴⁵ Imeandikwa katika manabii, Na wote watakuwa wamefundishwa na Mungu. Basi kila aliyesikia na kujifunza kwa Baba huja kwangu. ⁴⁶ Si kwamba mtu amemwona Baba, ila yeye atokaye kwa Mungu; huyo ndiye aliyemwona Baba. ⁴⁷ Amin, amin, nawaambia, Yeye aaminiye yuna uzima wa milele.
@BabuDonycompanylimitedАй бұрын
Big love ❤
@BabuDonycompanylimitedАй бұрын
Big kazi 🙌
@PiusiVistusindasikiАй бұрын
Shekhe wewe ulikuwa unahitaji nani atoke upande mmoja na kubadili upande mwingine? Waache watu waupate uzima wa kweli.
@CodeBrandCinemaАй бұрын
Tujiandae kwa madude mengine
@NoticeTv30Ай бұрын
Mwana shakur bado kidogo umalize mchezoo 😂😂
@RamadhanAlly-p8jАй бұрын
kenge wewe hata helium hauna unalopoka tuu uisilam mliletewa na walapu Mimi nilikua muislam
@thekingdragon8358Ай бұрын
WACHA KUROPOKWA KAMA MLEVI VUNJA HOJA KWA MAANDIKO UISLAMU NDO DINI YA HAKI SOMENI ACHENI KUPELEKWA NA UPEPO
@BabuDonycompanylimited2 ай бұрын
Mbio nyingii 😂😂😂
@BabuDonycompanylimited2 ай бұрын
Hilo jiwe ungepiga kwelii 😂😂
@BabuDonycompanylimited2 ай бұрын
Hatary vijana mnaenda kasi 😂😂
@NoticeTv302 ай бұрын
Another one 🔥🔥
@mgoli-m9b2 ай бұрын
oya mmetisha
@ChimamyMfaume-f2l2 ай бұрын
Wa kwanza kucomment
@ChimamyMfaume-f2l2 ай бұрын
Duuh uyo do dada kafanya kaz kubwa ad kua na uyo mshkaj 😁😁
@deusNjimba2 ай бұрын
Aliekuja. na qulan ni adui. Wa jiblili huyo ni nani sasa huyo. Tupe majibu
@awadhaltimim0012 ай бұрын
Kibinduuu🔥🔥
@LuluPatrick-u9e2 ай бұрын
Nakubal
@NoticeTv302 ай бұрын
Mkong'oto wa leo umekuwa ndoto 😂😂😂
@Hans-h7b2 ай бұрын
Wa pil kucomment...😂😂❤
@CodeBrandCinema2 ай бұрын
Wa kwanza hapa
@NoticeTv302 ай бұрын
Alwatanshakur mzee wa mikong'oto tu 😂😂
@BeckerJunior282 ай бұрын
Shakur uhkk 😅
@Hans-h7b2 ай бұрын
Daaah hii kal kinoumah noumah yan mwanang Shakur & Code brand soon nitarejea apoo..