JINSI YA KUONDOSHA MARADHI YA SHETANI
1:51
HISTORIYA YA IMAM SHAFII
17:48
28 күн бұрын
SHARTI ZA KUWA IMAMU
24:41
Ай бұрын
FADHILA ZA KUSWALI  JAMAA
24:09
2 ай бұрын
Пікірлер
@kadhwibakari6387
@kadhwibakari6387 6 күн бұрын
Shekh jibu swali
@barwani890
@barwani890 8 күн бұрын
Mashaallah mwanangu 😊
@barwani890
@barwani890 8 күн бұрын
Shukraan ustaadh khatib jazakallahu lkheir
@HemedSerious
@HemedSerious 11 күн бұрын
Umezunguka bure kwa kifupi ni haram
@AbdiNdayishimiye
@AbdiNdayishimiye 19 күн бұрын
Swali rimemushinda kujimbu
@rehemakhamis8112
@rehemakhamis8112 23 күн бұрын
haifai kwa sheria ya dini ya kislamu ni haramu
@user-rs3ec6ck2j
@user-rs3ec6ck2j 24 күн бұрын
Asnt
@AdamKiswala
@AdamKiswala Ай бұрын
MaashaaAllah
@mukavanajaber4221
@mukavanajaber4221 Ай бұрын
Hapo unazungumzia mambo ya dini bila elimu.....
@bonnycharles1239
@bonnycharles1239 Ай бұрын
Naomba kuuliza, kama mtu ana mke na watoto wakiwa wote ni wakristo halafu mume aka amuwa kuslim, lkn mke wake hataki kuslim je huyu mtu anatakiwa afanye nn ili awe mkamilifu katika dini maana inasemekana mke wako kama si muislam bado hujakamilika samahani naomba mnisaidie katika hilo.
@ustadhkhatibomar9848
@ustadhkhatibomar9848 Ай бұрын
KARIBU, SHEIKH ATAKUJIBU MUDA SI MREFU, ENDELEA KUTUFUATILIA
@wasafisong8471
@wasafisong8471 12 күн бұрын
Mke umlinganie kama akikataa umuache na nawatoto kama hawajabalehe ni waislamu kama wamebalehe uwalinganie pia
@user-ne7xi3bk3p
@user-ne7xi3bk3p Ай бұрын
Jazakallahu khairah maulana khatwiib
@user-ne7xi3bk3p
@user-ne7xi3bk3p Ай бұрын
جزاك الله خيرا
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy Ай бұрын
Wakristo na mayahudi ndo ahlulkitaab. Wamejaa tele mitaani kwetu sijui kwa nini tunajipa kazi ya kuwatafuta watu wanaojulikana au tunajipa fikra ya kukataa uhalisia. Ahlulkitaab ni mayahudi na wakristo sasa watu tunakataa kwa kutumia akili. Hapo ndo utaona ujinga wa waislamu walio wengi. Ruhusa imetoka kwenye surat Maaidah aya ya 5.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Ай бұрын
Ahlulkitabu wenyewe ndiyo hawa wandengereko, wachaga, na wanyakyusa wanaofata maandiko ya yaliyochakachuliwa au vipi?! 😂😂😂 tambua waliokusudiwa sio hawa ni wale wa zamani waliofata taurati na injili ya kweli ambao tayari walishapambanukiwa bishara watakayoifata ya Mtume Muhammad (S) baada ya ujio wake kwao, ahlulkitab hawa wa sasa asili ya mafundisho yao imetoka kwa nani?! Yesu Mussa au Fikra za wazungu waliyoyachakata mafundisho sahihi ya ahlulkitab halisi?!... kaka usiwe mwepesi hivyo... tafakari!!
@KulwaMichuzi
@KulwaMichuzi Ай бұрын
Mashaalah
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib 2 ай бұрын
Hujajibu suali Umeongea porojo tuuuuu
@MohammadToya
@MohammadToya 2 ай бұрын
A.a shuqran
@user-ne7xi3bk3p
@user-ne7xi3bk3p 2 ай бұрын
Jazakallahu khairah yaa shekh
@user-ne7xi3bk3p
@user-ne7xi3bk3p 2 ай бұрын
Jazakallahu khairah yaa shekh
@user-ne7xi3bk3p
@user-ne7xi3bk3p 2 ай бұрын
Masha Allah jazakallahu khairah
@Aymanland
@Aymanland 2 ай бұрын
Masheikh kama hawa ndio hupotosha Ummah , maulaa nao ni binadamu hupatia na hukosea kwanza Sheikh Albaniy hajalazimisha Niqab ametia Ulaini kiasi cha kutoifanya ni wajibu huyo muuliza swali huwenda kalitunga au ni kweli lakini kasahau maana Albaniy rahimahu Allah hajalazimisha Niqab pamoja na hilo aliteleza tuangalie QUR'AN na mtume Tutaona Niqabu ni lazima Tuache ujanja ujanja hawa Walinganiaji wengine wanatamani kuona nyuso za wanaweka ndio maana wanasema niqabu sio lazima
@rashidnihuka6245
@rashidnihuka6245 2 ай бұрын
Shekhe mmmmh
@habibbeiyye
@habibbeiyye 2 ай бұрын
Majibu hayana dalili.....
