Пікірлер
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Күн бұрын
UPO SAHIHI SANA WEWE UNAUJUA MPIRA SANA
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Күн бұрын
ATEBA NI BORA SANA SANA
@SamwelLameck-rv3fd
@SamwelLameck-rv3fd Күн бұрын
Ahoa siimpi nafasi kabisa ana chelewa
@JamesMaiga-z1n
@JamesMaiga-z1n Күн бұрын
Kaduguda uko SAWA KABISA. TATIZO kubwa KABISA la Simba , ni BACK PASSES TU,,,,waziache, vinginevyo, MABEKI WATAJIFUNGA MNO
@MohamedRugamana
@MohamedRugamana Күн бұрын
Kibwana ametota arudi Morogoro akauze urembo
@allybaba-td9ty
@allybaba-td9ty 2 күн бұрын
mzee auwa kazingua sana
@LucianaSintufya
@LucianaSintufya 2 күн бұрын
Huyu mzee Hana pa kushinda siku hizi anashinda studio kuongea kukashifu simba
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA Күн бұрын
ANATAALUMA YA MPIRA NA UZOEFU WA SOKA KULIKO WEWE. ANAITWA MWINA KADUGUDA je wewe NANI KATIKA SOKA LA SIMBA NA TANZANIA?
@WiliamMisheck
@WiliamMisheck 2 күн бұрын
uyu Mzee nimtu wa Mira kweri napata mashaka sababu uyo ateba ninafasi zipi katengenezewa hadi tuone nibutu namba 10 ndio mbovu aitoi huduma sahihi kwa namba9
@WiliamMisheck
@WiliamMisheck 2 күн бұрын
uyu Mzee nimtu wa Mira kweri napata mashaka sababu uyo ateba ninafasi zipi katengenezewa hadi tuone nibutu namba 10 ndio mbovu aitoi huduma sahihi kwa namba9
@ELIACHOMOLA
@ELIACHOMOLA 2 күн бұрын
Unatumalizia mb ongea mambo ya uhakika
@KhonjeTijengibweka-sp7nz
@KhonjeTijengibweka-sp7nz 2 күн бұрын
Nikweli tunawasikiliza kwamakini tupo pamoja
@EmanuelMwambu
@EmanuelMwambu 2 күн бұрын
Nikweli you have to click to the point
@JosephHaule-pi5jw
@JosephHaule-pi5jw 2 күн бұрын
Punguza mbwembwe
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 3 күн бұрын
Ww mzee mpumbavu sana ungekaa kimya ungeheshimika
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx 3 күн бұрын
Ww msomali hufai
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr 3 күн бұрын
UDHAMINI KTK VILABU NI MUHIMU SANA MATHALANI HAO SIMBA WANAVYOZIPIGA VITA CLAB ZINGINE ZINAZODHAMINIWA NA GSM NI AINA YA UNAFIKI MKUBWA SANA WAO SIMBA LEO HII MO AKAE PEMBENI ASIIDHAMINI SIMBA WAWE OMBAOMBA KWA BAKULI NDIO WANGETIA AKILI... LABDA WATU AWAELEWI NI KWNN SIMBA WANAITWA MAKOROKOLO NI KWSSB MO ALIJAZA MATANGAZO MENGI KWENYE JEZI ZA SIMBA NDIO IKASABABISHA SIMBA KUITWA MAKOROKOLO HUYU MO HANA WASHAURI WAZURI KWENYE KUTANGAZA BIASHARA ZAKE...MO ANGEWEZA KUINGIA MIKATABA NA BAADA YA VILABU AKAINGIA NAO MIKATABA YA BIASHARA ZAKE KWENYE JEZI ZAO..MFANO ANGEPELEKA MATANGAZO YA SABUNI ZAKE KWENYE KLAB KAMA PRISON AU MO FOUNDATION AKATANGAZA KAGERA SUGAR N.K. BADALA YA MATANGAZO YOTE KWENYE JEZI MOJA YA SIMBA...SIMBA WANAHITAJI HII ELIMU AWAELEWI CHOCHOTE
