mlimba tv
0:13
2 ай бұрын
Пікірлер
@KahambasDaughterTherock
@KahambasDaughterTherock 4 күн бұрын
ukiua mtu utajitaja tu
@EmmanuelJohn-j1l
@EmmanuelJohn-j1l 4 күн бұрын
Huyu komba ni nyoko sana anajua had anakera yan nyimbo zake tamu balaa achana bae hyu jamaa safi sana rest in peace john komba 😢
@brainwilliam3696
@brainwilliam3696 4 күн бұрын
Hakika tunajivunia alama iliyowekwa kwa utumishi na ustawi wa Taifa letu la Tanzania. Pumzikeni kwa amani
@frankmahenge5943
@frankmahenge5943 15 күн бұрын
Poleni
@zenapangisa6671
@zenapangisa6671 22 күн бұрын
So sad kwakwel😢
@evanskaino6400
@evanskaino6400 29 күн бұрын
Mapenzi mengi sana kutoka taifa tukufu la KENYA! Uzalendo wa Afrika Mashariki daima. Jina la Mwalimu ni nyota ya jaha.
@shauri.kangile
@shauri.kangile Ай бұрын
Hongera kwa kazi bora kabisa. Kwa wazazi ambao tunafahamu ubora wa shughuli uifanyayo hawatakuwa na pa kuwapeleka zaidi ya hapo ST JOIS
@yasiniselemani3917
@yasiniselemani3917 Ай бұрын
Singida safi
@musababdullah5813
@musababdullah5813 Ай бұрын
Mheshimiwa Makongoro ni mcheshi sana kama Baba yake(Raisi wa awamu ya kwanza)
@madarakaiddi
@madarakaiddi Ай бұрын
Wazungu kweli hamnazo oooh ngoma niushetani
@chidampiri1012
@chidampiri1012 Ай бұрын
Hakuna uzalendo sasa ni magoli ya mkono
@rajabulipongo5595
@rajabulipongo5595 Ай бұрын
like jaman zakutosha tuweze kujuwa woote tunaotazma 2024
@nicholauspeter9454
@nicholauspeter9454 Ай бұрын
aisee Huyu baba ana hekima
@yordandjyd
@yordandjyd Ай бұрын
Naona kazi❤ Safi @Deus liganga
@benardpeter1853
@benardpeter1853 Ай бұрын
Sauti hamna bro
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Ай бұрын
USHAURI WANGU!! LAITI MAMBO HAYA YANGEKUWA YANATOKEA KWA WANASIASA TUNGESEMA LABDA MAMBO MENGINE LAKINI RAIA WA KAWAIDA TENA MASIKINI WATOTO, VIJANA, WATU WA RIKA MBALIMBALI NA HATA WATU WAZIMA WANAUWAWA KIKATILI NAMNA HII, HAPA SI BURE IPO NAMNA. JAMII LAZIMA IWE MACHO, ULE UTAMADUNI WA KUWAKUMBATIA WATU TUSIYOWAJUA KTK MAENEO YETU TUKIJIFANYA KUWA ETI NI MARAFIKI ZETU HAUFAI TENA. TUWE MAKINI NA WAGENI MBALIMBALI WANAOINGIA NCHINI NA KUJICHANGANYA KTK JAMII KWA KUWA HATUJUI MIONGONI MWAO MALENGO YAO NI YAPI?! KADHALIKA TUWAFICHUE MBELE YA VYOMBO VYA DOLA WAGANGA WOTE WANAOTIBU KTK MAZINGIRA YENYE VIASHIRIA VYA KUHUSIKA NA UTUMIAJI WA SEHEMU YOYOTE TA MIILI YA BINADAMU KTK UGANGA WAO. NA PIA TULIANGAZIE KWA JICHO LA PILI HILI WIMBI LA WAFUGAJI WANAOHAMA HAMA MIKOA KWA MIKOA NI MUHIMU SANA KUHAKIKIWA KUANZIA NGAZI YA VIJIJI MPAKA MKOA KWA SABABU HAKUNA ANAYEJUA NANI NI NANI KATI YAO?! VYOMBO VYA USALAMA TUNAJUA VINAFANYA KAZI KUBWA SANA YA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO LAKINI PIA NAVYO VIZIDI KUWA MACHO MAANA HII HALI SIYO YA KAWAIDA.
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 Ай бұрын
Duh! Jamani nini kinaendelea Tanzania 🇹🇿
@luciafabiannjuu1988
@luciafabiannjuu1988 Ай бұрын
@@aliyageorge6794 Tanzania ze end
@Farida-vg5ry
@Farida-vg5ry Ай бұрын
Jamani ngoma hizi zilipotelea wapi ?
