Minauliza je unaweza kutumia siagi kwa kuchanganyia unga?
@carolharo23 күн бұрын
Ndio unaweza Hakikisha unachanganya vizuri
@tajiriskitchenswahiliflavo172324 күн бұрын
Mahamri yanavutia sana 😋
@carolharo24 күн бұрын
Thanks dear
@KamanJudy24 күн бұрын
❤❤❤❤
@Naturally_naah24 күн бұрын
Makande au nmekosea?😊
@carolharo24 күн бұрын
@@Naturally_naah kabisaa
@EmmanuelPaschal-x1g25 күн бұрын
Samahani dada vp kuhusu amira
@carolharo24 күн бұрын
@@EmmanuelPaschal-x1g sijatumia hamira
@carolkimiri98826 күн бұрын
Amira what quatity
@carolharo24 күн бұрын
Kijiko kimoja kikubwa kilichojaa vizuri
@MonicaMhina-ku6pe27 күн бұрын
Maji ya moto au barid
@carolharo27 күн бұрын
@@MonicaMhina-ku6pe maji ya kawaida
@PrincessMaryam-c1rАй бұрын
Asnt sn chimomy kwa tuliokoa Oman tunaita adesi ila adesi zile ngumu so laini
@alexfinyange3333Ай бұрын
😋
@lornambeyuАй бұрын
🥵🥵
@fredrickmutileАй бұрын
Good cooking but for me I don't like the so called roikos at all but Curry powder my most favorite
@carolharoАй бұрын
@@fredrickmutile I personally can't cook without royco cubes to be specific,, You can just use what's best for you
@JulyMmasyАй бұрын
Kama Sina mayai jaman
@carolharoАй бұрын
@@JulyMmasy sio lazima
@estheryamat6121Ай бұрын
Mbona unga wenyewe mmbaya hivyo wooooiiii bora nitumie wa ppf
@carolharoАй бұрын
@@estheryamat6121 tumia wenye si mmbaya kwako
@SilidionSimonАй бұрын
Napenda kazi iyo
@vyonneeugine7507Ай бұрын
Zinapasuka poa half cake
@FebineAwuorАй бұрын
Tamuuu 😋😋
@NzeyimanaNadine-x5yАй бұрын
Sorry jamaniiii dengue nini
@FebineAwuorАй бұрын
Ziko tamuuu
@RehemaAlphonceАй бұрын
Changamot kuweka sukar
@carolharoАй бұрын
Hakikisha vishanuo vinapoa vizuri na sukari inanata ndio uanze kuchanganya Ama inakusumbua wapi?
@RehemaAlphonceАй бұрын
@carolharo asant dad nimewez nimeshaaz nakupiga hela
@RehemaAlphonceАй бұрын
Longer dad nijalibu chagamoto yangu nikuweka sugaring tu
@AbdallahKOMBO-ef1izАй бұрын
Sorry kuuliza ety visheti kwa kingerez mnaitaje
@PillyMwita-oz2yoАй бұрын
❤
@zenasalum2231Ай бұрын
Na kwanini kama huna jipya utumie lilotumika huo ni uchafu wa hali ya juu
@carolharoАй бұрын
@@zenasalum2231 kwani nakupika wewe??wewe ndio ulikula. Wewe fata maagizo jinunulie lako lipya
@MaureenOdhiambo-o8kАй бұрын
Unaweka maji kiasi gani kwa kilo mbili ya unga
@carolharoАй бұрын
@@MaureenOdhiambo-o8k inategemea na unga wako unautumia,ndio upate donge la sawa,weka maji kidogo kidogo
@MaureenOdhiambo-o8kАй бұрын
@@carolharo nashukuru barikiwa
@SamirBawazirАй бұрын
Ili afkec kupasuka zinasabisha nn
@francineirakoze7590Ай бұрын
❤
@ReginaPaul-vr6itАй бұрын
Asante
@nakalembejulie9604Ай бұрын
Translate to English, Thanx
@nasdalznkuba53692 ай бұрын
Dada samahn mm nikitengeneza sambusa. Zipo ambazo zinachanika kwa nn naomba unisaidie
@carolharo2 ай бұрын
@@nasdalznkuba5369 kuchanika vipi
@YustarKilian89gr2 ай бұрын
Unga unatakiwa uwe lain sana au wa kawaida to
@YustarKilian89gr2 ай бұрын
Unga unatakiwa uwe lain sana au wa kawaida
@rifaa1-ws4ew2 ай бұрын
Asante
@sumeyahassan84252 ай бұрын
Huweki sukari
@annewachira43172 ай бұрын
Asanteeeee ❤❤❤
@FaidhaLyimo2 ай бұрын
Somo zuri nimependa hujaongea Lunga ya wezetu❤
@HassanGodfrey2 ай бұрын
Kama huna casters powder unapika hivo hivo
@meloniekaria61532 ай бұрын
You don't even show how to install the rubber,,?
@sarahdonatus-u4y2 ай бұрын
Nikichemsha kidogo ka dakika 5
@urbanpoultry62012 ай бұрын
Hello morning,ni baking Gani between baking soda and baking powder yenye inafanya half cake ama kangumu ipasuke? sababu nilipika half cake na unga ya kawaida kilo mbili nikaweka baking powder lakini hazikupasuka ,nilikosea wapi? Tafathali nitumie ingredients za unga wa wakaida kilo mbili,ndio nijue mahali nimekosea nianze biashara, kindly.