Пікірлер
@abdulsimbarakiye4145
@abdulsimbarakiye4145 5 ай бұрын
Tafadhali nakuomba kujuwa kama bado hipo sokoni mimi nipo Amsterdam Netherlands
@amanambise5747
@amanambise5747 2 жыл бұрын
Nyumba inapaishwa na location sio uzuri wake. Hiyo bei kwa hiyo nyumba hapana.
@gracemlawa8917
@gracemlawa8917 2 жыл бұрын
Tatizo mnatumia muda mwingi kumuonesha huyo Binti baada ya kuonesha vitu husika,kamera inatumia muda mwingi kumuonesha mtu,kwenye vitu mnaibiaibia tu.ni km mnabiashara ya ziada bhana.embu herekebisheni hiyo video,na kulikuwa hakuna haja yakumuonesha huyo Binti sauti yake ingetutosha.aksante
@salvatorysetembo5038
@salvatorysetembo5038 2 жыл бұрын
Habari zenu .ivi mnanyumba iyo 2 au mnazozengine.alafu haipungui iyo nyumba jamn
@asilesaid9263
@asilesaid9263 3 жыл бұрын
Naomba namba ya sim yenu
@tzliving3649
@tzliving3649 3 жыл бұрын
+255 745 111 663 tutafute Kwa Whatsapp
@samiramohammed9758
@samiramohammed9758 3 жыл бұрын
Habari zenu na naweza kupata ya chini vyumba 4 semunzur
@tzliving3649
@tzliving3649 3 жыл бұрын
Yes. Just contact +255 688 182 545 Danford. Karibu