Mashallah Abuu Said. Hongera sana. Kazi mzuri mnoo.
@abuusaid51122 күн бұрын
Shukran pia habyby 🤝👍
@AbdulWahid-k4o7fАй бұрын
MashaAllah
@abuusaid511Ай бұрын
Shukran sana 🤝❤
@Salma-ho6wxАй бұрын
Allah azidishe baraka ktk kazi yako abuusaid unajua broo❤
@abuusaid511Ай бұрын
Aamiin yaarab inshallah kwasote pia inshallah shukran sana 🤝💞
@AbdiSilva-mt6xsАй бұрын
Pambee
@amoursalum8266Ай бұрын
Wajomba kaimbeni Tumba au nendeni Kongo kwa wailo.. zanzibar hatuna ujinga huu
@abuusaid511Ай бұрын
Acha kuzingua hapa ndokwenye ujinga kuliko huu au hujui ww au hujauona labda unafeli wapi sema uambiwe kama ww hujaona kichwa kibovuweee pumbaav.
@HajiabdallahAliАй бұрын
Nzury san hiyi kaswida Mashallah
@AfyaMansoor2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@hawabakari46582 ай бұрын
🥰🥰
@FatmaJuma-p8s2 ай бұрын
Mashallahn nakupenda
@Hailshhasibu-xx2kd2 ай бұрын
Aslamualeikum warahmatullah vp muko wapi niwaitaji kwenye shughuli
@abuusaid5112 ай бұрын
Namba ya simu hio piga 0679830435 utajuilishwa walipo
@ZuuAbuu-q1g2 ай бұрын
Mashaallah ❤
@Zauda-l6v2 ай бұрын
Mashaalah
@FatumaRamadhani-o6i2 ай бұрын
Ongera. Xana
@Mkombozi-j3p3 ай бұрын
Tuwekee iyo qaswida ya ukhut sau
@abuusaid5113 ай бұрын
Muekewe wapi sasa au hapo hamuionii?
@Mkombozi-j3p2 ай бұрын
Twaiyona ila ina dkk moja2
@FahmyHassan-uf6hf3 ай бұрын
Pambe bul❤
@SaidOmary-z3b3 ай бұрын
Mashaallah
@wahidaulaya71503 ай бұрын
Big up ❤
@ismailburhan86223 ай бұрын
Kaka maashaallah huna baya vitta kubwa mno......nakukubali sana
@abuusaid5113 ай бұрын
Asante sana nakushkuru pia💪🤝
@abuusaid5113 ай бұрын
Asante sana nakushkuru pia💪🤝
@ismailburhan86223 ай бұрын
Chidi yuri hapa apewe mauwa yake kajua kuitendea haki hiii kazi.....maashaallah....
@iddysware99593 ай бұрын
Vitaaaaa hivii
@abuusaid5113 ай бұрын
Ahsante bingwaa🤝😁
@iddysware99593 ай бұрын
kaka Kaka kaka Unabalaaa mno MashaaAllah
@abuusaid5113 ай бұрын
Doh ndotunajaribu mwalim kama tutaweza nasisi dua zenu inshallah
@SaidHussein-th7mq3 ай бұрын
Abuu said allah akutangulie kwa kila jambo amin
@abuusaid5113 ай бұрын
Aamiin yaarab kwasote inshallah shukran sana Habyb🤝🙏❤
@SaidHussein-th7mq3 ай бұрын
Mashallah abuu said hakika ww fundi qaswida allah akujalie saut maridhawa
@abuusaid5113 ай бұрын
Aamiin yaarab kwasote inshallah shukran sana 🤝🙏
@AminaSwaleh-bt8pk3 ай бұрын
❤❤❤
@SalumAliy-t2b3 ай бұрын
Hii najuwa aliye itunga ostadh amour
@abuusaid5113 ай бұрын
Nifikra zakotuu ila sio sahihi
@AmiriHumudi-hn6pt4 ай бұрын
As Mm Sjui nakupataje nikuchukuwe yemen. Ukanighanie Kazi Yangu.
@abuusaid5113 ай бұрын
Namba za simu zipo hapo mwisho zimeishia 35 by Abuu said nicheki WhatsApp utanipata kama upo nje ya nchi kama upo ndani ata kwa sms kawaida nisimple .
@abuusaid5113 ай бұрын
Hahahahaa mbona rahisi tuu
@AmiriHumudi-hn6pt4 ай бұрын
Wewe abuu said nakupenda sn.
@abuusaid5113 ай бұрын
Mashallah muungu akuzidishie upendo wenyekheri zaidi juuyangu na wenzangu kama mm inshallah tupendane zaidi inshallah kwaajili ya Allah
@AmiriHumudi-hn6pt4 ай бұрын
Wewe biharusi Huna ghaya Wewe unacheza namna hio. Mm najuwa Mtu akiolewa analia kwa ghofu. Ila wee mh MPK ilo kisi unalicheza. Ddoh hatar sn. Haya ndowa njema.
Ukijipamba ukajianika hua ndio umejihusudu na kupata dhambi
@abuusaid5113 ай бұрын
Upovizuuri mashallah
@HijaJuma-ip7xj4 ай бұрын
Abuu said Kila la kheri
@ukhtyaishamapozpba41734 ай бұрын
Mashallah biharuc nahat imedamsh mashallah akujaalie kila lakher ktk safari yako ya ndoa na akuepushie na hasad na shar za walimwengu na akudumishe daima kwenye yako Allah awape kizaz chema ila mama ndoa ni kama mmea wa tikit unahitaj matunzo na uvumilivu wa hal ya juu ili uweze kupata matunda subra muhim mama Allah akutangulie kwa kila hatua