nilikua najua amana ni pesa tu, kumbe ina maana pana... mashaallah shukran sheikh nimepata kitu
@happyadam8301Ай бұрын
Mashaallah🙏😍
@ustadhkhatibomar9848Ай бұрын
Mashaallah
@irshadabuhafsi6585Ай бұрын
Hata kwenye kufanya ibada munatuzana pesa mbona uzushi umekuwa rahisi kwa jamii hii ya kisufi
@NaodaNaoda-du3xg2 ай бұрын
Tuwaheshimu maaheikh wetu,kuna watu hata hadithi 5 hajaifadhi,lakini Hodari sana kuwakosoa masheikh
@MussaShemndolwa2 ай бұрын
Mashaallah❤
@fahadfahmy2 ай бұрын
Mashaallah kwamara yakwanza kuona mtu kutunzwa kwakuadhini
@rahmahamidu93192 ай бұрын
Jalla jallla
@jogoomohamed26522 ай бұрын
Kipenzi cha watu,mtu sahihi sanaaaa jmn kwa WAISLAM.Hakika nakupenda.Shekhe Waleed
@mailacamillius2 ай бұрын
Sheikh ADAM huyo ni fasiqi, muhuni.......anakula rushwa.
@allykabaang2309Ай бұрын
Allahu akbar 😢
@HERRYSEIF-d7x2 ай бұрын
Hawa ndio zawaadi ambayo Allah ametujaalia watanzania kuwa na masheikh kama hawaaa,bila kumsahau othman maalim vyuma hivi dahh wallah napata raha sana kuwackiliza hawa elimu ya dini imewafikia na wanaifanya inavyotaka
@abdulmgassa78482 ай бұрын
Asalaam shekh kwa mpango huo shekh ni mzuri sana pia shekh waru watoe michamgo ili uisilamu uinde mbele nina hakika kila kata kila wilaya ilikusanya pesa za waisilamu kila ijumaa tu au kila siku kila misikiti ambayo ipo basi hakutakuwa na shida ya umasikini mayatima wagonjwa shule hospital na vingine vya zaidi n.k huo kupeleka uisilamu kwemda mbele shakh hilo linawezekana kabisa huyu iblisi tu mshenzi kafanya mashekh kubishana na kupishana kwa mambo ambayo hayana maana samahani kama nitakuwa nimewakera
@ElBahrMedia2 ай бұрын
Bila samahani @abdulmgassa7848
@hassansinani34592 ай бұрын
Subhanallah
@salummwanga81812 ай бұрын
Hawa masheikh kila waongeapo hutakosa chembe au aina ya shirki yazungumzwa, tauhid 0.
@RashidSuleiman-i3y2 ай бұрын
Apo shirki iko wapi shekh
@salummwanga81812 ай бұрын
@RashidSuleiman-i3y Nmesema ameongea shirki au aina au kitu kinachofanania na shirki ndo maana yangu, we unamfaham jin?
@RashidSuleiman-i3y2 ай бұрын
Lakin yeye ameambiwa na mtu kuhusu jini sio yeye alieona na hakuweza kumtukana akamjibu kwa ufupi tu kuwa jini hilo ni zembe. Sasa mm sio mjuzi na nikataka kujifunza Kutoka kwako ndugu yangu basi km hakuna shirki inshaallah kheri kaka angu
@salummwanga81812 ай бұрын
@RashidSuleiman-i3y Sawa al-akhii mbora
@Brother_kakoso2 ай бұрын
Dah sheikh walidi unajua umentia huzuni saana Why useme imebaki miaka miwil upatwe na umauti. Umetamka maneno hayo kama mzaha tu lakin yanaukwel ndani yake Namuomba allah asikufishe kabla sjakutana na wewe aaamin Sekunde ya 32 ndio umeyatamka maneno hayo😢
@ElBahrMedia2 ай бұрын
Usihuzunike sheikh nguruka
@Brother_kakoso2 ай бұрын
@ELBAHR2024 Sawa akhy
@BabySheni2 ай бұрын
Mashallah
@AndulHida-hs5py2 ай бұрын
Inshallah mola awabariki viongozi wetu wadini , Ili jambo hili likamilike haraka inshaallah mola awatie nguvu