#NK| Jinsi ya ku clean Disk yako
10:01
Пікірлер
@lenscomputer384
@lenscomputer384 22 сағат бұрын
Unaweza kuandika kwa kumia flutter
@OlivaPaulo-f6y
@OlivaPaulo-f6y Күн бұрын
Sasa mm nlisahau password nkai restart lkn hadi sahv inaonyesha tu preparing na haifanyi kingine
@PatrickLiseki-r6g
@PatrickLiseki-r6g Күн бұрын
Mm bado inagoma kutuma code kaka
@lomedi_tz
@lomedi_tz Күн бұрын
Sasa kaka kimakonde kimeinhiaje hapo😅😂😂
@SUPERControl-f7l
@SUPERControl-f7l Күн бұрын
mwalimu tufundishe jinsi ya kuhunda telegram bot kupitia python
@martinenyabalima
@martinenyabalima Күн бұрын
mbona me nishafanya kira njia imegoma vyote nishafanya
@WiggleAndGiggleFun
@WiggleAndGiggleFun 2 күн бұрын
ASANTE KAKA HII IMEKUWA IKINISUMBUA SANA. NAOMBA FUNZO YA KUCHUKUA VIDEO ZANGU ZENYE ZIKO KWA KZbin KUZISTREAM DIRECT FROM KZbin KUTUMIA OBS STUDIO
@MamiiAlly
@MamiiAlly 2 күн бұрын
You are the best trainer have never seen before
@rayakassim2483
@rayakassim2483 2 күн бұрын
May Allah makes jannatul firdausi your final destination yaani mm nakusikiliza ww t sendi pahali ni kaenda kusomea computer nakusikiliza ww ss hivi nawapita awo aloenda kusomea I swear for God mhh
@teslanewton8339
@teslanewton8339 3 күн бұрын
nakubali sana
@msimAli-iw6md
@msimAli-iw6md 3 күн бұрын
mwalimu kwani kuna tofauti kati ya hii computer na lactop
@msimAli-iw6md
@msimAli-iw6md 3 күн бұрын
shukraan sana
@SijaliAlon
@SijaliAlon 3 күн бұрын
Mm bado haitumi kodi daah nifanye nn kaka
@SHABANIJUMA-01
@SHABANIJUMA-01 3 күн бұрын
Asalam alykum mm screen imej zoom nimeshindwa namna ya kuirejesha
@DereckRweyemamu
@DereckRweyemamu 3 күн бұрын
Mwalim.
@DiSaKi9
@DiSaKi9 3 күн бұрын
Sawa, Boss mahaka walitumiwaje pesa na wakati hawajulikani?
@abdusam
@abdusam 3 күн бұрын
Unyama sana hii ni zaidi ya shule
@JovinPotinojb
@JovinPotinojb 4 күн бұрын
Naomba namba ako
@TAASISI
@TAASISI 4 күн бұрын
Wanasemaga computer za apple hazihakiwi
@Fabian-f5z
@Fabian-f5z 5 күн бұрын
Mwalimu mimi nilikuwa nauliza Kama tunaweza kupata operating system ya windows na ku install vip kuhusu mifumo mingine tunaipataje
@salummohd-wz8mt
@salummohd-wz8mt 5 күн бұрын
Upo vizur mwalim . Ila naomba kuulz nikifungua excel key board alfabet zimebadilika wakat wa kuandika je tatz Nini
@nk-computertraining
@nk-computertraining 5 күн бұрын
Kama upo Tanzania chagua English United States. Na kama upo nje tuambie upo nchi gani na unataka kutumia lugha gani.
