Mimi naona mpaka sasaiv bdo yuko vzr sanaa ila shda yangu kwake n pale anapowatumia Reece & no gusto kwa wakat 1 cz tayar unae cucu ambayo kwangu mm ukiachna na moi pamoja na palmer amekuwa nguzo kubwa sanaa kwa chelsea so far, kwahyo anatakiwa abadilike na pia siku ambayo Sancho akipona bas aanze yeye na neto cyo madueke why? Kwasabab dgo n mchoyo anatakag kufunga kwenye sehem ambayo n ya kutoa pass
@MariyamZuheir2 күн бұрын
Neto anakimby san bila malengo alaf anard nyuma bila faid y mbio zake ila sancho anaingy ndn y kumi na nane anafny kit kiufup sancho bora
@MariyamZuheir2 күн бұрын
It's okey neto mzr ila bd hawez kuwazd felix na sancho yan ata beki hupt tabu san wanapomuon sancho ndn
@MariyamZuheir2 күн бұрын
Big P mm naomba san uliongelee hili au we unaonj mm naumiy km mwana darajan kuwaon creatives and talented players kam sancho na Felix kuliwa bench
@TanganyikaBoy-b7y2 күн бұрын
Mimi nashauli uwe unaniita kweny uchambuzi natoa uchambuzi wa maono ya darajani. Nakipaji icho kaka naitwa Tanganyikaboy
@shedrakmsuha88802 күн бұрын
Changamoto ya Chelsea kwa sasahivi ni forward mmoja mwenye roho mbaya na mabeki wawili wenye sifa za Van Dijik na konate wa Liverpool. Hapo timu itakua fresh kwa mataji
@NassorBinSalum2 күн бұрын
Chelsea kwa aina ya wachezaji tulionao tunatakiwa kucheza tiki taka kwa mfumo wa 4-33 wanne wa nyuma James kulia kushoto cucurela katikati fofana na colwil watat wa kat ni enzo lavi na caisedo na watatu wa juu ni Palmer jack na neto palmer atatokea upande wa kulia lakini atapewa jukumu la kutembea anapotaka kama vile messi na kwanini enzo asicheze pamoja na caisedo si kama xavi busket na iniesta tuu caisedo mzuri kwa kukaba na kuchezesha pia lavia mzuri kukaba ila enzo ni mzuri kuchezesha atakuwa kama iniesta flani ivi
Namwomba maresca awatumie saana nkunku na Felix Jackson na Enzo siwazuri saana pia beki ya fofana na disasi ni majanga ni Bora kutowaacha gusto na frimpong wakapewa muda mwingi zaidi
@lissanTozzy3 күн бұрын
Enzo ni Kocha mzuri Kwa fact zifuatazo ni mwepesi kwenye kusoma kikosi alicho nacho Anatengeneza nafasi ya mchezaji Mmoja Mmoja kuongezeka kiwako Cha uchezaji wake pia sio Kwa asilimia 100 lakini Kwa Kuwa bado msimu mchana pia tuko na nafasi nzuri Kwa kuonesha upinzani Kwa kuitaji mataji mwisho wa msimu huu. Nikifatilia kiundani kabla msimu huu kuanza baadhi ya wachezaji kama colwil,maduke,n.jackson, cucurella , disas,badieshell wote mentality zao uwachani zimeongezeka Kwa kiasi flani ikiwa pia msimu ulio isha walitengeneza makosa madogo mdogo ambayo yalitughalim Kwa baadhi ya mechi tukadondosha point. Licha pia Kocha bado hayupo na dhana Kwa kuboresha kikosi eti Kwa kuondoa wachezaji baadhi ikiwa bado wengineo hawakupata nafasi ya kutosha kwenye kikosi Cha kwanza na pia waliitaji udhoefu na kupata kuskiliza baadhi ya maelekezo kutoka Kwa mwalimu na waweze kutoa msaada kwenye timu, Lakini Pia kwa nafasi ya kikosi tulicho kuwa nacho kwa sasa ni kumuachia mwalimu muda aendelee kukiboresha kikosi ili kiwe bora na kiweze kutupa mataji bila kukosa nafasi ya umuhimu wa mchezaji mmoja mmoja Lakini kwa upande mwengine tukitazamia vizuri timu yetu bado tuitaji kuboresha kwa baadhi ya nafasi za wachezaji ikiwa kwanza kabisa nafasi ya mabeki wa kati hapo ndipo kwenye mfereji mkubwa wa makosa panaitaji kuboreshwa kiukweri hatuna jinsi tunaitaji uwangalizi zaidi kwenye wiggle huo, sio kama mabeki tulio nao hawakidhi Ila kama tukibahatika kukutan na timu zenye wachezaji wenye viwango vizuri watatumia sehemu hii kutumiza. Lakini Pia pale mbele kwa nafasi ya umaliziwaji wa mipira ya mwisho Pia tunaitaji kumpata striker bora zaidi kusaidizana na n.jakson japo Pia msimu huu amekuwa na kiwango kizuri Ila kwa kuwa tuitaji mataji lazima tuboreshe nafasi muhimu tusije tengeneza vikwazo vya Mara kwa mara vikatukwamisha. Maoni yangu ni hayo wana familia ya darajani.
