Mchungaji Semba Mungu akubariki sana kwa sababu ni mmoja kati ya jamii ya wasabato waliotubutu kuifundisha kweli ya biblia waziwazi itakayomweka kila aaminiye kuwa HURU na Kumjua zaidi MUNGU endelea mbele zaidii... ila niwaombe wasabato wengine wengi wanaokana hili na kukupinga na kuyapinga mafundisho yako haya juu ya Utatu na kimsingi ni findisho la UUNGU .. na ili ujue ni shetani na roho ya mpinga Kristo ndio inatenda kazi kwao .. wote wanaobisha YESU kuwa Mungu mbona kila ALIPOSUJUDIWA HATA CHINI YESU hakuwakataza waliomsujudia kwa sababu yeye sio MUNGU...!!! basi kama YESU sio Mungu basi HACHENI KUANZIA LEO Kuomba na kulitumia jina hilo la YESU ambalo sio jina la Mungu na tumieni majona mengine mnayoamini kama walivyo WAYAHUDI WASIO AMINI KWA YESU NA KATIKA YESU...
@ZedekiaSawiga-nr9ws2 ай бұрын
Sikuwah kuona pasta mweny msimamo wa kufundisha biblia kwa uongo kiasi hiki
@JumbeFamilySingers2 ай бұрын
Amina wapendwa mbarikiwe sana kwa huduma yakumtukuza Mungu
@lucynyigana28013 ай бұрын
AMINAA
@elishuaisaya41763 ай бұрын
Nashangaa kutokuikuta comment
@ferdinandkamandi90284 ай бұрын
Nitarudi tena kubariwa kwa nyimbo zenu. Pr Kamandi Ferdinand
@josephgandama80874 ай бұрын
Yesu ni mwana wa Mungu, lakini sio Mungu mwana ..
@EvaNgaga5 ай бұрын
Mubalikiwe. Watumishi wa. BWANA
@emanuel41485 ай бұрын
Heeeee! 😂😂😂😂😂😂😂
@Sabatoy-gt4qc5 ай бұрын
Mchungaji nimekuerewa ubarikiwe
@EvalineMoraa-w7s5 ай бұрын
Amen
@EvalineMoraa-w7s5 ай бұрын
Amen
@dismasamani3835 ай бұрын
@Dkt. Lucas Nzungu, tafadhari dondoo hii kuhusu watumwa hawa wa Africa, kutoka kwa maandishi ya Dada White
@dismasamani3835 ай бұрын
Naomba dondoo hii kuhusu slaves walitopelekwa utumwani Ulaya, Barikiwa Mch @Dkt. Lucas
@KimilaSayi5 ай бұрын
Mungu awabariki sana watumishi
@gabrielsaelie80916 ай бұрын
Kwa neema na upendo wa Mungu BABA na wa Bwana wetu Yesu Kristo, hatuhitaji kuwa na elimu kubwa ya philosofia au theologia au kuelimika katika lugha ya kiyunani au kilatini ili kumjua MUNGU WA MBINGUN. Mungu wa Mbinguni anajifunua wazi kwetu kama ulivyoandìkwa: Yohana 17:3 UZIMA WA MILELE NDIO HUU, WAKUJUE WEWE MUNGU WA PEKEE NA WA KWELI NA YESU KRISTO ULIYOTUMA. Soma bibilia katika nyaraka zote za Paulo Mtume kwa kuungozwa na Roho wa Mungu/Yesu (barua zote sura 1:1-2) alizowaandiaka makanisa hivi: NEEMA ZITOKAZO KWA MUNGU BABA NA KWA BANA WETU YESU KRISTO. Mungu BABA ndio yeye Mungu wa pekee na ni wakweli. Na kwa yeye huyo Mungu BABA tuna MWANA. MUNGU alimzaa mwana pekee tokea milele yote kabla ya kuubwa kwa dunia na vyote vilivyopo. Methali 8: 22-28 Na katika Mungu kuupenda ulimwengu/mwanadamu wenye hatia kutokana na anguka la Adamu pale Aden akamtuma Mwanaye wa pekee ili azaliwe katika mwili wa kibinadamu kupitia kwa bikira Maria akajulikana kama YESU KRISTO ili kwa njia ya kafara ya msalaba amwondolee hatia mwanadamu aliyoanguka. (Injili ya Yohana 1: 1-5) Mungu BABA ndio MUNGU PEKEE NA KWELI. YESU KRISTO NI MWANA PEKEE WA MUNGU ALIYEKUFA