Пікірлер
@JibranMaryam
@JibranMaryam Күн бұрын
Asl mm naomba kipimo cha 1kgs plz
@ilhamabud4605
@ilhamabud4605 2 күн бұрын
Nimejaribu na mashallah imetokea laini sana. Ajjab
@SprinahNyaochi
@SprinahNyaochi 2 күн бұрын
Chapati poa
@neymarzam9297
@neymarzam9297 2 күн бұрын
@neymarzam9297
@neymarzam9297 2 күн бұрын
Thank you sis❤❤❤maashaAllah
@EddinaAmerica
@EddinaAmerica 3 күн бұрын
Je kuweka naz nilazma
@halimashafi4594
@halimashafi4594 3 күн бұрын
So yummy
@safiaothman5175
@safiaothman5175 3 күн бұрын
Jazaki Allahu Khairaan Kathiraan
@privatebrowncake
@privatebrowncake 4 күн бұрын
This video made me look for majani ya kismavu in China😂 nimehangaika kweli nimeyapata online sasa nasubiri mpk yafike.
@ezrasikaona8119
@ezrasikaona8119 4 күн бұрын
Zahatari ninini jamani
@KhadijaAli-w9z
@KhadijaAli-w9z 5 күн бұрын
Shira yake nyepesi au nzito
@MwashambaMamuya
@MwashambaMamuya 5 күн бұрын
Oregano na thyme Kwa kiswahili ni nini
@MagrethKuhanwa
@MagrethKuhanwa 9 күн бұрын
Tui la maji lipi au maji ya mchele
@SaidaHilinti
@SaidaHilinti 9 күн бұрын
Toka niingie kwa u tube yako nimekuwa mpishi mzur Asante maa❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@mukeshchavda2902
@mukeshchavda2902 9 күн бұрын
Waw 😂 my siku nyingi sijala marage ya nazi
@jamilayona6770
@jamilayona6770 10 күн бұрын
Mashallah somo zuri ila me bd cjaelewa hp kitu gan kinafanya mkate kufura me napiga vizur tu namkate unatoka sponge ila haufur 'please nifahamishe kitu gan nifanye '
@SaidaHilinti
@SaidaHilinti 10 күн бұрын
Shuna your the best maa❤❤❤❤
@salhashaban9346
@salhashaban9346 11 күн бұрын
Jamn nakuxhukulu kipenz kwa mala ya kwanza mepika maandaz mazur kwa boss wang jamn ❤Allah akuzidixhie
@christinamzava852
@christinamzava852 13 күн бұрын
We dada Mungu akubariki. Kwa Mara ya kwanza Leo nimetoa keki bila kitambi tina Mimi, keki imejaaa vizuriiii daaah Ndani ya mwaka mzima. Daaaaaaah Yesu akutunzeeee.
@Maria-kp8oc
@Maria-kp8oc 13 күн бұрын
Wow 🥰
@NershwerHassaan
@NershwerHassaan 13 күн бұрын
Shukran❤
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 14 күн бұрын
Waaleikum salamu
@ClesenciaSalvatory
@ClesenciaSalvatory 14 күн бұрын
Mishono ya magauni
@imanmohamed2215
@imanmohamed2215 15 күн бұрын
Allahumma Barik
@athumanmlamba4
@athumanmlamba4 15 күн бұрын
Custard powder nin kwa kiswahili
@lillyanalillies8636
@lillyanalillies8636 15 күн бұрын
I learnt how to make half cakes from you and I appreciate you for sharing❤
@RiliciousRili
@RiliciousRili 16 күн бұрын
Mashllh unafahamish vizur n umepika vizur
@reticiakaria615
@reticiakaria615 17 күн бұрын
Nikitaka kuongeza mayai naweka muda gani?
