Пікірлер
@kakasule7134
@kakasule7134 11 күн бұрын
manshaAllah
@HillaryNzitunga
@HillaryNzitunga 11 күн бұрын
MashaAllah
@NoraKedir
@NoraKedir 11 күн бұрын
Manshaallah tabarakallah
@ZulfahMuhammad
@ZulfahMuhammad Ай бұрын
My best Favorit Sheikh Allaah amuhifadhi kwa Neema zake azidi kuelimisha jaami
@FatmaKhamissi
@FatmaKhamissi Ай бұрын
Masha Allah
@kakasule7134
@kakasule7134 Ай бұрын
manshaAllah
@HillaryNzitunga
@HillaryNzitunga Ай бұрын
MashaAllah Allah akufanyiyen wepesi
@allmutahhabbunafillah9597
@allmutahhabbunafillah9597 Ай бұрын
Allah akulipeni kheri
@PiliHajra
@PiliHajra Ай бұрын
mashaaAllah
@harunakaishozi
@harunakaishozi Ай бұрын
Masha Allah
@amofesa8166
@amofesa8166 Ай бұрын
Allah akulipe khzir zote Sheikh wetu
@ZaituniSeif
@ZaituniSeif Ай бұрын
Masha’ALLAH tabarak’ALLAH
@emnamuhimpundu-ld4gx
@emnamuhimpundu-ld4gx Ай бұрын
Maanshallah allah akulipe kheiri cheikh abdi noor
@kakasule7134
@kakasule7134 Ай бұрын
manshaAllah
@BurundiaishaAkt-bf9ms
@BurundiaishaAkt-bf9ms Ай бұрын
MASHA ALLAH
@DjumaAsha
@DjumaAsha Ай бұрын
Ma sha Allah Tabaarakallah 😍 Kwakweli Allah awatangulie Kwa huruma wake na Mapenzi ho
@YussufHussein-i1e
@YussufHussein-i1e 2 ай бұрын
Shukran ❤
@charifu2024
@charifu2024 2 ай бұрын
Mnisaidie number yake ya watsap❤❤❤
@SalimHamza-w4f
@SalimHamza-w4f 2 ай бұрын
Maashaallah
@AhmednurHussein-m2s
@AhmednurHussein-m2s 2 ай бұрын
Nyiny abadan sio masalafi wallah hata nyoyo zenu zajua kua hampo katika haqqi nikupe mfano kishki ni katika madu'ati munaoshirikiana nao na huwasifu watu wa bidi'a tena wengine bidi'a kufuriyya na shirkiyyah ndo vipenzi vyake na pia kashawai kusema kua ayo majina wew unayotakasa kua ni fekkii mbona hamkumtenga wala kumtahadharisha mpeka leo mpaka kesho yuko na nyinyi ittaqullah ya ikhwah hii ni dini ya Allah haihitaji mseto tena kama kuna cheneli zinazosapoti bidaa ni Tv Iman inaongoza
@SalimHamza-w4f
@SalimHamza-w4f 2 ай бұрын
Umezungumza utumbo
@AhmednurHussein-m2s
@AhmednurHussein-m2s 2 ай бұрын
@@SalimHamza-w4f saw hakuna shida akhy
@AbdulkarimShosi
@AbdulkarimShosi 2 ай бұрын
Nyinyi so masalafi bali nyinyi ni makhalaf acheni kudangamya watu mcheni mola
@OmarAbeid-wu5ur
@OmarAbeid-wu5ur 2 ай бұрын
Khalafu peke yako ww
@SalehLofy
@SalehLofy 2 ай бұрын
Muislam tu Ahlu Sunna haijaanza zamani Abu Hanifa, Malik,Ahmad bin Hambaly,Shafy hawa wote ukiwauliza Ahlu Sunna wal jamaa hawajui
@nassifsuleiman9860
@nassifsuleiman9860 2 ай бұрын
Kasome Akhy waongea kitu hukijui kabisaaa
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx 2 ай бұрын
Ma shaa Allaah
@KennedyIrakoze-q8d
@KennedyIrakoze-q8d 2 ай бұрын
MashAllah
@khamisswalehe
@khamisswalehe 2 ай бұрын
ALLAH ATUPE AMRI TUUWE HAO WATU MARAMOJA
@yasakilube9946
@yasakilube9946 2 ай бұрын
Nyinyi maanswar mulikua munasema haifai kujita salaf, saiv imekuaje tena
@OmarAbeid-wu5ur
@OmarAbeid-wu5ur 2 ай бұрын
Hata fsuzani kakataa kujita salaf
@OmarAbeid-wu5ur
@OmarAbeid-wu5ur 2 ай бұрын
Faizani
@yasakilube9946
@yasakilube9946 2 ай бұрын
@@OmarAbeid-wu5ur je kapinga mtu kujita salaf?
