Hongeren Wana wa Nuru kwa kwa ujumbe mnzuri💯💯💢💯💯💯💯
@AlexMwaluko4 ай бұрын
Safi sana❤❤
@elijahmtatuu31284 ай бұрын
Hongereni sana Wana wa Nuru, nawapenda sana.
@abeydalsherawjralsherawjr16724 ай бұрын
Hongereni sana mungu awajalie zaidi kazi nzur sana
@Tabiagaorga5 ай бұрын
Mungu awabariki mpo vizuri
@AmaniPetro5 ай бұрын
Nimewakubali ila mwalimu wangu mos yuko wap mbona simuoni hapa
@wanawanuruchoir5 ай бұрын
Hahaha alikua hayupo
@CollethaMsuya5 ай бұрын
❤❤❤❤great job jahbless u
@TabraniMaingo5 ай бұрын
Ok asant Sana hongeren
@TabraniMaingo5 ай бұрын
Ok asant Sana hongeren
@wanawanuruchoir5 ай бұрын
Asantee
@TabraniMaingo5 ай бұрын
Saf xana
@ProtasRenatus5 ай бұрын
nyimbo nzuri Mungu awabariki asanteni kwa ujumbe mzuri
@wanawanuruchoir5 ай бұрын
Amina Mungu akubariki sanaa kwa kuutazama wimbo
@ProtasRenatus5 ай бұрын
nyimbo nzuri sana Mungu awabariki asanteni kwa ujumbe mzuri
@Mariam-qy9pe5 ай бұрын
Nawapenda sana vpz nimefurahi kuona mmepiga ha2wa nzr sana mungu awabariki ili mtimize ndotozenu chama lanyumbani nimewamic kuwaona❤️❤️❤️🙏
@wanawanuruchoir5 ай бұрын
Ubarikiwe sanaa karibu
@mathiasalex96475 ай бұрын
Bwana asifiwe wana wa nuru Hongera sana ndugu nyimbo ipo vizuri sana ujumbe mtamu 👉 lakini baadhi yao wanachelewa step wengine wanatabasamu wengine wamenuna uwezo 89% 👉solo amejitahidi sana 98%wapiga vyombo wameua %100%🙌 👉 mwanzo mgumu mbelen itakuwa vizuri zaidi Mungu 🙏 wa mbinguni andelee kuwapa uwezo na afya tunawaombea kwa jina la yesu kristo 🙏🙏
@wanawanuruchoir5 ай бұрын
Asante sana Tumeyachukua yote uliyoyasema kama changamoto kwetu..nakuahidi wimbo mwingine utakaofat hayatajitokeza mapungufu hayo Mungu akubariki
@mathiasalex96475 ай бұрын
Ameen
@CarolineYaredi5 ай бұрын
kazi nzur wazazi wangu. Mungu wa mbinguni awainue zaidi
@wanawanuruchoir5 ай бұрын
Ameen ubarikiwe sana
@daudtelele27645 ай бұрын
HONGERENI SANA WANA WA NURU KWA WIMBO MZURI NIMEBARIKIWA SANA
@wanawanuruchoir5 ай бұрын
Ameeni amen
@obadiapius41495 ай бұрын
Quality vdeo good appearance mmeweza MUNGU awainue zaidi ya hapo .proud of matui
@wanawanuruchoir5 ай бұрын
Amina Mungu akubariki sanaa
@hollinessmasanju65185 ай бұрын
Hongereni sana nyie wote
@wanawanuruchoir5 ай бұрын
Asante sana Mungu na akubariki
@wanawanuruchoir5 ай бұрын
Asante
@geofreylekakati23425 ай бұрын
Amen. barikiwani na hongereni san kwa huduma kubwa mno.
@wanawanuruchoir5 ай бұрын
Asante sanaa mtumishi
@PasisiMdoyo5 ай бұрын
Hongereni sana mnanikumbusha mbali sana
@yuzzotime61515 ай бұрын
Apoo sasa tunaenda❤❤❤❤
@wanawanuruchoir5 ай бұрын
Sawa sawaaa
@PasisiMdoyo5 ай бұрын
hongera sana wana wa Nuru
@wanawanuruchoir5 ай бұрын
Asante sanaa
@neemambinhe48115 ай бұрын
Hakika Mungu awabariki sana kwa wimbo na kazi nzuri sana. Binafsi najisikia furaha na fahari kwa ndugu zangu wa nyumbani kufikia hatua hii. Mungu awabariki sana
@wanawanuruchoir5 ай бұрын
Ameen na Mungu akubariki sanaa
@jumamaganga7835 ай бұрын
Nimependa Sana chama la nyumban
@wanawanuruchoir5 ай бұрын
Amina tuombeeni
@MosesLeganga5 ай бұрын
Kazi swanu chama langu
@wanawanuruchoir5 ай бұрын
MUNGU AMETUBARIKI TUMEFANYA KAZI NZURI KARIBU UTAZAME KAZI HII NA MUNGU ATAKUBARIKI