Dufu linabakiii kuwa ni sehemu ya starehe na burudaniii kwetu na sio sehemu ya kushindanaaaaa Najjah madrasaaaaaaaaa💪💪
@saleemsaeed69758 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂Nmecheka sana Farhaan kafanya kigugumizi😂😂😂😂
@arifomar72798 күн бұрын
Amiin inshallah 🙏
@SaadatMussa9 күн бұрын
Good khd tv
@khaimisiomary10 күн бұрын
naibugani ww unapandikiza chuki islaah mmewachokoza wenyewe mliambiwa msishuti video nanyinyi mkaleta ukaidi sasa nyinyi mnatumika kuichafua islaah ilamungu mkubwa atailinda nakuidumisha inshallah
@RamadhanMasoud-jv5pk12 күн бұрын
Islah ni genge la kihuni linaloongozwa na juma mayugwa
@MahmoudOmary-e2g12 күн бұрын
Wallahi kumbe nyie wapumbavu hata ilmu hamna na niwaambie kuwachafua wenzenu sio kwamba nyie ndyo mtakuwa Bora wehu nyie kwanza sisi wapenzi wa twali tunawaona wapumbavu
@PembeSalehe12 күн бұрын
Nyie mnaelewa mnachokifanya walimu?
@rashididotto27713 күн бұрын
kama khd media itakuwa aiendi kuchukua maudhui kwenye shughul ambazo islah wamealikwa apo sina neno maana matangazo ni swala la mikataba, lakin mkisema khalid kama khalid bin waliid kutokwenda apo itakuwa inatupa shida kidogo, kwa maana tunajuwa islah wanaingia viwanja vya swiffat nnabawiyya takriban kila mwaka, ukiacha mwaka uu ambao kumetokea changamoto za kutoelewana kati yao na khd media iliyofanya kughailishwa kwa ilo jamv, japo walifika katika viwanja.kwa mantiki iyo tunaomba isije ikatokea mkakosa kuja dar es salaam mwakan kwenye viwanja vya swiffa kisa islah watakuepo, maana islah pia vile ni viwanja vyao na ss mashabik tunawapenda, nanyi pia swiffat nnabawiyya niyenu na tangu mje tandika mmeweza kuifanya shughul ya swifa kuzid kuwa nzur. tunawapenda nyie nyote na tunahitaj mujumuike pamoja pindi mtakapo itwa na waislam wenzenu. tusidhaniane mabaya wala tusifanyiane.mkiitwa itikien kila mmoja wenu ana haki kwa mwenzie.
@YusufKhamis-tu8no13 күн бұрын
walitaka Shari Islaha
@shaabanbellege337413 күн бұрын
Umeongea vizuri habiby ila kuna mawili huenda ni wew hujui au ni muongo..umesema islaah hamjakutana nao miaka mingi/muda mrefu sana na sisi tunajua mlikaa nao hapa zanzibar maagano viwanja vya safina kipwida..alafu uislam hautaki kuzalisha chuki juu ya chuki ilitakiwa utoe taarifa tu ya kutokaa naona wala si kuleta stori za kuwachafua wao maana hata kama ni kwel au s kweli ila wakisikia na wao watajibu na chuki itaendelea baina yenu na uislamu unajali zaidi suluhu kulko kuendeleza chuki..Maamuz mazuri ila njia iliyotumika ni mbaya
@rashididotto27713 күн бұрын
kwel mwalim maana kuna vitu vimeongelewa umo kuwahusu islaah, ikitokea nawao wakikosa hekima waka react, tutakua tunabomoa na tutazid kuwapa chakusema wale wanaopinga mambo ya matwal. wanaozisemea izi taasis wanatakiwa wayachuje maneno kabla hawajayapeleka kwa hadhira.
