Пікірлер
@vocalizertz6868
@vocalizertz6868 19 күн бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰
@godatwork9793
@godatwork9793 Ай бұрын
Kila nikisikiliza huu wimbo nasikia kubarikiwa sana,atukuzwe Kristo Yesu kwa vipawa hivi
@hellen2ruka548
@hellen2ruka548 4 ай бұрын
mimi mtumishi wako nisiye na faida sante fr. Kauki kwa utunzi mzuri asante cecilia kwaya kwa wimbo huu mzuri Mbarikiwe
@hellen2ruka548
@hellen2ruka548 4 ай бұрын
Mama Therese wa Calcuta Utuombee hasa kipindi hiki
@hellen2ruka548
@hellen2ruka548 4 ай бұрын
neno la Mungu lienee kote asante Mungu
@hellen2ruka548
@hellen2ruka548 4 ай бұрын
Gloria Mungu asante kwa utume wa uimbaji iangalie hii kwaya yako na uibariki
@hellen2ruka548
@hellen2ruka548 4 ай бұрын
nakumbuka hiki kipindi Mungu wabariki waimbaje warehemu wale waliotangulia Mbele ya Haki Pumzika kwa Amani Dada Anna we miss you so much
@malamsocreatives9735
@malamsocreatives9735 4 ай бұрын
naomba kufahamu mtunzi wa wimbo huu
@Jimmsuva-be5dc
@Jimmsuva-be5dc 7 ай бұрын
Hongera sana
@emanuelsingamb2856
@emanuelsingamb2856 Жыл бұрын
it is a good song with good message congratulations to you all
@Ayshernasolo-u4h
@Ayshernasolo-u4h Жыл бұрын
🎉🎉amen
@BonnaNinga-dx7tj
@BonnaNinga-dx7tj Жыл бұрын
Hongereni Sana mmependeza na mmeimba vizuri 🙏🙏🙏
@nsillo34
@nsillo34 Жыл бұрын
nuimeupenda sana wimbo huu somo wa JUMUIYA yetu MAMA THERESA.
@TumainiHozza
@TumainiHozza Жыл бұрын
Hongereni sana
@albertmaneno
@albertmaneno Жыл бұрын
Asante
@charlescharoh4808
@charlescharoh4808 Жыл бұрын
Safi Sana ndugu. Hongera kwa utunzi
@albertmaneno
@albertmaneno Жыл бұрын
Shukran..Utunzi wa Baba Amadeus Kauki
@neyamanzi5118
@neyamanzi5118 Жыл бұрын
Well done
@simonjoachim9396
@simonjoachim9396 2 жыл бұрын
😃😃 IMAGINE UNASIKILIZA AFU DADA AKO NAE YUPO ANAIMBA RAHA SANA😊😊 TETULA KAMA TETULA
@pncly7136
@pncly7136 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana. Hongereni sana👍👍
@emmamahengo8213
@emmamahengo8213 2 жыл бұрын
Hongereni
@albertmaneno
@albertmaneno 2 жыл бұрын
Asante sana
@mugabebeka816
@mugabebeka816 2 жыл бұрын
Nice song....!
@costamaiko7423
@costamaiko7423 2 жыл бұрын
Wow nimeupenda sanaa wimbo wenuuu huu mungu awabariki sana
@albertmaneno
@albertmaneno 2 жыл бұрын
Amina
@mcsukerpapaa8817
@mcsukerpapaa8817 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥♥️
@veronicajaphety9425
@veronicajaphety9425 2 жыл бұрын
Hongereni saaaaan kwaya pendwa
@veronicajaphety9425
@veronicajaphety9425 2 жыл бұрын
Kamera Safi, sauti Safi, maneno Safi, tabasamu mpk laha
@albertmaneno
@albertmaneno 2 жыл бұрын
Shukran
@veronicajaphety9425
@veronicajaphety9425 2 жыл бұрын
Waooooooooo😍😍😍😍😍😍
@daudimkwela
@daudimkwela 2 жыл бұрын
RAM kama RAM, safi sana.