@OmarAbeid-wu5ur
@OmarAbeid-wu5ur 2 ай бұрын
Kasema hskuns haja ya kujiita na jambo la kujiita halina asili kwenye dini je hajapinga apo??
@yasakilube9946
@yasakilube9946 2 ай бұрын
@@OmarAbeid-wu5ur mbna Kuna fatwa zake nyengin kakubli, aliulizwa swali je yafaa mtu kujita salaf mbn hakupinga kakubli
@AbuuHafswa-l3l
@AbuuHafswa-l3l 2 ай бұрын
Hakika ww shekh unafahamu usalafi Allah akupe hidaya sio Hao mahzbya wengine wanataka kutofautisha Kati ya ahlusunna na salafy na kuwaita wenzao ni majadida
@SALIMSALIM-ep3gk
@SALIMSALIM-ep3gk 2 ай бұрын
hehehehehe
@MariamUmande
@MariamUmande 2 ай бұрын
Wambie wale Wanajuta salafiya jadidah Kuwatowa wangine kwenye sunaa eti ni mahizbi
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 2 ай бұрын
Ukiwa na uanachama utakua tu mhizbiya..
@saidabdallah5448
@saidabdallah5448 2 ай бұрын
Wenye chamachao cha usalafi jadida wakikusikia subiri rududi yako
@ustadhashhadumalla1022
@ustadhashhadumalla1022 2 ай бұрын
😂 ndio ngoja waje , mm wananichekesha sana masalaf jadida
@muhammedaloufy4086
@muhammedaloufy4086 2 ай бұрын
Nyie mmeachia usalafi au Uislamu? Au Usalafi ni Dini Mpya!
@Yayouselim
@Yayouselim 2 ай бұрын
Nyinyi ni magaidi tu 😂😂😂😂
@HamzaMakobanice
@HamzaMakobanice 2 ай бұрын
Nyie mmekalilishwa na ugaid tu ndo tusi lenu
@hamadsuleiman5177
@hamadsuleiman5177 2 ай бұрын
Ugaidi wetu!???
@Yayouselim
@Yayouselim 2 ай бұрын
@@HamzaMakobanice Sasa kwani vikundi vya kigaidi hujinasibisha na madhehebu ya kina nani
@Yayouselim
@Yayouselim 2 ай бұрын
Maskini masalafi leo wanajenga umoja wao wenyewe
@Yayouselim
@Yayouselim 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 watu wa sunnah mnakorogana sasa wenyewe
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
@@Yayouselim labda Sunna ya ibilisi 😂
@babanusayba3600
@babanusayba3600 2 ай бұрын
Mbona kitaeleweka Tu inshaallahu
@aliimanitujitibukwatibazahalal
@aliimanitujitibukwatibazahalal 2 ай бұрын
الدين النصيحة...من ينصح وﺃين ومتی...بارك الله فيكم ﺃهم شيء القول والعمل فيمايقول لكل منا.
