Пікірлер
@chantaledson7962
@chantaledson7962 Сағат бұрын
Ubariliwe sana
@henry1933
@henry1933 10 сағат бұрын
It makes sense. God is one
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano 21 сағат бұрын
Hapo ni Uongo,. Kitabu cha ufunuo kinahusu siku ya Bwana, kuna mambo machache ya wakati wa Mitume. Ufunuo 1-3. Ufunuo nne ni unabii wa siku ya Bwana, ufunuo tano kitabu kilichoandikwa ndani na nyuma, Mfafanuzi wa kitabu cha ufunuo ni Mjumbe wa agano duniani pekee ndiye aliyekusudiwa, Wewe bado ni kipofu kabisa, Isaya 48:6-9. HAYA NI MAMBO MAPYA KABISA HUYAJUI.
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano 21 сағат бұрын
Hapo sasa upo vizuri huo ni ukweli.
@deuspastory1814
@deuspastory1814 Күн бұрын
Mchungaji rundi chuoni kujifunza zaidi. Utapotasha watu.
@Tutindaga
@Tutindaga Күн бұрын
mzee umeeleza vizuri ila sehemu kidogo umekosea kujieleza,sema statement kwamba MUNGU NI MMOJA NA HAJAGAWANYIKA na hakuna nafsi tatu za Mungu upo sahihi kabisa ,mfano hapo mwanzo ilivyoandikwa *TUFANYE MTU KWA MFANO WETU* ni Mungu alikuwa anajisemeza mwenyewe tu maana kuna andiko linasema Mungu hufanya mambo baada ya kujishauri yeye mwenyewe yaani anakaa anajisemeza mwenyewe,anajishauri mwenyewe kwa matakwa yake yeye mwenyewe anajiapia yeye mwenyewe na sio kwa kitu kingine soma hapa WAEFESO 1:11 soma bible ya kjv utaelewa vzuri
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi Күн бұрын
Mathayo 12:36-37
@andreakomba3727
@andreakomba3727 Күн бұрын
1 Yohana 5:20 [20]Nasi twajua kwamba Mwana wa Mungu amekwisha kuja, naye ametupa akili kwamba tumjue yeye aliye wa kweli, nasi tumo ndani yake yeye aliye wa kweli, yaani, ndani ya Mwana wake Yesu Kristo. Huyu ndiye Mungu wa kweli, na uzima wa milele. And we know that the Son of God is come, and hath given us an understanding, that we may know him that is true, and we are in him that is true, even in his Son Jesus Christ. This is the true God, and eternal life.
@andreakomba3727
@andreakomba3727 Күн бұрын
Mathayo 28:19 [19]Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; Go ye therefore, and teach all nations, baptizing them in the name of the Father, and of the Son, and of the Holy Ghost:
@andreakomba3727
@andreakomba3727 Күн бұрын
1 Yohana 5:8 [8]Kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja. And there are three that bear witness in earth, the Spirit, and the water, and the blood: and these three agree in one.
@musajuma676
@musajuma676 Күн бұрын
Je Jesu alifaa kuelekea mbinguni na kasema anaenda kwa baba take . Helijah hivyo hivyo. Mahana ya kusema Enock kachukuliwa na Mauro wake ,yamaanisha haji?
@fredrickkaaya6287
@fredrickkaaya6287 2 күн бұрын
Hakika Mungu ni mmoja tu. Mtumishi anachofundisha Yuko sahihi kabisa kuwa hakuna nafsi tatu za Mungu. Kwani kiti cha enzi mbingini ni kimoja tu. BABA, MWANA na ROHO MTAKATIFU hivi ni vyeo au sifa alizonazo Mungu wetu. Baba ni Cheo Cha uumbaji, MWANA ni cheo cha Ukombozi na Roho Mtakatifu ni cheo cha Ufufuo. Naomba watu mjitahidi kuisoma biblia na mjifunze pia kwa wale ambao Mungu amewafunulia juu ya utatu Mtakatifu. Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu.