@patiencemarura6592
@patiencemarura6592 17 күн бұрын
Mahamri yame kuwa 😘💯
@FaiduuNassor-y6y
@FaiduuNassor-y6y 17 күн бұрын
Shukran habibty🥰
@sanjanewmoonlife
@sanjanewmoonlife 18 күн бұрын
Why disgusting gloves 🧤🧤🧤🤢 are you afraid to catch some virus 🦠🦟🦟🦟 your parents grandparents never cooked with gloves 🧤
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 10 күн бұрын
They also never used oven and made swissrolls. Those gloves are not a part of the recipe. Please feel free to ignore them. Thanks for watching :)
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 18 күн бұрын
Waaleikum salamu warahmatullah wabarakatul
@RahimaHaji-g9j
@RahimaHaji-g9j 19 күн бұрын
Wow mashaallh nice❤
@RahimaHaji-g9j
@RahimaHaji-g9j 19 күн бұрын
Mashaallh very nice ❤
@mercydelight1149
@mercydelight1149 19 күн бұрын
Beautiful , lugha pia sanifu, umeeleza vizuri sana
@SalhaNelson
@SalhaNelson 20 күн бұрын
Waooooh 😊🎉asantee sn kwa som laleo
@MalikhatKhalfan
@MalikhatKhalfan 20 күн бұрын
Mashallah nimempikia mama angu kavipendaa sana
@zaytonuiibrahim791
@zaytonuiibrahim791 21 күн бұрын
Mashallh nicee
@nasrafahmy7412
@nasrafahmy7412 21 күн бұрын
Mefata kipimo but mchanganyiko wangu umekua mzitoooo
@zenabally4051
@zenabally4051 21 күн бұрын
Je tunaotumia gas na hatuna oven hiyo step inakuwaje
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 10 күн бұрын
Unafanya sawa sawa na kwenye gas pia
@abdullatiffazaldin6579
@abdullatiffazaldin6579 21 күн бұрын
I made it today and it came out beautiful the shape but in taste good but not to my satisfactory. Can you please tell 2 cups of rice is into what grams and coconut milk what grams.
@mamaryaan1957
@mamaryaan1957 22 күн бұрын
Mashallah
@mamaryaan1957
@mamaryaan1957 22 күн бұрын
It’s me منور
@mamaryaan1957
@mamaryaan1957 22 күн бұрын
*منور
@safiaothman5175
@safiaothman5175 22 күн бұрын
Maa Shaa Allaah
@DeboraUrassa-m2n
@DeboraUrassa-m2n 23 күн бұрын
naombeni mnielekeze vipimo vya kilo 2
@MukaigiroVerena
@MukaigiroVerena 23 күн бұрын
Naomba kisu hicyo
@UmmyMuhammedi
@UmmyMuhammedi 25 күн бұрын
Mazur lkn mm nikipika yanatoboka na yananyonya mafuta nipo oman nisaidie natia hamira sukar maziwa ya unga na maji mafuta naeka baada ya unga ukishakaza sasa nakosea wapi nisaidie nagombana na maboss zangu 😢
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 24 күн бұрын
Pole dear. Kama unafatiza recipe kama ilivyo, jaribu kuangalia unga unaotumia ni mzuri?
@UmmyMuhammedi
@UmmyMuhammedi 23 күн бұрын
@ ndio
@Teaching356
@Teaching356 25 күн бұрын
Asnte,Unatumia moto wa juu au chini na juu?
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 24 күн бұрын
Ndio :)
@خالدالبطاشي-ه9ض
@خالدالبطاشي-ه9ض 25 күн бұрын
𝐦𝐚𝐬𝐡𝐚𝐚 𝐀𝐥𝐥𝐡 𝐦𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚 ❤❤❤❤❤
@MayasaJuma-e4y
@MayasaJuma-e4y 26 күн бұрын
Njugu kilo moja xukar pia klo moja au vp
@MayasaJuma-e4y
@MayasaJuma-e4y 26 күн бұрын
Njugu kilo moja xukar pia klo moja au vp