SWALA YA EID AL ADH-HAA
1:30
2 ай бұрын
KUANZISHWA KWA MWAKA WA KIISLAMU
1:01
Khutba Ya Eid Masjid Tawba
25:43
Жыл бұрын
15 April 2023
48:42
Жыл бұрын
Пікірлер
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 Күн бұрын
Acha kudanganya watu.. masahaba wamekufa na mtume hakuwakusanya watu na kuwaambia leo tukasomee kurani hitima wala lalkini juu yakaburi katu hakuna dalili Mukizuwa ndo mwatafuta dalili mwaibandika
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Күн бұрын
@@issaabdallah1205 na BATWILI imebainishwa pia KWA HOJA, kama huna hoja utabakia kununa sisi twaendelea
@FarajNachuma
@FarajNachuma 4 күн бұрын
Mashallah shekh wetu Allah akupe rehma akhera
@ishakaJuma-q2w
@ishakaJuma-q2w 8 күн бұрын
Mimi nauliza je kumtolea swadaka mzazi wako alie tangulia pia haifai
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Күн бұрын
@@ishakaJuma-q2w KWA mujibu ya majibu ya huyu asiojua jambo, basi halikuwepo jambo hilo. LAKINI kisheria ya DINI kheri zafaa
@tokorizkijaya1097
@tokorizkijaya1097 9 күн бұрын
Na'am akhi.
@AbdallahMnyiwe-he2zu
@AbdallahMnyiwe-he2zu 13 күн бұрын
Kwa nini unaenda kumhijia au kumfungia?
@MussaAlly-c2h
@MussaAlly-c2h 19 күн бұрын
Wallahi nikweli tumuombe allah atupe mwisho mwema
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i 20 күн бұрын
Jambohili uhitaji kusoma kur Ani no ubainishi wakilakitu yukovizuri sheikh
@balkissMuhammad-sk1ic
@balkissMuhammad-sk1ic 23 күн бұрын
Bismillah
@balkissMuhammad-sk1ic
@balkissMuhammad-sk1ic 24 күн бұрын
Bismillah maashallah
@balkissMuhammad-sk1ic
@balkissMuhammad-sk1ic 24 күн бұрын
Bismillah
@user-po9wi5lh1o
@user-po9wi5lh1o 24 күн бұрын
Huyu ni wahabi sio suna Hawa Kila kitu hakifai wameleta fitina kwenye misikiti tangu liazishwe kundi hilo hata miaka miambili halija fikisha Sasa na ni bidaa kwasababu wameliszisha mtume s a w halijui ameondoka halipo
@user-ii2xd4vf5f
@user-ii2xd4vf5f 24 күн бұрын
Quran nayo ni dua
@mzeeHarubu
@mzeeHarubu 26 күн бұрын
Toa dalili kama inasihi kumsolea Quran maiti usipotoshe watu ibadhi we
@thuweinmassoud9062
@thuweinmassoud9062 23 күн бұрын
Hhh mzee wangu umesoma kitabu gani ambacho kimekataza kumsomea maiti qurani . kumbukà kuwa kuhusu hili jambo wanazuon wametofautiana tafadhali nenda kasome
@thuweinmassoud9062
@thuweinmassoud9062 23 күн бұрын
na mtu kuwa ibadhi haimaanishi kuwa sio muislamu sote ni waislamu acha kupiga nderemo
@AbuSaeed-pz2kb
@AbuSaeed-pz2kb 28 күн бұрын
Sisi waislamu hatusemi muislamu akifa katika hali fulani anakwenda motoni mpaka Mtume saw amesema ukimwona mtu amekufa katika hali fulani anakwenda motoni Kwa mfano Mtu mwenye kujiua mtume saw anasema anakwenda motoni 2-aliye kufa katika ushirikina Na mengineo
@hamisisalimu6908
@hamisisalimu6908 Ай бұрын
Sasa hizo rai za maulamaa ukizifuata ni dhambi?
@assalamtv8820
@assalamtv8820 Ай бұрын
ما شاء الله
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Ай бұрын
SHEIKH SAMAHANI. HADITHI DHAIFU YA KUSOMEA QURAN IPO SAWA. LAKINI NI DHAIFU. JEE WEWE UNAYO HADITHI SAHIHI YA KUKATAZA MAITY KUSOMEWA QURAN AU UMETUMIA SHAHAWA ZAKO KUPINGA?!