@AliMohamed-bp5ji
@AliMohamed-bp5ji 3 ай бұрын
Hiyo maik inabugdha haisikiki kwa ufasaha.
@AliMohamed-bp5ji
@AliMohamed-bp5ji 3 ай бұрын
Hiyomaiki inabugdha hatusikii kwa ufasaha
@Muislamu
@Muislamu 3 ай бұрын
Namuuliza huyu shk alipata wapi hio jawabu ...hekma ya swala za siri na jahiri.. Kutufu kando ya alkaba bega likiwa nje ..na kutembea kw haraka ile mizunguko mitatu ya mwanzo..tupe umenukuu wapi kitabu gani ? Mwanachuoni gani ?
@khalidalsinany893
@khalidalsinany893 3 ай бұрын
Kuna mudharaba Na kuna murabaha Na Itstithnaa Bai Salam Murabaha bank hununua bidhaa sehemu husika Kwa makubaliano na Kwa mujibu wa mahitaji wa yule mteja, baada ya manunuzi wa Ile bidhaa bank huuza ila bidhaa Kwa yule mteja Kwa kiwango kikubwa na huyu mteja malipo ulipa Kwa awamu Kwa msingi huo bank hupata faida na module hii huitwa murabaha
@asafiasafi7204
@asafiasafi7204 3 ай бұрын
Mashaallah
@idrissamustafabukenya6110
@idrissamustafabukenya6110 4 ай бұрын
Sheikh maneno mengi hujabibu swali umepiga story tu. Hajapinga kama hawako.ila swali nihivi wakirisito wanafa kuwawowa?
@salimmapande4668
@salimmapande4668 3 ай бұрын
Sijui kwanini inakuwa vigumu kwa mtu kukubali kwamba swali limemshinda
@isaachassan43
@isaachassan43 2 ай бұрын
Hapa kwetu Kenya wengi ni washirikina hapo vipi?
@idrissamustafabukenya6110
@idrissamustafabukenya6110 2 ай бұрын
@@isaachassan43 niharamu kumuwowa mushirikina ata kama amekufurahisha
@m.othman866
@m.othman866 2 ай бұрын
Usihukumu mambo bila kufahamu kwa sheria.​@@idrissamustafabukenya6110
@KomoraMohamed
@KomoraMohamed 2 ай бұрын
Kwa evo hakuna sio
@AshaWanza-yu9bc
@AshaWanza-yu9bc 4 ай бұрын
MashaAllah ❤
@ibrahimjumbe8121
@ibrahimjumbe8121 4 ай бұрын
Mmmmmmmmmh 😢
@fathimaalloo9663
@fathimaalloo9663 5 ай бұрын
Mashaallah ❤
@KheriSalim-xy6yd
@KheriSalim-xy6yd 5 ай бұрын
Allah akuhifadhi shekhe wetu mpendwa
@feisalal-hassan9748
@feisalal-hassan9748 5 ай бұрын
MaaShaaAllaah { { لَّهُۥۚ وَأَن تَصُومُوا۟ خَیۡرࣱ لَّكُمۡ إِن كُنتُمۡ تَعۡلَمُونَ } [Surah Al-Baqarah: 184] ]
@AhmedMohammed-yw8km
@AhmedMohammed-yw8km 5 ай бұрын
Mashallah Allah awalinde vijana wetu
@sarahbaabad5008
@sarahbaabad5008 5 ай бұрын
Mashallah 😊
@RashidiMaliki
@RashidiMaliki 6 ай бұрын
Mashallah
@sameermilo4907
@sameermilo4907 6 ай бұрын
Ahsante Maalim khatib , jazaakallah kheir
@user-ne7xi3bk3p
@user-ne7xi3bk3p 9 ай бұрын
Jazaakallahu khairah
@user-ne7xi3bk3p
@user-ne7xi3bk3p 9 ай бұрын
🎉mashallah
@user-ne7xi3bk3p
@user-ne7xi3bk3p 9 ай бұрын
Mashallah
@user-ne7xi3bk3p
@user-ne7xi3bk3p 9 ай бұрын
Masha Allah jazaakallahu khaira بارك الله فيك
@user-ne7xi3bk3p
@user-ne7xi3bk3p 9 ай бұрын
Masha Allah jazakallahu khaira بارك الله فيك
@user-ne7xi3bk3p
@user-ne7xi3bk3p 9 ай бұрын
Masha Allah jazakallahu khaira بارك الله فيك
@user-ne7xi3bk3p
@user-ne7xi3bk3p 9 ай бұрын
Masha Allah jazakallahu khaira بارك الله فيك
@abdulrahmanjumasaid8152
@abdulrahmanjumasaid8152 11 ай бұрын
Masha-Allah
@Coachmaster76
@Coachmaster76 Жыл бұрын
Mashallah al qariuzzamaan
@najlaskitchen1572
@najlaskitchen1572 Жыл бұрын
Shukran
@alwi100mu
@alwi100mu Жыл бұрын
👍
@sameermilo4907
@sameermilo4907 Жыл бұрын
ما شاء الله أحسنت يا شيخنا و أستاذنا خطيب حفظك الله
@alwi100mu
@alwi100mu Жыл бұрын
👍