Пікірлер
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani 3 сағат бұрын
Zambia hakuna mambo kama aliyofanya chama kuisaliti timu iliyokuheshinisha inabidi arudi nyumbani baada ya kip8ndi kifupi arudi simba aiombe msamaha bila hivyo ndo mwisho wake
@Mathamayaka
@Mathamayaka 4 сағат бұрын
Muache auondoke yanga kubwa kuliko chama
@DanielJamesNgulo
@DanielJamesNgulo 20 сағат бұрын
Hongera. Dosa unaongea ukweli hupo kwenye ushabiki wanaokubeza wanataka uongee uongo wengi wanakutukana achana nao
@shiraissa8626
@shiraissa8626 Күн бұрын
Kumamamayo Dosa msenge sana ww mbwa
@LucyMambally
@LucyMambally Күн бұрын
Wachambuzi wanapokuwa washabiki wa Timu wasirihisiwe kuhojibwayu kwa Sababu wanaondoa ladha ya mahojiano. Waondolewe kwenye uchambuzi wakae ofisini. Interview ya hovyo hii.
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 Күн бұрын
Huyu mtoto Dosa sijui, ni shabiki au mwanachama na kama mwanachama ni mwanachama wa tawi gani?
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Күн бұрын
kiongozi wa Nchi anaisifia simba Tuseme wee Nani uache kumuunga mkono
@abubakarihassan3180
@abubakarihassan3180 2 күн бұрын
Yanga wanafeli kwa kuamini sana ichawi
@VeteranSamweli
@VeteranSamweli 2 күн бұрын
Raisi haondoki,Raisi ndo ijini ya yanga,kwahiyo panga lisiangalie elimu,ukoo,urafiki,rafiki yake na baba,shangazi ni kukata ili yanga izaliwe upya.
@FrankKwanama-lo6fj
@FrankKwanama-lo6fj 2 күн бұрын
Injinia asiwaze kuondoa wengine na yeye aondoke, yeye ndo anae sajili wachezaji wazee na makocha wabovu!
@hamisikapute598
@hamisikapute598 2 күн бұрын
Huna hoja
@ShabaniFundi-m1l
@ShabaniFundi-m1l 2 күн бұрын
Tuliza kijambio
@Ciristian-q7p
@Ciristian-q7p 2 күн бұрын
Wamuache tu aje Simba daaa
@pastor_mashimo
@pastor_mashimo 4 күн бұрын
Mliokuwa mnaweka comment za kunitukana kwa sababu ya Yanga kuitabiria kuto kwenda robo fainali mupo wapi sasa hivi.
@PeterMasolwa
@PeterMasolwa 5 күн бұрын
Tunaomba tushide kesho goli 3
@josephgalandu128
@josephgalandu128 6 күн бұрын
Kipigo tuuu
@JumanneBahati
@JumanneBahati 6 күн бұрын
Uhakika
@Shubbykm
@Shubbykm 6 күн бұрын
Tatizo halipo baba yetu ,kikubwa kibali kutoka mungu,na atawapatia kibali yanga kuingia robo nshafi fainali
@Shubbykm
@Shubbykm 6 күн бұрын
Tatizo halipo baba yetu
@SantinaChale
@SantinaChale 6 күн бұрын
Ni kweli kabisa babu yetu.Ninaitakia sana timu yetu.ushindi.Mungu ibariki Yanga yetu.Hongera babu dua lako litimee.Gusa achia twende fainal.
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 6 күн бұрын
Maneno ya wazee nj dawa nina hakika aliyesema mzee yatatokea suburi muone. Mungu ibariki timu yangu ya Yanga.
@joojombi2341
@joojombi2341 6 күн бұрын
Dogo wacha kupotosha umma maswali yako ya kipuuzi dogo badilika huoni aibu wee.
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 6 күн бұрын
Mara mpira haram mara mzee aache kwa sababu ya stress sasa ina maana wewe unajua afya ya mzee kuliko yeye mwenyewe.
@omarimamboleo2634
@omarimamboleo2634 6 күн бұрын
Amekwambia.hafanyi ibada
@kassidpandu866
@kassidpandu866 6 күн бұрын
Mpira ni kharam Mungu hawezi kupokea Maombi ya Mpira
@khamissehel-jr1cs
@khamissehel-jr1cs 6 күн бұрын
unaharamisha mpira kwa dalili ipi?