@DeusSwagara
@DeusSwagara 2 сағат бұрын
Soma Mwanzo 1:26. Hafu soma tena 1yohana 5:8. Neno MUNGU likiwa kweny umoja au wingi huwa halibadiliki. Ni sawa na neno NDOO ikiwa moja inaitwa NDOO, lakin pia zikiwa tano zinaitwa NDOO.
@hagaramgini-sz1du
@hagaramgini-sz1du 2 күн бұрын
Mzee unakufuru Pole sana Hilo fumbo la utatu mtakatifu huliwezi Unafafanua Biblia kana dictionary Mungu akujalie ufunuo wa jambo hilo kiusahihi zaidi Pole sana
@PaulNdulute
@PaulNdulute 2 күн бұрын
Kwani watumishi sisi tunafuata nini katiba ya mbinguni inavyosema (biblia) na namna inavyokubaliana katika mtiririko mzima na Sio kulazimisha iwe vile tunavyo taka iwe kwa HISIA zetu tu!! Usiifundishe BIBLIA iache ikufundishe hata kama kuna mambo ambayo tangu umeyasikia tokea utoto wako lakini maana/tafsiri HALISI itabaki vile vile hata kama hutaki kuamini,,, wengine hawapo tayari kufundishika hata kama wataambiwa UKWELI hawatabadili mitazamo yao,,kikubwa na cha msingi USIN"GAN'GANIE mafundisho ambayo hata biblia yenyewe haijasema huko kutakuwa ni kujilisha upepo kama mhubiri alivyo sema... 😢😢🙏🙏
@victoramosi4684
@victoramosi4684 2 күн бұрын
Kwahiyo Mungu alipouliza nimtume nani akaokoe watu ulimwenguni kwahiyo alijituma yeye😅, Na damu ya Yesu imetulipia hatuhitaji kutoa sadaka ili tusamehewe, kwahiyo imetulipia kwa nani kama Mungu ni huyo huyo Yesu, Acha hiyo kazi itakupeka motoni
@raphaelkiptanui6862
@raphaelkiptanui6862 2 күн бұрын
Ubarikiwe mjungaji kwa huo ufunuo maana wengi hawana huo ufunuo mungu ni moja tu aliyeumba mbingu na nji amen,
@jeanbigirimana9365
@jeanbigirimana9365 2 күн бұрын
Yesu alipoaga wanafunzi wake alinyanyuliwa wasimuone tena na Elia akachukiwa na farasi za moto
@EliezaJames-j8m
@EliezaJames-j8m 2 күн бұрын
Mtumishi natamani kuongea na wewe maana mafundisho yako siyaelewi, wakati YESU anabatizwa mathayo 3:16 sauti iltoka mbinguni kwa nani wakati Roho na Roho walikuwa duniani?
@EliezaJames-j8m
@EliezaJames-j8m 3 күн бұрын
BWANA YESU APEWE SIFA Mnatuchanganya Mbinguni ni wapi? soma Kutoka 9;8 , mwanza 8;2, mwanza 15;5, mwanza 28:12_13, mbinguni ni juu Mungu anaishi wapi? Soma mwz 21;17, kutoka 20;22, kumb26:15, ezra 7;12,23, zab14;1_2, , 103!19 mathayo 3;17, 5;45,48, mthay 6;1 YESU alifundisha sala math 6;9 Fundisha uhalisia alafu ndipo ufundishe kiroho mnatuchanganya
@NenoVitendo
@NenoVitendo 3 күн бұрын
Yaani huyu mzee amepotoka kbs ,anahitaji kuombewa,kufundishwa na kujazwa roho mtaktfu.Yaani hatofautishi kati ya mahali na uwepo wa Mungu kiroho! Kutoka 20;4 ,marko 16;19,waefeso 4;10 aliyepaa juu sana kupita mbingu ( anga au sayari) zote ,je ni wapi hapo?.Si vzr kuendelea kumsikiliza huyu mzee maana anashikisha hasira ya kiroho jinsi anavyowapoteza kondoo wachanga na kulipotosha neno la Mungu! Hivi anajuwa atendalo? maana kila hoja anayoleta anaitafsiri kinyume na uhalisia kimakusudi (Mungu amurehemu na amfumbue macho)
@FredrickOnderi-qz9ws
@FredrickOnderi-qz9ws 3 күн бұрын
Oungo mtupu,eti nafsi moja tu😢...aliyezungumza kutoka mbinguni yesu akibatizwa ni nani jameni?...