@dominicnazareth5917
@dominicnazareth5917 6 күн бұрын
shukran sana mkuuu tunaelewa sana kazi zako👍🙏
@AlviraMakoi
@AlviraMakoi 6 күн бұрын
Asante nimejifunza
@paulocosmas7232
@paulocosmas7232 6 күн бұрын
Kk nafanya kaz nipate pesa mm nitakuwa zaid ya hao wte na nitakuja kusaidia Tanzania mzima i wanna be co founder of natulia app is my loading great mission
@Poppin_Joe
@Poppin_Joe 6 күн бұрын
somo zuri sana, ila hapo kwenye hizo wire ningependa kukurekebisha na kuongezea kama hutojali, najua binadam tunasahau au tunakosea pale kwenye zile wire ule wire wa mwanzo unaitwa UNSHIELDED TWISTED PAIR (UTP) CABLE sio (Ethernet) popular wanazitumia kama ethernet. pia pale kwenye fiber optics cables zinatumika katika transimission kama ulivyotuelezea hapo kwa sababu zinauwezo mkubwa wa kubeba data katika frequancy range ya juu pamoja na speed ya mwanga, zina high security kiasi kwamba sio rahisi kwa mtu kuweza kuleak data mfano wa bomba ukilinganisha na waya nyinginezo mfano wa hizo coaxial cable zilivyokuwa zinatumika katika televission watu walikuwa wanaleak, lakini ni most expensive cables zina gharama sana na ndo maana sio rahisi kumilikiwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida
@Mussamatala
@Mussamatala 6 күн бұрын
brooo we me nakukubari sana yan natami niwe karibu na wewe unipe madin meng sana kuusu computer
@MsatiOne
@MsatiOne 7 күн бұрын
Nataka kujiunga
@shadrackmayunga
@shadrackmayunga 7 күн бұрын
uko vizuri ticha
@officialfantasystudioz
@officialfantasystudioz 7 күн бұрын
really i like your videos, keep it up broo. respect😐
@I.C.U24
@I.C.U24 7 күн бұрын
Niunge kwenye group
@I.C.U24
@I.C.U24 7 күн бұрын
Mwamba we noma sana
@DayyanSaid
@DayyanSaid 7 күн бұрын
😂umetisha bro.. wale wa 2025 tujuane hap
@abdulwahidhaji3245
@abdulwahidhaji3245 7 күн бұрын
Mwalimu fanya utuandalie Kali Linux operating system
@Marss_marss
@Marss_marss 7 күн бұрын
Deeproxy iko poa sana
@jikutechtips
@jikutechtips 8 күн бұрын
Kazi nzuri mkubwa
@SMCTRADER-b4t
@SMCTRADER-b4t 7 күн бұрын
Asante sana kaka nimefurahi sana kwa kuona Maoni yako apa tupo pamoja
@SMCTRADER-b4t
@SMCTRADER-b4t 7 күн бұрын
Asante sana kaka nimefurahi sana kwa kuona Maoni yako apa tupo pamoja bingwa wangu
@williamcismas6098
@williamcismas6098 8 күн бұрын
Jinsi ya kuingia kwenye iyo alphabay wakuuu
@nassorntandu4513
@nassorntandu4513 8 күн бұрын
Nafurahia sana ulivyoamua kutumia Kiswahili ili kuwafikia wengi wasiojua Kiingereza, Hongera sana kaka! Vilevile una utulivu mkubwa kuhakikisha ujuzi wote unamfikia mwanafunzi! Kazi kwao, wewe umejipanga vizuri! Asante, ubarikiwe
@nk-computertraining
@nk-computertraining 8 күн бұрын
Asante sana sana ndugu yangu kwa maneno ya motisha kwangu na kwa wasomi pia.
@HuseniSobi
@HuseniSobi 8 күн бұрын
Mimi siwezi kutuma meseji kwenye telegram nikituma haziendi naomba unisaidie
@nk-computertraining
@nk-computertraining 8 күн бұрын
Network bize fuata hayo maelekezo utaweza.
@dundoonlinesingeli
@dundoonlinesingeli 8 күн бұрын
nipooo hapaaa mkuu
@FalausSyaywahi
@FalausSyaywahi 8 күн бұрын
Unajua na umenufanya nijue zaidi🙏
@NoelAndrea-s1q
@NoelAndrea-s1q 8 күн бұрын
Bakubali kaka mambo gud njia ya 3
@abdul-kadiraly9312
@abdul-kadiraly9312 8 күн бұрын
😍😍😍😍😍😍😛😛😛
@abdul-kadiraly9312
@abdul-kadiraly9312 8 күн бұрын
hongela kaka nitakuepo NK kilaa siku
@ntwarimuhammad7742
@ntwarimuhammad7742 9 күн бұрын
Asante sana bro naomba pia utuonyeshe jinsi unaweza kutengeneza ai naukaifunza ikufanyie vitu
@dundoonlinesingeli
@dundoonlinesingeli 9 күн бұрын
whatsappp kwa pc bila ku scan codee inawezekanaa mkuuu?????
@costerpwamtaa7198
@costerpwamtaa7198 9 күн бұрын
Asante kaka huw nakuelewa sana
@believemwampamba1414
@believemwampamba1414 9 күн бұрын
Umebase sana kwenye android boss
@KassimTemba
@KassimTemba 9 күн бұрын
Naomba namba zako
@ummulkheiromar3640
@ummulkheiromar3640 9 күн бұрын
Muko wapi