@TariqAlhaj-r1p
@TariqAlhaj-r1p 2 ай бұрын
Ila nyie ni mahizbiy, na mataasisi yenu wasomesheni kuhusu uharaamu wa taasisi
@BabaKasema
@BabaKasema 2 ай бұрын
Pongwe hakuna Taasisi
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 ай бұрын
hajaawirah huyo
@TariqAlhaj-r1p
@TariqAlhaj-r1p 2 ай бұрын
@@BabaKasema Sasa pongwe sindio walewale mafuta mdigo yule ajifanya salafiy mwenyewee laakin yule kadhhaabu tu kuwaongopea wasiojua , sie ni masalafiy twajua maana twasoma ma kusomeshana Tena twawapinga mahizbiy vikali ,hao kwahio sie twajua huyo ibrahim twaha qasimu mafuta namfano wao wote mahizbiy hao alafu mbaya zaidi wanajua uharaamu wataasisi ila dunia tu imewateka warejee kunako haqqi bwana hao sio masalafiy ni mahizbiy wala msitizame fasaha zao katika ndimi zao wanaongea sanaaa نسأل الله العافية والسلامة
@TariqAlhaj-r1p
@TariqAlhaj-r1p 2 ай бұрын
@@BabaKasema Sasa pongwe siwawale tu qasimu ajifanya salafiy kadhhaabu tu kuwaongopea wasiojua kwahio hawa jamaa ni mahizbiy na ukweli upohivyo na tutasimama nao kesho kwa ALLAH kwahoja zilizo wazi kabisaaaa na mbaya zaidi haqqi wanaijua ila wanaificha kwakuwa wanapenda pesa kwahio ibrahim twaha qasimu mafuta namfano wao katika hao ni mahizbiy wala msitizame fasaha zao katika ndimi zao tukaeni darasan Dini iko wazi jama نسأل الله العافية والسلامة
@TariqAlhaj-r1p
@TariqAlhaj-r1p 2 ай бұрын
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Kalia hayo hayo na sheikh wenu kuwalaghai tu mwarukarukA Mara Ni wasila sio ghayah .. hoja hakuna nyie ni mahizbiy hata tukafa leo hakika kwa Mola wetu tunahoja Tena zilizo katika adillah swahihi kabisaaa , mfano wenu ni uleee kuku kanya Bata kahara laakin zote ni haja hizo lugha tu nyote mahizbiy rejeeni katika haqqi UHIZBIY NIKUFATA NYAO ZA MAYAHUDI NA MANASWARA Mbona hamuwafati wanachuoni wakisalafiy ikiwa nyie ni salafiy?. Huruma yangu kwa Tullaab yani wanapata tabu kuwajua nyie ila sie ALLAH keshatufahamisha kuhusu uwovu wenu na tutazidi kuubainisha mpaka kufa kwetu na ALLAH awarejesheni kwenye njia ya wema waliopita. نسأل الله الجنة ونعوذ بك من النار مصيرنا
@hassankagoma58
@hassankagoma58 2 ай бұрын
Shekh anayejijua huyu! Allah amlipe kikubwa baadhi ya waislam wanafata ushabiki utasikia Majadiida mara madaakhira kama mzee barahiyan na kikundi chake
@Abutwaibah001
@Abutwaibah001 2 ай бұрын
Na hizbi mbona hutaji
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn 2 ай бұрын
ALLAH ATUDUMISHE KWENYE MANHAJ YA HAKKI YA KISALAFY MPAKA KUFA KWETU
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn 2 ай бұрын
HII SEHEMU KAMA NI KATIKA MAULIDI ITAKUA WALIJUTA KUMUALIKA
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 2 ай бұрын
kujiita salafi sio ttzo ila ipo ktk Matendo. hapo ndo unajikuta mwenyew umejitoa kweny huo usalafi unaodai. Hili lipo wazi kuwa Taasisi ya TIF na redio yenu Imaan imepinda haienez daawa badala yake ndani kuna Mikhaalafati mingi na vipind ambavyo vya kuwasema na kuwakosoa watawala. Ktk hili kongamano tu Mwenykit wenu amedai Na kuwataka WAANDANE,WAGOME et kwa sbb kuna mtu huko kigoma ameitukana Makka na Madina. Na nyiny mkakaa kimya mmeshndw Kulibainisha hili Na huu ndio Moja ya Alama ya uhizbiya wenu. ww Ibrahim Twaha Hapo upo kimaslahi na haya uliyozungumza ni kama Talbis ya kuwaghuri watu kama alivyofanya Mwenzio Salim Barahiyan Tanga. Maneni yako yapo sawa lkn itikad yenu Sasa.Mnawaita hawa Salafiya jadida,Madaakhilah Na Jaahmiya na majina mengine mabaya. Allah awaongoze ktk haqqi
