Umepambana sana baba, mara hii umejipatia wafuatiliaji wengi namna hii. Hongera sana baba, ni hatua kubwa.
@UAMSHOTVКүн бұрын
Amen Mchungaji kwakweli Nina deni kubwa Sana mbele za Mungu Kwa sababu ya elimu niliyoipata kupitia maelekezo kutoka kwenye Ibada, Mungu anisaidie namwomba mno
@user-lt1bi5nr1x10 күн бұрын
Kanda ya ziwa tunao viongozi hazina wenye akili nzuri.
@user-lt1bi5nr1x10 күн бұрын
MPINA usisikitike sana. Waovu wananguvu na ushirikiano kutetea uovu wao unapomgusa muovu mwanzao. Sisi raia tunaona yote yanayoendelea mtandaoni. Maana TBC hawayasemi wamebanwa
@user-lt1bi5nr1x10 күн бұрын
Uyu mbunge alichaguliwa na nani au ndo wale wabila kupingwa. Jitu zima linaongea pumba kabisa
@yamungumbarikiwamwakipesil40111 күн бұрын
Ameeeen ameeeeen
@MeshackKaboja12 күн бұрын
Hili kubwa jinga bunge lawapi
@salomefaith241012 күн бұрын
Bora umenena mtumishi..sema watu wapone. Mwenye akili na asikie. Mungu tunaomba hekima na maarifa . Tuweze kuchagua yaliyo mema
@NghobokoSalehe-kv3qm13 күн бұрын
Asilimia Mia na zaidi ni mtumishi wa Shetani,yeye mwenyewe anajitambua.Mungu alisema ,ISAYA 44:25 ndiyo maana unasikia maneno hayo anayoyasema ni ya kiuenda wazimu.
@doricemrema217713 күн бұрын
Huyu niwakukemewa kabisa,,,ana haribu injili ya YESU KRISTO
@veronicamnico477313 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢
@OS-pf6op13 күн бұрын
Amekosa kabisa unyenyekevu!
@INUMBUMWANDU13 күн бұрын
Wanamkabili kwakusema ukweri mwanadamu hataki mtu mkweri hunahtia mm mwanaichi wako tindabuligi
Safi kaka mbungewangu tuliokuajili nisisi namungu ndio aliekuweka hapo wachana nao
@PetroJos13 күн бұрын
Barikiwa mtumishi
@UAMSHOTV13 күн бұрын
Amen mtu wa Mungu
@UAMSHOTV13 күн бұрын
Amina Sana Mchungaji Mungu akutunze mno najifunza mengi.
@HelbethMlelwa14 күн бұрын
Ubarikiwe sana kwa moyo huo na jitihada hizo ulizonazo
@AidaRaphael14 күн бұрын
❤
@nurubujimu17514 күн бұрын
Mpina oyee sema usiogope
@ShaibuHamisi14 күн бұрын
Anaepinga mawazo na hekima za mpina anamtetea bashe spika tulia ajitathimini
@lydiakiende-dz4ry14 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@johakhimu.mgembe.329714 күн бұрын
Wabunge hawa wa Wapi?wasiokuwa na upendo kwa Watanzania waliowatuma
@user-ot9zb6eg7f15 күн бұрын
Wabunge kama awa uwa mashoga kibaya kipi apa alichokifanya mpina bunge LA wajinga Tanzania
@mkambamaulid44715 күн бұрын
Mpina piga kazi kaka kwani Mungu ataonyesha kheri yako ya dhati sikuzijazo 💪🏽🙏🏼
@clemencemkondya856115 күн бұрын
Tatizo la mpina kwenda kwenye vyombo vya habari huku amepeleka ushsidi kwa spika .Acha kumtetea mbunge badala ya kumshauri alikosea kusema na vyombo vya habari .
