Пікірлер
@abubakarkhamis3884
@abubakarkhamis3884 7 күн бұрын
Mashallah
@kaznakazn3495
@kaznakazn3495 8 күн бұрын
Maashaallah tabraka Rahmani Allah akulipe kheri
@KuluthumRamadhani-b4c
@KuluthumRamadhani-b4c 8 күн бұрын
Mashaallah
@nassirhamad9407
@nassirhamad9407 8 күн бұрын
Nashauri ndugu na jamaaa wa karibu wamzuie huyu anazeeka vibaya na nina mashaka na akili yake... Si akili ya kawaida
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 19 күн бұрын
Mtu mwenye afya ya akili hana hukmu mbele ya Munyezi Mungu
@JumaJuma-i2g
@JumaJuma-i2g Ай бұрын
MIMI HAPO SJASIKIA DALILI YA KUJUZU KHITMA PAMOJA IHTIFAAL BIL MAULID. AU LABLA SIKUELEWA !!!!!!
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo Ай бұрын
Hichi KIZEEE KINAPIGA NYAMBU KWELI KWELI .....KUTETEA HUU UTUMBO WAKE......HAY MATAKATAKA HAYAPO KATIKA UISLAM
@dullahomar6377
@dullahomar6377 Ай бұрын
Ila kukejeri waislam waliofuata msimamo tofauti na wako upo kwenye uislam?
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo Ай бұрын
@@dullahomar6377 uislam ni mmoja tu quran na sunna kwa ufahamu wa wema .....tofautina hapo umepotea..Acha nyambu zako na uzushi
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo Ай бұрын
@@dullahomar6377 acha bidaaa fuata sunna..kwa ufaham wa sahaba....uislam ni mmoja.....
@YakubuMursali
@YakubuMursali Ай бұрын
Ndio maana mimi nasemaga kua mawahabi ni genge la wahuni kisha wanakasirika
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo Ай бұрын
Acha nyambu wewe ...MTUME KAFIWA NA WANAE WOTE KASORO FATIMA.......TUONYESHE HIZI BIDAA ZENU....
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir Ай бұрын
SOMENI NDUGU ZANGU MASALAFIYA NA MAWAHABBI SOMENIII. ACHENI KUANGALIA NA KUSOMA MITANDAONII
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir Ай бұрын
SHIDA YENU MASALAFI NA MAWAHABBI MUNATAKA WATU WOOTE DUNIANI WAFATE MUNAVYOTAKA NA KUONA NYINYI NDIVYO IJAPOKUA MUNAPOTOSHA WAISLAMU KWENYE DINI YAO
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo Ай бұрын
Tuonyeshe ni wapi Mtume kafanya HITMA ACHANA NA NGONJERA ZA HUYU BABU.....AU WEWE UNAJUA DINI KUSHINDA MTUME S..
@HafithTafari-cg5yg
@HafithTafari-cg5yg Ай бұрын
Maulid ni bidaa barzanj imejaa shirk na wongo
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Ай бұрын
Wewe unasema sufi nyie mnafanya machafu kuliko hao mnowata sufi tena matendo yenu machafu
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
@@masoudalriyamy6298 huyu daruweshi wa kisufi Ni wazushi xana hawa wanaitikadi mbovu Sana kumhusu Allah mambo ya uchawi ushirikina kufundisha watu uchawi wa albadili ndo wanachojuwa Hawa kuomba kwenye makaburi kuwaonba mawaliii shida mtupu.
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 Ай бұрын
Unaonyesha namna gani uchafu ulivyokua nao, maana hata kuandika huwezi "MNAOWATA" Maana yake nini?