@JumaJuma-i2g
@JumaJuma-i2g 2 ай бұрын
EEEEEE KUMBEEEE BASI HAKUNA TENA MAJADIJAAAAA SAFI SANA
@AbuwNibras926
@AbuwNibras926 2 ай бұрын
Mwambie Kishik alisema majina yote ni fekii
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary 2 ай бұрын
Wacha upumbavu ...aliposema hivo ulimuelewa vipi ??
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h 2 ай бұрын
​@@ShamsudeenOmary Tulimuelewa kuwa inachotakiwa ni kujiita jina moja tu nalo ni #ISLAM (Waislam) akatoa na dalili ya aya kisha majina yaliyobakia yoote ni #FEKI na akayataja kama mfano likiwemo jina na #salafi na mengineyo. Wewe ulimuelewaje?
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary 2 ай бұрын
@@SonofJacol-t6h Na alipojiita yeye ni assalafiy tena sunniy mlimuelewaje??? Aau mnaelewa pale mnapopataka tu sio?
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h 2 ай бұрын
@@ShamsudeenOmary Ukitaka kujua maana ya kujigonga gonga basi huko ndio kujigonga gonga. Contradictions and double standards, ubabaishaji (talbis), huku mtu anakubali kule anakataa! Tulielewa aliamua kuyala matapishi yake yeye mwenyewe Wewe ulielewaje? Tujibu tafadhali
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary 2 ай бұрын
@@SonofJacol-t6h Ukishajibiwa utafaidika nini na jawabu langu?? Alaf wewe ktk file lako una kheri ngapi mpaka ukae chini kuzungumzia watu wengine tena wenye kujitahidi ktk sunnah. Wewe umeridhika na uliyokwisha yatanguliza kwa ajili ya nafsi yako? Aau na hili litaongeza ajiri ktk mema yako?
@IsmailGavara-n9p
@IsmailGavara-n9p 2 ай бұрын
Hello mpo! Eleweni kujiita ahlusunna sio ihtikadi my brotherz ahlu sunnati wal jamaa salafiyyun. Ni kuitakidi kwa vitendo maamrisho yu takidhu jaazima au jazimiin kwa kukata kabisa but sio nembo ya jina kwaku jiita Nooo!!!
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 2 ай бұрын
Munaikataa haqq manhajj salafi mnàletewa nyie mnaikataa nasisi hatutowakalia kimya ili muache kishirikiana na masufi
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
😂😂😂MPO MAWAHABI NA VILEMBA VYENU MKIWADANGANYA WAISLAMU, AHLUSUNNA WALJAMAA UNAWEZA KUJIITA MOJA KATIKA MADH HABY MANNE TU. 1) SHAFY 2) HANMBALY 3) MALIKI NA 4) HANAFY . kinyume cha hapo wewe ni katika madh haby yako na utuelezee asili ya Imam wako ni nani?. Kama bibi fatma sana madh habi ya shia ambao uzao wa Hasan na Hussein. Au ibadhi ni ABDALLAH IBN IBADHY. Kujiita tu salafy au athari au answar au muhajirina au hadithiyu au quraniyu au swahabiyu au mtumiyu au Allahiyu au wahabiyuu YOTE HAYO NI MAKUNDI YA KHAWARIJI YENYE FITNA NA KUKHALIFU WAISLAMU ILI KUWAUWA NA KUFANYA VITA BAINA YAO . WEWE NI KHAWARIJI SIO AHLUSUNNA WALA IBADHI PIA HUMO. WEWE NI KUNDI LISILO NA IMAMU NA MUANZILISHI NI YULE ALIOUWA HUSEIN NA MASWAHABA NA AKAIVUMBUA TENA MUHAMMAD IBN ABDUL WAHABI ALIOUWA ZAMA ZETU.
