AJALI MBAYA YAUA 13 MBEYA
5:51
4 ай бұрын
MAENEO 10 HATARI ZAIDI DUNIANI
9:10
Пікірлер
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 7 сағат бұрын
Mungu akupe maisha marefib baba
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 18 күн бұрын
Ukimuangalia tu unajua huyu anaroho mbaya sura mbaya kwanza hafai kuongoza ana mihemko ya kisiasa tena mchochez
@Annaonesmo-x5b
@Annaonesmo-x5b 28 күн бұрын
Siku mungu afanye kitu tupate laisii wa upizan,i sisisemu ni meichoka sana
@Thwahasopayiikaji
@Thwahasopayiikaji Ай бұрын
Eti msomi kwanza ume kufuru Mungu atembee hauna usomi wewe ni shamba tu
@JamesMario-x3c
@JamesMario-x3c Ай бұрын
Mungu utuwekee huyu kiongozi
@RITHAMROSSO-t4w
@RITHAMROSSO-t4w Ай бұрын
Safi
@MpokigwaMwakalinga
@MpokigwaMwakalinga Ай бұрын
Unaakili sana mugu akusimamaie
@MigonzoMigonzo
@MigonzoMigonzo Ай бұрын
Jilani iilani
@charlesphilipo3533
@charlesphilipo3533 Ай бұрын
Mna wivu WA kishamba mwanaume nzimahueleweki Tulia ana kuzidi toka akili Hadi uungwana alaa kumbe ni pipo zz,,Mbeya siyo wajinga kama unavyo dhania huyu ni wakili WA wapi ??? Muulize sugu Mbeya ikoje ?? Siyo utoke porini kuja kukupigia kelele mjini eti pipoziiiii nenda Moshi huku tuachie furaha yetu ,,,sorry
@simongwandu7392
@simongwandu7392 Ай бұрын
Kama serikali ina nguvu huyu jamaa hafai kuwa Rais wa TLS
@MaryMwamwezi-xm3iz
@MaryMwamwezi-xm3iz Ай бұрын
Tutaona mengi mwaka huu. Mi yangu machoooo
@ShaphyJamaly
@ShaphyJamaly Ай бұрын
Hamna kitu hapa...
@rozaliamwangwembe7115
@rozaliamwangwembe7115 Ай бұрын
Asanteni Sana bomba fm
@FabiolaTriphon
@FabiolaTriphon Ай бұрын
Uyo hanaakili
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 Ай бұрын
Anaakili, zake kwa nini useme hana Akili
@FabiolaTriphon
@FabiolaTriphon Ай бұрын
Nchihii tunajua raisi nimamasamia wewe ninani au ndowachochezi
@HappySarema
@HappySarema Ай бұрын
😮
@elizabethnyivambe2438
@elizabethnyivambe2438 Ай бұрын
Safi sana kazi nzuri
@ymohammed963
@ymohammed963 Ай бұрын
Kumeanza kuchangamka ndugu watazamaji
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Ай бұрын
Toka bhana!
@Georgemselyamwaluko
@Georgemselyamwaluko Ай бұрын
Safi sana
@JosefuSwai
@JosefuSwai Ай бұрын
Ndugu Ndugai alisema Nchi itauswa
@BabaZuu-fq8zj
@BabaZuu-fq8zj Ай бұрын
Mi nasemaga nichangieni nauli nikaisho bokinafaso hata leo
@Gaynor1234
@Gaynor1234 Ай бұрын
Safi sana Wakili Msomi. Hako ka Tulia katupiliwe mbali.
