KARIBU CHUO KIKUU MZUMBE
1:33
14 күн бұрын
Пікірлер
@siambuya1047
@siambuya1047 Күн бұрын
Hongera sana bi felista
@JaneGauza
@JaneGauza 3 күн бұрын
Kwa kweli Mungu awabariki nililmleta binti yangu hapo niliona upendo na ukarimu wenu.
@Nyanda399
@Nyanda399 3 күн бұрын
🎉🎉🎉
@KelvinDaniel-x6o
@KelvinDaniel-x6o 4 күн бұрын
🔥
@KelvinDaniel-x6o
@KelvinDaniel-x6o 8 күн бұрын
🔥
@KelvinDaniel-x6o
@KelvinDaniel-x6o 10 күн бұрын
🔥
@AraphaHassan-u1g
@AraphaHassan-u1g 13 күн бұрын
Nimefurahiya ❤❤❤sana jinsi Mzumbe University wanavyowapokea wanachuo wako Hongeraaa sana Mzumbe University
@WITNESSWILLIAM-o6q
@WITNESSWILLIAM-o6q 13 күн бұрын
Tunajivuniaaa Sanaa chuo kikuu Mzumbee🎉❤
@Antonia6Dismas
@Antonia6Dismas 14 күн бұрын
Online registration mmefungua dirisha?
@pyxo-d5h
@pyxo-d5h 19 күн бұрын
Mko poa
@DefrozaNzenga
@DefrozaNzenga 23 күн бұрын
Asanteh
@Leroy-o3z
@Leroy-o3z 24 күн бұрын
Naomba namba yako jamani natamani kujua vzri kuhusu chuo icho kaka angu
@Leroy-o3z
@Leroy-o3z 24 күн бұрын
Naomba namba yako unielezee vzr
@KelvinDaniel-x6o
@KelvinDaniel-x6o 28 күн бұрын
We are coming 😂
@StevenMusa-j7v
@StevenMusa-j7v 29 күн бұрын
Najivunia Kusoma Chuo Kikuu Mzumbe Kozi Ya Uhasibu na Fedha Katika Sekta Ya Biashara (BAF-BS)
@aloycegervas9383
@aloycegervas9383 2 ай бұрын
Hongera sana Chuo Kikuu Mzumbe hakika mnaupiga mwingi sana
@EmmiliamMwame-my2bb
@EmmiliamMwame-my2bb 2 ай бұрын
Nilikuwa nataka kujua kama Kuna kozi ya Afisa utendaji kama ipo mzumbe
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo 2 ай бұрын
Waku wa mikoa waku wilaya wakulugenzi wafanyakazi wa afya wote ni wasaliti wataifahili ndio wanao hamasisha uchafu wafungwe kabisa kuwe na sela mpya ya afya siyo hao Wala lushwa
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo 2 ай бұрын
Mzee.profesa tunakuomba mushauli selikali na chama wapiga malufuku uuzaji wa vyakula barabarani ikiwezekana itungwe sheliya atakaye uza vyakula holele chips mamalishe wanyongwe kabisa kansa magojwa ya ajabu ni uuzwaji wa vyakula holela
@cleophacemagesa1479
@cleophacemagesa1479 2 ай бұрын
Prof. Janabi anaongea ukweli na mambo ya msingi ambayo ni ukombozi kwa watch. Kinachonisikitisha watch hawachukulii kwa uzito unaopashwa.
@sadickmwaiwola6089
@sadickmwaiwola6089 2 ай бұрын
Kwa waombaji walioomba awali watapewa majibu ya kuchaguliwa kujiunga na MZUMBEkwa muda gani tangu walipoomba? Kwa mfano kuna wanafunzi wenye sifa wa kidato cha sita 2024 waliomba tar 16/7/2024 siku ya pili tangu dirisha la udahili lilipofunguliwa tar 15/7/2024.
@barakageorge6555
@barakageorge6555 2 ай бұрын
Hamna course ya MassCmmunication
@IddiNduka-fe6bw
@IddiNduka-fe6bw 3 ай бұрын
Mmekosea sana kukatakata hii video
@geraldfrance5068
@geraldfrance5068 3 ай бұрын
Proud of Mzumbe University 🎉🎉🎉 Tujifunze Kwa maendeleo ya watu💪💪💪👏👏
@stanslaussementa2940
@stanslaussementa2940 3 ай бұрын
💥
@stanslaussementa2940
@stanslaussementa2940 3 ай бұрын
💥
@GraceEmmanuel-we6gt
@GraceEmmanuel-we6gt 4 ай бұрын
Na tuliotuma maombi majibu tutapata lini?
@yetromtambulo3452
@yetromtambulo3452 7 ай бұрын
Be blessed professor
@malietamashimba1263
@malietamashimba1263 8 ай бұрын
Hongereni Mu team
@mkama.e.masatu
@mkama.e.masatu 8 ай бұрын
Congraturations
@annaisaya8330
@annaisaya8330 9 ай бұрын
mtaji wezeshi oyeee❤
@maureenbucchin7405
@maureenbucchin7405 Жыл бұрын
☹️ Promo'SM
@gracekunambi7438
@gracekunambi7438 Жыл бұрын
Asante sana mkuu
@FestusGodmiracle
@FestusGodmiracle Жыл бұрын
Ahsante sn tunashukuru sn mkuu
@mkama.e.masatu
@mkama.e.masatu Жыл бұрын
🌎🌏
@hopehope6451
@hopehope6451 Жыл бұрын
Mtu alisoma diploma ya Public administration bt kuja apo kusoma degree ya business administration
@Nyanda399
@Nyanda399 Жыл бұрын
Mzumbe University...... The home of intellectuals.
@clenismartin245
@clenismartin245 2 жыл бұрын
Nice
@georgekimboka9821
@georgekimboka9821 2 жыл бұрын
Pongezi sana Dada Yangu Mpendwa kazi zuri sana Mwenyenzi Mungu Mtakatifu akubariki sana ndugu yangu Miss You Mama wa NIDA
@kotemakutesi5294
@kotemakutesi5294 2 жыл бұрын
Mama alipoingia mkopo wetu ulipitiwa upya kwa kile walichokiita boom reallocation... Zoezi hilo lilipelekea wanafunzi wengi asilimia 95% kukatwa kiasi cha shiling 15000/-kwa kila mwanafunzi na wengine ambao walikuwa na shida kama vile supplementary, walipata hela yao kwa kucheleweshwa, wengine walikatwa nusu ya boom lao. Lakini kiujumla tangia mama ameingia boom lilianza kucheleweshwa kitu ambacho hakikuwepo kipindi cha JPM... Kwahyo viongozi wa MUSO msiongolee tu mazuri pia semeni na mapungufu. Asanteni. Naipenda CHUO KIKUU MZUMBE
@remigiuskaijahabi6680
@remigiuskaijahabi6680 3 жыл бұрын
Tuko pamoja sana Dkt. Lupogo na ni kati ya watu ambao nimetokea kuwakubali sana katika ufundishaji wao na huruka zao