Ni nyakati zipi sahihi zaidi kunywa maji
11:49
Пікірлер
@AishaHamad-xe5hs
@AishaHamad-xe5hs 7 күн бұрын
Great
@AbdillahAbdi-qh2gk
@AbdillahAbdi-qh2gk 8 күн бұрын
Sheee tarik allha akubaark na kukubl sn Yani na allha akuongoze ktk kheri
@iytiswaamseifsleyum6405
@iytiswaamseifsleyum6405 8 күн бұрын
Mashallah Shukran
@hafidhsaid4166
@hafidhsaid4166 8 күн бұрын
Mashaa Allah Ni funzo kubwa Sana tumepata
@iktiseif1885
@iktiseif1885 8 күн бұрын
Masha Allah
@HeshimaYakout
@HeshimaYakout 8 күн бұрын
Shukran Kwa Al Rahma
@mamuamtoto
@mamuamtoto 8 күн бұрын
Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh@Al Rahma Hospital:SHUKRAN JAZAKALLAH KHEIR.Kwa kutuelimisha,tunapenda muteletee vipindi kama hivo kuhusu Afya ya Binaadamu.SUALI:Mimi ninakawaida ya kula tende 3 au 5 au 7kabla ya kula then na kunywa maji gilas baada ya saa nakunywa chai.Hii ni Nzuri au?
@Blc-y3i
@Blc-y3i 8 күн бұрын
Maji ni uhai na uhai ni maji
@LoyceNyagilo
@LoyceNyagilo 10 күн бұрын
Gharama za matibabu ni kiasi gani?
@user-ol6xy6ik6v
@user-ol6xy6ik6v 20 күн бұрын
Jamani nahitaji huduma ya meno mnapatikana wapi au namba zenu
@user-ol6xy6ik6v
@user-ol6xy6ik6v 20 күн бұрын
Mnapatikana wapi nahitaji huduma
@HassanHamisi-e6y
@HassanHamisi-e6y 21 күн бұрын
je naweza kuwafikia vip?
@HassanHamisi-e6y
@HassanHamisi-e6y 21 күн бұрын
Assalam Alaikum
@JamilaAbdalla-di9qn
@JamilaAbdalla-di9qn 23 күн бұрын
Je mm nawza nikapona meno yang yamepangika vibya mbk mdomo umeenda upande pia je nikilekebisha meno nitakaa saw
@JamilaAbdalla-di9qn
@JamilaAbdalla-di9qn 23 күн бұрын
Je inawezekan kuweka meno saw man yang yamepangika vibya mbk mdomo umepinda pia je inawezekan nikapang meno na nikakaa saw mdom ukalud saw
@RahelMakoye
@RahelMakoye 29 күн бұрын
Mimi Nina ukakasi mdomoni kote tatizo nini
@ibnbaaz3072
@ibnbaaz3072 Ай бұрын
No za cm
@user-yd3hg3ul6n
@user-yd3hg3ul6n Ай бұрын
Jaman doctor mwanangu kapatwa na hilo tatizo jamn
@LatifaIssa-iu2ex
@LatifaIssa-iu2ex Ай бұрын
Tumbo kuunguluma mda wote ni dalil ya nin doctor
@user-oj8pd5iq5b
@user-oj8pd5iq5b Ай бұрын
Doctor naujauzito wa miezi mitatu,yaani natapika mara nane kwa siku hakuna chakula nachoweza kula yaani nachoka sana na hata nikinywa maji mda huu huo natapika hata matunda nayo hayapiti nimechoka sana
@tantinebettynduwimana380
@tantinebettynduwimana380 Ай бұрын
tupo wengi
@janesanga2661
@janesanga2661 Ай бұрын
Je mtu mwenye vidonda vya tumbo anaweza kuwa naa dalili ya kupiga miayo mara kwa mara , kupata kichefuchefu lakini hatapiki mpaka ajitapishe kwa kuingiza vidole au mswaki. Pia kuumwa viungo vya mwili kama mgongo au kiuno Pia uchovu wq mara kwa mara
@ElizabethNicholas-uv1hs
@ElizabethNicholas-uv1hs Ай бұрын
Duu wewe n mm kbsa
@janesanga2661
@janesanga2661 Ай бұрын
@@ElizabethNicholas-uv1hs pole mwaya hii hali inatesa mpaka bas
@janesanga2661
@janesanga2661 Ай бұрын