@HalimaIsmail-t1m3 күн бұрын
Kaka madueke anatufelisha Yuko lezi mpira wake pembeni tu
@AhmedSalim-uf5vy3 күн бұрын
Ila marescaa kazinguaa gemu ya juzii kw nn hajampaa nafas nkunkuu alaf akaingizaa viegaa badala ya cucurelaa naona mm tungezidiii kusha mbulia san coz cucurelaa hana masha mbulizii makubwaaa au mnasemajee wana the blues
@hasnuuali46373 күн бұрын
The blues never loss
@Abdully08hamid3 күн бұрын
Vipi naona post za waarabu Katik club wanahtj kitu gn kaka
@mohammednassor24923 күн бұрын
Mm mtazamo wangu tupate streak kama wa sporting lisbon
@mohamedkhalifa60143 күн бұрын
Kocha ni mzuri ila tatizo ni aina ya wachezaji tulionao. Wachezaji kama madueke,fofana,Enzo Fernandez na hata Jackson ni ngumu kukupatia ubingwa wa epl.ngoja tusubiri msimu ujao wakija wale madogo estevao na paez wataongeza kitu
@kelvinnyakush5113 күн бұрын
0:43
@alissonGeorge-z5o3 күн бұрын
Maresca anafanya Kazi yake vizuri sana muelekeo wa Timu ilipotoka na ilipo inafanya tuseme yajayo yanafurahisha, mabosi wanatakiwa waendelee kumuamini , atakuja kutupa mafanikio makubwa sana
@ClayDeche3 күн бұрын
Nadai uchambue Kila player na strengthen na weekness yake alaf unipeane best eleven yenye waona ni poa
@MuuminAli-c4i3 күн бұрын
Mimi nahis Maresca anahitaji uzoeefu tena zaidi tukichez na team kubwa
@MuuminAli-c4i3 күн бұрын
Unaongeleaje kuhus ile red card wakat martinez alivyo mchezea rafu Palmer
@Deny8593 күн бұрын
Ni mwana familia wa darajani 1905 kutoka Mozambique 🇲🇿.Chelsea ya Maresca naona tukiwa top 4 ila inatakiwa wachezaji wapambane ki team
@andrewntukula35093 күн бұрын
Nakubal mzee
@KabaruleSalumu3 күн бұрын
Mimi nakuwa nakufa tiliya news zako kila wakati ulizo ya kwanza kwenini u natowa news dogo kwa week
@Johnmatthew9913 күн бұрын
Mi naona Maresca anaweza kutuingiza top 4 lakin anaweza asimalize msimu na kombe lakin piah ni kocha mzuri akikaa na timu mda mrefu atafanya makubwa tu mi namuamini kiasi chake atafte mfumo tu wakucheza big match basi
@DeeDan-sj1mr3 күн бұрын
Hii timu inatuumiza maxhabik ata kama hatuchangii chochote lakin roh inauma😂😂😂
@Manu-lc7dn3 күн бұрын
kweli bro
@mussangalawa24033 күн бұрын
Swali langu kwanini mwalimu alianza na namba mbili wawili yani Gusto X James ikiwa Cocurela alikua available? Lakeni pia mwalimu kwanini anachezesha mido mbili za ukabaji yan Lavia X Caisedo ikiwa pacha hii alijaribu na City tukafa 2-0 akaijribu na Liverpool tukafa 2-1 akaijaribu na United 1-1 Je,? haoni kama pacha hii kimuundo wa kimuunganiko inakua nzito kutoa mpira kwa haraka kupeleka kwa wapinzani? Na ikiwa Enzo fernandez yupo na anamudu vizuri japo hayupo kwenye pic kiwango chake laken ni mzuri mno na pacha yake na Caisedo inatupa matokeo ya ushindi kwa game kadhaa za msimu huu? Laken jingine Game ya 2 au 3 ukijumoisha na ya Newcastle colabao Madueke hayupo On form kama utaitazama mechi dhid ya United madueke hakupaswa kurudi nae second half coz alikua chini ya kiwango hakua na madhara kabisa. Ukiachana na game hii ya United ukiangalia game ya Colabao dhid ya Newcastle alimpanga Enzo X Veiga namba 6 ikiwa Casadei yupo timu ikakosa balance tukapoteza ukijumlisha na makosa ya Disasi, Badiashile ujinga mtupu. Ninamengi mno laken nahitaji pia namba zenu za group la wasup.