@Annsikoboy-ut8bs
@Annsikoboy-ut8bs 3 күн бұрын
Kuna mji mtakatifu. Na huo mji upo kiroho.
@OdiloMwemezi
@OdiloMwemezi 3 күн бұрын
Mathayo 28:18-20.soma hiyo
@surayakazi9073
@surayakazi9073 3 күн бұрын
Mwalimu unafundidha kweli
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 3 күн бұрын
Ipo tofauti kati ya MBINGU,Anga,nchi na kuzimu MBINGU NCHI 👉Mwanzo 1:6-10 ANGA 🫵Mbingu ni mahali halisi sio roho au nadhari👉Zaburi 115:16 🫵BABA yetu uliye mbinguni👉Luka 11:2 *Swali* 1.Je!wachawi na waganga wako mbinguni sababu wapo rohoni? Kwa maelezo yako kuwa mbingu ni kuwa rohoni. Neno mbinguni halimanishi juu,mlimani unaongopea uma👉Ufunuo 20:10 •MBINGU 👉ni Makao/Maskani ya Mungu 👇👇👇👇👇 1.1Falme 8:23(Mbinguni;juu)👈 2.1Falme 8:27(mbingu hazikutoshi sembuse mbingu za mbingu) 👈mbingu zaidi ya moja 3.1Falme 8:30(Mbinguni makao ya Mungu)👈Maskani ya Mungu 4.1Falme 8:39(Mbinguni makao ya Mungu)👈Maskani ya Mungu 5.1Falme 8:43(mbinguni makao ya Mungu)👈Maskani ya Mungu (a) MBINGUNI 👉ni mahali pa utambulisho wa watakatifu(yalipoandikwa majina Yao wakiwa hai duniani)👉Luka 10:20 (b)MBINGUNI ni makazi ya watakatifu watakaourithi WOKOVU wa KRISTO YESU👉 Filipi 3:30 &Ufunuo 21:27😢 YESU alitoka wapi? 👉.1Korintho 15:45,47 &Yohana 3:13,31(mbinguni) YESU alipaa kwenda wapi? 👉.Matendo 1:10-11 & Luka 24:51 Malaika za BWANA wanatoka wapi? 👉Luka 22:43,Ufunuo 20:1 Natangua maneno yako:Humkatishi yeyote kwenda mbinguni kwa Jina la YESU KRISTO BWANA
@WatsonRemmymatovelo-l8p
@WatsonRemmymatovelo-l8p 3 күн бұрын
Yesu ni Mungu Amin usiamini,usipotoshe na mavazi ya watu angalia pia na matendo
@ericknganzi398
@ericknganzi398 3 күн бұрын
Mzee you have very limited understanding, kwa matiki hyo huna authority ya kufundisha subject ngumu kama hyo 😂
@piussimtala5111
@piussimtala5111 3 күн бұрын
mbona ukitaja mbinguni unaonesha kidole juu?
@surayakazi9073
@surayakazi9073 3 күн бұрын
Anaonesha juu sababu asili yake ni ya juu MUNGU.
@piussimtala5111
@piussimtala5111 3 күн бұрын
na ardhini ni wapi?😂😂
@DottoKillangi
@DottoKillangi 3 күн бұрын
Roho mtakatifu atafisiri utatu huo, wamernda mbali hawataki kuomba kwa jina layesu wanasema kwa jina la baba mwana na roho mtakatifu, je yesu aliagiza tuombaje?
