Hii ndio sababu ya watu kusilimu.
1:48
Nini maana ya ( Mutashabeh).
3:45
Пікірлер
@user-ef3jt3yu5p
@user-ef3jt3yu5p 9 күн бұрын
Asante shehe mawaiza mazuri sana jamani😊
@MariaAgustinou
@MariaAgustinou 12 күн бұрын
Kama akifanya kosa ukimchapa chozi atoi mtoto uyu ana maana gani
@MariaAgustinou
@MariaAgustinou 12 күн бұрын
Kumchapa una mchapa mbaka fimbo Ina vunjika lakini atoi chozi
@MariaAgustinou
@MariaAgustinou 12 күн бұрын
Shee naomba kuuliza kama mtoto atoi chozi ukim chapa inamaana Gani mtoto uyo?
@user-pc2tk3qo5m
@user-pc2tk3qo5m 2 ай бұрын
Shehe naomba kuuliza je inaswi Mimi mwanamke kumuomba mwanaume mwingine anioe baada ya muda anitaliki ili niweze kuludiana na mume wng wakwanza alieniacha kwa taraka tatu
@user-gs7gm8ry9c
@user-gs7gm8ry9c 3 ай бұрын
Daah alhamdulillah nimejaribu sn kusema hivi Ila Hadi wazazi wananichukia kisa nadai talak kisa mume wameniozesha kwa kumpenda wao mm simpend ata kumuona namuona km mtu to wakawaida
@LailatiAli
@LailatiAli 3 ай бұрын
7:55 Asalamalaikum kama umeachwa ni lazima ukae miezi 3 na siku 10 ni farazi au sunna ndo uolewe tena?
@KautharRamadhan-xv3gf
@KautharRamadhan-xv3gf 3 ай бұрын
Ndivyo inavyotakiwa dear kwaajili ya kuangalia tumboni umebeba kiumbe hivyo upate hedhi 3 ikiwa hujakoma hedhi nakama hupati hedhi yako bas ukae miezi 3
@ZahraShariff-dm2jf
@ZahraShariff-dm2jf 3 ай бұрын
Assalamualaikum sheikh je Kuna Dua ukimaliza edah yakuwachwav
@ZahraShariff-dm2jf
@ZahraShariff-dm2jf 3 ай бұрын
Ama hio hedhi ikimalizika ukijitwaharisha ni basi?
@dinnakasika6377
@dinnakasika6377 4 ай бұрын
Mwenye Mungu wa mbinguni azidi kukuongoza ili watu wake wapone kupitia kwako.
@dryusufmohamed9537
@dryusufmohamed9537 3 ай бұрын
Aaamin
@midompemba9647
@midompemba9647 4 ай бұрын
Je ukimuoa tena zile talaka zamwazo zinahesabika au zinakufa
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 3 ай бұрын
Zinahesabika ikiwa hapa kati hakuolewa na mtu mwengine ila kama aliolewa baada ya kumuacha wewe itafutika.
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn 4 ай бұрын
WANAWAKE IS TYPING......
@al-mamarial-mamari5457
@al-mamarial-mamari5457 4 ай бұрын
SubhannaAllah. Lkn Sheikh kuna wengine maskini na jeuri zao kuliko hao matajiri. Allah atuongoze sote. Ameen.