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 5 күн бұрын
Anasikia maombi ya mshirikina itakuwa mpira?? Mungu anakupa unachokiomba kuhusu hukumu anajua yy
@kassidpandu866
@kassidpandu866 6 күн бұрын
Mzeee kwa umri wako sasa ni Muda wa ibada achana na hayo mambo yana stress sana
@SalmaSamweli-v8y
@SalmaSamweli-v8y 6 күн бұрын
Una uhakika kuwa hafanyi ibada wanaadam muogopeni Mungu katika kuwa wazia maovu waja wa Allah
@Allyhadiya
@Allyhadiya 6 күн бұрын
Inshaallah
@Allyhadiya
@Allyhadiya 6 күн бұрын
Inshaallah Allah awatangulie yanga Amiin
@christopherbonifacekiputa8584
@christopherbonifacekiputa8584 6 күн бұрын
Daima mbele! Nyuma mwiko
@aminasogo5780
@aminasogo5780 6 күн бұрын
Baba nimekuelewa
@fathimadaid3429
@fathimadaid3429 6 күн бұрын
Amina
@kolosii4351
@kolosii4351 6 күн бұрын
Asante baba yangu, shikamoo.....
@AminaTanzania
@AminaTanzania 6 күн бұрын
Amina amina baba
@PhilipJohn-t7j
@PhilipJohn-t7j 6 күн бұрын
Mzee wangu uko vizuri sana majibu safi na hiyo ndiyo hekima ulijaliwa good
@AminaTanzania
@AminaTanzania 6 күн бұрын
Mungu mwema
@AminaTanzania
@AminaTanzania 6 күн бұрын
Mungu mwema kwa wana yanga
@MikidadiKambinda-tr6rl
@MikidadiKambinda-tr6rl 6 күн бұрын
Asante. Yote. Kwa. Yote. Wanayanga. Wote. Kwa. Pamoja. Dua. Zetu. Jumamosi. Kwa. Uwezo. Wake. Mola. Subuhana. Hu. Wataara. Ataleta. Kheri
@abicotv4897
@abicotv4897 6 күн бұрын
Nampenda huyu mzee ana hekima katika kujibu
@ReubenKachunga
@ReubenKachunga 6 күн бұрын
Majibu ya mzee yanalizisha sana anajibu kitaalam sana kanifurahisha
@ramadhaniOsujacki
@ramadhaniOsujacki 6 күн бұрын
Tunaitaikia yanga ushindi wowote na kwa uwezo wa mungu inawezekana mungu awabariki yanga kwa mchezo ujao
@ErastokiongoziKiongozi
@ErastokiongoziKiongozi 7 күн бұрын
Yanga Haina deni na ndio sababu imefanya usajili bora sana, hongera sana kwa uongozi wa yanga
@MohamedRugamana
@MohamedRugamana 11 күн бұрын
Mzee mpira haujui
@laninjeje8290
@laninjeje8290 11 күн бұрын
Mzee tulia ulee wajukuu, vipi Dube alianza kufunga magoli au mpaka akaombewa😂😂
@OmarHakim-j6i
@OmarHakim-j6i 11 күн бұрын
Mzee Acha sifa ww mdomo utakuponza.....unajifanya mungu wa pili shenz sana
@PaschalP-x5c
@PaschalP-x5c 11 күн бұрын
Napenda
@TemboMabala-y1w
@TemboMabala-y1w 11 күн бұрын
Tuna kiu kubwa Simba d am
@King9King9nashon
@King9King9nashon 11 күн бұрын
hayo y a malipo.kamwambie mama yako kama yanakuhusu
@RamadhaniSelyvester
@RamadhaniSelyvester 13 күн бұрын
Naomba wa twanga pepeta😊
@RamadhaniMwambe
@RamadhaniMwambe 14 күн бұрын
Numbe walikwambia.wanadeni.laokra sio.hongera msemaji.wayanga hatujui hilo
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 14 күн бұрын
Yanga ina viongozi bora sana, akina eng na arafat ni watulivu sana, yanga hawatashindwa kusajili.
@TajiriPoti
@TajiriPoti 14 күн бұрын
Maako hana deni nyoko dela unalijuwa bwege wangekuwa hawana hela wangesajili huyo mriye sajili mrimtangaza
@fadhirhemed5740
@fadhirhemed5740 14 күн бұрын
Tatz sio mfumo ni deni la okra magic
@saidmailo8491
@saidmailo8491 11 күн бұрын
Mwenyewe unavailable hadi usingizi upat jua yanga timu kubwa
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 10 күн бұрын
peleka mku ...... uko