@PoulMilanzi
@PoulMilanzi 3 күн бұрын
Nataka kujua nimekuwa ninasikia kuwa roho haifi roho chafu inakwenda kuzima na roho iloyotenda mema inakwenda paradisi je roho ya mnyama au viumbe hai roho zao zinakwenda wapi ?
@samsonipaul4068
@samsonipaul4068 4 күн бұрын
Mzee mzima Muong hamjui Mungu hana Mungu sababu Biblia unasema Asiye na Baba hana huyo mwana ila pia pia ni huyu ni mpinga Kristo kwa mujbu wa 1Yohana2:Ni nani aliye mwongo ila yeye akanaye ya kuwa Yesu ni Kristo? Huyo ndiye mpinga Kristo, yeye amkanaye Baba na Mwana
@paulinas.3631
@paulinas.3631 4 күн бұрын
Asante kwa neno zuri mtumishi wa Mungu, natamani kuongeza jambo kidogo hapo kwenye maelezo yako, umeelezea vizuri kuwa Mungu ni Roho na yuko kila mahali, na pia umemalizia kwa kusema tunafahamu kwa sehemu, wakati utafika tutafunuliwa na tutajua ukweli wote wa mambo jinsi yalivyo. Biblia inatuambia kuwa Mungu anaishi rohoni mwetu (kwa walio waliozaliwa mara ya pili), yuko katikati yetu na yuko mbinguni pia, umeeleza vizuri kwa upande mmoja haya hapa maandiko yanayosema kuwa Mungu anaishi juu mbinguni pia. -Luka 50:51, Marko 16:19-Yesu alipaa juu mbinguni _Matendo 10:11-Stephano alisema tazama naona mbingu zimefunguka, nameona mwana wa Adam akasimama ipande wa kuume wa Mungu -Marko-1:10 Baada ya Yesu kubatizwa mbingu zilipasuka na Roho akasuka kama huwa na sauti ikatoka mbinguni ikisema, huyu ni mwanangu mpedwa -2Wafalme 2:11-Elia alipanda mbinguni kwa upepo wa kisulisuli. -Yohana:14:3- Yesu alkwenda kutuandalia makao na amesema atarudi kutuchukuwa hivyo Mungu anayo maskani katika ulimwengu wa Roho. Kama Yesu ambaye ni kichwa cha kanisa alipaa juu na sisi mwili wake ambao ndio kanisa tutanyakuliwa kwenda kumlaki bwana mawinguni, yasemavyo maandiko kwenye, -1Thesalonike 4:17. sasa ukisema hatutanyakuliwa kwenda juu hii sio sawa. -Mathayo 6:9-13, Salam ya Bwana.(Baba yetu uliye mbinguni.) --Hivyo Mungu yuko kila mahali, katikati yetu na mbinguni juu yupo pia. Biblia inatuambia mbingu ni kiti chake cha enzi na duniani ni mahali pa kuweka miguu, (Matendo 7:49)
@cuthbertchanangula2494
@cuthbertchanangula2494 4 күн бұрын
Huyu mzee anazeeka na uchawi wake
@mchungajilwitikokatikilo4237
@mchungajilwitikokatikilo4237 4 күн бұрын
Mzee hajakielewa kitabu Cha ufunuo kuwa kina mambo yaliyopita yaliyopo na ayanayokuja
@felickbiyara5280
@felickbiyara5280 4 күн бұрын
Mzee haielewi biblia. Ni mwongo balaa
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano 4 күн бұрын
Nafsi ya Mungu ni moja tu nayo ni NENO. Ndani ya ROHO Mtakatifu.
@EliaHiluka
@EliaHiluka 4 күн бұрын
Hayo ni mawazo yako na ufahamu wako ulipoishia
@socratesb.luanda9103
@socratesb.luanda9103 4 күн бұрын
Swali langu kwa mtu wa Mungu ni lifwatalo, wakati Paulo ana shuhudiya eti kapaa hadi bingu la saba ali maanisha nini?