@@ElizabethNicholas-uv1hs vipi ukila chakula huhisi kama kinarudi kinasimama kooni afu kooo linauma kama linaungua vile na ukicheua unacheua ka umekula tindikali
@RukiaJuma-nv3fu
@RukiaJuma-nv3fu Ай бұрын
Habar yako doctar naomb kuliza kufung waya bei gani
@user-xn1hi2pm4s
@user-xn1hi2pm4s Ай бұрын
Je ugonjwa huo husababisha mtu kuumwa miguu kama miguu kukakamaa
@HunaiyaMohamed
@HunaiyaMohamed 2 ай бұрын
Unaweza kua na vidonda then miguu ikakosa nguvu
@nassorkhamis6233
@nassorkhamis6233 2 ай бұрын
Shukraan Brother . Kwa elimu mzuri
@EddyBoy-qe6wj
@EddyBoy-qe6wj 2 ай бұрын
Mnapatikana maeneo gani
@AshaaJuma
@AshaaJuma 2 ай бұрын
unapatikana wp naomba namba ya simu
@Yuzeif_Salum
@Yuzeif_Salum 2 ай бұрын
Sh Tariq🙌🏻✊🏻safi san 🎉
@zainabsimai8904
@zainabsimai8904 2 ай бұрын
This is Al rahma weweee We are always on top❤❤
@fatumaSaidi-gs6oh
@fatumaSaidi-gs6oh 2 ай бұрын
1:01
@fatumaSaidi-gs6oh
@fatumaSaidi-gs6oh 2 ай бұрын
Mpo wap jaman
@ASFAISSA-pm8ck
@ASFAISSA-pm8ck Ай бұрын
Ile sptla umeipta au
@JanethUrasa-qs5ot
@JanethUrasa-qs5ot 2 ай бұрын
Doctor tunashukuru kwa kutuelimisha mimi naishi Arusha mtoto wangu anamiaka 12 bado anakojoa sjui ntapataje hiyo tiba
@LatifaHaruna-hh8ot
@LatifaHaruna-hh8ot 3 ай бұрын
Doctor mm natk ayo meno moja kwamoj man men yamebaki machache
@LatifaHaruna-hh8ot
@LatifaHaruna-hh8ot 3 ай бұрын
Asalm alykm mm ninatatiz ya meno
@user-tv6ii7pc4z
@user-tv6ii7pc4z 3 ай бұрын
Number ya simu
@MisobiNdomo
@MisobiNdomo 3 ай бұрын
wap
@user-hl1ly8km5b
@user-hl1ly8km5b 4 ай бұрын
Mbn mm cjazaliwa nayo nimepata nkiwa shule
@engelasimwe938
@engelasimwe938 4 ай бұрын
Naomba no ya doctar wa kuweka waya nimtumie picha anitajie gharama tafadhari
@brightonmnanka9987
@brightonmnanka9987 5 ай бұрын
Mnapatikana wapi
@alrahmahospital7896
@alrahmahospital7896 4 ай бұрын
Tupo Zanzibar mtaa wa kilimani
@mudyzomkali6106
@mudyzomkali6106 5 ай бұрын
Anaruhusiwa kuzaa
@mariamhamisi8729
@mariamhamisi8729 5 ай бұрын
Naomba namba za daktar tafadhali
@user-sc1wm7hq2p
@user-sc1wm7hq2p 5 ай бұрын
Bei gan jino la moja kwa moha
@fahadbakar8177
@fahadbakar8177 5 ай бұрын
Maa Shaa Allah
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 5 ай бұрын
Ni Jambo Jema wale tuliojariwa Afya kuchangia Damu kwa Wenzetu wanaohitaji kwa Dharura mbali mbali.
@gracemanga2282
@gracemanga2282 5 ай бұрын
Nimepewawa h.pylori kit ya siku 14 lakini bado tumbo linawasha nikikula naomba usaidizi
@alrahmahospital7896
@alrahmahospital7896 5 ай бұрын
Tunakushauri rudi kwa daktari
@petrodenice8406
@petrodenice8406 5 ай бұрын
Mnapatikana mkowa.gani.watalam
@user-ql8kc1qb2u
@user-ql8kc1qb2u 5 ай бұрын
Hi dokta nahitaji namba yako prz
@saidsuleiman653
@saidsuleiman653 5 ай бұрын
Mash allah ni maneno ni ya kuzingatia kwa kila mwenye nafasi ya kazi yake
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 5 ай бұрын
Mdogo wangu ana miaka kumi bado anakojoa uwiii, uwiii
@maggykahindi621
@maggykahindi621 5 ай бұрын
Na kenya tutapataje dawa