@MahmoudOmary-e2g12 күн бұрын
Ostadh Rajab Belege hao jamaa me naamin wote Wana matatizo ya akili kwanza wanapenda kujikweza kitu ambacho ALLAH hakipend hata kidogo
@chinolanez83813 күн бұрын
Huo sio uislam mnaoleta nyie yan hyo tv yenu imekua kelo sasa jitambueni badilikeni acheni mazoea
@Hamadikassim-y4y13 күн бұрын
Wewe unaonesha hujui kinachoendelea ni bora ukae kmya
@aleyslaim493513 күн бұрын
Siku zote mwenye akili huwa hafundishwi kujua baya na zuri mnatumia nguvu kubwa sana kuwaaminisha watu maneno ya uongo mkijinasibu ni wasomi wazuri wa dini yani ungekuwa na ufahamu kabla yakuongea ulitakiwa ujiulize nyie mpo mji gani na hao unao waongelea wapo mji gani na mtakutana wapi nyie mpo znz unao waongelea wapo Dsm wapi mnakutana mkija Dsm mnaenda Tandika unaowaongelea wapo manzese mtakutana wapi ungekuwa unabusara ungewaambia wenyeji wako msiwaalike hawa mabwana sisi hatutaki kuwaona sasa ulivyokosa busara na hekma unakuja na waraka mrefu ambao ukiambiwa uthibitishe juu ya ulio yaongea sijui kama utathibitisha kama nyie ni waungwana na wastaarabu nyie mmeshakua na ndugu wangapi Dsm na kila mnae achana nae ni kwanini kama kweli nyie ni waungwana na wasafi kuliko madrasah zote mana nyie ndio mnajinasibu na usafi na uungwana em acheni hizo tabia si miongoni mwa mafundisho ya uislam unachotakiwa kujua huyo unaemzungumzia hapo ni msafi ndio mana mnatumia nguvu kubwa kumchafua ili watu wamuone ni mchafu lakini angekuwa mchafu msingetumia nguvu kubwa kuonyesha uchafu sabubu jamii inayo wazunguka wangejua tu kwamba ni wachafu hata hao ndugu zenu wasingewalika mfanye nao shuhuri ila waliwaalika kwasababu wanawajua miongoni mwa hizo tabia hawana badirikeni acheni chuki kwenye nyoyo zenu.
@RingoBoy-i5i13 күн бұрын
Mashaallah shughuli ilikua pambeeeee
@SalimKhamis-v4q13 күн бұрын
Mm kama mpez naisapt jumuiya kwamaamuz ambay mlochukua mana hakk sehem anosifia mtume huwa haihitaj ugomv kwaiy nibora nyinyi kujiepusha nao mana mkiendelea kukindanao thaman yen itashuka katika jamii😂😂😂
@mzamilumure256413 күн бұрын
Kwani hao islaah mliwaalika nyinyi au mnatafuta umaarufu tu kupitia Tanzania one.
@maulidmussa896913 күн бұрын
Hata wao hawana habari na nyinyi
@umarymohd123013 күн бұрын
Mumefanya jambo la maana sana kuachana na wale wahuni wasiojua nn dufu wao wanadhani kila madrassa itakua na mihemko kama wao iyo ndo jumuiya bhana inayoongozwa na katiba jifunzeni kupia hapo
@MuzafarSaid-k8w13 күн бұрын
,MZEE MZIMA UNAONGEA UPUMBAVU MTUPU.
@MuzafarSaid-k8w13 күн бұрын
,FANYA TOBA WEWE MZEE.MTUME HASALIWI KWA MADUFU.DUFU UHUNI TU MNATUA CHUKI NA MIFARAKANO KILA KUKICHA WATU WAGOMBANA KWA MIDUFU.NYOTE WAHUNI MAHABITHI WAKUBWA..WAISLAMU WAZIMA HANA LA MAANA MNAABUDU MADUFU TU..JIELEWE MZEE WEWE.
