Hongereni sana kwa uimbaji mzuri. Lakini kinachonivutia ni idadi kubwa ya hapo mbele wana pete za ndoa, kitu ambacho ni nadra kwa wanakwaya wa kwaya nyingi. Mungu awabariki.
@emanoeladionis57843 күн бұрын
Kaka ni kweli, uko vizuri kumtumia macho yako😂
@sapconlinetv5 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉 Thank you so much our president Samia Suluhu Hassan
@FlenkHaule5 күн бұрын
Frenk rashid
@LynetMatara5 күн бұрын
I came from ticktock 🎉 good song
@tarsila-n3g6 күн бұрын
Hongereni sana
@theodoramwasu35676 күн бұрын
Hongereni johari media
@JOHARI-MEDIA6 күн бұрын
@@theodoramwasu3567 Asante sana Mpendwa. Tunakushukuru Kwa kuendelea kututia moyo. Unarikiwe sana Mpendwa ktk Kristo
@sapconlinetv6 күн бұрын
Waooo. Hongereni sana kwa kazi nzuri, Video imenyoooka, Clear Voice. HakIka Johar Media mnafanya vizuriiii🎉🎉🎉
@Suore-yr6tc6 күн бұрын
Mbarikiwe sana
@sapconlinetv6 күн бұрын
Hongereni sana Vijana
@sapconlinetv6 күн бұрын
Hongereni sana ndugu zetu watanzania kwa umoja wenu. Mwenyezi Mungu aendelee kuwabariki
@fabianwenga88926 күн бұрын
Amina asante kwa neno!!
@elizabethpaul56966 күн бұрын
Waooh hongereni sana kwaya ya mt sesilia kibaigwa
@renamalima55586 күн бұрын
Johari umechelewa kupost hii
@JOHARI-MEDIA6 күн бұрын
Pole kwa kuchelewesha, Ilikuwa inahaririwa kwa umakini na nature ya tukukio hili ni kubwa
@davidkobero69777 күн бұрын
Hongereni...wakati mwingine muaalike hata kutoka vyuo vingine
@agnesdondo-dz1ml7 күн бұрын
Mungu tubariki wote wanafamilia yangu
@MariaPeter-d2f8 күн бұрын
❤
@LucyBatna11 күн бұрын
Tunawakaribisha
@sabinakushoka973713 күн бұрын
Utume mwema
@ImaniMchunga12 күн бұрын
Sifa na utukufu kwa Mungu
@suzanaaloyc490312 күн бұрын
Wabarikiwe watumishi wapya
@ElishaEmmanuel-px9pc14 күн бұрын
Chuo bora kabisa kwa Maendeleo ya Taifa 🎉
@ZimpeGabriel15 күн бұрын
Tuko pamojys saana
@suzisuzana738516 күн бұрын
Mungu apewe sifa, hongereni sana masista
@Pialaurenti16 күн бұрын
hongereni Sana masisita Munguazidi kuwapigania❤
@ImaniMchunga16 күн бұрын
Sifa na utukufu kwa Mungu.hongereni sana 2:31:11
@neehymarandu474317 күн бұрын
Hongera sana sr. Rosy rafiki yangu na wote pia💓
@VestinaJasson-h7w17 күн бұрын
Hongereni sana Masister 🎉🙏🌹🥳🥳
@JohnLangu17 күн бұрын
Hongeren sana 🙏🙏🙏
@XsaveriaLivigha17 күн бұрын
Mbarkiwe watawa wote kwa wito mungu azidi kuwaimarisha 🙏
@marysona999917 күн бұрын
Sisi Wana jimbo kuu katoliki Dodoma tunamshukuru MWENYEZI MUNGU Kwa zawadi hii ya Mhashamu baba Askofu msaidizi Kibozi, Tunamwombea afya njema.
@AurelioTrimarchi18 күн бұрын
❤
@theodoramwasu356718 күн бұрын
Hongereni kwa uimbaji mzuri
@evancekubingwa770918 күн бұрын
Safi sana Vijana wako vizuri Utume mwema kwa mzee wetu Baba Kibozi
@DamianJustine-hs6dk19 күн бұрын
Kutoka Jimbo lipi? Naomba munisaidie
@VestinaJasson-h7w18 күн бұрын
Jimbo Kuu Katoliki Dodoma
@fabianwenga889219 күн бұрын
Karibu baba kwa huduma na majitoleo katika Parokia ya Mt Paulo.Mungu baba mwenyezi aendelee kukubariki na kukulinda!!
@AgostinoMkutwa19 күн бұрын
Mung awabalik kwa utume wenu❤
@VestinaJasson-h7w19 күн бұрын
Hongera sana Baba Askofu Kibozi🎉
@VestinaJasson-h7w19 күн бұрын
Mungu awabariki katika uinjilishaji wenu wa uimbaji. Nimewapenda bure🥳🥳🌹❤🎉🥳
@VestinaJasson-h7w19 күн бұрын
Mpiga kinanda huko vizuri,Kwaya Master na waimbaji Kwa ujumla. Hongereni sana🎉❤❤🎉🎉
@marysona999920 күн бұрын
Kwa kweli Mhashamu baba Askofu msaidizi wa jimbo katoliki Dodoma, Tunamwambia MUNGU MWENYEZI kuwa Asante Kwa kutupatia mchungaji huyu. Tunamwombea afya njema daima
@lgffumbuka18320 күн бұрын
Glória in excélsis Deo et in terra pax homínibus bonæ voluntátis. Laudámus te, benedícimus te, adorámus te, glorificámus te, grátias ágimus tibi propter magnam glóriam tuam, Dómine Deus, Rex cæléstis, Deus Pater omnípotens.
@JOHARI-MEDIA20 күн бұрын
Waoooo. Asante sanaaaaaa
@BrianMmassy20 күн бұрын
Waaa oooh nice song❤
@okumuobudho549522 күн бұрын
very nice song indeed may GOD BLESS The choir.
@anicetminde336223 күн бұрын
Amani ns upendo na matumaini milele.
@venancemiyeji680425 күн бұрын
Hongereni sana wana kwaya chuo (TMCS)
@fabianwenga889225 күн бұрын
Apumzike kwa amani Sr Pia bibi yetu.
@mariamini204725 күн бұрын
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani Sr Maria Pia. Amina
@emanoeladionis578426 күн бұрын
Pumzika kwa Amani Sr pia
@sapconlinetv26 күн бұрын
Pumzika kwa Amani sister Maria pia, Mwenyezi Mungu aipokee roho yako mahali pema Mbinguni. Amina
@sapconlinetv26 күн бұрын
Hadi rahman jamani, Hongereni sana Jimbo Kuu Katoliki Dodoma