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Ай бұрын
Rabii amsamehe amjaalie nuru ndani ya kabry yake amsamehe alipojikwaa
@OthmaniMdungu-en3lo
@OthmaniMdungu-en3lo Ай бұрын
Shekh kigoda Allah amjaalie afya njema pamoja na umri mrefu inshaallah
@user-dd3kb4uh8s
@user-dd3kb4uh8s Ай бұрын
Subhanna Allah. Huu mtiani sana yaa rabby tunusuru sisi na mamb maovu haya
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn Ай бұрын
UZUSHI UNATAFUTIWA KILA NJIA ILI UE HALALI ILA IMESHINDIKANA KWA WATU WENYE AKILI HAWEZI KUBURUTWA
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Ай бұрын
mbwa ww mzushi babako na mamako
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn Ай бұрын
@@mafiatv5479 Elimu huna ila baba yako humjui maana wewe ni kusingiziwa baada ya mama yako kutombwa nje ni mvuta bangi hebu muulize vzr mama yako yawezekana hizo tabia zako umerithi
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir Ай бұрын
Unaweza kujiona unaakili nyiingi kumbe mbele ya watu wenye akili unaonekanwa Chizi kabisaaa
@sibawaybakar6317
@sibawaybakar6317 Ай бұрын
Mashaallah, darsa kubwa sana
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
Uhalali wa bidaah bila dalili sufi bwana mnasiktisha kweli
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Ай бұрын
Wewe unasikitisha Zaidi kwasababu wenzako wanachota elimu hali wewe unachota chuki na wendazimu
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
@@hilalkhalfan1452hapo unachota ilmu unachota bidaa akhy
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
@@hilalkhalfan1452 kuchukuwa ilmu kwa watu kama hawa unachota itikadi mbovu na kufundishwa uchawi na shirki tuuh ndo wale wazee wa matalasimu na maandishi mekundu matalasimu shirki shirki hizi ndo wanachojuwa Hawa madaruwesh, so tawheeed hapana atakufunza uchawi wa albadili Ni umekufuru Allah bure
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Ай бұрын
@@user-yj5on8cz3e ndio maana nikasema watu wanachota elimu Ila Wewe unaambulia upumbavu kwasababu ya ujinga AMBAO uliomezeshwa na Dini Mpya ya kiwahabia. Hujui maana ya shirki WALA itiqadi WALA talasimu. Umemezeshwa TU upuuzi. Basi rudi isikilize hoja Kisha itumie Akili yako kufahamu
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Ай бұрын
@@user-yj5on8cz3e hapo kazungumzia kuwa wanachuoni walitumia takriban mambo matano, quran, hadithi, jamhuri, ijtihadi na qiasi. Hayo unayoyasema Ni ujinga TU kwasababu Leo MADA Ni HII basi jifunze. Kama unapinga basi pinga hoja iliozungumzwa
@abdallhabinmkasibayyat6657
@abdallhabinmkasibayyat6657 Ай бұрын
Inakuja
@user-gy5og1ts9n
@user-gy5og1ts9n Ай бұрын
Nishaa subscribe weka nyingine nataka kaseti zake huyu mtu
@user-gy5og1ts9n
@user-gy5og1ts9n Ай бұрын
Weka nyingine mwanawazuoni huyu
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
Nikweli mwanazuoni si daruweshi hawa uganga nyota, uchawi maalbadili hayo, kuishi na majini kumshirikisha Allah kwa kuwaomba makaburini mawalii, kuvaa mapete ya nyota, uganga wa vitabu yote hayo ni shekhe zenu wa kisufi, na wengine wanajitojeza hadharani kutangaza uchawi wa kutumia majini na mapete, huku wakijiita mashekh.subuhana llah ndo itikadi za usufi hizo
@user-gy5og1ts9n
@user-gy5og1ts9n Ай бұрын
@@user-yj5on8cz3e wee paka shume kuwa na adabu acha jaziba katika dini si baba yako hii kuwa na adabu na Walimu waliofanya kazi kueneza elimu
@user-re4gv3dp1f
@user-re4gv3dp1f Ай бұрын
@user: Unaleta Ujinga na Upumbavu Anaye Omba Makaburi Nani. Au Kisa Kiongozi wenu Mnao jiita Masalafi Anawapa Mshaara ilikuuwa Shaghaairu llaha
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
@@user-re4gv3dp1f ww Ni jahil hujui kitu shida ya kubeba itikadi mbovu za kisufi
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
@@user-re4gv3dp1f mtu anameza makohozi ya shekhe lake kwakuitakidi kwamba anapewa kalama masufi watu wa ovyo sana,
@AbdullazizKumwaya
@AbdullazizKumwaya 2 ай бұрын
Mashaallh
@omaryjalyabaggo1113
@omaryjalyabaggo1113 2 ай бұрын
Allah amrehem shekh Ahmed zubeir na mashekh wote na afanye makaburi Yao kuwa miongoni mwa viwanja vya peponi
@HemedSerious
@HemedSerious 2 ай бұрын
Kwani waimbaji walimkusudia Allah?