@IbradamFrada
@IbradamFrada 4 күн бұрын
Sema yassir jaman unatusema sana yanga ila ndio kaz yak ila unafanya kaz nzur sana mungu akubarik
@NeemaMwakalobo-po2ik
@NeemaMwakalobo-po2ik 5 күн бұрын
Hatanyie simba kazi mnayo
@Kasym-c5q
@Kasym-c5q 5 күн бұрын
Et mamae
@garinchamkobe4582
@garinchamkobe4582 5 күн бұрын
Siasa za Mpira wa Miguu Tanzania😂😅
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 6 күн бұрын
ahmed alii amezidi kuikashifu yanga ana mdomo sana alafu wanamoigia makifi alipe bil 10 uyo
@garinchamkobe4582
@garinchamkobe4582 5 күн бұрын
Halipi mtu kitu hapo
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 6 күн бұрын
ahmed alii ni zombi
@IbradamFrada
@IbradamFrada 6 күн бұрын
Hongera yassir wew nibmiongon mwa wachambuz bora piga kaz tunaona kaz yako
@simonmbogo7644
@simonmbogo7644 6 күн бұрын
Huyo ashamed ni chizi
@AllyFeruuz
@AllyFeruuz 6 күн бұрын
MBONA sindano hawasemi
@hamzamohammed8902
@hamzamohammed8902 7 күн бұрын
Huwa mnashindwa kujadili vitu vya maana mnakalia umbea taarifa za kiumbeaumbea ndo huwa mnasubiri mliibeba ya ngoma mwisho wa siku malipo ni fedheha
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 7 күн бұрын
ACHA UONGO WAKO WAPI ALIPOSEMA?
@MaguguStore
@MaguguStore 7 күн бұрын
Vyombo vya habari Tanzania ni kujadili migogoro na si mafanikio ni unafiki tu bila evidance😊
@rusanzurubigo-kb8zx
@rusanzurubigo-kb8zx 7 күн бұрын
Waandishi ongezeni weledi😂😂
@HassanMdimu-d3f
@HassanMdimu-d3f 7 күн бұрын
Hayo ni mambo ya mtu binafsi ww unafaa kuolewa,inaonekana hata mm yako nimbea sana
@mjinjasagamambi7531
@mjinjasagamambi7531 7 күн бұрын
Huyu mzee mbona anahekima sana. Amechoka kudungwa sindano kama anazuia mimba, Halafu mzee unasema malazi. Kwa hiyo akienda Simba malazi yanaisha?? Basi mtakuwa mmemloga
@RaphaelKandege-l4h
@RaphaelKandege-l4h 8 күн бұрын
Ahmed ally nae alipe
@AllyMasangaluka-bm5ib
@AllyMasangaluka-bm5ib 8 күн бұрын
Nikweli kama sio kweli uwezi chukukua atua atulipezetu tuwape zao kidogo
@mshamumshamuMshamu
@mshamumshamuMshamu 8 күн бұрын
Hii shida ipo hapa nchini kwetu watu kufurahia mambo ya kashifa
@erickprotace9463
@erickprotace9463 8 күн бұрын
Niulize swali, viongozi wa simba wamezungumzwa katika tamko la ally kamwe, je wamezungumziwa sahihi?...
@dainamichael5624
@dainamichael5624 6 күн бұрын
Ally Kamwe ameongea kilichosemwa na Viongozi kuhusu jezz...