@albertmaneno
@albertmaneno 2 жыл бұрын
Asante
@opukenproductions2857
@opukenproductions2857 2 жыл бұрын
Safi sana barikiweni
@albertmaneno
@albertmaneno 2 жыл бұрын
Amina
@corneliusmushumbusi9276
@corneliusmushumbusi9276 Жыл бұрын
Asanteni saana kwa wimbo mtamu na uimbaji asilia
@hezronugi1324
@hezronugi1324 2 жыл бұрын
Dah, hongera sana, wanakwaya ujumbe mzur,utanitumia nota tafadhari
@adamumbewa5262
@adamumbewa5262 2 жыл бұрын
Mbarikiwe sana watumishi Wimbo mzuri
@emmamahengo8213
@emmamahengo8213 2 жыл бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri
@daudimkwela
@daudimkwela 2 жыл бұрын
Mwimbo mzuri sana. Nimefurahishwa mmeimba kuhusu mtoto, Jamii inatakiwa kuwatunza na kuwalea vizuri watoto. Mbarikiwe sana kwa ujumbe mzuri.❤🔥
@albertmaneno
@albertmaneno 2 жыл бұрын
Asante sana
@sarahphilipo6827
@sarahphilipo6827 2 жыл бұрын
Mungu awabariki Sana Kwa ujumbe mzuri . Kazinyenu ni njema 🙏🏼
@violetclement1970
@violetclement1970 2 жыл бұрын
Hongereni sana wimbo mzuri video nzuri Mungu azidi kuwabariki
@veronicajaphety9425
@veronicajaphety9425 2 жыл бұрын
Nice song 😍😍tabasamu la maaana
@florampeka
@florampeka 2 жыл бұрын
Hii nyimbo hakika mmeimba, namshukuru sana Mungu kwaajili yenu nyote, Utume wenu ufike mbali, hongera sana mdgo angu Beatrice
@davidkiwasila3876
@davidkiwasila3876 2 жыл бұрын
More blessings 😇😇😇
@germanasondoka9057
@germanasondoka9057 2 жыл бұрын
Hongera Sana kwa kueneza Injili .Wimbo ni mzuri Sana. Keep it up My Brother Robby
@costamaiko7423
@costamaiko7423 2 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana na nimeludia kama mala tatu kuingalia big up
@albertmaneno
@albertmaneno 2 жыл бұрын
Tunashukuru kama kazi hii imekuletea furaha
@valeriasimon3724
@valeriasimon3724 2 жыл бұрын
Nimependa sana ujumbe wake na kazi yote kwa ujumla. Hongereni sana.
@amaninoi1959
@amaninoi1959 2 жыл бұрын
Good song
@joshuamizambwa5684
@joshuamizambwa5684 2 жыл бұрын
Wimbo safi sana
@hellen2ruka548
@hellen2ruka548 2 жыл бұрын
Amina
@hildapeter8431
@hildapeter8431 2 жыл бұрын
Hongereni sana 🙏🙏
@neemaisaackmdoe6733
@neemaisaackmdoe6733 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri mbarikiwe sana
@alvinalfred2215
@alvinalfred2215 2 жыл бұрын
Mzikii mzuriii
@jacksonmushi9396
@jacksonmushi9396 2 жыл бұрын
Naminaitika nitumie mimi nitumie bwa
@pasilisajerono7409
@pasilisajerono7409 3 жыл бұрын
OGod strengthen faith of all catholic believes.
@pasilisajerono7409
@pasilisajerono7409 3 жыл бұрын
OGod strengthen faith of your people.
@mcsukerpapaa8817
@mcsukerpapaa8817 4 жыл бұрын
Nice song
@tedyjoseph5178
@tedyjoseph5178 4 жыл бұрын
Acheni kucheza ss RC hatuna sifa ya kucheza kama walokole yaan mmepoteza maana ya wimbo
@kwayayamt.ceciliamburahati5339
@kwayayamt.ceciliamburahati5339 4 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe wako tutalifanyia kaz
@queenkessy8973
@queenkessy8973 4 жыл бұрын
Acha ushamba
@queenkessy8973
@queenkessy8973 4 жыл бұрын
We uko unakosali hawachezagi eeh
@hellen2ruka548
@hellen2ruka548 2 жыл бұрын
Mmmh
@raymond_anthony95
@raymond_anthony95 4 жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwaya Mt.cecilia Mburahati wimbo mzuri wa utume
@florachogo5537
@florachogo5537 5 жыл бұрын
Mhmmm.si kwa kuhema huko .tofauti na mahudhuli ya wimbo
@hellen2ruka548
@hellen2ruka548 2 жыл бұрын
Polr