@dryusufmohamed9537
@dryusufmohamed9537 3 ай бұрын
Ammin
@BisuuKhamis
@BisuuKhamis 4 ай бұрын
Asalam alykum je ukiwa mume kamuacha mke mara ya kwanza Kwa talaka moja na mara mbili Kwa talaka mbili je mume anaweza kumuoa tena mkewe huyu. Mana kuna baadh ya masheikh wanasema anaweza kumuoa kutokana talaka mbili au tatu Kwa kikao kimoja huhisabiwa ni mona naomba ufafanuzi juu ya hili
@dryusufmohamed9537
@dryusufmohamed9537 4 ай бұрын
Ingia kwa tiktok yangu majibu yapo kwa wingi saana ukiingia kwa tiktok andika Dr Yusuf Cupping therapist
@BisuuKhamis
@BisuuKhamis 4 ай бұрын
Mbona nimeenda kuangalia lkn sijaona jibu la swali lamgu
@KautharRamadhan-xv3gf
@KautharRamadhan-xv3gf 4 ай бұрын
Assalam aleikum samahan naomba kujua hili ikiwa mke kaachika talaka 2 eda ikaisha akaolewa tena talaka zinahesbaika vp​@@dryusufmohamed9537
@KautharRamadhan-xv3gf
@KautharRamadhan-xv3gf 4 ай бұрын
​@@dryusufmohamed9537Assalam aleikum akhy naomba kujua ikiwa mke kaachika kwa talaka 2 edaa ikaisha akamuoa tena je akimuacha talaka zinahesabika na za mwqnzo au inaanza upya
@dryusufmohamed9537
@dryusufmohamed9537 4 ай бұрын
Ukipewa talaka moja huwa imepita talaka moja na unakaa Eda. Mume anaweza kurudia kabla Eda kwisha. Mara ya pili ukipewa talaka mbili kwa maramoja huwa sio mbili hiyo nitalaka ya pili sio iwe nitalaka ya tatu, kwavile mume amekupa talaka mbili kwa maramoja.. Nataka uelewe kuwa mume akikupa talaka mbili kwa maramoja huwa sio mbili, nitalaka moja tuu.. Kwahivyo wewe ulipewa talaka ya kwanza..baadae ukapewa talaka mbili kwa maramoja..sasa hiyo talaka mbili itakuwa nitalaka ya pili tuu..haiwi nitalaka ya tatu kwavile kakupa talaka mbili kw maramoja..Tayari umeachika talaka mbili tuu..Hakuna cha kufunga ndoa upya ikiwa mume amekurudia ukiwa ndani ya Eda. Ndoa kufunga upya niwakati umekaa Eda, Baada Eda kwisha, na hakuwahi kukurudia, akikutaka tena kwavile talaka ulio ikalia Eda ni mbili hadi Eda kumalizika..Basi. mume atafunga ndoa upya na mahari mutakayo kubaliana.. Sijuwi kama nime eleweka?
@khamisroro4589
@khamisroro4589 5 ай бұрын
Shukran kwa ujumbe 🤲
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 5 ай бұрын
mashallah pendeza saana sheikh
@maase2023
@maase2023 5 ай бұрын
Huyu ni hodari wa kutetea wanawake na kuwapa nafasi ya kujiachisha
@dryusufmohamed9537
@dryusufmohamed9537 5 ай бұрын
Mfano?
@maase2023
@maase2023 5 ай бұрын
@@dryusufmohamed9537 si unaona fatwa zake nyingi kutetea wanawake na kuwahamasisha kuwa wana nafasi ya kujiachisha! Ww pitia mazungumzo yake mengi yanaegemea hapo
@maase2023
@maase2023 5 ай бұрын
@@dryusufmohamed9537 ni tatizo huyu ww jaribu pitia hayo mawaidha yake utakuta asilimia 70% yanatetea wanawake na kuwapa jeuri eti wanaweza kujiachisha wakijisikia
@maase2023
@maase2023 5 ай бұрын
@@dryusufmohamed9537 kuna wakati karibuni hivi alisema kuwa mwanamke akichoka kuishi na mumewe aweza kujiachisha! Ina maana huyu anahalalisha talaka kwa maneno yake ya furaha wakati mungu amehalalisha talaka huku anaichukia! Lkm huyu sijui anajionea sifa labda wanawake watampenda au sijui bp
@maase2023
@maase2023 5 ай бұрын
@@dryusufmohamed9537 huyu ni tatizo na wengi hatupendi mazungumzo yake kwani mengi hayana tija
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 5 ай бұрын
Mi ndo itaka ngoja niskilize
@user-rx2js3bi8l
@user-rx2js3bi8l 6 ай бұрын
Mashallah tabarkah Allah ❤❤
@iddyhemedi570
@iddyhemedi570 6 ай бұрын
Mwaka gan?huu mbona kacharii Sana
@sadamohd4890
@sadamohd4890 6 ай бұрын
Mashaallah ❤❤
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 7 ай бұрын
Maa Shaa ALLAH 🇰🇪💚💚💚
@FatumaAbdilrahman
@FatumaAbdilrahman 7 ай бұрын
Assalam aleykum, Sheikh wangu nimepata somo.nilinalonigusa, mimi nimemkinai mume wangu, juu ya ulevi na kunidanganya ameslimu wakati haswali, anakunywa pombe, anakula nguruwe, na hata ukipiga simu muito wake ni kwaya, lakini hataki kuniacha, nimerudi kwetu niende wapi nijivue katika hii ndoa? Pia hata mahali hakunilipa tulidanganya katoa nusu, hata robo hakutoa.
