Ewe Mola wetu tunakuomba utupe kitabu chetu kwa mkono wa kulia😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ummua50063 күн бұрын
جزاكم الله خيرا و في ميزان حسناتكم جميعا يوم القيامة
@sophiakassim69792 күн бұрын
امين
@ExcitedChefHat-ef5jt4 күн бұрын
Mashaallah Tabarakallah sheikh Abdallah humeid Allah akuhifadh shekh wangu nakupenda sana. Neema kubwa mombasa kwa ilmu unayotufundisha Alhamdullillah.
@zanlec73574 күн бұрын
Kwahakika Mitume imefnykz ngumu san
@zanlec73574 күн бұрын
Allah akulipe khery Sheikh DARSA nzuri mno
@MaryamAbdalla-n2f4 күн бұрын
🤲🏻🤲🏻❤️❤️🕋🕋🕋🕋
@jafarmahamed5 күн бұрын
Record imekatika
@dreahmed23367 күн бұрын
Someni masheke someniii, jibu la suali ulilomuuliza mtoto huyo lazima liwe juu, kwa sababu elimu ya mtoto huyo ni kama yako tu katika suala science, Allah nikweli yupo juu, lakini hiyo juu sio juu maalum bali ni kila mahali huko juu. ( N, NE, NNE, E, ES, EES, S, SE, SSE, W....) siwezi kuzimaliza kwa sababu hata hizo hazitoshi kuiwakilisha circumference ya dunia. Nisawa kusema kuwa Allah yuko juu ya Arshi kama alivyosema, lakini si sawa kusema kua arshi iko mahali fulani, huo ni ujinga uliopiitiliza, na kama wewe ni msomi wa kweli basi kusoma tu qur-ani bila kuijua science utakua bado hujakidhi kua shekhe kwa zama hizi, Unataka kutuambia kuwa dunia ni tambarare?...hakuna shaka kua dunia ni duara na Allah amesema hivyo, na kama dunia ni duara basi kila angle ya duara la dunia ina ardhi au maji au barafu, na hivyo viumbe vya Allah vimetapakaa kila angle ya dunia, sasa unapokaa kitako ukasema kua Allah yupo juu lazima utuambie juu ya watu wa Magharibi, Kaskazini, Kusini ama Mashariki, ama ni cadinal point gani hasa ambayo haina juu? Sheikh kwa maana hiyo si sahihi kusema kua Allah yupo juu kwa sababu dunia ina juu kila mahali na hivyo Allah yuko katika arshi lakini hiyo arshi iko kila mahali katika pembe zote za dunia. Allah anisamehe nilipokosea na Anijaalie mimi na wewe kuwa miongoni mwa atakaowaridhia.
@AwadhiSalum-b9n7 күн бұрын
Jazaka Allah kher
@hassanmuranda37028 күн бұрын
Sheikh amezungumzia kwa kutaja aina tatu za Ibaada; Ibaada ya Kimoyo,Ulimi na Viungo vya mwili, vipi na hii ibaada ya kuchinja
@Muislamu8 күн бұрын
Kisha taamali darsa zenu haswa huyo dhelele alazimisha kumtaja doktoor hata kama haihusiani na maudhui ya darsa almuhim ailete kilazima mpka amtaje tu...
@Muislamu8 күн бұрын
Doktor atawatoa roho ..yani haliwaishi hilo ..kwani doktoor alijisemea kw akili yake ama ni maneno ya wanavioni..kma hamjui nyinyi majahil haimanishi kua basi hakuna
@adilmansur41778 күн бұрын
19:25 mbona basi duktur alivyosema kuacha change dukani ni ribaa akarudiwa mbio mbio.. hapo hamukuona kuwa iko na 95% possibility ya kuwa ni ribaa..lakini mahali ambapo ulamaa wakubwa wamesema kuwa murabaha inafaa ndio mnaona ati sijui 95% haifai.. yaani ulamaa wakubwa kama kina Sulaman Al-Ruhayly hawajui kuwa kitu ikiwa na shaka afadhali uiache
@Muislamu9 күн бұрын
Story nyingi tu hakuna lolote la maana..story za maskani
@jafarmahamed13 күн бұрын
تبارك الله
@IluMshana-ni8xf13 күн бұрын
❤❤❤
@IluMshana-ni8xf13 күн бұрын
❤❤❤❤
@ExcitedChefHat-ef5jt14 күн бұрын
Jazzakallah Tabarakallah shekh Abdallah humeid Allah akuhifadh shekh wangu na ustadh wangu khutba ya leo iko wazi kabisaa tauhid safii kabisa. Allah akupe umri mrefu wenye hikma zaid na mwisho mwema ya rabbi. Aamin.
