Hapo atuwezi kushangaq kwa sababu tumeonq wakishuka atujui nani alikuwa anahendesha
@LettyLussiСағат бұрын
Siweziiii kupanda😂
@HamisiKitalikaСағат бұрын
Kisa ndani yupo rammy galls ndio mmeona habari angekuwepo mtu mwingine asiyejulikana wala msingepost , sawa hatukatai habari lazima ibebwe na mtu ndio mturushie habari ya kutua na helkopta kweli?
@kwanzamediaСағат бұрын
Wewe huoni hapa ameshuka na elkopta
@HamisiKitalika31 минут бұрын
@kwanzamedia sio habari echeni uvivu mtoke humo kwenye ma AC yenu mwende mkatafute habari zenye tija, au kama mnapenda habari za mahelkopta ,muwe mnaamkia viwanja vya ndege ili sasa mtulipotie kila helkopta inayotua
@Ajijji122 сағат бұрын
Hiyo Helicopter siiko pale karambezi huwa inakodishwa pailot kashuka kaacha chombo kina waka 😂
@EmmanuelNtejo11 сағат бұрын
Kipi cha ajabu mbna kawaida tu
@FauziAlly-u4g12 сағат бұрын
Bos ledy dah aisee ongea kiswahili
@Mwanamisi-q2v14 сағат бұрын
Maashallah Allah akuzidi ufike mbali nilitamani nikiona ndoto yako iko Karibu kitimia 🎉🎉🎉🎉🎉
@ZeyanaKhamismashaka18 сағат бұрын
Młaka mzuri unatagemea afanye kazi kma cio ya kuendesha ndege 🤣🤣🤣🤣
@NeemaKimario-o7h4 сағат бұрын
Walitaka auze supu ya pweza🙄🙄🙄
@kwanzamedia4 сағат бұрын
@NeemaKimario-o7h wivu tu wannamuonea
@djjailoskyelambeya607219 сағат бұрын
Hongera sanaa bwana kaka nice work nakukubali sanaaaa
@shivobs4485Күн бұрын
Labda huyo mwamba aliye vaa gloves 🧤 ndio alishangaa 😂
@beautifulafrica688622 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@eddygad2858Күн бұрын
Hongera sana Rammy Mungu azidi kukuza vipaji vyako kila siku wewe utakua baba bora
@hisanmwakijungu10Күн бұрын
Sasa kipi cha AJABU ,,, Kwan mnadhn kufanya ivyo ni bei kubwa 😅😅😅
@kwanzamediaКүн бұрын
😅😅😅 kumbe bei ndo embu fanya na ww tuone
@Yana-o2u20 сағат бұрын
We kuweza kurusha ndege
@FatimaFati-pu4lbКүн бұрын
Hongera 🎉🎉🎉🎉
@yasminjuma9146Күн бұрын
Kwani nani ?
@dominickjohn1128Күн бұрын
Kumbe kushuka nikajua ruban
@shaniabdallah999323 сағат бұрын
Ndio yeye ni rubani kumbe ata hujui
@danreckgodfrey4663Күн бұрын
Sasa nani kashangaaa apo? Mi nimetulia zangu hapa
@beautifulafrica688622 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MsAisha-w4oКүн бұрын
Masha'allah mngu akutunze Rammy Galis
@EsterLipambaКүн бұрын
Hongera❤❤❤❤❤🎉
@ReginaldKittaКүн бұрын
Hongera. Sana. Sasa. Watu. Wana wivu❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉😂😅😮😅😅
@ReginaldKittaКүн бұрын
Hongera
@nadiatanzania2 күн бұрын
Sasa chaajabu ni kipi
@gloryfidelis1022 күн бұрын
Kwani si ni usafiri tu,
@shabaniduduma888515 сағат бұрын
uneshawah kuipanda hiv?
@KalundesaidiKalunde14 сағат бұрын
😂❤@@shabaniduduma8885
@McT-m1m2 күн бұрын
Kijana yupo vizuri
@lulanjamd38862 күн бұрын
K
@ashamahadi52812 күн бұрын
Hongera Rammy umeweza Allah akuongoze ufikie hitaji lako .
Sasa mbona diamond kashashuka na ndege helcopta mara nyingi kabla ya rammy tangia dar live inaanza kutamba mpaka juz show ya Simba day na juz tu kaenda Kenya kwa privet jet
@emmanuelymeresta-si4ur3 күн бұрын
Hiii ni ulaji wa mb tuuu
@devotabashome10903 күн бұрын
Cha ajabu nini?
@seifhamood899321 сағат бұрын
Uwoni
@seifhamood899321 сағат бұрын
Unafikili matako hayo
@LettyLussiСағат бұрын
@@seifhamood8993😂
@marymanoni55363 күн бұрын
Ongera zake
@NixonJohnson-r4m3 күн бұрын
Yaani sijaelewa
@maulidimpili6983 күн бұрын
Tuache ujinga hiyo ni mipango ya watu ili kuwaibia wananchi ni waongo na ushahid ninao kuthibisha uongo wao
@maulidimpili6983 күн бұрын
Serikali inachukua hatua gan hawa jamaa wa kubeti wanadanganya raia kwa kuwahonga baadh ya raia ambao sio wazalendo mm nina rafik yang kabisa alifuatwa na kudanganya kama huyo mbwa
@AlHamra-k4u4 күн бұрын
Huyu kaka msomali au mui Ethiopia??
@ZainabLol-wx7xf2 күн бұрын
Somali
@SaadaAbdallah-o3b2 күн бұрын
Huyi kaka ni somalia
@shaniabdallah999323 сағат бұрын
Ni msomali kaka rom
@KkhamisKha4 күн бұрын
Ili nalo wivu umemjaa
@dannysengata22984 күн бұрын
Mbona hatuja shangaa?!
@FrankSamson-r6s4 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@dannysengata22984 күн бұрын
@FrankSamson-r6s au umeshangaa
@FrankSamson-r6s4 күн бұрын
@ me sijashangaa man kwanza hata sijamuona😀😀
@FahadAbubakari-y3f4 күн бұрын
We acha tu wabongo ushamba mnoo haswa hivi vichanell vya ushubwada