Пікірлер
@ej4409
@ej4409 21 күн бұрын
Good
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music 21 күн бұрын
Keep in touch 👍
@engboostrwanda9791
@engboostrwanda9791 Ай бұрын
Habari jamani jaribu kuelekeza camera 🎥 kwenye kinanda iki tujue vile unavyo Fanya.
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Ай бұрын
Sawa sawa kiongozi
@Ema-n5l
@Ema-n5l Ай бұрын
Ningeomba kujua namna ya kutengeneza break za biti
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Ай бұрын
Pande zipi kaka
@StephenMbwambo-i5i
@StephenMbwambo-i5i Ай бұрын
Kaka uko vzr tusaidie namba yako
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Ай бұрын
Kwani upo Pande zipi bro
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Ай бұрын
0769309368
@NelsonTum-c4r
@NelsonTum-c4r Ай бұрын
Hiyo bass umetumia ni gani I'm requesting
@ibrastev1
@ibrastev1 2 ай бұрын
Safi sana 🎉
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music 2 ай бұрын
Pamoja Sana Bro
@stanifordbilula8543
@stanifordbilula8543 2 ай бұрын
Mwalimu naomba namba yako nataka kujifunza kwako ticha
@stanifordbilula8543
@stanifordbilula8543 2 ай бұрын
Mwalimu nataka nijifunze kinanda niwe mpigaji Kama wewe tafadhali naomba msaada wako
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music 2 ай бұрын
Haina shida braza ishu ni bando braza siuna jua Tena ,,,Kwanza upo pande zipi? 0769309368 nichec
@innocentlukuwi
@innocentlukuwi 2 ай бұрын
POWER FULL PIANIST
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music 2 ай бұрын
Keep in touch bro!!!
@SamwelCosmas-ne1qp
@SamwelCosmas-ne1qp 2 ай бұрын
mbona mambo magumu mim .jinsi ya kucopy sielewi kaka
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music 2 ай бұрын
Ok unatumia kinanda aina gan kaka
@SamwelCosmas-ne1qp
@SamwelCosmas-ne1qp 2 ай бұрын
@mgeyekwa-Music psrs 770
@onesmosalum-lz6bm
@onesmosalum-lz6bm 2 ай бұрын
Nashukuru kaka kumbee ndo maana washikajii hawatakii kunielekezaa,mungu akubariki kaka,ila nina swali,apoo ulipofanya mixing yahoo biting ikiwa umetumia vyomboo tofautii ya zaidii ya kimojaa na hvyoo utafata hatua hyoohyo?
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music 2 ай бұрын
Amina pamoja sana!!! Hapo Kila chombo ukipiga kwenye bit lako unakifanyia mixing kulingana na vile unapenda kisikike Ila bado tutaendelea na somo letu la mixing
@JosephSikalombo
@JosephSikalombo 2 ай бұрын
Yaani uwe unatufundisha ili nasi tujue utapata watu wengi
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music 2 ай бұрын
Ooooo! Kweli bro hapo nimekuelewa
@JosephSikalombo
@JosephSikalombo 2 ай бұрын
Jamaa yangu mbona hautuelekezi unatengezeza muziki bila kutuelekeza kwamba unabonyeza wapi
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music 2 ай бұрын
Ondoa Shaka kaka ni hii moja tu zingine zinakuja na full maelekezo
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 3 ай бұрын
Mwl mzr, upo vizuri ❤
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music 3 ай бұрын
Najaribu Mr
@DAUDNDAKI-x5r
@DAUDNDAKI-x5r 25 күн бұрын
Namba zako na unapatikana wap mkuu❤❤❤​@@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music 24 күн бұрын
Nipo Singida kwa Sasa bro 0769309368
@DAUDNDAKI-x5r
@DAUDNDAKI-x5r 24 күн бұрын
@mgeyekwa-Music unachaji kwa gharama ya shingap
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music 24 күн бұрын
@@DAUDNDAKI-x5r Kutengeneza bit au?
@SamwelCosmas-ne1qp
@SamwelCosmas-ne1qp 5 ай бұрын
safiiii sana kaka kazi nzuri .tutafika mbali. hapo napo nlikua vibaya
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music 5 ай бұрын
Pamoja Sana,,, ila utanipa contact mengine tutasaidiana kwa simu
@SamwelCosmas-ne1qp
@SamwelCosmas-ne1qp 5 ай бұрын
@@mgeyekwa-Music sawa kaka
@GodfreyYohana-tb8uh
@GodfreyYohana-tb8uh 5 ай бұрын
hatariiiii
@IsackMpangala
@IsackMpangala 6 ай бұрын
Lkn natokea dar es salaam bro
@IsackMpangala
@IsackMpangala 6 ай бұрын
🎉🎉🎉safi sana ssa nikija na wimbo wangu ukanitngnezea beat utacost bei gan
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music 5 ай бұрын
Uko wapi kwanza
@EzekieliPreygod
@EzekieliPreygod 6 ай бұрын
Mwalimu naomba nabayako
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music 6 ай бұрын
0625900 497
@MedsonJackson
@MedsonJackson 7 ай бұрын
Better beats,❤❤GOD 🙏 BLESS HIM.