@FiloKapinga
@FiloKapinga Ай бұрын
Ama kweli tuta kukumbuka sana
@odilombamilo4945
@odilombamilo4945 2 ай бұрын
Safi sana , nyumbani kwanza
@JonathanBulendadavis
@JonathanBulendadavis 2 ай бұрын
😢😢Allah akulaze mahali pma Shangazi angu
@DanielMuhango
@DanielMuhango 2 ай бұрын
Jamaniuchindile ndo nyumban huko nawapenda sana
@mariampaulsen8809
@mariampaulsen8809 2 ай бұрын
Wow
@JeladiJeladifransingware
@JeladiJeladifransingware 2 ай бұрын
Kukaye nyawono panogile
@chidampiri1012
@chidampiri1012 3 ай бұрын
High thrilled
@hemedally8781
@hemedally8781 3 ай бұрын
huu wimbo nausikikiza zaidi ya mara 10 kwa siku, hakika vipaji vimeenda!
@BlessedBeyondMeasure77
@BlessedBeyondMeasure77 3 ай бұрын
I remember this song for childhood but dont understand the language. May someone please translate?
@kamekonas3547
@kamekonas3547 3 ай бұрын
ALLAH yarham .Bi nasma nikama alikua na asili ya kinyarwanda she was very beautiful mashallah 💯
@oscarsambaa6012
@oscarsambaa6012 3 ай бұрын
Safi sana. Tuna kazi kubwa ya kuendeleza Mji wa Singida ukue na kuwa jiji.
@nathanlusulo-po2lj
@nathanlusulo-po2lj 3 ай бұрын
Wakenya wanapambania haki zao nyie mnarukaruka akili ndogo
@raphaeljames-i5f
@raphaeljames-i5f 3 ай бұрын
nimependa style yunu
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 3 ай бұрын
Ngoni oyeeeee
@marafikistation
@marafikistation 3 ай бұрын
SIMPLE D /HUSTLER KITAMBO 💪
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 3 ай бұрын
Kulikuwa na Komba mmoja tu! RIP
@Dr.LAZARO-j2e
@Dr.LAZARO-j2e 3 ай бұрын
🎉
@AlexAlex-kf1eg
@AlexAlex-kf1eg 4 ай бұрын
😭😭😭🙏❤️❤️😭🙏
@SalumuAlly-d9q
@SalumuAlly-d9q 4 ай бұрын
Hapana malkia atabaki kuwa ivo malkia sijaona cha kumtisha hadija kopa hapo nyie acheni ubwege ❤❤❤hdj kp
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 2 ай бұрын
Kopa hapo alitokota kama hujui. Nasma ni moto wa kuotea mbali enzi zake. Usilete ubishi huyo ndio kiboko ya sanamu la michelline
@Dr.LAZARO-j2e
@Dr.LAZARO-j2e 4 ай бұрын
He
@BizaJonny
@BizaJonny 4 ай бұрын
Asante sana kutupa hiy ngoma
@ezromndangalasi8164
@ezromndangalasi8164 4 ай бұрын
tunaomba Barbara toka Mlimba, lumumwe, kibwe, mpanga , kitete , uchindile Hadi mgololo wananchi hapo wanapata shida sana
@ezromndangalasi8164
@ezromndangalasi8164 4 ай бұрын
Mlimba , chisano, Chita , Mngeta, mbingu , Idete ifakara huko hakuna mbunge
@ahz6907
@ahz6907 5 ай бұрын
Mama anaupiga mwingi aisee
@kibajadaniel9887
@kibajadaniel9887 5 ай бұрын
Well done
@fadhilikyandofadhilikyando5666
@fadhilikyandofadhilikyando5666 5 ай бұрын
Lin inafunguka?
@Tanzania390
@Tanzania390 5 ай бұрын
May 25,2024
@tungumakeja9584
@tungumakeja9584 5 ай бұрын
kweli aise mbunge
@mwanahizahamadi8029
@mwanahizahamadi8029 5 ай бұрын
Nakupenda Tanzania
@mwanahizahamadi8029
@mwanahizahamadi8029 5 ай бұрын
Who is still impressed by this song may 2024?
@chidampiri1012
@chidampiri1012 5 ай бұрын
Huko nyuma kulikuwa na uzalendo wa kweli
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 3 ай бұрын
Kabisa!!
@FrancisGerald-hq8li
@FrancisGerald-hq8li 5 ай бұрын
Pumzika kwa amani Dada yangu kipenzi
@libetztanzania-kiswahilina2845
@libetztanzania-kiswahilina2845 5 ай бұрын
PUMZIKA KWA AMANI NASMA HAMIS KADOGO