wana hela ya kupamba picha za Samiya sululu nchi nzima ila hawana hela ya kujenga daraja?wanalipa wabunge hela nyingi tu kwenda kusinzia bungeni na kumtetea Rais lakini hawawakilishi shida za Wananchi
@myself41288 ай бұрын
Nchi Inachezewa sana
@jameskiroka25498 ай бұрын
❤dogo ana akili,kwanini tusimpe ubunge,siasa anaijua vizuri
@yusuphwella96518 ай бұрын
Haka kadaraja bado hakajengwa mpakà leo
@cheiknamouna20588 ай бұрын
mlevi mwenye busara😂😂
@Daniel-g2f6v8 ай бұрын
Mpeni tu hongera maana ata wakimnyonga watakaoumia ni wazazi wake
@Zeinabmea8 ай бұрын
Kunywa clorex kwa bill yangu broo😂😂😂😂
@emmanuelsanga17438 ай бұрын
Sema ninja wamezidi hawa, wanakula pesa ya tozo tuuh
@DavidMandago-in3on8 ай бұрын
Nakupa week hizii😂😂
@VeronicaMaduhu-h6q8 ай бұрын
😂😂😂❤❤❤❤❤
@omarifadhili6518 ай бұрын
Huyu jamaa Hana akili ye anajua watoto wanapita ye kashindwa nn kukajenga au yeye hana mtoto
@faa98428 ай бұрын
Na hujali loloteeee ase umezima data kabisa
@Freedom_fighters8988 ай бұрын
Safi sana, huyo brother jember ccm Wameishindwa Hii nchi kabisaa wanatoka kila Kitu kwa wagęni n wanaichi wanakuja kuwa watumwa kwenye Nchi hao
@emmanuelsanga17438 ай бұрын
We are already slaves kwa ardhi yetu hakuna wanachofanya yaanisielewi
@SbOm-b7k8 ай бұрын
Ila kweli kwawatoto n hatarii sanaaa
@mealsbymana65618 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@henrybovick938 ай бұрын
😂😂😂😂😂mimi mkongo nimekuelewa ila sijui viongozi wa Africa kama wamekuelewa ila malipo yako bro ni kufunguliwa caise kibao.
@ErickJonas-ie2rr8 ай бұрын
Yn anatekwa kwa kusema ukweli duh
@OlivaGara8 ай бұрын
😂😂😂😂 madiwani wengi madalali mtaje mtaje mtaje kaka kunywa pepsi kwa bili yangu pale kwa mama jaky
@Mummyr_j8 ай бұрын
Nafikiria ni huku tu kwetu 254 tuna hizi shida kumbe pia nyie mwazipitia😢😢
@Maas-d5d8 ай бұрын
kaka umekunywa kinywaji kizuri sana yani kinywaji ulicho kunywa kina akili safi sana masha Allah waambie maendeleo yao nikua na vitambi vya chini chini kama vimitapia mlo 😮😮😮
@mrfix65968 ай бұрын
Diwani sound like Dalali, KIUFUPI madiwani ni Madalali