Jaman wimbo huu umenikumbusha mbàli sana bado tuko mabint tunaimba❤❤❤❤
@rosemichael5268Ай бұрын
🎉🎉❤❤❤❤wawoooo
@linnahsteve77742 ай бұрын
Mungu awabariki sana nyie nyote mlioshiriki kuimba wimbo huu kiukweli niusikilize mda wote ahsanten sana❤
@KwayayaImakulataBMM-Mbuyuni2 ай бұрын
Kweli Muziki Mtakatifu... Hakika tunabarikiwa ❤
@ignasmarcus48952 ай бұрын
Greatest
@alberterasto87602 ай бұрын
Huu wimbo unaitwje na mtunzi natufuta copy yake saana naomba msaada wa kuipata
@Rhoda-p3q3 ай бұрын
Kaz nzur
@augustinetumbu67563 ай бұрын
Kazi si ya kitoto
@DavillaKims3 ай бұрын
Newton erude
@DavillaKims3 ай бұрын
Newton erude
@DavisWangodi3 ай бұрын
Anaitwa eligy tengez.. Tamu sana
@pascalpaul32043 ай бұрын
Sawa Baba
@victormwafrika3 ай бұрын
@@pascalpaul3204 upo chief
@KwayayaImakulataBMM-Mbuyuni4 ай бұрын
Hongera Sana wimbo mzuri... ❤
@florahngonyani9514 Жыл бұрын
Wimbo Mzuri Sana huu, Nimekumbuka mbali Sana na watu wengi barikiwa sana
@reginamanyasi2329Ай бұрын
Karibu mtoto Yesu, barikiwa mkristo nilkuw na miaka mitano
@lucyasantenikwawimbomzurid368421 күн бұрын
Kitambo sana ❤❤
@chazkoillah2652 Жыл бұрын
Christmas mkesha pale kanisani adi raha
@AnnamaryMasawe-vg2hy Жыл бұрын
Hongereni sana kwa kila kitu mmeitendea haki Catholic
@emmanunyayo62803 жыл бұрын
Sounding poa . Dancing style nayo 😁😁😄🥰
@joachimbahati27923 жыл бұрын
Nakuomba 0747448062
@joachimbahati27923 жыл бұрын
Mkuu kazi nzuri
@stellajoel79323 жыл бұрын
Naupenda xana wimbo huu
@nestorykissima72023 жыл бұрын
Good work. The composition sounds really Syote. Kwa waimbaji... mnapoimba "O" au "E" ktk noti zilizounganishwa kati ya bar na nyingine msirudie kuitamka hiyo herufi/ kitamkwa. Chapasa kuvutwa tu
@edgarmbegu1974 Жыл бұрын
Kwenye mashairi wamekosea kidogo
@gmlkimara95983 жыл бұрын
safi
@shaibuemmanuel1914 жыл бұрын
Daaaaah! Ngoma imetulia Nchi zilikaa Kimya Kutafakari Utukufu wa Bwana hakika ni Yeye. Tanzania Yu Nasi Mwokozi.
@norahcosmas21874 жыл бұрын
Safi ndugu wanakwaya lkn studio baikuonesha picha vzr.
@tigerchristmas54914 жыл бұрын
Griiriiiiiiriiiiiii🔥🔥🔥😍😍😍nmekumbuka mbali sana mbarikiwe
@charlesmafumiko60274 жыл бұрын
Hakika nchi zilikaa kimya sababu ukuu wa kipekee wa mfalme aliyezaliwa
@yustamnyagala44414 жыл бұрын
Pongezi barikiweni sana
@alfreidinaaloyce78794 жыл бұрын
Safi sana wimbo nzuri sana hadi raha
@dominickmsangi43894 жыл бұрын
Nimependa kinanda cha jamaaangu victor mwafrika!!
@johnboscosimfukwe97394 жыл бұрын
Waimba vizuri. Safi. Wamechangamka, safi. Picha muonekano safi. Sare hapo ndiyo tatizo. T.shirt mmmmmh.
@teachergodfreypeter90524 жыл бұрын
Nice song Nice Melody Nice vocal Nice video Nice location Everything is nice congratulations kazi imetulia sana.
@braitysarah67434 жыл бұрын
Kaka muda si mwingi nakuona kwenye dunia nyingine kabisa
@gastojerome52184 жыл бұрын
Wanakwaya mejaliwa sauti nzuri sana Mungu awabariki sanaa
@isayayohana28204 жыл бұрын
najivunia kua mkatoriki mbarikiwe sana
@isayayohana28204 жыл бұрын
nyimbo nzuri mmeimba vizur sauti nzuri mmevaa vizur mmetabasam vizur kiukwel mpo vizur sana
@deusmbalazi35525 жыл бұрын
Hongereni jaman kinanda kimetulia sana
@victormwafrika4 жыл бұрын
Asanteni sana kwa maon yenu
@bigspoz71075 жыл бұрын
Kitu kizuri sambazeni albam mpaka Mikoani natumaini mtafika mbali sana Mmetisha
@deniscoach31125 жыл бұрын
Nawapongeza sana wanakway wote mung awabarik
@michaelcanisius16155 жыл бұрын
Kazi nzuri mbarikiwe na Mwenyez Mungu
@isayayohana28205 жыл бұрын
duuuuuuu hii ni nomaaa Kali ya mwaka like zenu tafadhar
@sambayametikana86825 жыл бұрын
👏👏👏👏
@roccodavis47753 жыл бұрын
I know I'm pretty off topic but do anybody know of a good website to watch newly released movies online?
@alejandroxzavier51543 жыл бұрын
@Rocco Davis ehh atm i have been using flixportal. You can find it if you google:P -alejandro
@roccodavis47753 жыл бұрын
@Alejandro Xzavier Thanks, I signed up and it seems to work :D I appreciate it !!
@alejandroxzavier51543 жыл бұрын
@Rocco Davis happy to help :)
@isayayohana28205 жыл бұрын
Hongereni kwa uinjilishaj
@bigspoz71075 жыл бұрын
Kazi nzuri Hongeren
@isayayohana28205 жыл бұрын
namm nitakuwepo
@oddondunguru28175 жыл бұрын
Big up sana, kinanda mule muleee, sauti ya I, II, III & IV zimeona balaaaa. Kwakweli hongereni sana sana. Nimebarimiwa sana na hii kazi