@zanlec735714 күн бұрын
Allah akulipe khery
@zanlec735715 күн бұрын
Darsa nzuri san Masha Allah
@zanlec735715 күн бұрын
Allah akulipe khery
@MohazAbdi-kw1ef15 күн бұрын
Asalamu aleikum Hamna khutbah hapa
@ShafiShitikolo16 күн бұрын
Asalaam alykum
@Ahmedali-fb2dy15 күн бұрын
Waaleikum salaam
@sophiakassim697915 күн бұрын
Waalaikum salaam warahmatullah
@AbdulimalikiDulle-bp5zp17 күн бұрын
Tumepata elimu
@mahmoudkulatein544918 күн бұрын
BarakaAllahu fik
@amenakenya799318 күн бұрын
Ma shaa Allah barakAllah giyka
@jumaswalehe-y6d19 күн бұрын
Shukran sheikh wangu,
@ibrahimmusa951820 күн бұрын
MashaAllah ya sheikh Abdallah humeid Allah akuifadhi
@hajijawas242021 күн бұрын
Wengine tupo tanzania tunapata faida baada ya hizi darsa whatsap sio kila muda tunawez ku streem online mtupe ufumbuzi kwann tumetolewa kweny group la whatsap nn tatizo
@hajijawas242021 күн бұрын
Asalam alaik ikhwa namishtakia kuna tatizo gani jaman mbon group la whatsap mmetu remove bila makosa yoyoteee
@anireddias461323 күн бұрын
Please translate in english
@RajabShedangio24 күн бұрын
Eee
@zanlec735724 күн бұрын
Allah akulipe khery
@zanlec735724 күн бұрын
Allah akulipe khery
@zanlec735724 күн бұрын
Darsa nzuri sana Masha Allah
@zanlec735724 күн бұрын
Allah akulipe khery
@zanlec735724 күн бұрын
Allah akulipe khery Sheikh Abdallah Humeid maalim. Siku nilikuona na kusali nyuma yako Markazi huku Zanzibar. Alhamdulillah. Qiraa chako Masha Allah
@zanlec735724 күн бұрын
Allah akulipe khery Sheikh Abuu Khatwab
@zanlec735724 күн бұрын
Alhamdulillah. Masha Allah
@rashidmohamed145325 күн бұрын
ustaz amehalalisha picha na video siku hizi?
@abbaspaziaog218827 күн бұрын
Abuu hamza masjid imemshinda 😂😂😂
@zanlec735728 күн бұрын
Allah akulipe khery Sheikh Abuu Hashim 🎉. Nakupnd kwaajili ya Allah
@zanlec735728 күн бұрын
Allah akulipe khery Sheikh Abuu Hashim 🎉. Nakupnda kwaajili ya Allah
@zanlec735728 күн бұрын
Allah akulipe khery Sheikh Abuu Hashim. Nataman siku moja nikuone Sheikh wangu
@zanlec735728 күн бұрын
Allah akulipe khery Sheikh Abuu Hashim. Nakupenda kwajili ya Allah
@zanlec735728 күн бұрын
Alhamdulillah. Allah akulipe khery Sheikh Abuu Hashim. Love from Zanzibar 🎉
@zanlec735728 күн бұрын
Allah akulipe khery. Love from Zanzibar 🎉
@zanlec735728 күн бұрын
Allah akulipe khery Sheikh Abuu Hashim
@zanlec735728 күн бұрын
Alhamdulillah. Allah akubaarik
@zanlec735728 күн бұрын
Hakika kitbu n kizuri mno na Sheikh wetu Masha Allah Kwa uchambuzi mzuri. Allah ampe Afya njema