@SharonAron-t1j
@SharonAron-t1j 13 сағат бұрын
Alienda mpaka mbingu ya tatu, katika uumbaji Mungu aliyatenga maji ya juu na chini mbingu zipo juu
@Stay_with_God_tv
@Stay_with_God_tv 4 күн бұрын
Itaeleweka tu,ni kweli Mungu ni mmoja,ni lugha tu,ukisema amejifunua,au nafsi tatu ni kitu kile kile,ni lugha tu hapo.
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano 4 күн бұрын
Jifunze kwa Mjumbe wa agano duniani uingie mbinguni.
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano 4 күн бұрын
Mbinguni ni kwenye Roho Saba za Mungu, kwenye hekima ya juu ya Mungu, maarifa ya juu ya Mungu. ni ufahamu wa juu wa Mungu. Uweza wa juu wa Mungu,
@temistemis3328
@temistemis3328 4 күн бұрын
Siku hizi hakuna kabisa mahubiri yanayohusu upendo, kuacha dhambi na kujenga imani haswaa ya kumuamini mwenyezi mungu... Mahubiri mengi yamejikita katika kutaka kuvuta watu na wachungaji kujulikana, hakuna maonyo na makanyo kabisa... tunawalea kizembe na kuwadekeza waumini, walimu wako bize kila mmoja kutaka kuichimba biblia ndaaani, ili kila mmoja aonekane anajua kuliko mwingine, huku waumini wanazidi kuchanganyikiwa. Labda sina Maarifa ya kiasi hicho ila kwa kidogo tu naweza sema, neno la mungu ni la kutafakari kila siku ya maisha yetu kwa ajili kutambua ni namna gani tunaweza kuishi ili kumpendeza mungu na kuenenda katika njia itakayotufikisha kwake, ROHO MTAKATIFU ATUSAIDIE kutufunulia neno katika tafakari zetu za neno na namna linavyoweza kutuongoza na kutusaidia katika maisha yetu ya kila siku.
@kingofjungle510
@kingofjungle510 5 күн бұрын
Lakini kuna swahili hapo? Je kama mbinguni sio juu. Yesu alipaa kwenda chini au juu? Wakati aribatizwa na Yohana. Bibilia inasema sauti ilitoka juu mbinguni ikasema huu ndie mwanangu.
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 5 күн бұрын
Heaven is arealm not a place
@prochesernest5439
@prochesernest5439 5 күн бұрын
Unachekesha kweli unapinga kilichowazi hona Yesu alipoenda mpinga na hapo matendo ya mitume 1;11 je hapo ni kiroho mbinguni watu walikuwa wanatazama mbinguni na Yesu akitufundisha Baba yetu uliyembunguni mathayo 6:9 na zaburi 115:2-3hapo VP?
@Eleazari-isack
@Eleazari-isack 5 күн бұрын
Shalom Wapendwa Ninaomba kwa unyenyekevu kama inawezekana unisaidie namba ya WhatsApp ya mtumishi wa Mungu, Ningependa kuwasiliana naye kwa ajili ya masuala ya kiroho au ushauri
@polycarplazaro8482
@polycarplazaro8482 5 күн бұрын
NYIE WAZEE VIBARAKA WA SHETANI, TOKENI MTUACHOE SISI VIJANA TUNAPJIRLEWA...MAANA MMECHOKA NA KUGEKA WAPINGA KRISTO,....YESU ALIYEAGIZA TIBATIZE KWA JINA LA BABA, MWANA NA ROHO MTAKATIFU, ALIMANISHA NINI? NJIE NI WAJINGA NA WAPUMBAVU...
@AmaniDaniel-uy9mz
@AmaniDaniel-uy9mz 5 күн бұрын
Nakushauri urudi chuo
@emmanueljohnthankslord1411
@emmanueljohnthankslord1411 5 күн бұрын
Baba upo vizuri sana umefundisha kitu cha kweli kabisa ila bongo lala ambao hawataki kufuatilia mambo watakukosoa lakini mimi nimekielewa vema.Ubarikiwe sana