Eti timu yangu ilishika nafasi ya 5 nahisi, ina maana aqui timu yake ipo nafasi ya ngapi?
@Kabwela7763 сағат бұрын
Huyu mtu ni wa kumfunga Na kwa Nini ana ajiri mtoto wa miaka 17
@saludaniel12963 сағат бұрын
Nimependa heading na habari zinaendana ,mbarikiwe
@barnabaslushenshe5233 сағат бұрын
Hii mbwa ulisema tukaishi burundi.
@user-bp2cc9eo6g4 сағат бұрын
Dah!,lulu iliyokuwa imefichika,tunamshukuru Rais wetu kumuamini ili awatumikie wa TZ
@MchomvuMasoud5 сағат бұрын
Achana nao ndg wale wao wamezoea vita
@MACHOYATAI-jk6fu6 сағат бұрын
Habari zenu leo nzuri
@elishammwiri69737 сағат бұрын
Habari nzuri za michezoo
@babaabro88477 сағат бұрын
Aisee wandishi wengine vichefuchefu
@kanankirannko61747 сағат бұрын
Kwani hapa wananyoga? So arudishwe nchini kwao akahukumiwe huko .
@hassanmwalle56288 сағат бұрын
Mpina hajielewagi kabisa
@user-sj1rf8ij7f8 сағат бұрын
Hiki ni kifaa cha kazi, Hii wizara imesimama imara. Jerry Slaa talipwa na Mungu
@brysonbryson17359 сағат бұрын
HALIMA UNAFA UNGEKUWA WAZIRI UNGEWANYOOSHA
@user-qg5yd9ki4v9 сағат бұрын
Mambo ya mkeo ss ya nn ufala amfanyi jaz yyte mnauza nchi2
@user-pn6wd8wd3n9 сағат бұрын
Mtangazaji bdo....
@hamisitoky67249 сағат бұрын
Huyu ni Shangazi au mjomba
@kingarushamsi-gi6yr9 сағат бұрын
Mhe. Bwana mdogo tuko nyuma yako tunakuombea munyezi mungu akulinde na akutangulie ktk kazi yako
@rukaya-jg7hj9 сағат бұрын
We ni shabiki sio mchezaji na umeshsjiaribia kuingilia mabifu
@johnlaizer592510 сағат бұрын
Mungu wetu tulindie mtetezi wetu
@husseinkonz519211 сағат бұрын
Sf Sana mpole hatua nzr
@joycemassawe814511 сағат бұрын
Kwel jamn mume anauma sana
@malietamalieta965812 сағат бұрын
😂sawa tff kwa tuzo yako ya mchezaji bora umekosa wee kuchukua uko kongo unaleta ujuaji uku ukija bila gadi utagawiwa wastani Kwa idadi 👂🤞🤞
@ikulunimahalipatakatifu764212 сағат бұрын
Bongo kuna timu nzuri nyingi ( Namungo, Iherfu, Kagera, Coastal etc ) unaweza tulia ukakipiga vizuri.
@josephntungiye623213 сағат бұрын
Mtangazaji wahovyo kabisa
@selemanmcharazo13 сағат бұрын
Watanzania sio kwamba hawathamini wazawa si kweli huo upotoshaji ukafanya Bora utapewa thamani Yako , yanga Ina mzize na musonda hakuna shabiki wa yanga cku akianza Mzize hakuna anayesema mbona hajaanza musonda.
@user-ug9nl8lo1o14 сағат бұрын
U Zanzbary kwanza,
@HadjiLibaba15 сағат бұрын
Ninja yupo sahihi kabisa île nchi usalama mdogo.... Kule ligi inaendeshwa kisiasa
@nsiamasawe457816 сағат бұрын
Aliyemjeruhi amlipe fidia
@shukurukihwelo308416 сағат бұрын
Mwiguru kiatu uricho vaa hakikutoshi na hakikufai .unaharufu ya ufisadi
@edrisalusonge414119 сағат бұрын
Mm makona namkubal saana
@SteveSimsa-ho8pc20 сағат бұрын
Naaaam
@SteveSimsa-ho8pc20 сағат бұрын
Naaam
@topesafi974221 сағат бұрын
Huyu dogo ni mjinga,ameaibisha chuo,msomi hawez kuongea ivo😢
@williammbuzimai574421 сағат бұрын
Kumbe ole sendeka nawe unapoint eeeeeh
@ketinaishimwe21 сағат бұрын
😭😭😭😭
@user-er8gz4md2o22 сағат бұрын
Sasa mtasema waomani tu ni wakatili je sasa huyu boss wake huyu mtoto ni muomani?.
@MawaddaKhamis-zh3kc14 сағат бұрын
Uovu ni uovu tu haijalishi nani kafanya awe muomani awe mtanzania
@mohdabdalla707022 сағат бұрын
Ww Mtangazaji nenda kasone yani ww bado sn dada yngu
@daudianselmo295622 сағат бұрын
Ila waandishi wa bongo bwana 😅
@YohanaMwakaje22 сағат бұрын
Tunaomba serikali mtusaidie kutenge neza hii Barbara tuna poteza nduguzetu sana matuta haya hatuyataki kwanzia kadege Barbara itanuliwe na mtengeneze na stendi ya maroli pale kadege yawe Yana pita yenyewe kwanza ndo Dala Dala zipite hata dakika 10 tu zipishane tuta punguza hizo ajar kwa uweza wa mungu
@petromjenda9023 сағат бұрын
Sisi ndo wenyeji wenu wako Mch Mjenda Hangomba
@petromjenda9023 сағат бұрын
MUNGU awasafirishe salama tunawakaribisha Hangomba japo Kwa majonzi mengi
@robertkagudu993723 сағат бұрын
Polen sana ndg na jamaa mungu awatie nguvu katika kipindi hiki Cha majonzi
@barakarobert102923 сағат бұрын
Hii nchi ya ovyo mtu anateuliwaje mkienda kumzika
@epimackjohn461Күн бұрын
Hapa utadhani VITUKO kumbe kwa hapo hapo utakuta hujagundua NONDO za hali ya juu zilizojaa MANTIKI ,baadaye saana ndo utakuja kugundua analenga kitu . Ndivyo alivokuwa babake MWL J.K.NYERERE .
@molenicharles9107Күн бұрын
Kennge wewe umekawia sana😮😮
@JosephEmmanuel-eb7gj23 сағат бұрын
😅😅😅 ila wabongo
@bigjizee413013 сағат бұрын
Sasa kenge ya nini, jamani 😂
@user-fv9bx5ct7bКүн бұрын
Ombi langu kwa wanafamilia mtunze hao watoto muache Tamaaa ya mali hao watoto wamesha poteza wazazi wote wawili kwa mara moja.