Chama la Wana KHALID BIN WALID tumewaelewa sana wale watoto wa manzese usela wanauleta kwenye dufu wanatuharibia LADHA ndio maana wengi pale bangi na unga vina waharibu #MNONG'ONEZE MWENZAKO MANENO HAYA ILI LIWE NI FUNDISHO APATE ELEWA 😂😂😂
@masoudabdoul844713 күн бұрын
Nyie ndio wasafi sana kenge nyie.🚮
@Hamadikassim-y4y14 күн бұрын
Kwaio mtume kaletwa kwa watu kupigana mapanga na kuchinjana viwembe
@Hamadikassim-y4y14 күн бұрын
Na kama nyinyi brandi kubwa mbona siku ya maagano mumekimbia
@Hamadikassim-y4y14 күн бұрын
Sasa matusi ya nn watu wametoa mtazamo wao
@Hamadikassim-y4y14 күн бұрын
Allahumma amiin
@MuzafarSaid-k8w14 күн бұрын
WEWE MZEE UMEMSINGIZIA MTUME..JIANGALIE MANENO YAKO YA KIHUNI
@MuzafarSaid-k8w14 күн бұрын
MAHABITHI WAKUBWA NYIE WAHUNI MTUME HAKUJA NA UISLAMU WA MDUFU..WEWE BABU UNAYO YASEMA JUA HIYO DHIMMA UNAMSINGIZIA MTUME,
@MuzafarSaid-k8w14 күн бұрын
MTU HAKUJA NA DINI YA MADUFU NA UWO SIO UISLAMU .WEWE BABU ALLAH ANAKUONA USMSINGIZIE MTUME s a w ANASWALIWA KWA KUPIGIWA WADUFU..UO UHUNI NI WAKWENU WENYEWE .MKATE VIUNO NDO MNAMSWALIA MTUME MAHABITHI NYIE.
@Hamadikassim-y4y14 күн бұрын
Kwaio dufu ipo kwenye kupigana mapanga na viwembe
@Kamati-vlk14 күн бұрын
Mtume katufundisha 'ukitaka kufanya jambo tazama mwisho kuna heri kwako au kuna shari...ikiwa utaona kuna heri basi liende na ikiwa utaona kuna shari basi heei zaidi ni kuachana nalo! Kwa mantiki hiyo walichokifanya Jumuiya wapo sahihi kwenye maamuzi yao...mana sio lazima na hakuna ulazima kushiriki kwenye baadhi ya shughuli ambazo watakutana.
@MuzafarSaid-k8w14 күн бұрын
BABUU ACHA KUONGEA KAMA ZOMBI KAZA DUME WEWE DARASA HAMNA NN .
@MuzafarSaid-k8w14 күн бұрын
MSTUMIE MEDIA YENU YA KIHUNI KUTIA DOA NA KUWATIA UBAYA WENGINE,NYINYI NDO WAHUNI NO 1 KULIKO HATA AO WENGINE.WAKATA VIUNO NYIE KWANZA DUFU HARAMU.
@Hamadikassim-y4y14 күн бұрын
Muhuni ww uloanza katukana mana unaonekana kama Huna akili vizuri ww
@swiratwaonlinetv947214 күн бұрын
🙏
@SaidMussa-u7j14 күн бұрын
Pesa so kila kit katika haya maisha ipo siku yatawaludia
@Hamadikassim-y4y14 күн бұрын
Sasa we alokwambia Khalid inapesa nani
@SaidMussa-u7j14 күн бұрын
@Hamadikassim-y4y kila mnapokuwepo nyie lazma mtafute sababu mmoja aonekane mbaya haya semen bas na ghazar wasialikwe
@Hamadikassim-y4y14 күн бұрын
Wa kwanza mm
@SweetySabra14 күн бұрын
MaashaAllah
@ludovickyassin367811 күн бұрын
tunaxhukur ndegu zetu hady kwa kutupokea vzr
@Hamadikassim-y4y17 күн бұрын
Yarabbi tunakuomba utuzidishie mshikamano madrasa yetu amiin
@HalimaSanze-k5d18 күн бұрын
Mbn hivyo hiyo video
@ramadhaanmathey506519 күн бұрын
Omar Joka ni Mtu Hatareee Sana
@AhmedZahor-z8e19 күн бұрын
Islah hawez kishindwa na khalid atasikumoja
@maryamhassan115420 күн бұрын
Mashaallah ❤️
@HalimaSanze-k5d21 күн бұрын
Mashallah
@Hamadikassim-y4y22 күн бұрын
Wa kwanza mm apa
@HalimaSanze-k5d22 күн бұрын
Mashallah
@raphaelkessy867022 күн бұрын
Mashallah
@kingjoris637023 күн бұрын
Mashallah❤❤
@jaybaba270024 күн бұрын
Maaagano ni mazur yame2lia hayana makelele ngoma znackika