Video nimeipenda ila mziki na rasbend haijackilikana cjapenda asaa
@MaryamAlèy4 күн бұрын
Mashallah🎉🎉🎉🎉
@jameskamweti9 күн бұрын
Kazi safi. ❤❤❤
@Foodgrower11215 күн бұрын
Ya Tanzania wakati kuwapa haki zao za nchini kwao hamtaki kuwapa kwa ubaguzi wenu
@karafuunanazi170116 күн бұрын
Hongera Sana Hilmy
@shikoshania95318 күн бұрын
Wema na idris warudiane❤❤
@5H-EB90119 күн бұрын
Ah! Zanzibar n nchi nyengine 😂😂😂 Safi kwa kulijuwa hilo 😂😂😂
@hadijamgambo-jn7kg20 күн бұрын
Vazi la mswahili mtalipata Zanzibar lkn vazi la Taifa hamlipati mana Dunia nzima wanajua vazi la kimasai ndo vazi la Taifa la Tanzania.
@RachelMdao20 күн бұрын
Heri mtuite tanganyika maan muungano wa kinafiki tu huu
@SamiraMakame-w9c20 күн бұрын
Idriss and wema
@RabiaSaid-sh1km24 күн бұрын
Mashallah mgogoni iyo ❤❤❤
@mustafamussa291724 күн бұрын
Ni mahafali mazuri sana hongereni❤❤❤
@aliyissa985729 күн бұрын
Bhot achaye
@AshaaTumboc29 күн бұрын
Mimi Nina shida na rais mwinyi Nina maongezi nae
@KivuliLocalNewsАй бұрын
Kazi nzuri Sana Wana Familia wa Pena
@KivuliLocalNewsАй бұрын
Hongera Sana z pemba news kwa kutupa kila linalojiri kwenye visiwa vyetu
@KivuliLocalNewsАй бұрын
Kila mtu anapaswa Kupata Elimu Kwa Hali yeyote Ile 👍
@AminaMohamed-c2qАй бұрын
Nice🎉
@Aziza-g9mАй бұрын
Mashallah mwalimu wangu umeupiga mwingi skuli ya mtopepo nakukubali toka enzi za mwalimu mkuu marehem rashid
@KhadijaHussein-qn2geАй бұрын
Tafuteni mbinu mbadala ili wananchi tuweze kujikimu mahitaji yetu sio mtafute mbinu hizo hizo za ukandamizaji inabidi mnataka wananchi sote tuuze vitu dokoni znz tajiri ila nashanga bado wananchi masikini cha kukila mtu mtihani kazizenu kujiingizia nyinyi mapesa
@hadharaally6523Ай бұрын
Ma shaa Allah mwalim wangu mweledi bi sharifa hongera kwa kustaaf salama hakika elimu uliyotupatia inatuendeleza kupa faida kwenye maisha yetu Allah akulipe kila heri Kwa elimu uulioitoa mm mwanafunzi wako umenisomesha Kwa mikono yako naipenda sana skul yangu ya MTOPEPO A ❤❤❤
@ahmadSeif8602 ай бұрын
Hongera Sana, umetumia dakika chache lakin umeeleza vzuri Sana umeeleweka
@hassanomarmohamed41002 ай бұрын
Safi sana
@theteacherchance67502 ай бұрын
Inna' lillah wainna' ilyhir Rajioon
@Juma-s1l2 ай бұрын
Assalam alaykum mm naitwa riziki sleyman ali nimkaazi wapemba mh rais mm nina malalamiko mnamo tarehe 5 mwezi 3 mwaka 2022 nimeuliuwa mtoto wng na shemegi yng lkn tangu siku iyo sijawahi kuitwa mahakamani na kesi ipo mahakama ya chake pemba kwaiyo naomba msaada wako mh rais maana huu ni mwaka 3 kesi haijatoka hukumu
@AidaniJohnKomba2 ай бұрын
kiira motors from uganda make Afrika freat drive Ecars
@mathewsabit46172 ай бұрын
Mr Tino's speech✌️
@FarhiyaThani-yc5et2 ай бұрын
Allah akujaalie jannah firdows Yarab
@MaryamSimai-b9f2 ай бұрын
Mwenyezi mungu amsamehe makosa yake na amjaalie firdausi makaazi yake amin
@RahmaSalim-l4m2 ай бұрын
A, Alaykum habari za Leo Mimi naomba kuuliza njia Mwanyanya kwa mchaga ipo ktk ratiba .maana ipo haja ya kujengwa tupate daladala Sasa hivi Hamna dalalada njia mbaya sana
@JumaOmar-kp8rx2 ай бұрын
Jengo la tume ya madhalim
@FilizJuma2 ай бұрын
Ajira zipo
@fatmatumally44982 ай бұрын
Innnalilah Waina illlah rajiunnn allah akulaze mahal pemaa pepon
@khamisjuma29472 ай бұрын
Kila siku tunajenga vipi kwani
@أبوعبداللهراشدمحمدناصرراشد3 ай бұрын
Acheni uchaguzi uwe huru na haki ndio muone mutakavofanywa
@mawlodafarida3 ай бұрын
❤❤❤❤❤mungu akup afanjem
@fatmamuhammed97133 ай бұрын
Nyimbo nzuri muimbaji sie
@SazafKiba3 ай бұрын
Mkuguu supu
@Janatinaim-u4v3 ай бұрын
Masha Allah
@OmarAmran-t7k4 ай бұрын
Uyu jamaa mpole sana ni kazi kupata kiongozi kama huyu sio mjeuri ana bashasha
@Mahirwazanzibar4 ай бұрын
Hamushidi mnatumia nguvu ya dola kujieka madarakani😂
@IdirisaKhamis4 ай бұрын
Kw iyo mkenya kw sababu yupo competent dhidi ya mzanzibar ni legal kuchukuwa fursa ya Zanzibar, acheni uwongo sector hii mmeitelekeza, inafaidisha wageni wanafunzi kila Leo Wana graduate maruhubi sasa nyinyi mnawasimamia vipi, kuna watu watoka tabora anapewa fursa ww mzanzibar kwenu hp hupewi ubaguliwa sisi ni wahanga wa haya wanafunzi wa suza hatutakiwi ktk sector hii.
@dhamiirrashid61754 ай бұрын
Acha uongo ndugu yangu umesoma wap zanziba ndio kitovu cha biashara ya utumwa
@alhudhaify78104 ай бұрын
Jengo gn hilo na kz yake itakua nn
@نوفل-س5ر4 ай бұрын
Na nyinyi hamuna faida yoyote humo serekalini mupo tu.
@alihijiiddi89775 ай бұрын
💪💪💪💪💪🌎🕌🕌SAWA SAWA MWINYI ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@DuuSaid5 ай бұрын
Hongeraza sana ofsa kwa kufanya mazuri .ila msisahau kununu meli kubwa kwajili ya ulinzi ya bahari yetu meli zakisasa ili maharamia wasituibie samaki wetu na rasilimali zetu za baharini kuzidi kulinda mali zawatu wa zanzibar 😁