Пікірлер
@BelieveMirimi
@BelieveMirimi Күн бұрын
I m very happy to see sister Yunisi
@JoycHeneriko
@JoycHeneriko Күн бұрын
Mungu awasimamie
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Күн бұрын
@@JoycHeneriko amen
@JoycHeneriko
@JoycHeneriko Күн бұрын
Naipenda sana hio shule nandooma mdogo wangu nikamleta hapo💚💚💚💚
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Күн бұрын
@@JoycHeneriko safi sana, tunamtakia masomo mema
@janeanet6209
@janeanet6209 3 күн бұрын
Ameen
@celinasadi5264
@celinasadi5264 4 күн бұрын
Msamaani sana kaka namba iko wapi sasa yakumsaidiya uyo mtoto
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 4 күн бұрын
Barikiwa sana +255757432694
@celinasadi5264
@celinasadi5264 Күн бұрын
@@BMGOnlineTV Mbona sasa aunijibu
@johnramadhani6011
@johnramadhani6011 4 күн бұрын
Namba ziko wapi
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 4 күн бұрын
Barikiwa sana +255757432694
@MaryLeea-ru6it
@MaryLeea-ru6it 5 күн бұрын
Amina
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 5 күн бұрын
Barikiwa
@avellybasil2607
@avellybasil2607 6 күн бұрын
Ubarikiwe mtoto yunis
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 5 күн бұрын
Amen
@emmanuelkahangamabula6527
@emmanuelkahangamabula6527 6 күн бұрын
Soko lake likoje
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 6 күн бұрын
Mfugaji kasema soko liko vizuri
@emmanuelkahangamabula6527
@emmanuelkahangamabula6527 6 күн бұрын
Bukini kifaranga unauzaje?
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 6 күн бұрын
Wasiliana na mtaalamu
@elishad209
@elishad209 7 күн бұрын
Namuomba Mungu uwe rahisi wetu
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 6 күн бұрын
Barikiwa
@omaryissa1821
@omaryissa1821 7 күн бұрын
Hamna kitu hapa hana ma keke
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 7 күн бұрын
Ajitahidi kuongeza
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 7 күн бұрын
Au babu wa Loliondo
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 7 күн бұрын
Labda
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 7 күн бұрын
Au babu wa Loliondo
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 7 күн бұрын
Yunis wa Bukama
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 7 күн бұрын
Uongo labda aliota na mjinga anamporomote mtoto au amekaririshwa nakumbuka Siku za nyuma alitokea shehe Sharifa mashehk wakawa wanazunguka hapa Tanzania, Kenya,na kwingineko kumfanya ni mradi kujipatia pesa acheni hizo na wewe mtangazaji naona unaelekea huko kwa Mashehk wa Sharif
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 6 күн бұрын
Shika sana imani yako
@collinskoech8406
@collinskoech8406 8 күн бұрын
Tazama kutoka kenya mama maria tuombee
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 6 күн бұрын
Barikiwa
@chebsemmie8691
@chebsemmie8691 8 күн бұрын
Naomba mbarikiwa Eunice aniombe Pamoja na familia yangu
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 6 күн бұрын
Amen
@AshaMwamba-g3l
@AshaMwamba-g3l 8 күн бұрын
Pamependezaaa jamanii
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 8 күн бұрын
Amen
@user-jc1do5gf3w
@user-jc1do5gf3w 8 күн бұрын
Sasa hayo maelekezo nayo mlipewa na Mama Bikira Maria,,?
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 8 күн бұрын
Yapi?
@tatumaganga-zx1qo
@tatumaganga-zx1qo 8 күн бұрын
Baba tuliakwa mama manaa nyota imewangazia
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 8 күн бұрын
Amina
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 8 күн бұрын
Hii pesa kasitoa wapi hii dunia ni atari sana
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 8 күн бұрын
Itakuwa ni michango na nguvu za wajenzi wa kanisa lake
@ElodieNgezahayo-gw7zq
@ElodieNgezahayo-gw7zq 9 күн бұрын
Ni baraka kwetu Sisi wote. Mutupe Num za mze Julius ogot. From Burundi
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 9 күн бұрын
Amen
@FadhiliMesha-pd2th
@FadhiliMesha-pd2th 9 күн бұрын
mbona hamtuonyeshi ujnzi wa stesheni mwanza
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 9 күн бұрын
Sawa
@sedelaauma9066
@sedelaauma9066 10 күн бұрын
Nauliza naweza ombewa kupitia picha endapo Sina nauli ya kufika rorya .alafu nikipata nauli hapo badae nije
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 10 күн бұрын
Barikiwa sana
@sedelaauma9066
@sedelaauma9066 10 күн бұрын
Sister terezia nilishawai kumskia kenya tena mombasa
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 10 күн бұрын
Wako wengi sasa
@theresiakiwale2090
@theresiakiwale2090 10 күн бұрын
Kwa kweli sinamashaka na huyu mtoto sema Baba yake tapeli mkubwa
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 10 күн бұрын
Mungu amsamehe sana, mwombee pia
@EsterKomba-q3f
@EsterKomba-q3f 10 күн бұрын
Nakuombea mtoto Yunis na nakupenda Bwana aendelee kukutumia kuponya watu,niombee nami nasumbuliwa na mguu wa kulia na kiungulia.Uwe na Jumapili njema.