@medimisi6930
@medimisi6930 Ай бұрын
mtume amesema ushuhuda ni wa yule anaeidai . nyinyi ndo mutoe hadithi ya kuthibiti juu ya kusoma kur an.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Ай бұрын
​@@medimisi6930 MTUME SAW AMESEMA " HALALI IMEBAINISHWA NA KHARAMU IMEBAINISHWA" IPO hadithi dhaifu imebanisha HALALI uhalali WA kusomewa maity quran. SASA wewe lete hadithi sahihi au japo dhaifu useme Ni KHARAMU kusomewa maity. wewe mlalamikaji Lete dalili ya kudhulumiwa kwako.
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 Күн бұрын
Anaesema inafaa ndo atoe ushahidi
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Күн бұрын
@@medimisi6930 wapi Mtume kasema HAYO maneno MUONGO wewe?.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Күн бұрын
@@issaabdallah1205 MTUME SAW AMESEMA, HAKI IMEBAINISHWA NA BATWILI IMEBAINISHWA. sasa sisi tunafata kwa kuwa tunaamini ni HAQI, Sasa wewe unaepinga utuonyeshe kama hii ni BATWILI IMEBAINISHWA wapi?!
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn Ай бұрын
SHEIKH AMEELEZA UKWELI MTUPU JUU YA KAULI YENYE NGUVU JUU YA HILO ILA WATU WA BIDAA WANAANGALIA MASLAHI YAO TU MAANA HIZO NI AJIRA ZA WATU😂
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir Ай бұрын
Ni majibu ya kimadhehebu ama
@user-vn6wm8ff9p
@user-vn6wm8ff9p Ай бұрын
Huyu anababaisha.
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
shekh.nauliza viipi mushirikina na allh amesema wakifa hivyo ni finnari jahanamu sasa ukisema utakosea wakati allah ametubashiria kwenye vitabu, mtu akifa mushirikina akutubia allah kasema ni wamotoni sasa tutaachaje kusema huyu finnari jahanamu
@jumamohamed628
@jumamohamed628 Ай бұрын
Kumbe unajuwa kuwa hakuna Ittifaaq juu ya hilo jambo kwa Maulamaa mbona usiweke wazi tu unawafanya Maulamaa walio na rai tofauti yako kuwa wapotofu tu
@rashidissa5887
@rashidissa5887 Ай бұрын
Maiti asiombewe kwani nahisi si rahisi kuepuka kusoma Quran.Mara zote husikia" Fatihar", na hapo husomwa surat Alhamdu na kufuata dua.
@abumuhammadmbwana3964
@abumuhammadmbwana3964 Ай бұрын
Maashaallah
@feisaldube7296
@feisaldube7296 2 ай бұрын
Kumbe tanga waarabu wengi
@HusseinMussa-on8mo
@HusseinMussa-on8mo 3 ай бұрын
Shehe mtu akifariki hali ya kua ana miezi tisa kujifungua je?
@fahadsalim4403
@fahadsalim4403 3 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu shekh wangu
@user-sw2fi1gu4j
@user-sw2fi1gu4j 3 ай бұрын
Asante sana kwa hii elimu❤
@SalimuMohamed-nm2mr
@SalimuMohamed-nm2mr 3 ай бұрын
Mashallah sheikh
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 3 ай бұрын
Mashaalah
@muddylikwena128
@muddylikwena128 3 ай бұрын
Allah Akbar
@NurudinHamiss
@NurudinHamiss 4 ай бұрын
❤❤❤
@FaridAli-xg1sh
@FaridAli-xg1sh 4 ай бұрын
Mashallah
@user-gp6tl8mw8r
@user-gp6tl8mw8r 4 ай бұрын
Mashaallah
@shamsasaidhumoud165
@shamsasaidhumoud165 4 ай бұрын
ما شاء الله
@user-wn7gw6no9m
@user-wn7gw6no9m 4 ай бұрын
MashaAllah karibu Tanga sheikh
@minabuelysee8
@minabuelysee8 4 ай бұрын
MashaAllah
@yahyamaulana7791
@yahyamaulana7791 4 ай бұрын
Ziko rai za ulamaa lakini hii ndo twaona SISI ni thabit. Kwan nyinyi ni nani mpaka mukiona nyinyi ndo haki
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
