This song gose out to my bibi and papa who passed away back to back
@paulmaneno2888Күн бұрын
It's a #TBT
@happynessshauri1024Күн бұрын
Yani natamani wangeeendelea kuwa vijana kama walivyo, Mungu azidi kuwapa nguvu.
@PatriciaSidi-c4wКүн бұрын
Amina ❤❤❤❤barikiweni sana ❤❤❤
@ALINUWILAMKONONGO2 күн бұрын
Huu wimbo ulifanya nikalia mpk nikapoteza fahamu pind mzee ametuacha 2003😭😭
@janemusyoki11202 күн бұрын
Hallelujah! Mungu wangu wa uweza!
@abdallaali39645 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@geopastor5 күн бұрын
Amina 🙏
@stephineokello63399 күн бұрын
Listening to the gospel from Mombasa, Kenya ❤❤
@princedaniel474612 күн бұрын
Huu wimbo hauchuji moyoni mwangu brother
@judithkileo572112 күн бұрын
Daaa baba yangu nakukumbuk san nkisikia huu wimbo ulintoka 2019😢
@josephwabwire169112 күн бұрын
Just listening now. This song blessed me so much bro. God bless you much bro Joshua
@josephwabwire169112 күн бұрын
Unanibarikinsana ndugu Joshua na nyimbo zako. God bless you so much bro all the way from Uganda.
@jobsembuche384613 күн бұрын
So cool. Wimbo mzuri sana umejaa ujumbe mzito. Ukisikia nyimbo za injili ni kama huu. Mbarikiwe sana wote mliohusika ktk kipande hiki.
@musobaeyevanpal15 күн бұрын
Where is this group there songs are good and soul touching
@MpangalaMpangala-i1p21 күн бұрын
Wangapi tunaisikiliza 2024 hii tujuane
@Isaiah-bd6cz22 күн бұрын
I remember this song when I was in the orphanage in Kisumu where a Tanzanian caretaker used play them on the decker
@Alfredmutiso-gh9ez23 күн бұрын
Nice composition Ndugu Mlelwa.Congratulations!
@apollomwebe462524 күн бұрын
Blessed
@elishathecomedy122127 күн бұрын
Ameni
@ImeldaMyinga27 күн бұрын
Jamani ubarikiwe sana
@burton_hans28 күн бұрын
Nmeutafuta sana😢 Thanks to my sister 🫶🏽 GOD BLESS YOU KUG!
@happinesssayitungi67628 күн бұрын
One of their best songs❤
@harrisonndooto3927Ай бұрын
Amina Sana!
@eunnahoywoki8433Ай бұрын
Anaweza yote ,this song blesses my heart
@jobsembuche3846Ай бұрын
Hakika nyimbo za hili kundi zililenga kuliinua, kulisifu jina la Yesu, zililenga kumwamudu Mungu peke yake. Nyimbo zilijaa nguvu za Mungu. Barikiweni Joshua na kundi lote.
@EnessiSosten-gd7yyАй бұрын
Kwakweli
@jobsembuche3846Ай бұрын
Beautiful and very powerful. BARIKIWENI sana Joshua Mlelwa na timu yako.
@BinwelLukali-d7kАй бұрын
tuonane paradiso kwetu
@WilliamNathan-hm7nkАй бұрын
❤❤
@WinfredSilaaАй бұрын
Aliyebarikiwa kumjuwa Mungu atabarikiwa tu. Huu mwimbo niliupenda sana❤
@yvesntawigira8384Ай бұрын
Mungu Azidi kuwabariki, Nyimbo inayo tukumbusha Nyumbani kwetu Paradizo. Hapa duniani siyo kwetu. TUTAMUONA BWANA YESU NYUMBANI KWETU🙏🙏🙏
@mathewnicholaus2522Ай бұрын
Tuonane paradiso Baba yangu
@emmanuelreuben8506Ай бұрын
Watoto kulawitiwa,ushoga na usagaji kuongezeka,wamama kutembea na watoto wadogo now day wanaitwa mishangazi,wababa kutembea na vibinti vidogo wanaitwa masponser au baby dady,Haya yote yapo ndani ya huu wimbo,Mungu atunusuru tuzidi kurudi kwake kukiendea kiti cha rehema.
@emmydamy25Ай бұрын
Who's is still here in 2024❤..memories that last..wale wa radio ya injili moshi mpoo??ikifika saa flan wanaweka kibwagizo cha wimbo huu then mwakasege
@beriamlowe36313 күн бұрын
Here we are, redio injili fm moshi😊
@MaruhusaPascal-c1fАй бұрын
❤❤❤❤❤🎉
@florencewaane-tn9xgАй бұрын
Namuona mkewe, Je! Hao mabinti ni watoto wao?
@festusmhangoАй бұрын
These guys were very strong
@fridahmiruka2562Ай бұрын
Ameeeeen 🙏🙏🙏🙏❤❤❤
@SILASNYONGESA-mh7gdАй бұрын
This is nice song congratulations indeed God is good
@CastonBarasaАй бұрын
Still listening from kenya...
@AnethKweka-w5rАй бұрын
Huu Wimbo haujawai Nicholas nimpya kila iitwapo leo
@AnethKweka-w5rАй бұрын
Nyimbo zako kila kukicha zina kuwa mpya
@AnethKweka-w5rАй бұрын
Nabarikiwa mno
@Pendosamweri-wr7ouАй бұрын
Rudin wapendwa muifanye kaz ya Mungu
@VanessaNdossi-d6lАй бұрын
Nilikua mdogo kipindi nazisikilizaa Kwa Bibi yangu😅😅😅 mpak Leo mkubwa TU sizichoki ndo nazipenda badooo❤❤❤
@elenzianjk5543Ай бұрын
Injili kwelikweli! Oh haleluya!🎉
@haongagerson5521Ай бұрын
Natafakari sana huu wimbo 💔 2024
@PreciousMhidzeАй бұрын
ANaweza yote balikiwa san
@BarakaGabriel-f1bАй бұрын
Mwaka 2004 Tulikuwa tunaimba bam bam kabla hatujaanza kuangalia muvie ya yesu kwenye sinema walikuwa wanatuwekea huu wimbo huu wakati sinema inapandishwa juu tumecheza saana huu wimbo na kwenye mikesha mbali mbali