@matendupiterngoge8707
@matendupiterngoge8707 2 ай бұрын
Na dhehebu la imamu shafy nidhehebu gani
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
@@matendupiterngoge8707 Ni dhehebu ya KUFUATA SHERIA ya uislamu Kwa ufahamu WA MWANACHUONI WA wanachuoni Imam SHAFY RAHIMAHULLAHU aliomtabiriwa na Mtume saw kabla kuja kwake. Kama hujui maimam WA SHERIA wanne WA ahlusunna basi utafataje uislamu kupitia ufahamu WA ahlusunna?.
@farajichilumba5114
@farajichilumba5114 2 ай бұрын
​@@hilalkhalfan1452hahahahahahahhshs
@HumeidKimazi01
@HumeidKimazi01 2 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452Salafi wameenda kinyume na Imam yupi kati ya hao wanne?
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
@@HumeidKimazi01 wameenda kinyume na maimam wote na WAO hawana imamu Wala hawakubali kuwa na imamu
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 2 ай бұрын
Tumekuelewa shekh twaha allah akubariki issue ni majina tuuh, lakini kuna kikundi fulani sis tuwaona ni katika ahlsunnah lakini wao watuona sie so ahlsunnah na kuwatowa wenzao so ahlsunnah kumbe watu kutoelewa jina so kitu waweza mtu jiiita al hurabaa na akawa salafi.shida inakuja kwa watu fulani kujibaguwa sisi masalafy wale answwri sunnah ndo nini sasa hiyo 😂😂😂 kutojuwa maskini.
@farajichilumba5114
@farajichilumba5114 2 ай бұрын
Nulikataaga kujiita nyie thanks 4 coming ruwaida ruwaida
@UsalafiniKWETU01
@UsalafiniKWETU01 2 ай бұрын
Waambie sasa waache kutuita majadida maana umewasomesha somo zuri sana.... Waifuate manhaja ya sawa!!!
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 2 ай бұрын
Nawew uache kuwatoa wenzio katika duara la ahlsunnah kisa majina tuuh.na wao wataacha kukuitq jadida Ila kama mtaendelea kuwafanyia uwadui na kujiona wale so salafy nawao hawqtaacha kukuita jadida Sabu upande wanao kuita jadida hawana shida na kuwa ww ni salafi Ila ww unae itwa jadida ndo unatowa watu katika sunnah na kuwaita wale so ahlsunnah ni hizby tuuh kirahisi tuuh.
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 2 ай бұрын
@@UsalafiniKWETU01 ila sasa akhyu wale washaakua sugu ikiwezekana aachane nao yy alinganie daawat salafiyya maan sisi woote tulikua huko kwenye uanswar nasisi hatuna elimu kama yy kwanini sisi tuijue haqq nayy asiijue nayy nimjuzi wa dini zaidi yetu sisi ??
