Anani ana angalia mapozi baada ya mwamba kutoa rimix na diamond na jaymelody
@SaidJuma-b7f4 күн бұрын
2:41
@SaidJuma-b7f4 күн бұрын
Nimimi apa
@annethmartine21364 күн бұрын
2024 December ❤❤❤
@eliosanganitajitahidikuwak6394 күн бұрын
Dec 27/ 2024
@HerroFrank14 күн бұрын
Waa mr blue the legend
@mabulasailor7818 күн бұрын
Kitamboo jaman
@SophiaMradi-nb9tf20 күн бұрын
Jmn hii nyimbo ni balaaa haipoi kitambo sana.
@MikaVyirigiro-cj2vj22 күн бұрын
👏🏾👏🏾👏🏾
@BlaqJohweusi22 күн бұрын
From Canada Naisikiliza Mapozi!!This song ilituburusisha utotoniii mpaka sasa 2024🔥🔥✅
@carolmburu106429 күн бұрын
Here, after the remix with mondi and mr blue still looks fine as fu$k😍
@MRRILLA254Ай бұрын
Enzi izi diamond na ali kiba awajulikani 😂😂 legend blue chukua maua yako 🌹🌹🌹
@alicemaryaidian1222Ай бұрын
Tbt
@mathiasmlanda2077Ай бұрын
Na huyo mrembo si sahii amekua zombie 😂
@manjemubakari2676Ай бұрын
Nikohapa 2024
@sharonamondi2861Ай бұрын
❤️🔥
@saidsaleh8601Ай бұрын
naskliza nikiwa london uingereza 2024 like hapa kama bado una vibe na ili dude 2024
@AishaMwaipuguАй бұрын
Flash back
@PaysageloveАй бұрын
2k24🥳
@cyrusbosire4859Ай бұрын
kumbe walikuibia wimbo😂
@UswegePapaaАй бұрын
Noma sanaaa goma
@mottadanson3315Ай бұрын
2024 Mbona goma noma
@mashejuma2885Ай бұрын
Niko form one 2004 Niko shuli mwenyewe na karedio changu nasikiliza mapozi then narud shule naukuta nilikua natamana nisikilize hata mara Mia thanx to frank mtao na kipind cha saa mbili ambacho alikua anapiga Sana huu wimbo
@nazstudios9048Ай бұрын
year iiiiiiiiii
@TwalibuiddАй бұрын
wametombwa watoto wakike kwenye hii ngoma sana pale paradise katavi
@AllyYakoboАй бұрын
nipo ngoma nakubali kinoma nikitoa hi naweka Mimi wewe
@EsterModo2 ай бұрын
Ila huyu naye ana kiti chake Uko mbingun❤❤
@Ali-gk5mv2 ай бұрын
Huyu Blue Ni Genius 💯Kipindi hicho kila Mtu Alikua anamuigiza Blue
@Ali-gk5mv2 ай бұрын
Bayser Akuna dunia nzima💯♥️🙏
@hidayahassan45672 ай бұрын
Leo nimesikiliza hii nyimbo moyo wangu umeniuma sana japo zamani nilikuwa mdogo niliisikia kwa banda la video leo hii naisikiza kwa cm yangu zaida 3 nimegundua mr blue alieleza hisia zake kwa mara ya kwanza japo wengi ninadhani ni nyimbo tu hapa alimwaga tenzi kwa ufasaha kama unaipenda hii nyimbo liki hapa 👍🏿
@tonycuellarsolis53452 ай бұрын
1996.
@bijambomorris99602 ай бұрын
Baiser mpzi 24/10/2024
@nazstudios90482 ай бұрын
I was 15 and this song2so much on east African Tv
@IsmailKarim-d3v2 ай бұрын
Cover imekuja kuharibu,,,this was fire till today
@MosesKubo2 ай бұрын
Utuwekee na wale washkaji chorus inasema UKIFIKA NYUMBANI NENDA KAWAELEZE MACHIZI MASKANI KWAMBA TEDI HAYUPO TENA DUNIANI KESHAITIKIA WITO WA RAHMANI,ujumbe jamaa mdogo wake alikua na mahusiano na mtu katika kutetea akachomwa kisu kisa mdogo wake
@ingabirezawadi23472 ай бұрын
Woow❤👍👌✌
@LecoindurireFormidable2 ай бұрын
❤
@bienaimemukongo58522 ай бұрын
Watoto wa afu mbili kamwe hawawezi elewa ni vipi tulikua natamani tuwe kama huyu dogo😅 Big up Mr blue
@violetnyarangi70622 ай бұрын
13th.October.2024 Real Maponzi
@husseinibrahim29972 ай бұрын
It's pure talent, vijana wa zamani walianza kujituma mapema wakiwa wadogo.Naturally creative.Hizo zama .
@peterrichard90482 ай бұрын
Hili goma nouma sanaa👊🏿👊🏿 2024 Tuishi nalo
@mwendanaito2 ай бұрын
😮💨😮💨Never gets old....
@hamisinngoa42513 ай бұрын
waah toka 2008 zama zetu
@sheldonkingsfilms36763 ай бұрын
2025
@hillaryangatia79223 ай бұрын
mapozi originali hotter than the mond thing
@ronaldotieno36453 ай бұрын
Mapoz na wewe , mr. Blue bado uko juu after all these years ... this is natural raw talent .