Пікірлер
@Isacksaid
@Isacksaid Күн бұрын
Nimeipenda kak
@BimkubwaThabit
@BimkubwaThabit 26 күн бұрын
Nawapenda najikumbuk n mmi nlivyokuwa nasom 😢😢 lkn Sasa wapi 😂
@mohdgulam6598
@mohdgulam6598 Ай бұрын
Bora may zinde kuliko mzee huyu nuhsi
@SuleimanMussa-x5i
@SuleimanMussa-x5i 2 ай бұрын
Ulivo kmata utawala ukahisi uta kamata milele uta kufa kibudu wee
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 2 ай бұрын
chezea dola🤔mbona anaongea kwa unyonge!! binaadamu hamna kitu tuwache kiburi
@alimuhamadali1757
@alimuhamadali1757 2 ай бұрын
Mashallah mashallah huyu kijana aendelee kupewa sapport kubwa na kutangazwa zaidi n zaid anaweza sanaaa kipaji chetu cha pemba hicho, nimempend sana❤❤
@mukrim.twalibTwalib
@mukrim.twalibTwalib 2 ай бұрын
Dah wanitia huzini baba yngu
@msabahaali758
@msabahaali758 3 ай бұрын
Spika anaitetea serekali hajui ata wajibu wake
@abdisalim7900
@abdisalim7900 3 ай бұрын
Tuache ghururi ya ulimwengu,Dk Salmin anapaswa kuomba msamaha sn kwa Mmungu,kwa maovu yaliyofanyika chini ya utawala wk,ikiwa ni pmj na yy mwenyewe kusema ,Anaweka Koran pembeni ili apambane na Seif.Duh!! Mtihani mkubwa
@AshuraJuma-uk6sl
@AshuraJuma-uk6sl 3 ай бұрын
😅
@user-in2cs3we6m
@user-in2cs3we6m 5 ай бұрын
kafanya kazi kubwa hapa tanzania na hasa visiwani ...Allah ajalie kizazi chake kishike mwendo wake..Aamiin.ni vema tukawaenzi Wanazuoni wetu walimu wetu mabwana wetu ili tupate faraja Dunian na akhera
@user-in2cs3we6m
@user-in2cs3we6m 5 ай бұрын
allah s.w Amkutanishe na Damu yake bwana mtume s.a.w na Amghufurie dhambi zake zote na amuingize peponi ya firdaus ya juu bila ya hesabu na atupe baraka zake..Aaamiin ya rabbi tutakabalie..hatumsahau maisha yetu yote.
@AhmedAbbas-u5d
@AhmedAbbas-u5d 7 ай бұрын
Kashakufa
@user-oz4cl5cr4v
@user-oz4cl5cr4v 7 ай бұрын
Congratulations MTSS
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv 8 ай бұрын
Waarabu hamuwataki lakini siku zote😂 kiguu na njia kulekule kwa Waarabu baniani mbaya kiatu Chake dawa hatumpi nchi Maalim Seif ataleta uarabu sasa huko mwajipeleka kufanya nini na Waarabu hamuwataki kisebusebu kiroho kipapo
@issahajjiira5411
@issahajjiira5411 8 ай бұрын
Nice one
@hasnasn7227
@hasnasn7227 8 ай бұрын
Merci de faire perpétuer l'histoire et les traditions par cette vidéo. Pour ceux qui disent que c'est une bidaa sachez que le tassawwuf fait intégralement partie de la religion. Il n'y a pas qu'une seule manière de pratiquer l'islam. À bon entendeur.
@MariamMiraji-rb9hr
@MariamMiraji-rb9hr 9 ай бұрын
Gombea urais kweli umeshapita admire wang
@YussufVini
@YussufVini 9 ай бұрын
😢guppies unawo
@thamratysuleiman3053
@thamratysuleiman3053 9 ай бұрын
Me naona uyu mzee anajutia na huenda ashatubia
@YussufRamadhan-hd8gs
@YussufRamadhan-hd8gs 10 ай бұрын
I like it 🥰
@abuujihad8411
@abuujihad8411 10 ай бұрын
Raisi mwinyi anaelewa kimakunduchi
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 10 ай бұрын
Mweshimiwa rais kvz nao wachunguzwe machine za viatu used mtaalam na ilitakiwa zinunuliwe mpya
@AlfaMwanri-mw8jv
@AlfaMwanri-mw8jv 11 ай бұрын
Naomba namba za muuzaji wa hao samaki
@ZahorSalimHamad
@ZahorSalimHamad 11 ай бұрын
Mkuu nakukubali wewe ni mtu WA watu.