@FrankTasian-pe8qr
@FrankTasian-pe8qr 7 ай бұрын
Unafundisha vizuri sana kaka nakupata sana unafuata procedure zote
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music 7 ай бұрын
Pamoja sana kiongozi
@SamwelCosmas-ne1qp
@SamwelCosmas-ne1qp 9 ай бұрын
safi sana kaka ,lakini kuna b na c pamoja na intro part unavipataje ivyo vitu ?
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music 9 ай бұрын
Nitakuwa hewan sio mda kaka keyboard tu inasumbua nitafanya vyote hivyo maana n rahis sana
@SamwelCosmas-ne1qp
@SamwelCosmas-ne1qp 8 ай бұрын
haya kaka tuko pa1 sana
@SamwelCosmas-ne1qp
@SamwelCosmas-ne1qp 6 ай бұрын
kaka hatuonani ,kinanda chetu bado hakijakaa¿?
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music 6 ай бұрын
Yaaan acha tu mambo ni mengi napambana hapa ila sio mda kinakuja nishakiagiza
@SamwelCosmas-ne1qp
@SamwelCosmas-ne1qp 6 ай бұрын
haya kaka tuko pa1 sana ,
@jaredoluoch6773
@jaredoluoch6773 10 ай бұрын
hello kaka naomxa utoe video nyingi
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music 10 ай бұрын
Haina shda bro sema changamoto ni kinanda kwa sasa
@PauloPastory
@PauloPastory 11 ай бұрын
Vp namna ya kuweka intro, break, na ending bro
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music 11 ай бұрын
Rahis Sana bro!
@PauloPastory
@PauloPastory 11 ай бұрын
@@mgeyekwa-Music nitengenezee video Moja bro,ya kuunganisha hivo vitu!
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music 11 ай бұрын
Haina shida bro! sema keyboard yangu inasumbua ndio maana nipo kimya ila nitafanya
@PauloPastory
@PauloPastory 11 ай бұрын
@@mgeyekwa-Music haya poa kaka,
@newtontorad5525
@newtontorad5525 10 ай бұрын
Kaka vp
@erickfabian2683
@erickfabian2683 Жыл бұрын
kaka mkubwa inafundishwa vzr ,unafundisha kwa kingereza pekee
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
Mi mswahili bana sema Kuna wadau fulan hvi wapo nje waliomba niwafundishe kwa kiingereza hzo chords
@barakandaro
@barakandaro Жыл бұрын
KAZI nzur, naomba unisaidie namba zako
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
Pande zipi Mr
@barakandaro
@barakandaro Жыл бұрын
Mimi niko dar es salaam ,nahitaji kujifunza kutengeneza beat kiongozi wangu
@barakandaro
@barakandaro Жыл бұрын
Naamin unaweza niunganisha na watu unaowafahamu hapa DSM kiongozi
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
Du! Mi nipo singida kiongozi wangu
@LucasBahati-r4i
@LucasBahati-r4i Жыл бұрын
Kama unapiga ngoma zote nipigie moja yakiasi biti yakisukuma iwe kali
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
Ucjali hyo nainyonga vizur tu but Keyboard yangu imepata hitilafu kidogo ndio maana nipo kimya but Soon narudi
@LucasBahati-r4i
@LucasBahati-r4i Жыл бұрын
Bro ww ninoma unaweza ukanifanyia ngoma nyingine
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
Ngom Miondoko ipi braza
@LucasBahati-r4i
@LucasBahati-r4i Жыл бұрын
@@mgeyekwa-Music Ngoma zote s unapga bongo kwaya hd Na Asili
@LucasBahati-r4i
@LucasBahati-r4i Жыл бұрын
Rakin singoma zote unapga kuanzia kwaya bongo Hadi na asili
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
@user-tj6kc6ps3m kwaya na nyimbo za asili hapo sawa ila bongofleva sio sana
@isayamziwanda4768
@isayamziwanda4768 Жыл бұрын
Habari mwalimu kiukweli somo lako ni zuri sana, ila mm ninaombi mwalimu mm napiga ufunguo F major naomba wakati unatufundisha utaje namba unayokwenda katika passing chords ili nipate urahisi wa kuhamishia ktk ufunguo F. Asante sana
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
🙏🙏Ondoa Shaka bro nitajitahidi sana
@ElishaMtedzi
@ElishaMtedzi Жыл бұрын
Bro lmekaa poa sana Ila bro nisaidie kupata mabit mimi kinanda changu hakina uwezo wa kutengeneza mabit kama hayo mungu akubarik.
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
Pande zipi bro
@FrankTasian
@FrankTasian Жыл бұрын
Yes I got you
@jameskimwele8174
@jameskimwele8174 Жыл бұрын
Hallo,naweza kukupata Whatsapp tuongee?
