Пікірлер
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p 15 сағат бұрын
yaani nyie waandishi
@danielimalaki
@danielimalaki 17 сағат бұрын
Huyo awe mfano abanwe kabisa
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 5 күн бұрын
Ubaya ubwela lazima kieleweke
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 5 күн бұрын
Mmerudishiwa fedha si mumua he? Kwani hakuna wachezaji wengine nyie ni matapeli awesu poa mmepelekwa TFF piaa
@abuuaisha9095
@abuuaisha9095 5 күн бұрын
Sijaelewa unaposema wachezaji wametoka ligi za madaraja ya Kati..!!Ina maana hawajatoka ligi za daraja la kwanza..? Kwa kauli hii tu inadhihirisha kwamba hakuna unachokijua pamoja na kusifiwa kwamba mchambuzi..!!Mchambuzi gani hajui hata wachezaji..? Daaah...!! Jifunze kwanza kujua wachezaji wanapotoka bro..!!
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 5 күн бұрын
Muongo bana
@rajabually8894
@rajabually8894 5 күн бұрын
Unaumwa ww
@abdulmsofe8017
@abdulmsofe8017 5 күн бұрын
Naona huyo Mchambuzi Ameishiwa cha Kuongea Unaweza ukashiriki Ligi ya Mabingwa Na ukatolewa Hatua ya Mwanzo ss Utaonekana Wapi? Hapo kinachoongea Ni Pesa Muwe Mtafuta Wachambuzi wenye zupeo kwa Hiyo Viongozi wa Simba Na Scout yake ni ZIRO ww Ndiye Mwenye Ufahamu Mkubwa?
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 5 күн бұрын
Simba huwa wachezaji wakubwa hatuwawezi mifano halisi ipo tuliwashindwa wafuatao 1. Adebayo 2. Aziz Ki 3. Manzoki 4. Sergie Pokue 5. Elie Mpanzu Sasa tutajiitaje club kubwa kama hatuwezi kusajili wachezaji wakubwa. Hatuwezi kuvunja mikataba tunataka wachezaji ambao wako free!!! Mbona Yanga na Azam wanaweza. Mimi nimesikitika kurudisha Onana Hana tofauti na Jobe wote hawana impact uwanjani tuwe serious tusipoangalia tutachezea vichapo Kwa Yanga. Mimi naamini ili kuidhibiti Yanga tulipaswa kuwa na Joshua Mutale upande mmoja na mwingine awepo Elie Mpanzu. Hapo Yanga asingeweza kufurukuta lakini Kwa Onana hakuna kitu.
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 5 күн бұрын
Simba kwanini hawapendi kuvunja mkataba? Kwani tunapenda chelezo. Kama kweli sisi ni timu kubwa tuvunje mkataba. Deal la Manzoki lilikufa hivyo hivyo. Onana hatatufikisha popote.
@robertjohn835
@robertjohn835 5 күн бұрын
Mo jitahidi utuletee Mpanzu.
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 5 күн бұрын
Viongozi wetu Wana shindwa kutowa milioni 660 kweli mpila ni pesa wavunje benk wamuletee mpanzu
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 6 күн бұрын
SIMBA WAVUNJE KIBUBU. KWA MPANZU AU WAMCHUKUE MAYELE MO UMEFELI WAPI KWA MPANZU?KM ULIWEZA KWA MICKISONUNASHINDWA VPI?VIONGOZIACHENI HBAHILI WAKUTOA HELA ZA SAJILI.
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 6 күн бұрын
Mzee magoma alikuwepo kwenye mkutano Ndani ya ukumbi mpaka mzee kikwete anaondoka ukumbini kwa dharula wakati magoma akitaka kuhoji jambo lakini hakupewa nafasi... Magoma alikuwepo mkutanoni
@hassankumba6938
@hassankumba6938 6 күн бұрын
Magoma alinyamaza kimya na hukumu (ujanja) akisubiri muda wa kukata rufaa upite, kabla njama yaowkujulikana na Yanga.
@hassankumba6938
@hassankumba6938 6 күн бұрын
Muulizeni Magoma hiyo Katiba yake ya 1968/2010 inamfanya yeye kuwa Mwanachama hai maisha? Kama anadai Wanachama wenzake wa sasa ni batili, akipewa Yanga, ataiendesha bila Wanachama?
@YohanaHeneriko
@YohanaHeneriko 6 күн бұрын
Mnatisha sana
@gye9975
@gye9975 6 күн бұрын
Ubaya ubwela
@SalimAl-mahrooqi
@SalimAl-mahrooqi 6 күн бұрын
😂na ubwela ubaya . Tabu mpaka Leo kesi haijaesha bado hiyu enajulikana huyu tayari ni mchezaji WA simba.
@drallan6879
@drallan6879 8 күн бұрын
hiyo headline kuna ukweli?
@bongostoriestv
@bongostoriestv 8 күн бұрын
@@drallan6879 Ndio
@charleskuyeko1660
@charleskuyeko1660 9 күн бұрын
Uzuri wenu ninyi hamuwekii ushabiki kazini. Mko neutral kama kazi yenu inavyotakiwa kuwa. Ur very good. Keep it up.
@charleskuyeko1660
@charleskuyeko1660 9 күн бұрын
Channel yenu ni Channel ya Ukweli na Uwazi. Nawapongeza sana. Endeleeni kuwa wakweli siyo kama hawa wachambuzi wa mchongo. Mungu awabariki.