Sikuzote Allah umuongoa amtakae watu mtu umezaliwa umekuta mababu zako wanafanya hizo bidaa na wanafundisha misikitini toka mkiwa watoto nani akueleze kitu umuelewe akimuacha kupotea Allah huwezi muongoza hata mtume aliambiwa hilo ww unakuwa unakuta wazee wako wanasoma kuruani makaburini wanasomea mayt arafu aje mtu akupe dalili za wazi kuwa mtume kakataza huwezi muelewa sabu mababu wako ndo walidumu kwenye bidaa hiyo utamuelewaje mtu na allah anasema katika kuruani wale wanaompiga pande mtume ali ya kuwa uwongofu umewababinikia tutawaelekeza watakako wao
@FaridAli-xg1sh
@FaridAli-xg1sh 4 ай бұрын
Mashallah
@FaridAli-xg1sh
@FaridAli-xg1sh 4 ай бұрын
Mashallah Allah atujalie miongoni mwa wenye kutubia toba ya kweli
@ahmedalzakwani7755
@ahmedalzakwani7755 4 ай бұрын
Assalam aleikum
@issasalum274
@issasalum274 4 ай бұрын
Haya ndiyo mawazo ya Ma-Answar Sunna. Hata kumtolea swadaka marehemu mzazi wako kwao ni bid-aaa. Inna Lillahi wa Inna Illayhi Raajiiuun
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
Acha chuki zako we kama hutaki hakkibunataka kufata uzushi fata si tunamfata mtume wwtu ninyi munaochukia chukieni hakki ndo hiyo alichofanya mtume tutafanya alichokataza tutaacha sasa unaifanyia ukaidi dini ya mungu ww utukaidi sisi unamkadi mtume ndugu sisi kufikisha tuuh
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Ай бұрын
Msikilize vizuri huyo shekh. Huyo sheikh si katika Answar Sunna ila ameongea kwa dalili na huo ndio usahihi. Mtume saw ndio kigezo chetu (role model) katika kila ibada, sasa tukuulize wewe, mbona mtume saw alifiwa na watu wake wengi wakiwemo wanawe lakini hakufanya huo uzushi? Mtume saw amefundisha kila kitu.
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
Sikuzote Allah akimuacha kupotea mtu huwezi muongoza ww kaka watu washapotezwa na mababu zao na mshehe wao wanaona kumsomea mayt kuruani ile ndo dinni kwenye madrasa zao toka watoto wanafundishwa hizo bidaa na wanazifanya kwahiyo vigumu kuwaongoza watu kama Hawa mpk Allah atake yeye ye alishasema mwenye kumpiga pande mtume aliyakuwa kashabainikiwa na wongofu tutampelekea alikoelekea
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn Ай бұрын
Hayo ni yako ww kwa sbb huelewi kitu yeye hajazungumza kutoa swadaka
@YaziduIddy-u7p
@YaziduIddy-u7p Ай бұрын
​@@user-yj5on8cz3eacha ufinyu wa elimu hadithi zipo nyingi tu za kusomea maiti quran thawabu zinamfikia
@ismailmuna1604
@ismailmuna1604 5 ай бұрын
Je Dua Ni Nini Sio Qurani Maana Dua Nyingi Ziko Ndani Ya Qurani Karim RABII GHUFRILL WALIWALUDAYA YAUMA YAKUMULHISAB JE HII SIO AYA KTK QURANI KARIM????
@JumaHashim-wv3ju
@JumaHashim-wv3ju Ай бұрын
Ni kweli hujakosea lakini ww mwenyewe jiangalie unapotaka kusoma Quran unaanzaje na unapotaka kuomba dua unaanzaje? hapo utaona tofauti kati ya dua na qurani
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Ай бұрын
Quran si dua elewa, ni muongozo ndani yake kuna kuonya na kubashiri habari njema. Ila kuna aya tunafundishwa jinsi ya kuomba au zinaelezea watu wema walivyokuwa wakiomba na ndio maana hizo tunapoomba dua huwa hatuanzi mwanzo kwasababu tukianza mwanzo kama ilivyo kwenye Quran itakuwa sio dua bali umesoma aya za Quran.