@CelestenJoshua3 күн бұрын
Kwa mtazamo Wangu Mimi Naona atufiki Mbali na Maresca. Ata kombe atuta chukuwa ata big 4 atuta ingia mwakani. Sababu kiwango chake nicha kufundisha izo timu Alizo toka ndani. Kiufupi nikocha wakufundisha timu isiokuwa namalengo makubwa. Kiviangu mimi tangu aje Chelsea sijawai kumwamini.
@exsavermateus26703 күн бұрын
Tuko pamoja bro mi naona sana ivyo ivyo
@CelestenJoshua3 күн бұрын
Kweli Kabisa. Unaongea Ukweli.
@sambajohn50153 күн бұрын
Kaka mim nikipiga picha mja tu nawe ni utajir tosha
@jamesjoseph24213 күн бұрын
🎉
@AshrakMohd3 күн бұрын
Nakupli kaz bro
@salehkidawa24223 күн бұрын
Mmmmh
@AshrakMohd3 күн бұрын
❤
@mohamedkhalifa60149 күн бұрын
Upo vizuri chambuzi la soka ila tatizo unapotea sana hewani
@Abdully08hamid9 күн бұрын
Big p vipi kwa uongozi wa Chelsea mbona Kam wanagomban halfu mbna jezi zetu hazina maandishi
@canongeneralsupplies9 күн бұрын
Kila wiki tunakuhitaji wana wa darajani
@canongeneralsupplies9 күн бұрын
Ulipotea sana
@yussbreezy9189 күн бұрын
Big p 🔥🔥🙌
@MuhsinMohd-lh5ev10 күн бұрын
Dahh tulikumiss sana mtaalamu wetu
@johanesndiwaita888310 күн бұрын
Tulikumis sana big p
@darajani190510 күн бұрын
Asante mwana darajani.Niliwamis pia la familia
@MukhTar-f7n10 күн бұрын
Yule Mr darajan asichambue hatakam ww haupo hajui n mzr kw kuandika Ila Hana mvuto kweny kuongea anatumia nguvu nying sehem ambayo sio yake akae kw kutulia
@darajani190510 күн бұрын
Anajifunza pole pole siku atakuwa mkali ndugu
@BenedictoTebo10 күн бұрын
Nakukubali sana,muunganiko wa palma na Jackson upo bora ila madueke ndo mzinguaji
@darajani190510 күн бұрын
Madeuke anakosa creativity ndiomana palmer aliambiwa acheze kushoto kwa neto
@shartygaking10 күн бұрын
kwel the brauzi munaota mchana kweupe eti mumefufuka😂😂😂,yani leo ndo nmejua kwnn tz bangi zmekatazwa alafu kjamaa knaonekana knavta choon ss
@darajani190510 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kama man u tujuane ndugu kabla ya weekend😅
@amemasta642410 күн бұрын
<1912>
@darajani190510 күн бұрын
Umenichanganya sielewi😅
@Deny85910 күн бұрын
Kaká mbona ulipotea sana kwenye uchambuzi wa Chelsea yetu?💙💙The blues one love
@darajani190510 күн бұрын
Nilisafiri kikazi ndugu
@iradukundadavid591710 күн бұрын
Naomba kitu kimoja kama kama hawuko iyi channel darajani wengine waache kbs weye njo chelsea ❤