@janejoel2465
@janejoel2465 Ай бұрын
Kumbe tulia mwenyewe hajiamini , kama anajiami asubili uchaguzi si atachaguliwa tu. Anaogopa sugu atachaguliwa
@ChristinaWengae-ps5jr
@ChristinaWengae-ps5jr 2 ай бұрын
Kweli kabs kaka yang
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 2 ай бұрын
Siku zote mwanadamu atajuta na kuumia sana 'mara anapozikataa Amri na kauri za Mwenyezi Mungu (1) Mwenyezi Mungu kasema Mwanamke asiongoze mbele ya wanaume au Taifa au Dini lakini sisi watanzania tumewaweka katika madaraka sasa madhaifu yao mnayaona wepesi wa kudanganywa watauza nchi nzima kwa wageni (2) Mwenyezi Mungu anasema katika vitabu vyote vya dini Biblia na Koruani Mtoto akikosea anastahili adhabu tena Mwenyezi Mungu kaitaja kabisa kiboko serikali inasema ni kukeuka haki ya mtoto kwa hiyo watoto wametuharibikia kwa sababu serikali inajiona ina akili zaidi kuliko Mwenyezi Mungu (3)Mwenyezi Mungu amesema kuna uchawi na wachawi kwa hiyo lazima watu kama hao wapewe adhabu serikali inasema hakuna uchawi: maana yake Mwenyezi Mungu Mwongo ndipo tunaona watu wanatekwa wananyofolewa viungo vya miili yao na watu wanakufa vifo visivyo eleweka watu wanachukuliwa misukule wanakutwa katika vungu za nyumba za watu lakini serikali kimya (4)Mwenyezi Mungu kaipa kila nchi raslimali zake madini:wanyama Maji:Ardhi kwa manufaa ya raia wa nchi yetu lakini serikali inaona Mwenyezi Mungu kakosea inawapokonya raia na kuwapa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji wala hata raia hawaulizwi ili waamue hatima ya raslimali za nchi yao Siku zote nchi ikifikia hapo Mwenyezi Mungu husimsma mwenyewe na kuwatetea watu wake:
@AfwilileNisaidie
@AfwilileNisaidie 2 ай бұрын
Mimi naungana nanyi
@neemarosedawson3154
@neemarosedawson3154 2 ай бұрын
Hakuna ukweli hapa
@SeveriniTemu
@SeveriniTemu 2 ай бұрын
Akili ni nywele Kila mtuu u ana za kwake kutachimbika hakuna kubaguana njiii ni moja. Fito hizo hapo Wana si hasaaaa mnagombania siye yetu macho tunapita tuu kwenye hii halii ya maisha tukirudi tutapiga kuraaaaaa au kulaaaaaa *****!!!!!!!????¿??? Kipofu kuongozwa na mjanja mjanja hufaiidi lakini wakati wa kulaaaaaa usimguse kipofu mkono akijua Kuna mkono mwingine kwenye hiyo bakuli lazima noma itaanza yooooote ni posho za kibunge wkisha fika mjengoni. Tozo ooooooo. Mitano imeenda. K. Mgongo tafuta mitano Tena kiinua mgongo Tena imeenda hiyooo twanganeni mnajua mnachotwangana yetu machoooo
@theophilmakumbuli
@theophilmakumbuli 2 ай бұрын
Wewe na lisu elimu zenu bado mnaongozwa na hao wachaga
@theophilmakumbuli
@theophilmakumbuli 2 ай бұрын
Nikwel kanisa ccm inatakiwa ipumzeke imechoka lakini inapumzishwa na hii familia moja ambayo kila siku mwenyekt na katibu wanatoka sehemu moja
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 Ай бұрын
Sehemu hiyo moja itatuvusha.
@JohnS.mwafubo
@JohnS.mwafubo 2 ай бұрын
Ccm kubali yaishe hamna ujanja2025
@AwaziRajab
@AwaziRajab 2 ай бұрын
Ngorongoro Wanyama Wapewe Haki
@nassibMshana
@nassibMshana 2 ай бұрын
Mimi sijajua rais wa TLS anakuwa mwanachama maana tumeona hata walopita wote walikuwa chadema au TLS ni mali ya chadema tu , nifumbueni masikio wanaojua
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 2 ай бұрын
Kwakua TLS ni wasomi ndio maana wewe mbumbumbu huwezi kuwaelewa
@nassibMshana
@nassibMshana 2 ай бұрын
Ndo maana nimeulza maana Mimi ni mbumbumbu nieleweshe ili nisiwe mbumbumbu
@JosefuSwai
@JosefuSwai Ай бұрын
Hujielewi zuzu huwezi kuelewa ataukieleweshwa kwahiyo kaa kimya
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 2 ай бұрын
Hata mm nakuunga mkono.Tulia ni hatari.Spika unaendesha vikoba.?Unataka kuua mtu anayekupinga kisiasa kwa kutumia nafasi yako? Mwaka huu unalo.