@YaziduIddy-u7p
@YaziduIddy-u7p Ай бұрын
​@@mohdkhatib223quran ni duwa kubwa sana kwa mfano soma suratul fatiha au kama alivyosema mtume kuwa quran ni tiba
@ismailmuna1604
@ismailmuna1604 28 күн бұрын
Shekh Kwa Nilivyo Soma Mimi Ndani Ya Swala Suratul Fatiha Ni Dua Tupu Na Ambwae Ni Allah Na Usipo Isoma Bila Bismillah Inakuwa Swala Yako Batwill Na Pia Ktk Swala Ya Allah Usome Dua Ambayo Ni Aya Ktk Qurani Au Dua Mutawatwil vinginevyo Swala Pia Batwill Kama Dua Zinanamna Zimefindishwa Ktk Qurani Ya Allah Kama Ibada Muhimu Ktk Kujikurubisha Mja Mola Wake Vipi Itaingia Kwenye Uharamu Ktk Kufanya Hiyo Ibada Kwa Ajili Yako Au Mzazi Wako Au Mja Yoyote Hilo Moja Pili Qurani Tukufu Ya Allah Ndio Muongozo Wetu Pamoja Na Hadithi Za Mtume Swallah Alayhi Wasalam Ikifuaywia Na Matendo Ya Maswahaba pamoja Na Usulfikhhi Za Maimamu Na Wana Zuwoni HEBU PITIA VITABU SHEKHE MOHAMED KWANZA UWONE NINI WAMEANDIKA MAULAMAA WALIOPITA SIO HAWA WA SASA JUU YA MASWALA YA KIELIMU KTK DINI HALAFU NDIO UTOE FATWA VINGINEVYO UTPOTOSHA WATU WAACHE KUFANYA IBADA ZA ALLAH SABABU NI WEWE Usiwaige Answari Utapotea Na Utapoteza Watu ELIMU YA DINI YA ALLAH NIKUBWA NA PANA SANA TUSOME SANA VITABU NA KUKANYUMA YA WANA WAZUWONI WALIO TUTANGULIA NA KUPATA ELIMU YA ZIADA KUTOKA KWAO ALLAH KARIM NDIO MJUZI WA YOTE ASALAM ALEYKU
@ismailmuna1604
@ismailmuna1604 28 күн бұрын
Hebu Jiulize Kidogo Ktk Fikra Za Kibinadamu Ktk Hizo Amali Tatu Alizo Sema Mtume Swallah Alayhi Wasalam Moja Ni Mtoto Mwema Kuwaombea Mghfira Wazazi Wake JE ATWAOMBEA VIPI NA IKIWA WEWE WASEMA QURANI HAIFAI KUOMBEWA MTU ALIOKUFA MAANA ( RABII GHUFRILL WALIWALIDAYA WALIMUMININA YAMUU KUMULL HISABU HII NIMOJA KTK SASA HILI WALIWEKAJE NAZIKO AYA NYINGI AMBAZO NI DUA KTK QURANI PIA HAZIFAI KUOBWA ????
@ismailmuna1604
@ismailmuna1604 5 ай бұрын
Mola Akupe Afya Na Umri Baada Ya Tatizo Hilo Tatizo Jengine Ni Ktk Ugawaji Hiyo Zaka Wanaopewa Wasio Ndio Wanao Takiwa Na Hao Watoaji Wengine Nikwaria Zaka Yake Ni 10 Atoa 15 Lakini Anuka Madeni Kazi Kulipa Hataki Kudhulumu Haki Za Watu Pia Wawekwe Ktk Fungu Gani Maana Ndio Watele Waliojaa Niwazuri Kwenu Mashekhe Ili Msiwatuhumu Lakini Hayo Ndio Matendo Yao
@al_babitv
@al_babitv 5 ай бұрын
Sheikh naomba namba yako
@mwanamkeshujaabongoflavama7180
@mwanamkeshujaabongoflavama7180 5 ай бұрын
Na pia wanavo sema ujauzito ulo kamiliza siku zaidi ya mia ba kitu sikumbuki uzuri anakua kisha patiwa roho nahisi ndomana inaku sawa akitolewa tumboni
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 5 ай бұрын
Nimeona mtoto atolewe tumboni akiwa hai au amekufa, Subhanallah
@istiqaamazanzibar6168
@istiqaamazanzibar6168 5 ай бұрын
Shukran sheikh kwa darsa yenye faida
@suleimanluhanga5058
@suleimanluhanga5058 5 ай бұрын
Allah bless you our sheik
@ismailmuna1604
@ismailmuna1604 5 ай бұрын
Mola Akupe Umri Na Afya Uzidi Kutukumbusha Na Kutupa Elimu Hakika Uyasemayo Allahkarim Ndio Mjuzi Wa Yote