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 3 ай бұрын
Tufanye allah. Amfufue mtume wake aone uislamu alio uacha ns ulivyo saivi wallah atasikitika sana kiukweli
@chachamtatilo423
@chachamtatilo423 3 ай бұрын
Mashaallah
@KhadijaHamad-cd9dh
@KhadijaHamad-cd9dh 3 ай бұрын
Suratl Maidah Ina Aya 120
@rajabubaseloma3356
@rajabubaseloma3356 3 ай бұрын
Inalilah waainailah rajihun mbele yetu anko wangu
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 3 ай бұрын
Sheikh Hassan Kiiza m.mungu akurehemu na akuweke pahala pema jannatu firdaus maallim wangu😭🥺🙏
@AbdallahShaibu-w4h
@AbdallahShaibu-w4h 3 ай бұрын
Alhamdu lillaah
@Education1187
@Education1187 4 ай бұрын
Mnapatikana vipi
@user-hk4ub8sy3z
@user-hk4ub8sy3z 4 ай бұрын
Pia ana kope ndefu zinazomzuia kuingia vumbi ktk macho. Na baba hampandi mwanae au mtoto hampandi mamake. Ana kwato ambazo na uzito wake na kubeba mzigo lkn hazizami ktk mchanga wa jangwa. Ana kiliba cha maji anachoweka mwezi mzima na wafugaji walobobea kumjua ngamia kuna sehem wakimtoboa yanatoka maji safi. Na ukipotea jangwani anakuongoza njia.
@abalhassaniibrahimu810
@abalhassaniibrahimu810 4 ай бұрын
❤❤aya bwanaa
@IbrahimSongita
@IbrahimSongita 4 ай бұрын
Maashaallah ALLAH akuhifazi sheikhe omary wa songolo
@ahmarinaborto5918
@ahmarinaborto5918 4 ай бұрын
Mashaallah Tabaraka Allah
@user-ow2jv4vn8b
@user-ow2jv4vn8b 4 ай бұрын
Jamani nisaidieni wanapatikana wapi hawa wafugaji
@user-ow2jv4vn8b
@user-ow2jv4vn8b 4 ай бұрын
Mkojo pia nidawa ya maini yanayo halibika ngamia anafaidanyingi
@salumomar-ph8ht
@salumomar-ph8ht 4 ай бұрын
Huo ni mkoa Gani hapo
@user-um5xx5ct7q
@user-um5xx5ct7q 4 ай бұрын
Mimi ninavyojua mkojo ni najis inakuaje unapo2mia mkojo kama dawa na mashekhe wapo na hawaku2pa neno kuhusu mkojo ku2mika kama dawa
@mikidadiyusufu2319
@mikidadiyusufu2319 4 ай бұрын
Uliza usikurupuke elim ni bahar
@badrudindaud1087
@badrudindaud1087 4 ай бұрын
Mkojo wa ngamia sio najis ni dawa Tena ya ki sunnah. Pia Mkojo wa mnyama halal anae liwa mfano ngombe mbuzi kondoo sio najis ikikuchurizia nguoni yako uenaza swalih na hio nguo ispokua Tua itakuwa na harufu. Ukiwa huko machungani waeza na hio nguo. Elm ni bahri kama uli ambiwa uki taka ushahidi dalili kawaulize wasomi wakupe hadith.
@leilasaid3623
@leilasaid3623 4 ай бұрын
Allah akbaru kaka swala 5
@user-rc7oi2hp8l
@user-rc7oi2hp8l 5 ай бұрын
Ma sha Allah tabaraka Rahman
@user-ir5ec5jn3w
@user-ir5ec5jn3w 5 ай бұрын
Tuonyeshe ndani next time
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw 5 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah
@RashidSalum-y3v
@RashidSalum-y3v 5 ай бұрын
❤❤❤
@user-zv2uh2ht7g
@user-zv2uh2ht7g 5 ай бұрын
Mwamba fasaha sana wewe Maa Shaa Allah Allah akuzidishie kheir na Afya njema habeeb
@MohamedMiyombo
@MohamedMiyombo 5 ай бұрын
Sio Minal faidhina, sema Takabala Allah minna waminkum
@seyfullahonlinetv
@seyfullahonlinetv 5 ай бұрын
Mashaallah EID MUBARAK AL BAYAAN TV @Seyfullahtv
@user-tu3sj6tp2k
@user-tu3sj6tp2k 5 ай бұрын
Maa shaa allah
@khalidmdimu4177
@khalidmdimu4177 6 ай бұрын
Darsa zuri sana sheikh
@AgustineTendwa-nx5qi
@AgustineTendwa-nx5qi 7 ай бұрын
Mashalaah
@abubakarkhamis3884
@abubakarkhamis3884 7 ай бұрын
Mashallah karibuni Dodoma Jiji la Kimkakati.