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
@jameskimwele8174 kiongoz upo pande zip
@jameskimwele8174
@jameskimwele8174 Жыл бұрын
@@mgeyekwa-Music nipo hapa Nairobi kenya
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
Ok nipo Iringa-Tanzania Mr
@FrankTasian
@FrankTasian Жыл бұрын
Nakufuatilia vizuri Mwalimu wangu unanifurahisha sana kama hutojali nagomba namba yako ya WSP kaka
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
Pamoja Sana 0769309368
@FrankTasian
@FrankTasian Жыл бұрын
@@mgeyekwa-Music Thank you brother
@FrankTasian
@FrankTasian Жыл бұрын
Imekaa poa nime Enjoy sana Bro
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
Pamoja Sana kiongozi,, umesuscribe lakini?
@FrankTasian
@FrankTasian Жыл бұрын
@@mgeyekwa-Music Tayari kaka
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
@FrankTasian 👏pamoja Sana👏
@FrankTasian
@FrankTasian Жыл бұрын
@@mgeyekwa-Music Naomba nikuulizie hivi utofauti wa Aina ya Keyboard unaweza badili Steps za utengenezaji wa Beat? Mfano kama PSRS*900 Au PSR 750 Unaweza tengeneza sawa na hiyo Ya kwanza?
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
@FrankTasian Psrs zote step zake zinafanana Sana utofaut tu n kwamba PSR Unaanza kwa kubofya batan ya digital recording PSRS 900 n.k unabofya batan ya function PSRS X 700... n.k unabofya batan ya Menu Kama sikosei step zingine sawa
@ramsdenjames9782
@ramsdenjames9782 Жыл бұрын
Namba zako pls pia unapatikana wapi mtu akitaka mafunzo live
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
Kwa Sasa nipo singida mheshimiwa pande zip upo
@ramsdenjames9782
@ramsdenjames9782 Жыл бұрын
@@mgeyekwa-Music kahama
@Kembodicktz
@Kembodicktz Жыл бұрын
We noma sana amapian
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
Pamoja kiongozi
@EmmanuelZakaria-fr4kn
@EmmanuelZakaria-fr4kn Жыл бұрын
Aisehe unajuwa sana
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
Kidogo nilicho nacho tunashare
@charlesmkombozi7895
@charlesmkombozi7895 Жыл бұрын
Umetisha ndugu wewe unapatikana wapi
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
Kwasasa nipo singida kiongozi
@haroldemmanuel6259
@haroldemmanuel6259 Жыл бұрын
1:54
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
I see the time here!
@tinomawele3738
@tinomawele3738 Жыл бұрын
Thanks bro, nice easy going lesson. Although I don't speak Swahili, I followed and play the progression
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
Thax Mr but I have done it in inglish so u can check it also
@kesheninaftal
@kesheninaftal Жыл бұрын
Brother namba ya sim napata?
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
Pande zip bro kwa Sasa 0769309368
@megachaser486
@megachaser486 Жыл бұрын
I have learnt a lot from you Mgeyekwa continue making useful videos my brother God bless you
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
🙏🙏thank u brother
@megachaser486
@megachaser486 Жыл бұрын
very useful i like the fact that you make it clear by mentioning every chord you play. I was struggling to understand how to use them . now if you have opportunity consider how to play suspended chords in a progression.
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
Worry out brother keep in touch!!
@omuze1290
@omuze1290 Жыл бұрын
Brother unapatikana wapi?
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
Kwa Sasa nipo singida bro Ila home iringa
@ebenezerndanyuzwe9292
@ebenezerndanyuzwe9292 Жыл бұрын
God bless you for sharing this blessing brother Mgeyekwa
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
Thax Mr keep in touch
@megachaser486
@megachaser486 Жыл бұрын
bro how can I proceed from playing 1 4 1 5 with its passing chords because I don't know how to use 2 4 and 6 in my chord progression. I know full scale chords and all inversions and it's passing chords but I don't know when where and how to use them what should I do ?
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
I'm not sure if I have got your point but if you go in my video in I did it all passing chords in this progression including the use of 2 and 6 as passing chord but I can elaborate more for you ""check first that video
@megachaser486
@megachaser486 Жыл бұрын
@@mgeyekwa-Music I mean not using them as a passing chord but using them as a chord in my play because I only play 1 4 1 5 but don't know where these chord fit in when I'm playing. I know how to use them as passing chords when playing 1 4 1 5 . but I want to use them not as passing chords in songs
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
@@megachaser486 ok you mean where and when to insert passing chords in progression of 2 4 6
@MistaToo
@MistaToo Жыл бұрын
Good tutorial
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
🙏🙏
@megachaser486
@megachaser486 Жыл бұрын
very useful tutorials so how to use augmented chords in chord progression?
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
Stay tuned I'm coming with this tutorial worry out
@makumboproduction
@makumboproduction Жыл бұрын
full unyama mkuu bei gan hicho
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
We nichec tumalize biashara nikuachie machine
@megachaser486
@megachaser486 Жыл бұрын
thank you so much brother it's a very powerful tutorial . please keep it up . watching you from S A
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
Keep in touch bro what I have I will keep on sharing
@pereskamugisha2421
@pereskamugisha2421 Жыл бұрын
Am interested to play F sharp
@mgeyekwa-Music
@mgeyekwa-Music Жыл бұрын
You are warmly wellcome