MUNGU akujazi kheri Shekh Yusuf. Umeshawakata makali watu wa mskiti wako. Tutamswalia MTUME s.a.w mpaka kiyama. ALLAH atufutie dhambi na atuondoshee hamu kwa swala MTUME s.a.w
@RajabWeko5 ай бұрын
hawa ndio maulamaa waovu na ndio dalili miongoni mwa dalili za kiyama kufariki kwa wanazuoni na kukithiri kwa ujinga
@AgahozoAsmah5 ай бұрын
Shukrani
@ismailfarah34635 ай бұрын
MashaAllah Tabarakalah barakalafikum!!!S.A.W.!!!!
@sadambakari25797 ай бұрын
Allah akubaariki sheikh yusuph na akuzidishie ilimu na ufahamu
@mohamedothman579210 ай бұрын
Shekhe bandia, huyu hana tofauti na Kishki wa Tanzania
@sadickmguruka10 ай бұрын
ukimsikiliza vizuri shekh kamaliza utata wewe mswalie mtume mahala popote ulipo isipokuwa choooni tu na mashekh wameweka zaidi kwenye huo mwezi kwasababu ni mwezi aliozaliwa mtume s w a na lengo lao ni kukithirsha kwenye huo mwezi
@hawayussuf924411 ай бұрын
Shukran Allah akulipe kila la kheri
@IjumaaKimolo-dx9pk Жыл бұрын
Wew unaogopa kufa ety una watoto Allah asema almaluwalbanuna fizinatulhayata dunia Mali na watoto ni mapambo katka duni wenziye walifunga ndoa maswahaba masaa machache wakaenda jihadi
Mwataka amani si mjitokeze mkapinge suala la kupita kwa haki za mahanithi na wasagaji. Wakati hata sheikh rogo alishatahadhari kitambo kuhusiana na hayo. Uislamu si kuomba tu Kwa Dua ila kwa kuyakabili kwa vitendo
@omanmct135 Жыл бұрын
Aaaaamin
@omanmct135 Жыл бұрын
Kwelikabisa mashalllah
@fatmaaweso87022 жыл бұрын
Mashaallah
@khadijahamisi12742 жыл бұрын
Swalu Alaa Muhammad
@ashashaban64842 жыл бұрын
MASHALLAH MASHALLA ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI SHEIKH
@NoorAli-jf1dq2 жыл бұрын
Assalam aleykum Muslim brothers? Nashang'a na Waislamu wanaomtetea Rogo.
@lordenoughforme44172 жыл бұрын
sure msanii
@masoudmasoud81382 жыл бұрын
Mnafik mkubwaa
@HassanHassan-vs1os2 жыл бұрын
Ata sheytwan anawezaaa kusoma quran na ahadith ......lakini ni mnafikiiii ..sheikh ithaqillah