MSALABANI KWA AJILI YA WAKOVU WA MWANADAMU. ROHO YA MUNGU/YESU MDIYO INAYOONGOZA NA KUFANIKISHA MAPENZI YA MUNGU TOKA ZAMA ZA MANABII NA WAKATI WETU HUU NA HADI KUAMA. Huo ndio UUNGU. Na sio UTATU kama inavyohubiriwa kwa upotofu. Yupo Mungu BABA, yupo Bwana wetu Yesu Kristo na Roho ya Mungu/Yesu inayongongoza mwanadamu katika kutimiza mapenzi ya MUNGU. Fundisho la utatu sio la Kibibilia ni la uwongo katika upagani na nifundisho KUU la shetani. Fundisho la Mungu mmoja katika nafsi tatu yaani UTATU wa mungu baba, mungu mwana, na mungu roho mtakatifu ni Udanganyifu na hila ya kutisha ya kumpandisha Lusfer aabudiwe kama MUNGU WA MBINGUNI. Ezekieli 28:1-19. Tuikatae hii hila hatari ya shetani ya kumwabudu katika makanisa kwa jina la upotofu la kuwa nafsi ya tatu ya MUNGU kama "mungu ROHO MTAKAIFU
@paschalcosmas60936 ай бұрын
Ni sawasawa kwa asili
@esthersimuli99526 ай бұрын
Amina
@lucasjames33987 ай бұрын
Naombeni wimbo wa titanic muuweke make upo nusu
@Wamisangi8 ай бұрын
Matendo ya Mitume 2:43-47
@yusuph15478 ай бұрын
Mungu awabariki
@EliabuShima8 ай бұрын
Yesu ni Mungu kwa asri na sio kwa nafsi maana amezaliwa na Baba.
@askaojika52786 ай бұрын
You are nit right on the head. Jesus was not born literally but it was a symbolically. God referred that as a covenant term.
@EliabuShima6 ай бұрын
@@askaojika5278 the bible says Jesus is son of God
@richardchimba380029 күн бұрын
@@askaojika5278hapana huo ni uwongo,Yesu amezaliwa na Baba.
@EliabuShima8 ай бұрын
Yesu alizaliwa kabla Dunia haija umbwa mithali8:22_25. ko Yesu kuitwa Mwana wa Mungu sio kwa kuja duniani.
@askaojika52786 ай бұрын
Jesus was not born literally , the term was just simbolical
@adamngaragara7494Ай бұрын
Soma Sura nzima ya mithali 8 ,hapo Suleiman anazungumzia hekima Kama kiumbe anae Lia,yaani kutenda
@richardchimba380029 күн бұрын
@@askaojika5278 😢hii ni ngumu sana so Yesu aliposema yeye ni mwana wa Mungu alikuwa anatuongopea ?
@Mahershalalhashbazi-kf6xi8 ай бұрын
Ubarikiwe sana pastor
@SelijusiMalambo8 ай бұрын
Mko wap wapendwa rudini muimbe
@SelijusiMalambo8 ай бұрын
Ame saaaana ndio uimbaji
@mkarukabrella9 ай бұрын
Amen
@mutuamakau98739 ай бұрын
Pst kenya tunapenda mauniri yako Bwana na akubariki
@PendoUzze9 ай бұрын
Pamoja wapendwa
@wamisangi28019 ай бұрын
Mabano/dhambi/ brackets/Kifungo.
@ZachLoticto10 ай бұрын
good work my people the agender is 0ne (i will go)
@NoahSeludao10 ай бұрын
Mbarikiwe ujumbe mzur wakujiandaa kumlak mwokoz
@issakhamis765010 ай бұрын
Unaweza kuacha uti wa mgongo hapo
@PrincessHellen-pg1oy11 ай бұрын
Kwani hawajaangalia maji yapo ujazo gani
@fifo2628 ай бұрын
Ujazo unakua mkubwa apo
@abubakarali557311 ай бұрын
Safiiiiiiiiii y khaluaaa❤❤❤❤❤❤❤mambo ya Ali Nassor Kibichwa.
@MuhammedRashid-z4r11 ай бұрын
❤baby kubwa ❤
@lucynyigana280111 ай бұрын
AMINA AMINA JINA LA BWANA LITUKUZWE MILELE AMINA!!!
@lucynyigana280111 ай бұрын
MUNGU tusaidie uwasaidie nawale woote wenye matatizo mbalimbali uweze kuwaponya !