@FIDELISMfugale
@FIDELISMfugale 8 күн бұрын
YANGA Kwan nyie c wachawi Auu m akataa
@WakwileleKabhuto
@WakwileleKabhuto 8 күн бұрын
Raphael unamatatzo ya akiri timu yako bosi wenu anaishi maseke leo unasemea bosi anae dhami asilimia 99 yatimu zote za nbc jifunze kusema ukwer
@WakwileleKabhuto
@WakwileleKabhuto 8 күн бұрын
Ahmed Ally achen aonyeshwe choo kubwa anajitaidi kutafuta plopaganda kuijenga Imani yamashabiki waliopoteza Imani natimu yao
@FIDELISMfugale
@FIDELISMfugale 8 күн бұрын
WAKWILELE KABUTHO ACHA MUWASHO
@WakwileleKabhuto
@WakwileleKabhuto 8 күн бұрын
@FIDELISMfugale Kama nawashwa njoo nikupake mafuta yapidid nikipi ambacho hujui Kama timu yako inategemea in. Au unijitoa ufaham
@RaphaelSimba-o7r
@RaphaelSimba-o7r 8 күн бұрын
Hawajalipa wachezaji wao mshahara wataka semaji la caf liwasaidie kuwalipia wachezaji wao mishahala
@RaphaelSimba-o7r
@RaphaelSimba-o7r 8 күн бұрын
Bilioni10 Simba italipa ila yanga kazi wanayo ubaya umeanza sasa
@MusaTalange
@MusaTalange 8 күн бұрын
😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@shemuulenje7588
@shemuulenje7588 8 күн бұрын
Ahmed Ally hana kesi hapo ni utani wa jadi kaitania yanga ila Ally kamwe akamalisane na sanda tu
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 8 күн бұрын
Kesi anayo na anatamba nayo iweje aseme mwanashelia wake ndo atajibu na mitusi juu
@shemuulenje7588
@shemuulenje7588 7 күн бұрын
@SalumMusa-f5l huwezi kukurupuka kujibu mtandaoni vitu vya mahakamani sawa mkuu
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 6 күн бұрын
@@shemuulenje7588 lakn majibu anayotoa mtandaoni
@rev.musaernest9248
@rev.musaernest9248 8 күн бұрын
sasa muongoza kipindi wewe umemuuliza mtu swali siukae kimya usikilize ulie muuliza
@FINIASISOKONI
@FINIASISOKONI 8 күн бұрын
Tatizo kuu ni umuri tu
@kingngeche
@kingngeche 8 күн бұрын
tuko pamoj
@mohayussuf2057
@mohayussuf2057 8 күн бұрын
yanga utoporoo wanaakili finyu billion 10 kweli pimbi hawa
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 8 күн бұрын
Mtasema Bado mavi mekundu
@hajichapa4215
@hajichapa4215 9 күн бұрын
Kwa mtazamo wangu hawa wote walikuwa kwenye utani ambao ni jadi huo upo ila ninachokiona kosa la ali kamwe kumuingiza mtu wa3 ambaye ametengeneza jezi na ambae hahusiki katika utani na ndiye ambaye amemshtaki kwa kuchafuliwa brand yake na sio simba iliyomshtaki kwa sababu ni sehemu ya utani ingawaje utani wao umepitiliza mno. Na kwa upandebwa Ahmed Ali kwangu sioni kosa kwani yote aliyoyasema yana uhakika ndani yake na kama kuchafuliwa basi ilikuwa ni kumtumia huyo mchezaji aliyetajwa kuwa yy ndie aliyechafuliwa na sioni kama klabu ya yanga imechafuliwa hapa ni issue ya mchezaji kwani Yanga wameshapewa adhabu kwa issue hiyo vyenginevyo kama yanga walikata rufaa na wakashinda hapo ahmedali atakuwa na kosa. NI MTAZAMO WANGU
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 8 күн бұрын
Kwan mchezaji w nani SI wa yanga kwahyo yanga ipo saihi na kasema kabisa anachomwa sindano kama mwanamke anazuia mimba
@dainamichael5624
@dainamichael5624 6 күн бұрын
Mara ngapi GSM amesemwa Kuhusu bahasha.. Kuhonga Team... Hata Jezz wamesema ni Vitenge mbona GSM hajawi kumuandikia yeyote barua??
@hajichapa4215
@hajichapa4215 9 күн бұрын
Kama mmemuelewa Ahmed Ali kuhusu hilo la sindano na ukihusisha na professionalism media law kama ulivyosema hapo Ahmed hana kosa kwani katumia case study ambayo imeshatolewa hukumu
@shabanabdalatupa
@shabanabdalatupa 8 күн бұрын
Hukumu uliitoa wewe
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 6 күн бұрын
@@hajichapa4215 sasa kaliongelea kama nani na hukumu hyo imetoa mahakama gan
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 9 күн бұрын
uyu anajixima data ahimedy alii ameongelea zaidi ya mara 2 kuhusu yanga kutumia sindano na ile siku yanga wameondoka uwanja wa azam ndo alirapu kweli sasa uyu kaduguda anatetea utumbo gani apo
@KaizaJohaiven
@KaizaJohaiven 9 күн бұрын
Tuko pamoja, kwa mara 1 passion fm. Kutoka bukoba tz airport sports