@UAMSHOTV15 күн бұрын
Wewe umebeba roho ya uuaji, una UNYAMA ULIOKITHIRI KABISA, hata hivyo NAMSHUKURU Mungu aliweka kifo angalau wote tutaondoka duniani linga ulingavyo, chumu Dunia uwezavyo
@hellenmanyere-vp2qs15 күн бұрын
Clemence Mkondya wewe SIO MTU, NAMUOMBA MUNGU AIKUMBUKE DHARAU YAKO HII JUU YA UTU WA MTU, NAOMBA IKIWEZEKANA MWAKA huu USIISHE AKUCHUKUE TU UENDE KWA BABA YAKO SHETANI
@FrankBalemba15 күн бұрын
Huna utu kabisa, yaani una roho ya MNYAMA kabisa, Mungu akukumbuke Kwa haya yote
@ImoriCharles15 күн бұрын
ONA kenge nyingine hii imeshiba tozo, pumbavu
@HabibuSalumu-iv5wl15 күн бұрын
Alipima samaki za wavuvi alikuwa anatetea wananchi Alikuwa kiongozi je hakukiuka utaratibu yeye aliambiwa apeleke ushahidi wake,kwanza hakufukuzwa amesimamishwa vikao kuminatano,hayo maneno yametokea wapi
@user-uf7dp5hn8p16 күн бұрын
Mpina hatujaona kosa lake, ndugu zangu wabunge muungeni mkuno tunatekasana
@user-fm3ew9tu9y16 күн бұрын
Ee Bwana Yesu Kristo Naomba umlinde huyu mbunge Luhanga JoelSon Mpina ,maadui zake wapotee Kwa Njia 7
@makejamaduhu761816 күн бұрын
Mpina ameitukana serikali muda gani? Wabunge kuweni waungwana viongozi
@PendoUrassa-xm7ru16 күн бұрын
Watu haawana ata hoja
@bundalaizina65216 күн бұрын
Ujinga tu
@PhiniasIsrael16 күн бұрын
Hakuna jambo lililostiri ambalo halitafunuliwa, hakuna neno lililofichwa ambalo halitawekwa wazi
@GossesMwambene-eg8lo16 күн бұрын
Haki ya kweli bunge limejaa machawa mungu alisaidie bunge hill muwe na utu ,muongoze taifa kwa haki acheni unafiki,
@gabrieltheodory409016 күн бұрын
Eti Mpina ajiuzulu, Mzalendo, Mtetezi wa Umma kweli? .kuna Wabunge wa kupangwa Kama Nyanya, Wanamwattack Mpina Kweli? Tuko na Wewe Mh. Mpina
@Mima-cl2im16 күн бұрын
Watanzania hawawajuwi wasomali kwa magendo. Waulizeni wakenya. Walilishwa sukali ya viwanda isiyofaa kwa binaadamu.
@Mima-cl2im16 күн бұрын
Wanafiki bungeni ni wengi. Hawataki wabunge wenye akiri zawo. Wanataka wabunge wenye kukubali kila kitu, wabunge wasio elewa chochote ni kula fedha kodi za watanzania.
@jumaabdalla337416 күн бұрын
Wanafiki wakubwa nyie wabunge vilaza
@gabrieltheodory409016 күн бұрын
Huyu Mbunge Jinga kabisa
@Mima-cl2im16 күн бұрын
Hatuna wabunge. Mpina hakutukana serikali. Mpina anatetea mali za watanzania. Wabunge wengi wako bungeni kwa kutetea mafisadi, ndiyo maana watanzania wengi wanateseka ingawaje Tanzania ni tajiri. Wanaiba, hawajamatwi, wala hawafungwi. Jęła zetu zimejaa masikini, wanaodanganya na kutowa tenda ya sukari kwenye kinyume cha sheria ndiyo wanaoigiwa makofi. Mpina ukweli utakuweka huru. Speaker ATA lipa kama alivyolipa Ndungai. Chroni dhamana. MPINA HANA KOSA
@Mima-cl2im16 күн бұрын
Amani haichungiki bila ya haki. Nchi nyingi za kiafrika zinakosa amani kwaajiri ya dhuluma za wengi. Wabunge wa Tanzania badała ya kutetea haki ya waliowachaguwa wanatetea interests za wachache wanao wadhulumu wengi. Usiposema ndiyo bungeni unakuwa Aduwi na wanakushutumu kuwa adui wa chama na serikali. Demokrasia gani hii? Mbunge ana haki ya kutetea wananchi na sio kuiunga mkono serikali na sifa nyingi kwa Rais bila ya kuwajali wananchi. Tanzania ni masikini kwa wizi na ufisadi wa watu wachache kujilimbikizia mali za watanzania. Hawakamatwi, wala kusemwa. Ukiwasema bungeni yanakupata yaliyompata Mpina.
@meryshekoloa96116 күн бұрын
MH mpina huu ni wakati wa kumtukuza mungu tunakupenda bora uwe hai Baba tunakuombea wanapoteza sukari wauze wenyewe na kutudhurumu kwa kujikinga na vyeo vyao
@josephclementkisendi672616 күн бұрын
Kwakweli watanzania kazi 2nayo hatuna wabunge wenye matazamio yakuliinua taifali bali wanalididimiza, mpina upo sawa 2po pamoja ❤
@meryshekoloa96116 күн бұрын
Heeeee hamuoni aibu yaani dampo la wanyang,anyi acheni uchawa mnamdharirisha mama wewe baba wewe mmmhhh tonge tonge tonge mmmhhh tetea ugali
@gracekagoma323116 күн бұрын
Mpina wewe ni mzalendo.Udumu.kuwa mtetezi .Baba huyo mwenye kitambi aache bunge😢
@gracekagoma323116 күн бұрын
Huyo ba b a mwenye kitambi ni hatari😢 waliomchagua poleni sana Tz tuna demokrasia .
@khaliduhadi233616 күн бұрын
Pumbavu sana wewe kenge kazi kujaza tumbo
@ChristineElias-bn4dw16 күн бұрын
Ovyoo
@nelsonnyamle16 күн бұрын
SWALI KWAKO UNAYECHANGIA HOJA BUNGENI MPINA AMEHOJIWA NA KAMATI TAYARI AU BADO?KAMA HAJAHOJIWA NA KAMATI NA MMETOA HUKUMU HAMUONI KAMA NI CHUKI BINAFSI