@hashirsuleyman
@hashirsuleyman 4 ай бұрын
Fatma
@hashirsuleyman
@hashirsuleyman 4 ай бұрын
www.youtube.com/@hashirsuleyman
@RukiaAliy-xg6ok
@RukiaAliy-xg6ok Ай бұрын
Dada fatma . nend mahakama ya kiislam kwan wapi mashehe maalum kwa ajil ya kuskilz kes k.izo na kuzitolea hukumu . inshallh mungu atakusaidi
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 7 ай бұрын
ما شاء الله 🇰🇪💚💚💚
@Aminamuhamed
@Aminamuhamed 7 ай бұрын
ALHAMNDULLILAH RABIL AALAMIYN YAA ALLAH 🤲 SHUKURAN SHEKHE WETU KWA KUTUFAFANULIYA MIPIA ILITOKEA MUME KUONDOKA NA KUTONIJUA KWA LOLOTE AU CHOCHOTE TOKA 2017 HADI 2023 KATIKATI YA HIYO MIAKA NIKAWA NAMSIKIYA KAJA NIKIMPIGIYA SIMU ANANIKATIYA AU ANAWEKA BUSY .NILIPOSIKIUA KAJA NIKAENDA KWA KADHI NIKAAMBIWA ITABIDI AJE NIKAMTUMIYA SALAMU AKAJA KWA KADHI AKANIJIBU MIMI BINAFSI NILISHAGA KUKUACHA ZAMANI SANA ZAIDI YA MIAKA 5 ILIYOPITA NIKAMJIBU BILA MIMI KUJUA NIKAMWAMBIYA BASI LEO MIMI NIMEKUJA NATAKA UNIACHE NA MIMI NIJUE AKANIJIBU MIMI SITOTIYA SAINI HAPO AKAJIBIWA NA YULE MPOKEAJI HAINA NENO ILA UKIFIKA KWA KADHI MJIBU HIVYO MBONA ALITIYA SAINI KIULAINI . SHEKHE WETU NAMWOMBA ALLAH AKUPE SWIHA NJEMA NA UMRI TAWEEL .OMBI LANGU KUNA BAADHI YA WANAUME WANAJITWISHA MIZIGO WASIYOIWEZA MWISHOWE KUTESA WATOTO WA WATU KAMA MTU HAJIWEZI YA NINI KUJITWISHA MZIGO MZITO BAADA YA MDA WATU WANAONANA WABAYA
@faridaikussi
@faridaikussi 7 ай бұрын
Ewee Allahu nipeupambanuzi namacho yayakini
@faridaikussi
@faridaikussi 7 ай бұрын
Subhaanallah Allahu tuhurumie wajawako natuokoe
@mdoekibai3991
@mdoekibai3991 7 ай бұрын
nakukubali shekh kwasasa umeacha kuwafarakanisha waislam Allah aendaelee kukuingoza inshallah
@ayshaaysha2165
@ayshaaysha2165 7 ай бұрын
Shukraan wa jazakallahu khayran
@dryusufmohamed9537
@dryusufmohamed9537 7 ай бұрын
Afwan
@mohamedsuleiman8991
@mohamedsuleiman8991 7 ай бұрын
Mashallah
@daudimichael7338
@daudimichael7338 7 ай бұрын
Aisha alisema kweli, Muhammad alikuwa anamuingilia akiwa katika hedhi. Huyo ndo mtume wa wenzetu 😂
@user-mi9ze6gb7e
@user-mi9ze6gb7e 7 ай бұрын
huna akili fala ww
@safinauwingabire9921
@safinauwingabire9921 8 ай бұрын
Shukurn
@AaWe-ze9ho
@AaWe-ze9ho 8 ай бұрын
Je ikiwa mume alinitamkia kwamba ww si mke wangu mpaka kiama nn hukmu yake,au akatungika ukienda sehem hiyondo talaka yako naomba majibu
@morjanoman5181
@morjanoman5181 8 ай бұрын
Mimi. Nilipata mchu akatoa pesa ya baru ila kinachonishangaza adi leo yule mchumba simuoni wala uduma zake nina haki yakuolewa na mwingine?
@KautharRamadhan-xv3gf
@KautharRamadhan-xv3gf 4 ай бұрын
Hakuna uhalali wowote hapo wala kizuizi chochote
@LailatiAli
@LailatiAli 3 ай бұрын
Asalamalaikum nauliza mke akiachwa leo baada ya wiki moja apate mchumba je anaweza kuolewa baada ya wiki moja?
