Biblia Yasema kwa Lugha ya Alama Tv,
Ni chanel inayo husu hadithi za Biblia Kwa Lugha ya Alama, pamoja na habari zote zinazo husiana na watu wenye mahitaji maalumu, pamoja na Lugha ya Alama.
Karibu uendelee kufuatana nasi Ili uendelee kuhabarika na habari mbalimbali za Lugha ya Alama.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba hizi
+255717548328
+255762237800
[email protected]