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 Ай бұрын
Anaendesha vikoba 😂😂😂😂😂😂 spiker wa bunge mzima
@Lubango-gj3ud
@Lubango-gj3ud 2 ай бұрын
Nzagamba iyiniyi
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj 2 ай бұрын
Mweshimiwa habari yako mbona korongoro kanyimua kupiga kura
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 2 ай бұрын
Mwabukusi ukimgusa Tulia utakuwa unawagusa watanzania walio wengi .Mbeya mjini hakuna mbunge kama Tulia .kwahiyo mwabukusi usimguse huyo mama .
@AfwilileNisaidie
@AfwilileNisaidie 2 ай бұрын
Poleni mbeya ipi hiyo
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 2 ай бұрын
Vivavviva pokea mauwa yako baba tulia ajipange jimbolinaenda hilo
@Mapitoyazamani-y7n
@Mapitoyazamani-y7n 2 ай бұрын
Kazi ya wanawake ni kulea watoto nyumbani, huko kwingine ni kujichanganya tu!.
@MkuuKimaro
@MkuuKimaro 2 ай бұрын
Uyusipika nishetani anamu ogopasungu
@ChukchukName
@ChukchukName 2 ай бұрын
Jamani ilikuwa mwaka 97 Mimi nikiwa ni bint mdogo nilikuwa Yaya Yani kwa lugha sahihi mafanyakazi wakumlea huyo mtoto nilikua naachiwa mtoto boss wangu alikua mwalim nimeanza kumlea akiwa mchanga kabisa alipo fika miezi 3 mtoto alikua mlizi Sana kias Cha kumbembeleza wewe hanyamazi bas nikawa nachukia Sana boss akionfola na kuniachia yule mtoto siku Moja yule nilikua nimembeba nikimbembeleza alale akiwa mgongoni yule mtoto aliniambia dada mi najua unamchukia mamaangu kwakuwa hakipo ela zako Leo akija nitamwambia akupe nilishtuka nanikaelekea nyumbani nikiwanae mtoto mgongoni nikaenda kumueleza mama angu nafika kule mtoto amelala mama aliniona muongo sikulud kwa boss wangu mpaka alipo lud kazin ndipo nilienda namama alinipeleka nilitaka kuacha KAZI ya kumlea yule mtoto boss akasema nitakuongeza mshahara yule mtoto aliongea Tena mbele ya mama angu nabos wangu pia alisema mama usipo mpa mashaallah wake dada Mimi nitaondoka yule boss wangu hakushangaa ilionekana km anajua km mtoto wamiezi 3 anaongea kweli yule boss wangu hakunipa mshahara mpaka mwezi mwingine sku Moja yule mtoto alimka nalia saana ilikuwa juma mosi aliloa kuanzia saa 4 mpaka saa 8 bila kinyamaza Kisha akaonekana km amelala nikaenda kumlaza mtoto alilala mpaka saa11 boss akaludi akauliza maria yako wap nikamjibu kalala lkn amelala muda mlefu Sana yule mama akasema haaaa mwanangu amekufa nikweli alikua amekufa kitambo TU Mimi najua amelala kwa Mimi iliwah nitokea jio
@JaphetRingo
@JaphetRingo 2 ай бұрын
Mzee uyu Mungu wetu mkuu aendelee kumjalia heri. Mwambola sasa kashagombana na Mwaikali na tayari kashavuliwa usaidizi wa Askofu KKAM
@SharifaMichael-l5b
@SharifaMichael-l5b 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@RehemaKasanga-vu5nj
@RehemaKasanga-vu5nj 3 ай бұрын
Kama Wachawi wanaweza kutumia mtoto akiwa Tumboni Itakuaje Mungu asimtumie mtoto akiwa Tumboni
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 3 ай бұрын
Safi sana afande
@ErnestAkyoo
@ErnestAkyoo 3 ай бұрын
Ikwa Mungu ana jambo analotaka kuliambia Taifa Kwa kutumia mtoto basi mtoto awe shahidi mwenyewe. Mbele ya mashahidi wengine nje na familia. Watanzania tuwe makini na vitu visivyo shikika. Kawaida ya Mungu ni kuweka mafumbo wazi.
@EliezaRichard
@EliezaRichard 3 ай бұрын
Kweli
@Rachelmgallah
@Rachelmgallah 4 ай бұрын
🙏🙏
@gabriellmbwille184
@gabriellmbwille184 4 ай бұрын
Maji ni shida kubwa sana
@RobertBizuru-fw9sm
@RobertBizuru-fw9sm 4 ай бұрын
Afande acha dharau hawez kuyatunga hayo maneno