@ZahorSalimHamad
@ZahorSalimHamad 11 ай бұрын
Mkuu nakukubali wewe ni mtu WA watu
@JumaMussa-nj5bv
@JumaMussa-nj5bv 11 ай бұрын
naomba tujuane
@JumaMussa-nj5bv
@JumaMussa-nj5bv 11 ай бұрын
hey
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 Жыл бұрын
Safi sana mjomba kola
@MakameMufadhil-n8d
@MakameMufadhil-n8d Жыл бұрын
Nakukubali mwinyi mpeku
@seifhabib5987
@seifhabib5987 Жыл бұрын
❤ kusema ukweli Wazanzibar huku Oman ndo kwetu❤
@HusseinMohamed-jq7hu
@HusseinMohamed-jq7hu Жыл бұрын
SS site ni WA Allah SW na kwake tutarejea nakuombea kiongoz wetu Allah SW akusamehe makosa yako akujaalie kabur lako liwe miongoni mwa bustan za pepo
@Mohammed-ps2gu
@Mohammed-ps2gu Жыл бұрын
hawa watu wanatia huruma. kuna watumwa na kujishusha kwa ajili ya mfuko wa mchele. wanasiasa wote wa zanzibar ni wahalifu na wezi. wanadanganya wake huko na ni kundi la waislamu bandia. jahanam inasubiri
@Mohammed-ps2gu
@Mohammed-ps2gu Жыл бұрын
Murtad
@khadijakajole
@khadijakajole Жыл бұрын
Shillingi ngapi ranchu pair
@ahmedissa7882
@ahmedissa7882 Жыл бұрын
Allah Arham
@zulfahaji91
@zulfahaji91 Жыл бұрын
Allah amsamehe makosa yake
@lutfiarahib5155
@lutfiarahib5155 Жыл бұрын
Allah amsamehe makosa yke amtilie nour ktk kabur lake. Amiin
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Жыл бұрын
Ameen
@Coutinho_112
@Coutinho_112 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭pigooooooooooo
@makamehasnuu6660
@makamehasnuu6660 Жыл бұрын
Amin
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 Жыл бұрын
Hongera Rais wangu Hussein mwingi
@husseinmkungu1166
@husseinmkungu1166 Жыл бұрын
Ukomandoo wk saivi uko wp fala ww
@hamicpina1151
@hamicpina1151 Жыл бұрын
But raisi ni jukumu lako ilo ata kama viongozi mnajifanya hamuoni ila mtaenda ulizwa yote haya
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 Жыл бұрын
inasikitisha Sana kuona binadamu kueshi hivio lakini !!!wewe utasaidia kivipi ili kueza kuwasaidia ??? ili wapate pahali pakulala kwa hishma
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 Жыл бұрын
Pole mama kijana ??? kwa Nini usijitolee kwa jina la Allah kama anavofanya zahrî dar es salaam ???
@is-hakaame
@is-hakaame Жыл бұрын
Lengo ni kuonesha hali halisi ili na wenye uwezo waone wawaze kutoa msàadaila yooote Allah anaangalia nia ya MTU
@Logicentric
@Logicentric Жыл бұрын
Unaweza kutengeneza ponds za kwenye garden?
@adiltymohd2134
@adiltymohd2134 Жыл бұрын
Nampongeza Mheshimiwa Rais Mwinyi kwa kuanzisha mfumo huu wa SENARA, pia nampongeza mkurugenzi msimamizi wa mfumo huu Me HAJI kiukweli anastahili sifa kwani ni mchapa kazi na mtendaji hodari katika kazi yake asie na pindisha pindisha Mungu awape nguvu ya kutekeleza na kufatilia utatuzi wa changamoto za nchi zinazotumwa na watu mbali mbali
@shafiiomarali6984
@shafiiomarali6984 Жыл бұрын
Mh HEMEDI SULEIMANI ABDALLAH namuomba MWENYENZI MUNGU akupe afya NJEMA kiufupi upo vizuri sana kwa uwongozi wako MWENYENZI MUNGU akusimamie ALLAHUMA AMIN From MWAMBE MKOANI PEMBA ✍🇹🇿
@omarabdalla928
@omarabdalla928 Жыл бұрын
Mungu ampe hatma njema inshallah
@johnbernad3990
@johnbernad3990 Жыл бұрын
@modizoro
@modizoro Жыл бұрын
Vizuri sana...unatumia chakula gani cha yani...live food..nimefurahi kuona kwamba unajuwa kuwaweka viziri sana..