@KautharRamadhan-xv3gf
@KautharRamadhan-xv3gf 3 ай бұрын
@@LailatiAli nnavyojua mm haiwezekani mapakaa amalize EDA na hatakiwi kuchumbiwa mpaka amalize EDA kwa anaeingia hedhi bas apate tohara3 na aliekoma hedhi bas ni miezi mi3
@athmansalim8388
@athmansalim8388 8 ай бұрын
Allahumma swali alyh
@abdulmwakubambanya9091
@abdulmwakubambanya9091 8 ай бұрын
Barakh Allah fikh wa jazakh Allah Khair
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 8 ай бұрын
Subhananllah Allah atulinde na shirki
@user-mn7pf8iv7e
@user-mn7pf8iv7e 8 ай бұрын
ALLAH akulipe kheri sheikh
@user-hl9mx9qw5i
@user-hl9mx9qw5i 8 ай бұрын
@@Usher_bambi94
@SaidJuma-ru7vm
@SaidJuma-ru7vm 8 ай бұрын
Bi Aisha jamani why all this 😂😅😂
@RashidTibangayuka
@RashidTibangayuka 8 ай бұрын
No comment
@Sh_Taqee
@Sh_Taqee 8 ай бұрын
Riwaya za hovyo sana.... uchafu huo mnaunasibisha kwa Mtume s.a.w.w na kumchafua wapumbavusana...ati hapo ndio mnamsifia Aisha.
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 8 ай бұрын
Ww mshia kafiri toka hapa ALLAH awaongoze makafiri fulani nyie
@Amissi_abasi1
@Amissi_abasi1 8 ай бұрын
Ss ww una taka waku jibu ao uko mbuzi😂😂😂
@user-vg6gp3bz1f
@user-vg6gp3bz1f 10 ай бұрын
Ma sha Allah Tabaarakallah
@user-vg6gp3bz1f
@user-vg6gp3bz1f 10 ай бұрын
Ma sha Allah Tabaarakallah Allah atuongozee
@user-vg6gp3bz1f
@user-vg6gp3bz1f 10 ай бұрын
Allahuakbar
@user-vg6gp3bz1f
@user-vg6gp3bz1f 10 ай бұрын
Subhanallah Allah atunusuru
@othmanawadh3964
@othmanawadh3964 10 ай бұрын
Sante ujumbe umetufika
@BakariJuma-cf6ye
@BakariJuma-cf6ye 11 ай бұрын
Mashaallha Ahsante Sana kwa mawaidha mazur, je inafaa kufnya biashara au Kaz ukiwa katika Eda
@maase2023
@maase2023 11 ай бұрын
Haya na huyu mwingine kazi kuongelea mitalaka tuuuu huku waislam wenzetu wanauwawa na wamekaa kimya tu kuongelea fatwa za talaka ambazo pia hawajui
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 15 күн бұрын
Ongelea wewe wanao uwawa
@maase2023
@maase2023 15 күн бұрын
@@ndukulusudikucho_ mmezoea kuoa na kuacha nyie ndio maana mkapenda fatwa zaa huyu mjamaa chonganishi tu
@maase2023
@maase2023 11 ай бұрын
Hawa ndio wanaohamasisha wanawake kujiachisha na dhamira yao watu hawa hatujui ni nn au ni elimu ndogo inayowasumbua na kupoteza umma mkubwa
@user-jt5cg5nq2d
@user-jt5cg5nq2d 7 ай бұрын
Siyo elim ndogo nisahih Kam hampendi Tena siatazin na anae mpenda bol kujivua
@maase2023
@maase2023 7 ай бұрын
@@user-jt5cg5nq2d kwa wanawake usaliti na uzinifu ni kawaida kwao hawajali kama yupo kwa ndoa au la
@NaifilAlly
@NaifilAlly 21 күн бұрын
Swadakta kabisa Allah akubarik
@NaifilAlly
@NaifilAlly 21 күн бұрын
Insha Allah
@SwaleheChege-ss5lc
@SwaleheChege-ss5lc 11 ай бұрын
Mimi nilikua na mke mkumbwa kaondaka nilikua silo kambemba vitu vyangu na vyake alipo enda kwao wazazi walipokea na akaa miaka mitatu bila Kuna kwetu mpaka Nika mutaliki je zile vitu vyangu na weza zifuata.