@GabrielAmma-jp1oo
@GabrielAmma-jp1oo 9 күн бұрын
Simba waachane na hiyo sajili 1 ya kimataifa endapo wameshindwa kumtoa cramo kwa mkopo kwa muda mfupi imeshindikana wabaki na cramo
@OmaryHabibu-en1iy
@OmaryHabibu-en1iy 10 күн бұрын
😂😂
@mitinjemaziku
@mitinjemaziku 11 күн бұрын
Ivi bongo tumekosa Cha kufanya eti au Kwa kuwa ni kiangazi ndo maana
@murshidyabdallah1356
@murshidyabdallah1356 11 күн бұрын
nyote akili hamna
@user-bl1tx8fc9v
@user-bl1tx8fc9v 11 күн бұрын
Huyu alionaje hilo ziwa jmn eeh
@EvaristNgoge
@EvaristNgoge 12 күн бұрын
Oy
@HajiSimai-pp9cm
@HajiSimai-pp9cm 12 күн бұрын
Siyo watafute cha kutueleza bado tunatakiwa tuwapemuda.
@alexchiwenda9540
@alexchiwenda9540 12 күн бұрын
Ni usajiri bora sana. Karibu sana Duke.
@user-ox1eg1ej6u
@user-ox1eg1ej6u 13 күн бұрын
Duke. Abuya. Karibu. Sanna. Jangwani. Utimize. Majukumu. Husika
@MikidadiKambinda-tr6rl
@MikidadiKambinda-tr6rl 13 күн бұрын
Asante. Karibu. Sana. Jangwani. Duke. Abuya. Karibu. Timu. La. Makombe. Bingwa. Mara. 30
@christianbernad-ge2nz
@christianbernad-ge2nz 15 күн бұрын
Yanga lahaaa jaman aziz kabaki daaaah siamin
@user-ze2bf7mh5m
@user-ze2bf7mh5m 20 күн бұрын
Vp feitoto kashashuka unyamani
@bushiringamba6971
@bushiringamba6971 21 күн бұрын
Kramo asiachwe simba.tafadharini viongozi
@user-vm5og4np4k
@user-vm5og4np4k 24 күн бұрын
Acha tuone panapovuja
@rashiditekway3242
@rashiditekway3242 28 күн бұрын
Chama aondoke tu anasumbua sana kila msimu ukifika
@BarakaKayange-cj8ud
@BarakaKayange-cj8ud Ай бұрын
We chama asiondoke
@georgegregory8414
@georgegregory8414 Ай бұрын
Viongozi kubalini kiachana na chama huyu hawezi kuleta tena kitu simba mwacheni aende huko, simba ni kubwa kuliko chama
@georgegregory8414
@georgegregory8414 Ай бұрын
Mwacheni aende huko anakotumikaga viongozi msiogope chama ni kirusi hii miaka mitatu amefanya nini leteni wachezaji wengine tujenge simba yetu.
@alfoncekasanyi6584
@alfoncekasanyi6584 Ай бұрын
Kumwacha Chama aende Yanga Ni sawa na kumuuzia adui silaha.Hatukatai Chama kuondoka lakini siyo kwenda Yanga.Mnaosema Chama ni msaliti hamko sahihi.Wasaliti wa Simba wanafahamika lakini siyo Chama tuwe wakweli.Ametoa Assist nyingi lakini wafungaji hatuna pia amekuwa akifunga magoli muhimu.Tusimkashifu kwakuwa anaondoka au kwa namna yoyote si busara.
@YussuphHaji-oc9rk
@YussuphHaji-oc9rk Ай бұрын
Mm ni mpenzi mkubwa wa Simba nachomba kwa rais wa Simba SC ili ni moo afanye juhudi ya kumbakisha chama kikosini asiende yanga kabisa
@michaelashery3444
@michaelashery3444 Ай бұрын
Chama anawatikisa sana simba.na wanaogopa kumuachia kisa ataenda yanga.sasa anataka milioni 700 Kwa umri ule.pia ni msariti.mwacheni
@SaidMana-dp4et
@SaidMana-dp4et Ай бұрын
Hivi moo umelogwa na chama?tunakuomba moo muache chama usimbembeleze muache aondoke sisi simba hatumtaki chama usiwasikilize waandishi wa habari chama kazeeka sasa hivi hatufai tafuta vijana usipoteze pesa zako bure kwa chama chama ndiyo kiini cha utovu wa nidhamu simba hatufai muache aondoke hatumtaki
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h Ай бұрын
Apps ya Yanga wametangaza hivyo kuwa wamemlipia dube?.
@Jemsi-xz4jv
@Jemsi-xz4jv Ай бұрын
Waizi wengine mo ndo abebe lawama, muacheni mo wa watu apumue
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Ай бұрын
TIMU AMEINUNUA ANA HAKI YA KUFANYA CHOCHOTE NI MALI YAKE,
@OmaryKupawa-xn1oo
@OmaryKupawa-xn1oo Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 weee Aya bana awakuchomi TENA hao
@fihirishemaadihussein6124
@fihirishemaadihussein6124 Ай бұрын
Hongereni wananchi
@PhinaNassoro
@PhinaNassoro Ай бұрын
❤❤❤ yanga yangu jamaniiii nakupenda
@noelkaale5952
@noelkaale5952 Ай бұрын
Huyo mzee anaenda wapi