@AbuuBakar1
@AbuuBakar1 2 ай бұрын
​@@AbdulIssa-o7enani alianza kumtoa mwenzake katika Sunnah ewe shabiki wa kihizby? Barahiyyan ana clip za mwaka 2007 awaita watu majadida Haya tuonyeshe audio hata moja ya salafy alie watoa nyie katika Sunnah wakati huo 2007
@farajichilumba5114
@farajichilumba5114 2 ай бұрын
Mashallah
@farajichilumba5114
@farajichilumba5114 2 ай бұрын
Tubaki kurekebishana sasa kupitia misingi ya ahlu Sunnah katika dini
@ibrahimsaid5538
@ibrahimsaid5538 2 ай бұрын
بارك الله فيه أصاب واجاد وافاد وهو من السلفيين إن شاء الله لأن مذهب السلف ليس حزبا
@DjumaAsha
@DjumaAsha 2 ай бұрын
Sio kweli achen upuuzi
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 2 ай бұрын
Sasa tupe ww ukweli
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn 2 ай бұрын
Tupe ukweli wako 😂 au unafuata bendera tu
@khamiskhamis9947
@khamiskhamis9947 2 ай бұрын
Babu user tambuwa ya kwamba Allah anasajili matendo yako, usione utatukana watu bure halafu usahaulike. Utakwenda kujibu.
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 2 ай бұрын
@@DjumaAsha utaki. Kaanzishe dini yako arafu ujibinafsihe lakini so dini alikuja nae mtume ni ya walimwengu so ya mtu wala yanani dini ni ya Allah na sunnah ni ya mtume muhammadi usiite watu. Wapuuzi ww ndo utakuwa mpuuzi kaanzishe dini yenu na sunnah yenu kwenye sayari tofauti nah hii kama una uwezo huo
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 2 ай бұрын
Sasa mbona ww kama manhajj salafi unaijua ondoka huko kwa watu watv imaan ambao wanashirikiana na masufi maghurafi
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 ай бұрын
Hamna asitoke, isipokuwa awalinganie waache hizo tabia zao za kihizbi...!!! Tv Imaan ingekuwa ni Tv nzuri kama wangejipamba na manhaj Salafy! Tatizo Sunnah yao imechanganyikana na Impurities!
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 2 ай бұрын
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Akhy sijui kabla yakuijua haqq ulikua kwenye uanswar au usufi mimi Akhy nilikua answar na nikisikia barahiyani au bachu anasemwa nilikua naumia saaana nilikua nawaletea upinzani. Hawa maikhwa wakuposity. Duruus za mashekh mashekh mashekh mashekh wakisalafi. .kwahiyo akhyu hao TV 📺 imaan wanajulikana anavyozidi kulinganiwa nawao wanazidi kuleta kibri . Kwahiyo huyu shekh namshauri aachane nao. Tu baasi wale washalinganiwa saana .na mpaka barahiyani arudi nyuma woote hao ndiyo watarudi nyuma . Akhy
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 ай бұрын
@@abbaspaziaog2188 Duh! kumbee hadi Barahiyani alikuwa pamoja nao! Sema inaonekana miongon mwa watangazaji wa Tv Imaan wapo ambao wamepokea nasaha za za masalafy ila sijajua wanaogopa nini kubadilika... Mana nshawahi kusikia yule Mwenyekiti wa Tv Imaan akisema kuwa alishatengana na Answar Sunnah Foundation baada ya kunasihiwa na baadhi ya ikhwaa japo hakuwataja! Ofkoz TV imaan wamepinda na Kama Barahiyani bado yupo nao basi inakuwa ngumu wao kuikubali haqqi moja kwa moja kwa sababu yule Barahiyani ana KIBRI sana! Mimi Binafsi nilikuwa Sufi kabsa ila nilivyoenda Shule ndo nkaikuta Sunnah ila kwa kipindi hicho sikujua kama Kuna Masalafy na maanswar... kwo nilitapatapa sana kuijua haqqi hadi sasa hivi Alhamdulillah nimeujua usalafy kwa kiasi chake na nshajua utofaut uliopo kati ya wao na hawa mahizbi... Alhamdulillah!
@IsmailSanga
@IsmailSanga 2 ай бұрын
​Wewe na wenzako ni Nimajadida.