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 10 күн бұрын
Mungu akuponye, amen
@simonmchami
@simonmchami 10 күн бұрын
Natamani nipate namba za wazazi wake ninashida na wazazi wake nakumbuka nilishagika hapo kwao lakini namba nilipoteza kwa bahati mbaya
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 10 күн бұрын
Tuwasiliane
@simonmchami
@simonmchami 10 күн бұрын
@@BMGOnlineTV sawa lakini mawasiliano ni namba ya simu tu naomba kuipata
@EstherJerald-tc6ct
@EstherJerald-tc6ct 11 күн бұрын
Amina
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 11 күн бұрын
Barikiwa
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 11 күн бұрын
Ni aibu kubwa sana kw nchi yetu, mji wa pili kwa ukubwa na uzalishaji kukosa Aiport. Kila kitu kimesahalika. Angalia CCM Kilumba. mji ulio kando ya ziwa kubwa duniani wananchi wake kuwa na tatizo la maji ni aibu isiyo na kiwango. Huu ni ukweli na siyo majungu.
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 11 күн бұрын
Nini kifanyike mdau?
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 11 күн бұрын
MJI NIUPENDAO SANA KWENYE MAISHA YANGU
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 11 күн бұрын
Karibu sana Mwanza
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 11 күн бұрын
@@BMGOnlineTV ASANTE SANA
@beatricenangale5439
@beatricenangale5439 11 күн бұрын
Mimi nilishaonana na Eunice, nilishangaa kuona ukarimu wake wa kutukaribisha na kutufanya tujisikie nyumbani. Zaidi sana anavyoonhoza saña, hata alipotumwagia maji niliona ni kweli wenye mapepo yanatoka. Pia anapocheza na watoto wenzake kwa Amani bila kelele. Hapendi ile Rosary kubwa iliyowekwa juu kwenye sanamu ya Bikira Maria ikushatumika iachwe, ikitumika ipekwe mahalii pake mara moja😢
@beatricenangale5439
@beatricenangale5439 11 күн бұрын
Nakubaliana sana na wewe mwandishi wa Habari. Tunapaswa kuwaombea wazazi wa Eunice
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 11 күн бұрын
Barikiwa sana
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 11 күн бұрын
Amen
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 11 күн бұрын
Guns alienda wapi? Acha uongo wewe mzee
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 11 күн бұрын
Sawa sawa
@user-nn3qi1ht8h
@user-nn3qi1ht8h 12 күн бұрын
Nasi thunaitaji maombi kwajili yaiciyethu yakongo tunaomba musaada
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 11 күн бұрын
Amen
@user-nn3qi1ht8h
@user-nn3qi1ht8h 12 күн бұрын
Mutuombeye nasisi matatizo nimengi
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 11 күн бұрын
Barikiwa
@RoseMakutw
@RoseMakutw 12 күн бұрын
Mungu atawale ni junior Nicholas
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 11 күн бұрын
Amen
@FatumaMamlo-st8pj
@FatumaMamlo-st8pj 12 күн бұрын
Toa mwenyewe mtangazaji misimo khaa pesa yakujenga majumba ipo ila ya.shule achangiwe tupishe wwkijana 😢😢😢
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 11 күн бұрын
Amen
@florangido202
@florangido202 12 күн бұрын
We mzee si umsomeshe Mtoto wako... Pesa za Sadaka unapeleka wapi?? Kila Siku Mtandaoni. Hiyo huduma unahifanya Biashara. Usimtihumu PADRI, PLEASE!!
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 11 күн бұрын
Amen
@MagesaMarubiri-sp6sg
@MagesaMarubiri-sp6sg 12 күн бұрын
Nyumbn kumenogo
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 11 күн бұрын
Kabisa
@PienciaFrancis-xi6mi
@PienciaFrancis-xi6mi 13 күн бұрын
Namshukuru sana mama yangu bikira maria kwa zawadi ya uhai
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 12 күн бұрын
Amen
@Mwaminimagesa
@Mwaminimagesa 13 күн бұрын
Nauza bata bukini
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 12 күн бұрын
Uko wapi
@sr.elizabethmbuligwe5540
@sr.elizabethmbuligwe5540 13 күн бұрын
Baba Mimi naona hao akina Sr telesia ni wengi na mashirika ni mengi labda msubiri ufunuo atawaonesha
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 12 күн бұрын
Amen
@drnow1528
@drnow1528 13 күн бұрын
Mimi binafsi namkubali Aunise. Walio na wivu washindwe
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 13 күн бұрын
Barikiwa
@fransiscambithe7674
@fransiscambithe7674 13 күн бұрын
Mimi ni fransisca mbithe kutoka Nairobi Kenya sr unice siti kuniombea uparikiwe sana
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 13 күн бұрын
Amen
@Josephinelatin
@Josephinelatin 13 күн бұрын
Mungu mpe yunis Miaka mingi ya kuhishi mm naomba yunis anikumbuke kwa maombi yake kila mara amen
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 13 күн бұрын
Amen
@DM.2200
@DM.2200 14 күн бұрын
Nauli toka kilimanjaro hadi kumfikia eunice ni sh ngap?
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 12 күн бұрын
Ulizia Arusha- Mwanza huko huko uliko watakuambia. Kisha Mwanza- Tarime hadi Bukama ni 18,000
@RoseGathoni-d3j
@RoseGathoni-d3j 14 күн бұрын
Nope namba nya mbamba yunis tafathari
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 12 күн бұрын
+255757432694 BMG
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 14 күн бұрын
Amen
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 12 күн бұрын
Barikiwa
@apondisinozieber3038
@apondisinozieber3038 14 күн бұрын
The comment above is a very ignorant one.Truth will come to you very late to your disappointment.
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 14 күн бұрын
God bless you